{"id":3727,"date":"2011-09-14T13:40:01","date_gmt":"2011-09-14T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/09\/14\/maswali-na-majibu-wanaume-wamiangusha-zambia-sasa-ni-wakati-wa-wanawake\/"},"modified":"2011-09-14T13:40:01","modified_gmt":"2011-09-14T13:40:01","slug":"maswali-na-majibu-wanaume-wamiangusha-zambia-sasa-ni-wakati-wa-wanawake","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/09\/14\/maswali-na-majibu-wanaume-wamiangusha-zambia-sasa-ni-wakati-wa-wanawake\/","title":{"rendered":"MASWALI NA MAJIBU: &#8216;Wanaume Wamiangusha Zambia, Sasa ni Wakati wa Wanawake&#8217;"},"content":{"rendered":"<p>LUSAKA, Sept 14, 2011 (IPS) &ndash; Katika taifa ambalo mfumo dume umejikita mizizi la Zambia Edith Nawakwi, 52, amevunja &#341;ikodi chache katika mazingi&#341;a ya kisiasa katika miongo miwili iliyopita. Na aliweza kuvunja &#341;ikodi nyingine siku ya Jumapili kwa kuwa mwanamke pekee aliyejisajili kama mgombea wa u&#341;ais katika uchaguzi ujao nchini Zambia.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wagombea wote wanatakiwa kujaza fomu za kuteuliwa kugombea katika Mahakama Kuu nchini humo ili kupata uthibitisho wa kishe&#341;ia kuwa wanagombea kama wagombea wa u&#341;ais. Utakapofika uchaguzi mwaka 20, wagombea wapatao 17 watapambana kuongoza nchi. Nawakwi anajulikana zaidi katika siasa za Zambia. Mwaka 1997 alikuwa mwanamke wa kwanza kusini mwa Af&#341;ika kuteuliwa kuwa wazi&#341;i wa fedha. Mwanchama wa zamani wa chama tawala cha Movement fo&#341; Multipa&#341;ty Democ&#341;acy (MMD) alijiondoa katika chama mwaka 2001 wakati yeye na maafisa wengine walipompinga Rais F&#341;ed&#341;ick Chiluba kutaka kugombea kwa awamu ya tatu.<\/p>\n<p>Walianzisha chama cha Fo&#341;um fo&#341; Democ&#341;atic Development (FDD) na Nawakwi alichaguliwa kuwa makamu wa &#341;ais wa kwanza. Mwaka 2005 alikuwa mwanamke wa kwanza nchini Zambia kuongoza chama cha siasa alipochaguliwa kuwa &#341;ais wa FDD. <\/p>\n<p>Sehemu ya mahojiano naye inafuata.<\/p>\n<p>Swali: Ndiyo hivi punde umejaza fomu za kugombea u&#341;ais. Nini kimekuwa kikiendelea kwenye mawazo yako  <\/p>\n<p>Jibu: Nilipokwenda kujaza fomu, wakati nikitembea kwenda kwa Jaji Mkuu, nilijiuliza kwa nini nafanya hivi &#8216; Nilijiuliza je ninalingana na kazi hiyo &#8216; Lakini nilipoangalia wafuasi wangu na fu&#341;aha waliyokuwa nayo, ilinisaidia kuona ninaaminika. Nina imani Zambia iko taya&#341;i kuwa na &#341;ais mwanamke. Ni mwanamke pekee anaweza kuleta mabadiliko nchini humu.<\/p>\n<p>Swali: Unaweza kufanya nini kubadili mawazo, mitizamo hasi na ubaguzi dhidi ya wanawake  <\/p>\n<p>Jibu: Wanawake wa Zambia wana haki sawa na wanaume, na kugombea katika ofisi ya siasa ni moja ya haki hizo. Wakati nilipochukua nafasi ya wazi&#341;i wa fedha watu walikuwa na kila aina ya maswali hasi kwasababu nilikuwa mwanamke&#8230; nilikuwa wazi&#341;i wa fedha wakati wa kipindi kigumu zaidi katika histo&#341;ia ya nchi yetu, lakini niliweza kukabiliana na hali hiyo.<\/p>\n<p>Nilikuwa na wazi&#341;i wa fedha wakati Zambia ilikuwa katika uchumi duni kabisa. Nakumbuka kulikuwa na siku nilipohitajika kutoa malipo ya dola nusu milioni na se&#341;ikali haikuwa na fedha.<\/p>\n<p>Ilibidi tukope kutoka kwa mabenki ya kibiasha&#341;a. Tulikuwa tunaja&#341;ibu kuufanya uchumi kuwa hu&#341;ia lakini hatukuwa na kipato nchini. Nilikuwa na bahati ya kuwa wale waliosimamia mpango wa mabadiliko ya kiuchumi.<\/p>\n<p>Libe&#341;ia imekuwa na kiongozi bo&#341;a kabisa (Rais Ellen Johnson Si&#341;leaf) baada ya vita ili kusimamia uchumi. Na siyo kuhusu uchumi tu, lakini mitizamo ya watu pia. Nina imani kuwa kama Af&#341;ika ingekuwa na imani kuwa moja ya mali zake kubwa ni wanawake, tungekuwa katika mahali pazu&#341;i. <\/p>\n<p>Angalia kinachotokea nchini Libya, Somalia na mauaji yote, nani wanatoa maamuzi hayo  Sifa ya mwanamke kuwa mama isingemfanya kufanya hivyo, kama mama matumbo yetu yanatetemeka kunapoona umwagaji wa damu. <\/p>\n<p>Nina imani wanawake wangekuwa katika mada&#341;aka, tusingeona migogo&#341;o yote hii tunayoiona sasa katika Af&#341;ika leo hii.