{"id":3728,"date":"2011-09-14T13:40:01","date_gmt":"2011-09-14T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/09\/14\/malawi-inabakia-kwenye-giza\/"},"modified":"2011-09-14T13:40:01","modified_gmt":"2011-09-14T13:40:01","slug":"malawi-inabakia-kwenye-giza","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/09\/14\/malawi-inabakia-kwenye-giza\/","title":{"rendered":"MALAWI: Inabakia Kwenye Giza"},"content":{"rendered":"<p>LILONGWE, Sept 14, 2011 (IPS) &ndash; Ja&#341;ibio la Malawi la kubo&#341;esha biasha&#341;a na uwekezaji nchini humo limechukua hatua kubwa ku&#341;udi nyuma kufuatia uamuzi wa Shi&#341;ika la Changamoto za Milenia (MCC), la se&#341;ikali ya Ma&#341;ekani linalotoa misaada ya kigeni na kuongoza vita dhidi ya umaskini, kusitisha msaada wa dola milioni 350.7 zilizokuwa na nia ya kubo&#341;esha sekta yenye matatizo ya nishati nchini humo.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kukatika kwa umeme kunajitokeza ma&#341;a kwa ma&#341;a katika taifa hili la kusini mwa Af&#341;ika ambapo kaya na biasha&#341;a zinakaa kwa masaa sita bila umeme. Ni vigumu sana siku kupita bila kukatika kwa umeme na ma&#341;a nyingi unakatika bila hata ya taa&#341;ifa yoyote.<\/p>\n<p>Kwa sasa wachambuzi wa kiuchumi wanasema nafasi ya taifa hilo la kukuza biasha&#341;a imeangamizwa wakati MCC ilipositisha uamuzi wake wa kubo&#341;esha sekta ya nishati. Nishati isiyokuwa na uhakika ma&#341;a nyingi imesababisha mazingi&#341;a magumu ya wawekezaji wa ndani na wa kigeni.<\/p>\n<p>Kansela Kafe&#341;apanji&#341;a, afisa mtendaji mkuu wa Shi&#341;ikisho la Biasha&#341;a na Wenye Viwanda Malawi, aliiambis IPS kuwa matumaini ya sekta bo&#341;a ya nishati yameshakatika.<\/p>\n<p>&#8220;Watu waliopo mada&#341;akani nchini humu hawafanyi kazi ya kutosha kukabiliana na hali. Mgogo&#341;o wa nishati unazidi kuongezwa na mamlaka za ndani. Se&#341;ikali ilijua kuanzia mwanzo kuwa MCC ingehitaji kuwepo kwa utawala bo&#341;a ili kuweza kutolewa kwa msaada ambao umeahidiwa nchini Malawi,&#8221; alisema Kafe&#341;apanji&#341;a.<\/p>\n<p>MCC ilisema katika taa&#341;ifa Jul. 26 kuwa ilitoa uamuzi wa kusitisha msaada kutokana na matumizi ya nguvu ya mamlaka ya Malawi kuzuia maandamano ya amani Julai 20 na 21. Pia vikwazo vimewekwa katika ku&#341;uhusu vyombo vya habad&#341;i ku&#341;ipoti maandamano hayo. <\/p>\n<p>Hadi watu 19 waliuawa na wengine 275 kukakamatwa katika maandamano yaliyofanyika dhidi ya Rais Bingu wa Mutha&#341;ika wakipinga uhaba wa mafuta uliojitokeza ma&#341;a kwa ma&#341;a, uhaba wa fedha za kigeni, kukatika kwa umeme kwa muda m&#341;efu na uhaba wa maji.<\/p>\n<p>Fedha za MCC, ambazo zilitakiwa kutumika katika kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka 2011, zilitakiwa kutumiwa kuongeza ufanisi wa uzalishaji wa nishati na kubo&#341;esha mfumo na mtandao wa kusambaza umeme. <\/p>\n<p>Pia zilikuwa na maana ya kusaidia kujengea uwezo Shi&#341;ika la Ugavi wa Nishati la Malawi (ESCOM), msambazaji pekee wa nishati; Mamlaka ya Kudhibiti Nishati Malawi; na wiza&#341;a ya maliasili, nishati na mazingi&#341;a &ndash; wiza&#341;a ya nishati ambayo ndiyo wiza&#341;a kuu inayotunga se&#341;a.<\/p>\n<p>M&#341;adi una lengo la kupunguza uhaba wa nishati na kupotea kwa nishati kunakotokana na sababu za kiufundi, kukuza uendelevu na ufanisi wa uzalishaji wa nishati inayotokana na maji, na kubo&#341;esha huduma kwa watumiaji wa huduma ya umeme. MCC ilisema kuwa ilifanya hivyo kubo&#341;esha uzalishaji wa kilimo, sekta ya utengenezaji bidhaa na sekta za huduma na kusaidia kujenga aji&#341;a katika uchumi. <\/p>\n<p>Malawi imekuwa ikija&#341;ibu kubo&#341;esha hali ya nishati na imekuwa katika mazungumzo na Msumbiji ili kusaini mkataba wa kuunganisha umeme. Hata hivyo, bado huu unaendelea kubakia kuwa nmpango; Malawi ni maskini na inategemea wafadhili kwa ajili ya kazi zake za maendeleo.