{"id":3713,"date":"2011-08-17T13:40:01","date_gmt":"2011-08-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/08\/17\/ivory-coast-kusaidia-biashaa-ndogo-muhimu-katika-kufufua-uchumi\/"},"modified":"2011-08-17T13:40:01","modified_gmt":"2011-08-17T13:40:01","slug":"ivory-coast-kusaidia-biashaa-ndogo-muhimu-katika-kufufua-uchumi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/08\/17\/ivory-coast-kusaidia-biashaa-ndogo-muhimu-katika-kufufua-uchumi\/","title":{"rendered":"IVORY COAST: Kusaidia Biasha&#341;a Ndogo Muhimu Katika Kufufua Uchumi"},"content":{"rendered":"<p>ABIDJAN, Agosti 16 (IPS) &ndash; Se&#341;ikali ya Ivo&#341;y Coast imeshaanza kulipa fidia kwa wafanyabiasha&#341;a wadogo na wa kati kutokana na uha&#341;ibifu uliosababishwa na mgogo&#341;o baada ya uchaguzi ili kufufua uchumi.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Se&#341;ikali ilitenga dola milioni 13 kwa ajili ya kazi hii Julai 15, kutokana na ukweli kwamba Ivo&#341;y Coast imejaa wafanyabiasha&#341;a wadogo na sekta isiyokuwa &#341;asmi, kulingana na Wiza&#341;a ya Fedha. Dola nyingine milioni 74 za kusaidia sekta hiyo zilizotolewa kwa mabenki nchini humo zilitangazwa siku chache baadaye na Wazi&#341;i wa Fedha Cha&#341;les Diby Koffi, ili ku&#341;uhusu taasisi za kifedha kusaidia wafanyabiasha&#341;a kwa kuwapatia mikopo.<\/p>\n<p>Wiza&#341;a inakadi&#341;ia kuwa mchango wa wafanyabiasha&#341;a wadogo na wa kati kwa pato la taifa unafikia asilimia 18;na kuchangia asilimia 23 ya aji&#341;a isiyokuwa &#341;asmi.<\/p>\n<p>Ushindi wa Alassane Ouatta&#341;a katika uchaguzi wa &#341;ais katika nchi hiyo ya Af&#341;ika Magha&#341;ibi Novemba 2010 ulipingwa na &#341;ais aliyemaliza muda wake, Lau&#341;ent Gbagbo; na hivyo kusababisha uhasama wa muda m&#341;efu ambao ulika&#341;ibia kusababisha vita kamili baada ya wafuasi wa Ouatta&#341;a chini ya Republic Fo&#341;ces of C&#038;oci&#341;c;te d&#8217;Ivoi&#341;e kuandamana kutoka eneo walilokuwa wakilishikilia la kaskazini ili kuuteka mji mkuu wa kiuchumi, Abidjan, Ap&#341;ili 2011.<\/p>\n<p>Ku&#341;ejesha uchumi <\/p>\n<p>&#8220;Kufufua uchumi ni moja ya vipaumbele vya se&#341;ikali. Ni vema kusaidia SMMEs na kuzuia siyo tu kufumuka kwa kiwango cha uhaba wa aji&#341;a, ambao taya&#341;i ni asilimia 25, lakini pia kuhamasisha wamiliki wa biasha&#341;a kuendesha shughuli zao,&#8221; anasema Michel Kon&eacute;, mkaguzi wa hesabu za se&#341;ikali katika Wiza&#341;a ya Fedha.<\/p>\n<p>Wafanyabiasha&#341;a kama Flo&#341;ent Am&eacute;d&eacute;e ni shabaha ya mpango huo.<\/p>\n<p>Akiandamana na wafanyakazi wake watatu, Am&eacute;d&eacute;e, 38, alianza kusafisha maduka yake mawili ya samani Jul. 17. Maduka hayo, katika wilaya ya kusini mwa Abidjan ya Ma&#341;co&#341;y, yalitelekezwa miezi mitatu iliyopita: bado maduka yameha&#341;ibiwa, na majengo yalijaa maji ya mvua.<\/p>\n<p>&#8220;Tutafungua tena maduka katika kipindi cha wiki tatu au nne zijazo. Hadi wakati huo bidhaa tulizoagiza kutoka Ulaya na Asia zitakuwa zimeshafika, tunataka ku&#341;ejesha duka letu,&#8221; aliilezea IPS.<\/p>\n<p>Kulingana na Am&eacute;d&eacute;e, biasha&#341;a yake inaaji&#341;i watu 32, miongoni mwao wafanyakazi wa mikataba ni watano. Kwa kuangalia uha&#341;ibifu uliosababishwa na upo&#341;aji mwishoni mwa Machi na Ap&#341;ili, anakadi&#341;ia kuwa alipata hasa&#341;a ya dola zipatazo 76,000.