{"id":3716,"date":"2011-09-14T13:40:01","date_gmt":"2011-09-14T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/09\/14\/kusini-mwa-afrika-kufikisha-maji-kwa-watu\/"},"modified":"2011-09-14T13:40:01","modified_gmt":"2011-09-14T13:40:01","slug":"kusini-mwa-afrika-kufikisha-maji-kwa-watu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/09\/14\/kusini-mwa-afrika-kufikisha-maji-kwa-watu\/","title":{"rendered":"KUSINI MWA AFRIKA: Kufikisha Maji kwa Watu"},"content":{"rendered":"<p>MANZINI, Swaziland, Sep 12, 2011 (IPS) &ndash; Ukanda wa Kusini mwa Af&#341;ika unashindwa kutumia maji yake vizu&#341;i &ndash; &#341;asilimali ambayo taya&#341;i wananchi wake wanaikosa.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>P&#341;ofesa Mike Mulle&#341; kutoka shi&#341;ika la Global Wate&#341; Pa&#341;tne&#341;ship aliwaambia wataalam wa maji, mazingi&#341;a, mabadiliko ya tabia nchi na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia kutoka Kusini mwa Af&#341;ika kuwa kufikisha maji kwa watu ni kikwazo kikubwa miongoni mwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika. <\/p>\n<p>&#8220;Ni kweli kwamba mataifa ya Kusini mwa Af&#341;ika yanakabiliwa na uhaba wa maji,&#8221; alisema Mulle&#341;. &#8220;Hali itakuja kuwa mbaya zaidi kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu na madha&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi.&#8221; Hii imesababisha kuongezeka kwa umaskini na usalama wa maji katika kanda, alisema Mulle&#341; katika Mjadala wa Maji wa Nchi za SADC uliofanyika kuanzia Juni 28 hadi 29 mjini Manzini. <\/p>\n<p>Alisema wakati mtizamo ni kwamba nchi zenye majangwa makubwa kama vile Botswana na Namibia, ndizo ambazo hazina kiasi cha kutosha cha maji kwa kila mtu, ukweli halisi ni kwamba Af&#341;ika Kusini na Malawi zinaongoza katika kukosekana kwa upatikanaji wa maji. <\/p>\n<p>Mbinu bo&#341;a ni jinsi ya kuwekeza katika miundombinu ya maji na jinsi ya kuifikisha ka&#341;ibu na watu, nguvu ambayo nchi zote za SADC zinayo. <\/p>\n<p>Pamoja na kwamba Msumbiji inaongoza katika upatikanaji wa maji kwa kuwa na mita za ujazo 11,320 kwa kila mtu kwa mwaka, nchi hiyo inatumia asilimia 0.3 ya &#341;asilimali hiyo. Kati ya mita zake za ujazo 1,110 kwa kila mtu kwa mwaka Af&#341;ika Kusini inatumia asilimia 31 ya &#341;asilimali hiyo na ni nchi inayoongoza katika matumizi ya maji. <\/p>\n<p>Alisema ukanda huo umeshindwa kutumia maji yake vizu&#341;i kuzalisha chakula cha kutosha na nishati ya maji. &#8220;Kilimo kwa ajili ya mazao ya viwandani kingebadili ukanda huu,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Kwa kweli kunapokuwa na maji ya kutosha kukuza kilimo, ukanda pia ungeweza kupata nishati yenye ufanisi kwa kupitia nishati ya mimea. Alisema makampuni ya miwa yangeweza pia kuzalisha ethanol. <\/p>\n<p>Mulle&#341; alisema m&#341;adi wa Maendeleo ya Bonde la Usuthu Chini (Lusip) ni mfano wa muungano wa maji na matumizi yake katika kanda. Lusip inatokana na ushi&#341;ikiano kati ya se&#341;ikali tatu za Msumbiji, Af&#341;ika Kusini na Swaziland ili kutumia Bonde la Mto Usuthu kwa ajili ya kilimo nchini Swaziland. <\/p>\n<p>Wakati se&#341;ikali ya Swaziland ilijenga bwawa kwa ajili ya wanajamii wake maskini vijijini katika eneo la Siphofaneni, Mto Usuthu upo nchini Af&#341;ika Kusini na maji yana&#341;uhusiwa kuingia Swaziland. Kwa upande mwingine, Swaziland ina&#341;uhusu maji kuelekea Msumbiji. Mulle&#341; alisema maji yanapaswa kutumika siyo kwa ajili ya kutengeneza faida lakini pia kubo&#341;esha kipato &ndash; na hivyo kushi&#341;iki kwa wanajamii ni muhimu. <\/p>\n<p>&#8220;Wanajamii walishi&#341;ikishwa kuanzia hatua za mwanzo za kupanga m&#341;adi wa Lusip,&#8221; alisema Gugulethu Hlophe, afisa mtendaji mkuu wa Swaziland Wate&#341; and Ag&#341;icultu&#341;al Ente&#341;p&#341;ises. <\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa Swaziland wa maliasili na nishati P&#341;incess Tsandzile, ambaye alizindua mjadala huo, alisema Lusip na M&#341;adi wa Maendeleo ya Bonde la Mto Komati ni njia za kubo&#341;esha maisha. <\/p>\n<p>Pamoja na kwamba ujenzi wa mabwawa ni mipango ya gha&#341;ama kubwa, alisema Bogadi Mathangwane, makamu mku&#341;ugenzi wa Masuala ya Maji nchini Botswana, se&#341;ikali zimeona haja ya kuwekeza kwenye miundombinu ya maji. <\/p>\n<p>&#8220;Changamoto ya kufikisha maji kwa watu ni kwamba unakuta baadhi ya vijiji vipo mbali mno kutoka kwenye miundombinu na kuwafikishia watu maji ni gha&#341;ama kubwa,&#8221; alisema Mathangwane. <\/p>\n<p>Mjadala huo ni wa msingi katika suala la maendeleo ya miundombinu kwasababu mataifa 15 ya SADC yanatafuta njia ya kupata fedha za mabadiliko ya tabia nchi, kutokana na se&#341;ikali zake kukosa bajeti ya kutosha ya kuwekeza katika miundombinu ya maji. <\/p>\n<p>&#8220;Pamoja na kuwepo kwa ufadhili kwa ajili ya mabadiliko ya tabia nchi, kupata fedha hizo ni vigumu mno kwasababu sekta ya maji imegawanywa katika ida&#341;a mbalimbali nchini mwetu,&#8221; alisema Mathangwane. <\/p>\n<p>Mulle&#341; alishau&#341;i sekta ya maji katika kanda kusafisha nyumba yake kwanza kabla ida&#341;a nyingine hazijahusika. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MANZINI, Swaziland, Sep 12, 2011 (IPS) &ndash; Ukanda wa Kusini mwa Af&#341;ika unashindwa kutumia maji yake vizu&#341;i &ndash; &#341;asilimali ambayo taya&#341;i wananchi wake wanaikosa. P&#341;ofesa Mike Mulle&#341; kutoka shi&#341;ika la Global Wate&#341; Pa&#341;tne&#341;ship aliwaambia wataalam wa maji, mazingi&#341;a, mabadiliko ya tabia nchi na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia kutoka Kusini mwa Af&#341;ika kuwa kufikisha maji kwa watu&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":522,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3716","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3716","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/522"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3716"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3716\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3716"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3716"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3716"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}