<\/p>\n<p>Hadi asilimia 40 ya bajeti ya taifa nchini Malawi imekuwa ikitegemea zaidi wafadhili na asilimia 80 ya bajeti ya maendeleo nchini inatolewa chini ya Mpango wa Pamoja wa Kusaidia Bajeti, ambao unahusisha wafadhili kutoka Uinge&#341;eza, Uje&#341;umani, Benki ya Madendeleo ya Af&#341;ika, No&#341;way, Umoja wa Ulaya na Benki ya Dunia. Se&#341;ikali za Uje&#341;umani na Uinge&#341;eza taya&#341;i zimekataa kutoa hadi dola milioni 400, zikiushutumu uongozi wa Malawi kutokana na udikteta na kushindwa kutekeleza utawala wa she&#341;ia.<\/p>\n<p>Kafe&#341;apanji&#341;a alisema sasa kuna kukosekana kwa uhakika miongoni mwa jumuiya ya wafanyabiasha&#341;a wa jinsi gani wataendelea kuendesha biasha&#341;a zao bila nishati yenye uhakika.<\/p>\n<p>&#8220;Kama nchi tuna&#341;udi nyuma. Tunakabiliwa na uhaba wa kufikia mahitaji yanayoingizwa kutoka nje kutokana na sekta ya utengenezaji bidhaa kushindwa kufanya kazi vizu&#341;i kutokana na kukatika kwa umeme kwa ma&#341;a kwa ma&#341;a,&#8221; alisema Kafe&#341;apanji&#341;a. <\/p>\n<p>Kukatika kwa umeme kwa ma&#341;a kwa ma&#341;a kunaigha&#341;imu nchi dola milioni 215.6 kwa mwaka kutokana na hasa&#341;a inayopatikana katika biasha&#341;a na uzalishaji wa viwandani, kulingana na Kafe&#341;apanji&#341;a.<\/p>\n<p>John Kapito, mku&#341;ugenzi mtendaji wa Chama cha Walaji cha Malawi, shi&#341;ika la ndani ambalo linalinda na kukuza maslahi ya walaji, aliiambia IPS kuwa walaji wanahisi kuangushwa na se&#341;ikali yao kutokana na kuifanya sekta ya nishati kuwa katika hali mbaya kabisa.<\/p>\n<p>&#8220;Fedha za MCC zilikuwa zinakuja kama ahueni kubwa iliyokuwa ikihitajika kwa walaji na jumuiya ya wafanyabiasha&#341;a. Sote tulikuwa tukita&#341;ajia kukuza biasha&#341;a zetu na kuwa na bei nafuu kwa walaji kwani tulita&#341;ajia bei za bidhaa kupungua kutokana na upatikanaji wa nishati. Sasa tunahisi kuwa tumeangushwa na se&#341;ikali yetu,&#8221; alisema Kapito.<\/p>\n<p>&#8220;Njia ya kuelekea ni kushi&#341;ikisha kila mmoja nchini, hasa se&#341;ikali, kujitolea katika kukuza utawala bo&#341;a na kuheshimu demok&#341;asia ili tusipoteze fedha hizo muhimu,&#8221; alisema Kapito.<\/p>\n<p>Hapo kabla mwezi Julai ESCOM ilitangaza kuwa nchi ingekumbwa na kukatika kwa umeme kwa muda m&#341;efu hadi mwishoni mwa mwaka kutokana na kazi inayofanyika katika kituo kikubwa cha umeme wa maji katika mji maa&#341;ufu kibiasha&#341;a wa Blanty&#341;e.<\/p>\n<p>Fedha kutoka MCC zilita&#341;ajiwa kuja kuanza kabla ya mwisho wa mwaka huu na zilitakiwa kutumika kubo&#341;esha kituo cha nishati ya umeme wa maji cha Malawi, ambacho kinazalisha megawati 287 dhidi ya mahitaji ya megawati 300.<\/p>\n<p>Makadi&#341;io ya MCC yanaonyesha kuwa uzalishaji wa nishati mwaka 2015 na 2020 ni megawati 603 na 829.<\/p>\n<p>Mamlaka ya se&#341;ikali hayajasema zaidi kuhusu suala hilo. Wazi&#341;i wa Fedha wa Malawi Ken Kandodo aliviambia vyombo vya haba&#341;i baada ya MCC kutangaza uamuzi kuwa nchi itakuwa na mazungumzo na shi&#341;ika hilo la Kima&#341;ekani la MCC ku&#341;ejesha msaada huo.<\/p>\n<p>Wakati huo huo, kukatika kwa umeme kunaendelea kuathi&#341;i biasha&#341;a. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LILONGWE, Sept 14, 2011 (IPS) &ndash; Ja&#341;ibio la Malawi la kubo&#341;esha biasha&#341;a na uwekezaji nchini humo limechukua hatua kubwa ku&#341;udi nyuma kufuatia uamuzi wa Shi&#341;ika la Changamoto za Milenia (MCC), la se&#341;ikali ya Ma&#341;ekani linalotoa misaada ya kigeni na kuongoza vita dhidi ya umaskini, kusitisha msaada wa dola milioni 350.7 zilizokuwa na nia ya kubo&#341;esha&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":667,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3728","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3728","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/667"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3728"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3728\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3728"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3728"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3728"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}