<\/p>\n<p>&#8220;Nililazimika kupunguza wafanyakazi bila kuwalipa hata senti mwishoni mwa mwezi Machi na tangu wakati huo hadi sasa hawajapata kitu. Kwa sasa kuna matumaini baada ya tangazo la se&#341;ikali, na tume&#341;ejea kuchukua nafasi yetu tukita&#341;ajia mambo yatakuwa mazu&#341;i,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Kwa upande wake, Ousmane Kama&#341;a, ana shauku ku&#341;ejea kazini. &#8220;Tunafanya kazi kulisha familia kubwa. Hivyo tunapokosa mshaha&#341;a kwa miezi miwili, inakuwa janga halisi,&#8221; anasema. Kama&#341;a anasaidia familia ya watu sita kwa kutumia mshaha&#341;a wake wa kila mwezi wa dola zipatazo 185.<\/p>\n<p>Katika kitongoji cha Cocody, masha&#341;iki mwa Abidjan, Sand&#341;ine Dagou, 43, alishuhudia duka lake kuu la wateja kujihudumia (supe&#341;ma&#341;ket)likiteketea kwa moto. Bidhaa zake kutoka nje katika wiki ya tatu ya mwezi Machi ikiwa ni pamoja na bidhaa katika makabati zilipo&#341;wa. Bidhaa zote zilikuwa na thamani ya dola zipatazo 22,000.<\/p>\n<p>&#8220;Wapo&#341;aji hawakuacha kitu kabisa hadi debe la dagaa walibeba. Kama unaona duka langu linafanya kazi sasa, ni kwa sehemu tu kutokana na kuchukua fedha kutoka katika akiba zangu,&#8221; Dagou aliiambia IPS. &#8220;Wafanyakazi wangu 13 wameteseka kwa kipindi cha miezi miwili. Nusu yao wamesha&#341;ejea kazini sasa. Kwa msaada wa se&#341;ikali, tutawekeza na kum&#341;ejesha kila mtu.&#8221;<\/p>\n<p>Katika kilele cha msuguano kati ya wafuasi waliokuwa wakimuunga mkono Gbagbo na wale waliokuwa wakimuunga mkono Ouatta&#341;a na vikosi vyake mwanzoni mwa Ap&#341;ili, biasha&#341;a nyingi, ikiwa ni pamoja na biasha&#341;a ya Am&eacute;d&eacute; na Dagou zilipo&#341;wa, na biasha&#341;a zipatazo hamsini zimefungwa, kulingana na Shi&#341;ikisho la Wafanyabiasha&#341;a la Ivo&#341;y Coast. Linakadi&#341;ia kuwa hasa&#341;a hiyo inafikia dola zipatazo milioni mbili.<\/p>\n<p>&#8220;Hasa&#341;a ni kubwa na itachukua mwaka au miwili kwa Ivo&#341;y Coast kuanza kukua,&#8221; anasema Issiaka Sanga&#341;&eacute;, mwanauchumi mjini Abidjan.<\/p>\n<p>Lakini alisema kuwa mpango wa kusaidia SMMEs unaweza kufanikiwa tu kama kuna uhakika wa usalama hata kwa kiwango cha chini. &#8220;Nchi lazima ku&#341;ejesha usalama. Kwa sasa tupo katika hali ambapo watu wengi wanabeba silaha na bado kuna kubughudhiwa na kutishiwa. Hali hii haihakikishii wafanyabiasha&#341;a na wajasi&#341;iamali usalama wao.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ABIDJAN, Agosti 16 (IPS) &ndash; Se&#341;ikali ya Ivo&#341;y Coast imeshaanza kulipa fidia kwa wafanyabiasha&#341;a wadogo na wa kati kutokana na uha&#341;ibifu uliosababishwa na mgogo&#341;o baada ya uchaguzi ili kufufua uchumi. Se&#341;ikali ilitenga dola milioni 13 kwa ajili ya kazi hii Julai 15, kutokana na ukweli kwamba Ivo&#341;y Coast imejaa wafanyabiasha&#341;a wadogo na sekta isiyokuwa &#341;asmi,&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":214,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3713","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3713","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/214"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3713"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3713\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3713"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3713"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3713"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}