{"id":3724,"date":"2011-09-14T13:40:01","date_gmt":"2011-09-14T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/09\/14\/kenya-chakula-cha-msaada-chapatikana-kwa-wakulima-wadogo\/"},"modified":"2011-09-14T13:40:01","modified_gmt":"2011-09-14T13:40:01","slug":"kenya-chakula-cha-msaada-chapatikana-kwa-wakulima-wadogo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/09\/14\/kenya-chakula-cha-msaada-chapatikana-kwa-wakulima-wadogo\/","title":{"rendered":"KENYA: Chakula cha Msaada Chapatikana kwa Wakulima Wadogo"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Sept 13, 2011 (IPS) &ndash; Mou&#341;id Abdi Dolal na Wilson Rotich ni wakulima wadogo ambao hupanda mazao ya chakula. Lakini wakati mmoja wao huuza mazao yake katika soko la kijijini mwao, mwingine analima kulisha idadi ya wakimbizi inayozidi kuongezeka nchini Kenya.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Rotich inawezekana alishawishiwa na mpango unaoongozwa na Shi&#341;ika la Chakula Ulimwenguni (WFP) ambalo linaunganisha wakulima wadogo na masoko kupitia m&#341;adi wa Manunuzi kwa Maendeleo (P4P). <\/p>\n<p>Katika kila mavuno, Rotich hutenga kiasi ambacho hukiuza kwa WFP kupitia zabuni &#341;afiki kwa wakulima wadogo. Zabuni hii, kulingana na maafisa wa WFP, ni mfumo mpya wa kupata chakula cha msaada kutoka kwa wakulima wa ndani badala ya kuagiza kutoka ng&#8217;ambo. <\/p>\n<p>Rotich mwenye um&#341;i wa miaka 57 kutoka Jimbo la Bonde la Ufa nchini Kenya anamiliki shamba la hekta 1.2 katika kijiji cha T&#341;ansma&#341;a ambako hulima mazao kwa mfumo wa kupokezana ya aina ya nafaka, maha&#341;age na mimea mingine ya mikundekunde.<\/p>\n<p>Lakini kabla hajafahamu kuhusu m&#341;adi wa P4P, ilikuwa ni vigumu shamba lake kutengeneza faida. Hata hivyo, siku hizi anaweza kuuza mazao yake kwa WFP kwa bei ya soko la kitaifa. Bei hiyo ni kubwa ma&#341;a tatu zaidi ya aliyokuwa akipata hapo kabla alipokuwa anauza katika soko la kijijini.<\/p>\n<p>Kwa sasa Rotich huuza gunia la kilo 90 la mahindi yaliyokauka au mtama kwa kati ya dola 42 hadi 51 na gunia la kilo 90 la maha&#341;age kwa dola 71. <\/p>\n<p>Hapo kabla angeweza kuingiza dola 11 kwa kila gunia la kilo 90 za mahindi au kati ya dola 10 hadi 13 kwa gunia la kilo 90 la maha&#341;age.<\/p>\n<p>&#8220;Maafisa wa WFP walituambia tuanzishe vyama vya wakulima ambavyo kupitia hivyo wangenunua mazao yetu ya shambani,&#8221; anasema Rotich. &#8220;Hii imesaidia familia yangu kwasababu sasa naweza kuwalipia ada ya shule na hata malipo ya hospitali wanapokuwa wagonjwa.&#8221;<\/p>\n<p>Afisa haba&#341;i wa WFP Kenya, Rose Ogolla, anasema P4P ni m&#341;adi wa kijamii wenye nia ya kubo&#341;esha upatikanaji wa masoko kwa wakulima wadogo wakati huo huo ukiwashawishi kuwekeza zaidi katika kilimo kupitia ubunifu.<\/p>\n<p>Kulingana na Ogolla, m&#341;adi huo unataka kuhusisha wakulima katika mzunguko wa soko la ndani aidha kwa kuingia mkataba au kupitia zabuni kwa wakulima wadogo.<\/p>\n<p>Katika ngazi ya mkataba, anasema WFP inajadiliana na mashi&#341;ika ya wakulima kabla ya msimu wa kilimo kusambaza chakula kwa bei iliyopangwa ambapo malipo hutolewa wakati wa kukabidhiana shehena, na kuweza kutumiwa na wakulima kupata mikopo.<\/p>\n<p>Lakini pale ambapo mkulima ameingia katika zabuni, mchakato wa kiushindani utatumiwa kuka&#341;ibisha mashi&#341;ika kadhaa ya wakulima au watu wanaohusika na biasha&#341;a ya kilimo kuomba zabuni ya kuuza chakula kutoka kwa WFP, ambapo hawatatakiwa kulipia dhamana za uwezo wao, anasema.<\/p>\n<p>&#8220;M&#341;adi una nia ya kusaidia usambazaji wa chakula cha msaada na pia kukifanya kilimo kuvutia kwa kuwapatia wakulima soko ambalo liko taya&#341;i,&#8221; anasema Ogolla. &#8220;Tunafanya hivi kwa kuingia katika mkataba au zabuni na wakulima, ambao utawafanya kuuza nafaka kwetu kwa bei iliyopo katika soko.&#8221;<\/p>\n<p>Taa&#341;ifa iliyotolewa Julai na WFP inaonyesha kuwa wakulima wenye chini ya hekta tatu za a&#341;dhi katika Bonde la Ufa, Magha&#341;ibi, Majimbo ya Masha&#341;iki ya Chini na Pwani kwa sasa wanafaidika na m&#341;adi huo wa miaka mitano ambao utakamilika mwaka 2013.<\/p>\n<p>Anachohitaji mkulima ni kusajiliwa na chama cha ushi&#341;ika, kuwa na uwezo wa kuzalisha tani 56 za chakula katika shamba lao dogo, kuwa na vifaa vya kuhifadhia na akaunti ya benki.