{"id":3707,"date":"2011-08-17T13:40:01","date_gmt":"2011-08-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/08\/17\/kenya-watu-wanafaiki-dunia-kutokana-na-kukosekana-kwa-madawa-ya-usingizi\/"},"modified":"2011-08-17T13:40:01","modified_gmt":"2011-08-17T13:40:01","slug":"kenya-watu-wanafaiki-dunia-kutokana-na-kukosekana-kwa-madawa-ya-usingizi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/08\/17\/kenya-watu-wanafaiki-dunia-kutokana-na-kukosekana-kwa-madawa-ya-usingizi\/","title":{"rendered":"KENYA: Watu Wanafa&#341;iki Dunia Kutokana na Kukosekana kwa Madawa ya Usingizi"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Aug 16 (IPS) &ndash; Mtu mmoja hufa&#341;iki dunia kila wiki nchini Kenya kutokana na kukosekana kwa madawa ya usingizi na hali ni mbaya zaidi katika makazi duni na maeneo ya vijijini nchini humo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Katika maeneo kama ya Tu&#341;kana katika Bonde la Ufa, na majimbo ya Kaskazini Masha&#341;iki, Masha&#341;iki na Magha&#341;ibi watu wanastahimili upa&#341;esheni zenye maumivu makali bila kupatiwa dawa za ganzi. Hii ni kwa mujibu wa James Kamau, mwanaha&#341;akati wa vyama vya ki&#341;aia na mtendaji mkuu wa Kenya T&#341;eatment Access Movement, shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali nchini humo.<\/p>\n<p>Kamau anasema madawa ya usingizi yanapatikana tu mjini Nai&#341;obi na hospitali za kimajimbo.<\/p>\n<p>&#8220;Katika zia&#341;a zetu nchini kote Kenya, tumeshuhudia matukio ambapo vituo vingi vya afya vinafanyia watu ope&#341;esheni bila ya kutumia ganzi. Hivi, tunakubali watu, na hasa watoto wetu, wafanyiwe upasuaji bila ya kutumia ganzi &#8221; anauliza. <\/p>\n<p>Dk. F&#341;asia Ka&#341;ua wa Hospitali ya Watoto ya Ge&#341;t&#341;ude anakubaliana. Anasema amefanya utafiti wa kliniki nchini kote na kugundua kuwa uhaba wa madawa ya usingizi ni halisi na umeenea mno katika maeneo ya vijijini. Dk. Japheth Akwabi, makamu mwenyekti wa Chama cha Kliniki nchini Kenya, ambaye anafanya kazi katika hospitali Kuu ya Jimbo la Magha&#341;ibi, anaongeza &#8220;wagonjwa wengi wanafanyiwa upasuaji bila ya kuwepo kwa madawa muhimu.&#8221;<\/p>\n<p>Wataalam wote wawili na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia wanasema kuwa bajeti ndogo ya wiza&#341;a ya afya, &#341;ushwa na uki&#341;itimba vinahusika na hali hii. Dk. Willis Akhwale, mkuu wa udhibiti wa magonjwa katika wiza&#341;a ya afya, anatoa wito kwa makampuni ya kutengeneza madawa ya Af&#341;ika kuwa na jukumu kubwa katika soko la madawa la dunia.<\/p>\n<p>&#8220;Kuwa na madawa yanayotengenezwa ndani ya nchi hakutapunguza tu gha&#341;ama, lakini pia ku&#341;ahisisha muda unaotumika kununua madawa hayo kutibu ma&#341;adhi yote,&#8221; anasema. <\/p>\n<p>Akhwale anasema Kenya ina matukio mengi ya uhaba wa madawa, hasa kutokana na mchakato wa manunuzi wa kiuki&#341;itimba. &#8220;Ni aibu kuwa wananchi wengi wanafa&#341;iki kutokana na uhaba wa madawa ya msingi kama yale ya usingizi, ambayo hutumika wakati wa upasuaji,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Usambazaji wa Madawa la Kenya (KEMSA), shi&#341;ika la umma, lina kazi ya kupanga mipango, manunuzi na usambazaji wa madawa kwa vituo vyote vya afya vya umma nchini Kenya. Lakini anasema halina fedha za kutosha kununua madawa yote yanayohitajika nchini.<\/p>\n<p>&#8220;Pamoja na kwamba se&#341;ikali ilipatia wiza&#341;a ya afya jumla ya dola milioni 870 katika bajeti ya mwaka huu, madawa ya usingizi yamewekwa pamoja na madawa mengine katika kundi moja wakati dola zipatazo milioni 12 zilitengwa kununua ARVs, dola milioni mbili kwa ajili ya kununulia vifaa vya kisasa kwa ajili ya kupima kansa ya matiti na mfuko wa uzazi na dola milioni 79 kwa ajili ya chanjo,&#8221; anasema Dk. John Munyu, mtendaji mkuu wa KEMSA.<\/p>\n<p>Lakini anaongeza kuwa KEMSA imenunua mfumo wa mipango wenye thamani ya dola milioni 1.5 kubo&#341;esha ununuzi wa madawa muhimu na bidhaa za madawa. Pia utasaidia katika kufuatilia uhifadhi na usambazaji wa madawa yote ya binadamu na yale yasiyokuwa ya binadamu kwa zaidi ya hospitali 4,000 nchini. Lakini hii itatekelezwa tu ifikapo Septemba. <\/p>\n<p>P&#341;ofesa Anyang Nyongo, wazi&#341;i wa huduma za utabibu anasema se&#341;ikali inatambua hali hiyo na inatafuta fedha kutoka kwa wafadhili kununua madawa ya kutosha, ikiwa ni pamoja na madawa ya usingizi.