{"id":3717,"date":"2011-09-14T13:40:01","date_gmt":"2011-09-14T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/09\/14\/kusini-mwa-afrika-kujaibu-kupata-fedha-za-mabadiliko-ya-tabia-nchi\/"},"modified":"2011-09-14T13:40:01","modified_gmt":"2011-09-14T13:40:01","slug":"kusini-mwa-afrika-kujaibu-kupata-fedha-za-mabadiliko-ya-tabia-nchi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/09\/14\/kusini-mwa-afrika-kujaibu-kupata-fedha-za-mabadiliko-ya-tabia-nchi\/","title":{"rendered":"KUSINI MWA AFRIKA: Kuja&#341;ibu Kupata Fedha za Mabadiliko ya Tabia Nchi"},"content":{"rendered":"<p>MBABANE,, Sept 12, 2011 (IPS) &ndash; Kuyaacha mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali katika ufadhili wa mabadiliko ya tabia nchi kutaleta matokeo machache katika ukanda wa kusini mwa Af&#341;ika.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Haya ni moja ya maoni ya mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali wakati wa kuhitimishwa kwa Mjadala wa Tano uliodumu kwa siku mbili wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika (SADC) kuhusu Maji Juni 29. Hila&#341;y Dhliwayo&ndash;Mot&#341;i&#341;i kutoka Shi&#341;ikisho la Kimataifa la Msalaba Mwekundu na Nusu Mwezi Mwekundu alisema mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yanapaswa kushi&#341;ikishwa katika mikakati ya upatikanaji wa fedha za mabadiliko ya tabia nchi kwasababu yanafikia watu wengi zaidi ambao hawawezi kufikiwa na se&#341;ikali. &#8220;Mkutano huu unalenga zaidi se&#341;ikali kupata fedha na kupuuza NGOs. Wakati ambapo inafahamika mashi&#341;ika ya ki&#341;aia pia yana mchango mkubwa katika kuwezesha watu kuishi na mabadiliko ya tabia nchi,&#8221; alisema Dhliwayo&ndash;Motsi&#341;i. Wajumbe wapatao 150 katika mjadala huo kutoka mataifa 15 wanachama wa SADC wanasema walikuwa wakijadili njia za kupata fedha za kuwezesha kuishi katika mabadiliko ya tabia nchi wakati dunia ikielekea kwenye mkutano wa COP 17 mwezi Novemba. Mabadiliko ya tabia nchi yana madha&#341;a makubwa katika maji, ambapo husababisha ukame au mafu&#341;iko, na nchi zilikubaliana kuwa kanda inahitaji fedha kukabiliana na madha&#341;a makubwa ya mabadiliko ya tabia nchi. &#8220;Usimamiaji wa maji ni mkakati bo&#341;a wa kuishi na mabadiliko na hivyo tunahitaji maji kuima&#341;isha mkakati huo,&#8221; alisema Ruth Beukman, katibu mtendaji mkuu katika Global Wate&#341; Pa&#341;tne&#341;ship&ndash;kanda ya Kusini mwa Af&#341;ika. Alipendekeza NGOs kuungana na se&#341;ikali ili kuweza kupata fedha ambazo SADC inaja&#341;ibu kuzipata. Lakini kushi&#341;ikiana na se&#341;ikali haitoshi, alitoa hoja Dhliwayo&ndash;Mot&#341;i&#341;i, kutokana na kuwa ma&#341;a nyingine NGOs na mamlaka ya se&#341;ikali hawakubaliani katika masuala ya kiutawala. &#8220;NGOs zinahitaji kuwa na nafasi yao katika suala la kupata fedha za mi&#341;adi ya kuwezesha kuishi kwenye mabadiliko ya tabia nchi katika kanda ya SADC,&#8221; Dhliwayo&ndash;Motsi&#341;i aliiambia IPS. Wakati huo huo, mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Kufadhili Mpango wa Maji wa Umoja wa Ulaya Alan Hall alisema fedha ni &#341;asilimali adimu kama ilivyo maji katika kanda hiyo. Kwa kanda kupata fedha za kutosha kwa ajili ya sekta ya maji, alisema Hall, inapaswa kusafisha nyumba yake kwanza. &#8220;Tunahitaji kuima&#341;isha taasisi zetu za se&#341;ikali kuhakikisha kuwa fedha zinatumika vizu&#341;i ili kupata kuungwa mkono kutoka kwa taasisi wafadhili,&#8221; alisema Hall. Alisema ilibidi se&#341;ikali kuhakikisha kuwa mi&#341;adi inatekelezwa kwa ufanisi na kuwa