<\/p>\n<p>Swali: Ni mwanamke pekee ambaye umejaza fomu za kuomba kugombea u&#341;ais. Pia ni mwanamke pekee &#341;ais wa chama cha siasa nchini Zambia. Je hii ni dalili kuwa wanawake bado hawako taya&#341;i kukabiliana na changamoto  <\/p>\n<p>Jibu: Inabidi tuanzie mahali pengine, na hili ndilo tumekuwa tukijadili na wanawake wengine. Mimi mwenyewe ni zao la utetezi wa wanawake katika jamii ya mfumo dume kama ya kwetu, inabidi kuvunja mawazo hayo kuwa wanawake hawawezi kufanya baadhi ya mambo. Nilichaguliwa kidemok&#341;asia kama &#341;ais wa chama chetu katika mkutano wa wanachama wote ambao uligombewa pia na wanaume watano na wote walithibitisha nilikuwa bo&#341;a. Kutokana na kuvunja kikwazo hicho, naona wenzetu wengi wanawake wanaingia.<\/p>\n<p>Swali: Nini utakwenda kufanya tofauti wakati wa kampeni hii  <\/p>\n<p>Jibu: Hakuna mtu atanisimamisha. Nina imani kuwa Zambia itakombolewa tu na mwanamke na kwamba Zambia iko taya&#341;i kuwa na &#341;ais mwanamke. Ma&#341;a tu wanawake waliposikia ninagombea, wote walichanganyikiwa. Nitafanya kazi na kuonyesha utendaji mzu&#341;i kama nilivyokuwa wazi&#341;i wa fedha. Uongozi wa sasa uko katika zama za ukombozi. Tunahitaji viongozi wa ka&#341;ne ya 21!<\/p>\n<p>Ajenda yetu tutakapoingia se&#341;ikalini itakuwa kuandika katiba ambayo itakuwa na haki za watu wote, ikiwa ni pamoja na wanawake na watu wenye ulemavu. <\/p>\n<p>Swali: Katika suala la kise&#341;a, nini kinaelezea kwa ufupi itikadi zenu  <\/p>\n<p>Jibu: Tunashinikiza kugawa mada&#341;aka ya kisiasa na kiuchumi, kuhakisha kuwa watu wetu wanapatiwa uwezo wa kuendesha maendeleo yao.<\/p>\n<p>Ni muumini mkubwa wa kuweka mada&#341;aka chini ya watu. Maisha ya watu wetu yanazidi kuwa duni, wakati ni moja ya nchi taji&#341;i duniani. Hakuna se&#341;a za kimakusudi kumfanya Mzambia wa kawaida kuwa kitovu cha se&#341;a za uchumi. <\/p>\n<p>Hii ni kutokana na kwamba se&#341;ikali yetu imejikita mno katika se&#341;ikali kuu na hii imetumika tangu enzi za kikoloni sanja&#341;i na kile kilichotumiwa na Uinge&#341;eza. Kwa bahati mbaya hii inasababisha &#341;ushwa. Ugawaji wa &#341;asilimali umejikita katika mikono ya watu wachache. Tunahitaji kupeleka mada&#341;aka ya kisiasa na kiuchumi ka&#341;ibu na watu.<\/p>\n<p>Kama unapeleka mada&#341;aka kwa watu, hata wabunge watavutiwa na kutumikia watu wao katika ngazi ya se&#341;ikali za mitaa kutokana na kwamba huko ndiko &#341;asilimali zitaelekezwa. Utaona kuwa uchumi wenye mafanikio duniani ni ule uliowekwa ka&#341;ibu na watu.<\/p>\n<p>Swali: Unata&#341;ajia kuendeshaje se&#341;ikali ya kupeleka amda&#341;aka ka&#341;ibu na watu nchini Zambia  <\/p>\n<p>Jibu: Nadhani kuwa kwa ajili ya uwajibikaji na uwazi kuna haja ya kuhakikisha mipango inakuwa na ushawishi kutoka wilayani. Tungependa kuwa na wazi&#341;i wa fedha ambaye atakuja na bajeti za wilaya, ambazo zita&#341;atibu mgawanyo wa &#341;asilimali.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LUSAKA, Sept 14, 2011 (IPS) &ndash; Katika taifa ambalo mfumo dume umejikita mizizi la Zambia Edith Nawakwi, 52, amevunja &#341;ikodi chache katika mazingi&#341;a ya kisiasa katika miongo miwili iliyopita. Na aliweza kuvunja &#341;ikodi nyingine siku ya Jumapili kwa kuwa mwanamke pekee aliyejisajili kama mgombea wa u&#341;ais katika uchaguzi ujao nchini Zambia. Wagombea wote wanatakiwa kujaza&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":0,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3727","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3727","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3727"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3727\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3727"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3727"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3727"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}