<\/p>\n<p>Lakini wakati huo huo, wagonjwa wanaendelea kuvumilia maumivu makali.<\/p>\n<p>Wakati Cla&#341;e Anyango kutoka Magha&#341;ibi mwa Kenya alipovunja mkono alipelekwa katika kituo cha afya cha eneo lao kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji bila kutumia ganzi.<\/p>\n<p>&#8220;Ilikuwa kama ahela. Nilivumilia maumivu na kudhani labda dakta&#341;i angeyapunguza. Lakini alipoanza kunifanyia upasuaji, maumivu yaliongezeka ma&#341;a mbili na ilibidi niyavumilie kwa saa zima. Nisingekubali tena kufanyiwa zoezi kama hilo,&#8221; anasema Anyango. <\/p>\n<p>Dk. Gilch&#341;ist Lokoe&#341;, ambaye ni mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Tu&#341;kana, anasema hali ni mbaya zaidi wilayani Tu&#341;kana. <\/p>\n<p>&#8220;Wagonjwa wengi wanakuja kwetu kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji lakini kwa kiasi kikubwa, tunakosa mashine, gesi wala madawa ya kupulizia ili kuwafanya wagonjwa kupatwa na usingizi wakati wa upasuaji.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa upasuaji mdogo, kuondoa uvimbe au kutahi&#341;i wanaume, tunafanya wakati wagonjwa wakiwa wanaona. Kwa matukio makubwa zaidi, tunawapeleka misheni au hospitali kubwa ambazo zina vifaa bo&#341;a na madawa,&#8221; anasema Lokoe&#341;. <\/p>\n<p>Dk. Loise Mutai, mtaalam wa magonjwa ya moyo kwa watoto na mhadhi&#341;i wa Chuo Kikuju cha Nai&#341;obi alimfanyia upasuaji mtoto mjini Ke&#341;icho, kilomita 300 magha&#341;ibi mwa Nai&#341;obi, bila kutumia dawa ya usingizi mwezi Machi. <\/p>\n<p>&#8220;Nilikwenda wilayani Ke&#341;icho kupima moyo wa mtoto kama una matatizo kwa kutumia mashine yangu ya echo. Niligundua kuwa moyo wa mtoto ulikuwa na matatizo, ambayo yasingefaa kuachwa hata kwa siku nzima.<\/p>\n<p>&#8220;Nilishangazwa kukuta kuwa hakukuwa na madawa wala vifaa vya usingizi. Kwa kutumia mashine yangu ya echo, nilitumia utaalam wangu kumfanyia upasuaji mtoto bila ya kutumia dawa za usingizi. Mtoto alipona lakini nilimwonea hu&#341;uma kwani natambua maumivu aliyokuwa akiyapata. Tunapaswa kupatia hospitali zetu vifaa kuzuia hali kama hiyo isije ikajitokeza tena,&#8221; anasema. <\/p>\n<p>Anna Wangeci, ambaye anaishi katika kitongoji cha makazi duni cha Matha&#341;e mjini Nai&#341;obi, anasema alichanika wakati akijifungua mtoto wake na hivyo kuhitaji kushonwa. <\/p>\n<p>&#8220;Ilikuwa usiku na dakta&#341;i alinishona nikiwa naona. Maumivu yalikuwa makali mno kwani ilichukua dakika chache tu baada ya kujifungua,&#8221; anakumbuka.<\/p>\n<p>Dk. Wilbe&#341;fo&#341;ce Wanyanga kutoka Shi&#341;ika la Maendeleo ya Viwanda la Umoja wa Mataifa anatoa wito kwa se&#341;ikali za Af&#341;ika kutoa &#341;uzuku kwa makampuni ya madawa ya ndani ili kuya&#341;uhusu kuingiza bidhaa bila ya kutozwa kodi ya ongezeko la thamani. <\/p>\n<p>&#8220;Kenya ni maa&#341;ufu kwa makampuni ya madawa katika kanda na ni kejeli kuwa inaendelea kuagiza madawa ya usingizi ya kawaida kutoka nje. Inapaswa kukuza uwezo wa kutengeneza madawa hayo ndani ya nchi,&#8221; anasema.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Aug 16 (IPS) &ndash; Mtu mmoja hufa&#341;iki dunia kila wiki nchini Kenya kutokana na kukosekana kwa madawa ya usingizi na hali ni mbaya zaidi katika makazi duni na maeneo ya vijijini nchini humo. Katika maeneo kama ya Tu&#341;kana katika Bonde la Ufa, na majimbo ya Kaskazini Masha&#341;iki, Masha&#341;iki na Magha&#341;ibi watu wanastahimili upa&#341;esheni zenye&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":865,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3707","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3707","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/865"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3707"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3707\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3707"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3707"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3707"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}