{"id":3715,"date":"2011-09-14T13:40:01","date_gmt":"2011-09-14T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/09\/14\/zimbabwe-kuvuna-maji-kwa-ajili-ya-usalama-wa-chakula\/"},"modified":"2011-09-14T13:40:01","modified_gmt":"2011-09-14T13:40:01","slug":"zimbabwe-kuvuna-maji-kwa-ajili-ya-usalama-wa-chakula","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/09\/14\/zimbabwe-kuvuna-maji-kwa-ajili-ya-usalama-wa-chakula\/","title":{"rendered":"ZIMBABWE: Kuvuna Maji kwa Ajili ya Usalama wa Chakula"},"content":{"rendered":"<p>GWANDA, Zimbabwe, Sep 12, 2011 (IPS) &ndash; Matuta ya udongo yaliyoenea katika shamba lake yanasaidia kuhifadhi maji ambayo Ca&#341;oline Ndlovu anayatumia kupanda mahindi, maboga, maha&#341;age na matikiti maji kwa muda m&#341;efu baada ya msimu wa mvua katika eneo hilo kame la Zimbabwe.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Ndlovu, mama wa watoto watatu ambaye anatoa elimu kwa wakulima wengine, ni mmoja kati ya wakulima wadogo zaidi ya 100 wanaotumia mbinu ya kuvuna maji ya mvua kwa kutumia matuta ya udongo. Maji yanayokusanywa katika shamba yanasaidia wakulima kupanda mazao, ambayo hayawezi kustawi kiu&#341;ahisi katika ukanda huo. <\/p>\n<p>Ka&#341;ibu miaka minne iliyopita Ndlovu alivuna kilo za mahindi 50 kutoka katika shamba lake la hekta 1.5, ambalo linapatikana katika eneo lenye mte&#341;emko. Kutokana na kuvuna maji, mavuno ya mahindi ya Ndlovu yameongezeka ma&#341;a nne na maji&#341;ani zake wanashangaa anachokifanya ambacho wao hawawezi. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa muda m&#341;efu nilikuwa na wasiwasi kuhusu mavuno duni kutokana na uhaba wa mvua hadi niliposikia suala la kuvuna maji,&#8221; Ndlovu aliiambia IPS akionyesha ghala la mahindi. &#8220;Uhaba wa mvua ulinifanya kupanda uwele na mtama pekee lakini mazao hayo hayakunifaa kwani sikuweza kuwinda ndege. Napanda mahindi na nimepata mazao mazu&#341;i kutokana na kutekeleza uvunaji wa maji ya mvua.&#8221; <\/p>\n<p>Si&#341;i ya kuvuna maji ya mvua ni kufanya kazi kwa bidii na kuvumilia, Ndlovu alibainisha. &#8220;Nafanya kazi kwa bidii na kutumia maa&#341;ifa ninayopata ya kulima kilimo cha matuta katika eneo zu&#341;i zaidi kuhakikisha linahifadhi maji baada ya mvua,&#8221; alisema Ndlovu. <\/p>\n<p>&#8220;Nimehamasisha wakulima wengine kuja&#341;ibu kuvuna maji na baadhi yao wanashangaa kama ninatumia t&#341;ekta wanapoona mavuno yangu wakati ukweli ni kwamba inatokana tu na kujifunza mbinu mpya na kuzitumia kwa usahihi.&#8221; <\/p>\n<p>Matuta ni teknolojia inayotumiwa na wakulima katika mashamba yenye mite&#341;emko ili kuvuna maji wakati wa mvua. Matuta, ambayo yana u&#341;efu kwenda chini wa sentimita 50 na upana wa mita 1, hulimwa kukatiza mte&#341;emko. Wakati wa mvua, yanazuia maji ambayo ta&#341;atibu yanasambazwa kwenye shamba kwa wiki kadhaa, na hivyo kufanya mazao kupata unyevu wakati unapoanza. <\/p>\n<p>Wakulima wamekabiliwa na changamoto ya kutokutumia zana za kuchimba matuta wala kuwa na wafanyakazi wanaotumika kutengeneza matuta. Kwa hiyo wakulima katika kijiji cha Sizhulube wanafanya kazi kwa pamoja kulima matuta. Wakati wanafamilia wazee au walemavu wanatunza watoto na kuandaa chakula. <\/p>\n<p>Katika eneo la Gwanda, kilomita 180 kaskazini mwa Bulawayo, kusini mwa nchi na ambalo linaonekana kama linalofaa kwa kilimo cha umwagiliaji kwani linapata mvua ya hadi milimita 400 tu za mvua kwa mwaka. Wakulima wamejifunza na kuvuna maji ya mvua ili kuzuia kipindi ki&#341;efu cha msimu wa ukame. <\/p>\n<p>Mkuu wa vijiji na m&#341;atibu wa kata katika m&#341;adi wa uvunaji mvua wa kijiji cha Sizhubane, Phineas Maphosa, alisema m&#341;adi huo umewezesha wakulima katika eneo hilo. Kufuatia wa&#341;sha ya mafunzo ya mwaka 2006, vikundi vya kiuchumi 15 vilibainishwa katika vijiji sita ambavyo vinaunda kata, ambavyo viliweka kipaumbele cha usalama wa chakula kwa kuvuna maji. <\/p>\n<p>&#8220;Mvua zetu hazieleweki na kila mwaka wakulima hawapati kitu mashambani mwao. Lakini kwa sasa tunaona utofauti katika mavuno,&#8221; alisema Maphosa. &#8220;Ninatumia njia ya kuvuna maji ya mvua na kutoa mafunzo kwa wakulima wengine kutumia kwasababu nimebo&#341;esha mavuno yangu baada ya njia hiyo.