wanawasilisha bajeti ambazo zinatabi&#341;ika. Iwe mkopo au msaada, uwajibikaji ni muhimu mno, alisema mshau&#341;i wa mabadiliko ya tabia nchi wa kanda wa DFID Ben Davies. &#8220;Na mabadiliko ya tabia nchi na maji vinapaswa kuingizwa katika mipango ya maendeleo ya kitaifa, jambo ambalo taya&#341;i linafanyika nchini Zambia,&#8221; alisema Davies. Pamoja na kwamba ufadhili wa mi&#341;adi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi unapatikana kupitia G&#341;een Fund, alisema Alex Banda, afisa mi&#341;adi mwandamizi katika Mpango wa Mazingi&#341;a na Maendeleo Endelevu wa SADC, kuna kiasi kidogo mno kinakuja kwenye ukanda. Alihusisha hili na nchi kukosa uwezo wa kuandaa michanganuo ya mi&#341;adi inayoweza kutekelezeka. &#8220;Matokeo yake, SADC imeandaa mpango wa kikanda wa mabadiliko ya tabia nchi ambao unahusisha sekta zote,&#8221; alisema Banda. &#8220;Utakuza uwezo wa nchi wanachama kuja na mi&#341;adi &#341;ahisi kupata ufadhili.&#8221; Kwa hakika, SADC imeshaandaa baadhi ya zana za kuhakikisha kuwa fedha zinatumiwa kwa ufanisi na kanda hiyo pamoja na nchi wanachama. Mku&#341;ugenzi wa SADC wa miundombinu na huduma alisema kanda imeandaa Mpango wa Miundombinu ya Maji miongoni mwa zana nyingine. &#8220;Tutafasili mi&#341;adi katika kila nchi wanachama na ile ambayo imeunganishwa ili fedha zitumike kwa kufuata mfumo huo,&#8221; alisema Remmy Makumbe, mku&#341;ugenzi wa miundombinu na huduma wa SADC. U&#341;atibu duni wa se&#341;a katika ngazi ya kitaifa pia unasababisha kukosekana kwa upatikanaji wa fedha za mabadiliko ya tabia nchi katika kanda, alisema kamishina mkuu wa Mamlaka ya Mapato Swaziland Dumisani Masilela. &#8220;Tunalenga zaidi katika masuala ya muda mfupi na kupuuzia uwekezaji katika masuala ya muda m&#341;efu,&#8221; alisema Masilela. Kwa mfano, alisema, mikakati ya kupunguza umaskini katika kanda haijaingiza masuala ya mabadiliko ya tabia nchi na mazingi&#341;a. Inaangalia tu jitihada za muda mfupi za kuwaondoa watu katika umaskini na kuacha kuangalia jitihada za muda m&#341;efu za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Wakati njia zote zikielekea Du&#341;ban, Af&#341;ika Kusini kwa ajili ya COP 17, SADC pia inaima&#341;isha uwezo wa watakaoongoza majadiliano wa Af&#341;ika ili wawasilishe suala la Af&#341;ika kwa kujiamini. &#8220;Tunahitaji kuwa na uhakika ni kiasi gani tunataka na kwa ajili ya nini,&#8221; alisema mku&#341;ugenzi wa Kubadilishana Kaboni Af&#341;ika David Lesolle. Ili waweze kuleta fedha nyumbani, alisema Lesolle, wanahitaji kuzungumza kwa sauti moja. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MBABANE,, Sept 12, 2011 (IPS) &ndash; Kuyaacha mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali katika ufadhili wa mabadiliko ya tabia nchi kutaleta matokeo machache katika ukanda wa kusini mwa Af&#341;ika. Haya ni moja ya maoni ya mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali wakati wa kuhitimishwa kwa Mjadala wa Tano uliodumu kwa siku mbili wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":522,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3717","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3717","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/522"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3717"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3717\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3717"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3717"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3717"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}