<\/p>\n<p>M&#341;adi unakuja wakati ambapo Rais wa Kenya Mwai Kibaki alitangaza ukame katika taifa hilo la Af&#341;ika Masha&#341;iki kuwa janga la kitaifa. Lakini m&#341;adi huo umeungwa mkono na pia kwa upande mwingine kukosolewa na wadau wa masuala ya kijamii na maendeleo.<\/p>\n<p>Dolal, mfugaji ambaye amekuwa akiendesha shughuli zake katika eneo kame, anasema hajafaidika na m&#341;adi wa P4P kutokana na kuwa haujafika katika Jimbo la Kaskazini Masha&#341;iki, eneo ambalo linakaliwa na idadi kubwa ya wakimbizi kutoka nchini humo na Somalia.<\/p>\n<p>Dolal, ambaye kwa sasa anaendesha kilimo kidogo cha bustani katika kijiji chake cha De&#341;tu kilichoathi&#341;ika na ukame, anasema ana uwezo wa kuvuna kiasi kikubwa cha sukuma wiki, nyanya na cho&#341;oko, lakini anaweza kuingiza kipato kidogo tu kutokana na kuuza mazao yake kwa wanakijiji katika bei ya kutupa. <\/p>\n<p>&#8220;Ningekuwa mwenye fu&#341;aha kama WFP ingetufikia na kutupatia &#341;uzuku kwasababu kijiji chetu kipo kilomita zipatazo 50 tu kutoka kambi ya wakimbizi ya Dadaab,&#8221; anasema Dolal, ambaye anasaidiwa na M&#341;adi wa Kijiji cha Umoja wa Mataifa cha Maendeleo ya Milenia, mpango wa kiubunifu ambao unasaidia wanajamii katika maeneo ya vijijini Af&#341;ika kujinasua katika umaskini uliokithi&#341;i.<\/p>\n<p>&#8220;Kijiji chetu kinapata shinikizo la kuongezeka kwa wakimbizi wanaokimbia ukame,&#8221; Dolal alisema. Kwa sasa kuna watu wapatao 400,000 katika Dadaab, ambao wengi wao wamekimbia ukame nchini Somalia. <\/p>\n<p>Kulingana na Samuel Mbalu, afisa wa M&#341;adi wa Kijiji cha Milenia huko De&#341;tu, Kenya anahamasisha wanajamii wafugaji kuwekeza katika kilimo kuhifadhi eneo hilo kutokana na ukame wa ma&#341;a kwa ma&#341;a, ambao anasema umeathi&#341;i ka&#341;ibu asilimia 70 ya wakazi.<\/p>\n<p>Kulingana na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Ku&#341;atibu Masuala ya Kiutu, misimu miwili ya kutokunyesha kwa mvua ina maana kuwa Jimbo la Kaskazini Masha&#341;iki, kama ilivyo kwa ukanda wa Pembe ya Af&#341;ika, limekuwa katika ukame mbaya zaidi kuwahi kutokea kwa kipindi cha miaka 60.<\/p>\n<p>Msemaji na katibu wa mawasiliano wa se&#341;ikali ya Kenya, Dk. Alf&#341;ed Mutua, alisema Kenya inakabiliwa na migogo&#341;o miwili ya ukame na kuongezeka kwa wakimbizi. Hata hivyo, hana uhakika kama nchi ina uwezo wa kulisha idadi kubwa ya wakimbizi wanaozidi kuongezeka, pamoja na mafanikio ya m&#341;adi wa P4P.<\/p>\n<p>Hata hivyo, WFP imesema kuwa Kenya ingekabiliwa na uhaba wa chakula cha msaada wa asilimia 40 wakati se&#341;ikali ya Ma&#341;ekani ikijiandaa kutekeleza mpango wa chakula cha msaada wa WFP. <\/p>\n<p>Pamaoja na kwamba shi&#341;ika la &#8220;Af&#341;ica Biosafety Netwo&#341;k&#8221; (ABN) linasema P4P ingekuwa muhimu katika kuzuia Kenya kuagiza chakula chenye Vinasaba (GMOs) kutoka nje kwani wakulima wadogo wanaweza kuongeza uzalishaji wa chakula.<\/p>\n<p>Hivi ka&#341;ibuni Kenya ili&#341;uhusu uingizwaji wa chakula cha GMO, ikiwa ni pamoja na mahindi ya GMO, kutokana na uhaba mkubwa wa mahindi nchini humo. Hatua hiyo ilileta utata huku wakosoaji wengi wakisema kuwa mahindi hayo hayafai kwa matumizi ya binadamu.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa m&#341;atibu wa utetezi wa ABN, Ann Maina, m&#341;adi wa P4P ni mpango mzu&#341;i na unaweza kukabiliana na uhaba wa chakula.<\/p>\n<p>&#8220;Huu ni mpango mzu&#341;i kwasababu unahamasisha ufumbuzi wa ndani kukabiliana na mgogo&#341;o wa chakula nchini na unaweza kuzuia nchi kuagiza mahindi ya GMO,&#8221; anasema Maina. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Sept 13, 2011 (IPS) &ndash; Mou&#341;id Abdi Dolal na Wilson Rotich ni wakulima wadogo ambao hupanda mazao ya chakula. Lakini wakati mmoja wao huuza mazao yake katika soko la kijijini mwao, mwingine analima kulisha idadi ya wakimbizi inayozidi kuongezeka nchini Kenya. Rotich inawezekana alishawishiwa na mpango unaoongozwa na Shi&#341;ika la Chakula Ulimwenguni (WFP) ambalo&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":788,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3724","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3724","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/788"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3724"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3724\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3724"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3724"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3724"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}