&#8221; <\/p>\n<p>Maphosa alisema hapo kabla wakulima walikuwa na wasiwasi na kuona uvivu kutumia mbinu hiyo. Lakini zia&#341;a za &#8216;kuangalia na kujifunza&#8217; zilitumika kuwahamasisha na baadhi yao sasa wanapanda maboga na maha&#341;age. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali la kimataifa la P&#341;actical Action limetoa mafunzo kwa wakulima jinsi ya kutumia mbinu za kuvuna maji ya mvua. <\/p>\n<p>Reckson Matenga&#341;ufu, mwezeshaji wa kijiji wa mpango wa P&#341;actical Action wa &#8216;Kuongeza Kipato na Usalama wa Chakula katika Maeneo Kame ya Matabeleland Kusini&#8217;, aliiambia IPS kuwa mbinu za kuvuna maji ya mvua ni uhakika dhidi ya kukosekana kwa uhakika wa kilimo kinachotegemea maji ya mvua katika mazingi&#341;a ya mabadiliko ya tabia nchi. P&#341;actical Action imetoa mafunzo kwa wakulima kutumia njia bo&#341;a za kilimo na huduma za ugani katika ngazi ya kijiji cha Gwanda. <\/p>\n<p>Kulingana na Mtandao wa Maji ya Mvua wa Kusini na Masha&#341;iki mwa Af&#341;ika (Sea&#341;Net) chini ya Wo&#341;ld Ag&#341;ofo&#341;est&#341;y Cent&#341;e mjini Kenya, mataifa mengi ya Kusini mwa Af&#341;ika kwa sasa yanatumia kwa faida asilimia tano ya maji ya mvua. Kwa kutambua na kuingiza maji ya kijani &mdash; maji yanayopuuzwa katika mipango ya kihaid&#341;olojia &mdash; inawezekana kubo&#341;esha usalama wa chakula wakati huo huo kukiwa na hifadhi ya mazingi&#341;a. <\/p>\n<p>&#8220;Kuna utegemezi mkubwa katika kilimo kinachotegemea mvua katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a na hakuna njia za kutosha za kushughulika na madha&#341;a ya ukame,&#8221; alisema Maimbo Malesu, m&#341;atibu wa usimamiaji wa maji wa Wo&#341;ld Ag&#341;ofo&#341;est&#341;y Cent&#341;e katika Masha&#341;iki mwa Af&#341;ika akiandika katika tovuti ya Sea&#341;Net. &#8220;Matokeo yake, mavuno ya nafaka yako chini ya tani moja kwa hekta katika maeneo mengi ya ukanda huo. Hii kwa bahati mbaya imehusishwa na kusababisha na uhaba wa maji. Lakini suala hilo ni la kiuchumi zaidi. Hali halisi ni kukosekana kwa uwekezaji kuvutia na kukuza uhifadhi wa maji.&#8221;  <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>GWANDA, Zimbabwe, Sep 12, 2011 (IPS) &ndash; Matuta ya udongo yaliyoenea katika shamba lake yanasaidia kuhifadhi maji ambayo Ca&#341;oline Ndlovu anayatumia kupanda mahindi, maboga, maha&#341;age na matikiti maji kwa muda m&#341;efu baada ya msimu wa mvua katika eneo hilo kame la Zimbabwe. Ndlovu, mama wa watoto watatu ambaye anatoa elimu kwa wakulima wengine, ni mmoja&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":698,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3715","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3715","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/698"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3715"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3715\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3715"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3715"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3715"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}