{"id":3703,"date":"2011-08-01T13:40:01","date_gmt":"2011-08-01T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/08\/01\/sudan-kusini-nchi-imegawanyika-lakini-nini-kinachojitokeza-kwa-watu\/"},"modified":"2011-08-01T13:40:01","modified_gmt":"2011-08-01T13:40:01","slug":"sudan-kusini-nchi-imegawanyika-lakini-nini-kinachojitokeza-kwa-watu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/08\/01\/sudan-kusini-nchi-imegawanyika-lakini-nini-kinachojitokeza-kwa-watu\/","title":{"rendered":"SUDAN KUSINI: Nchi Imegawanyika &ndash; Lakini Nini Kinachojitokeza Kwa Watu"},"content":{"rendered":"<p>JUBA, Aug 1 (IPS) &ndash; Wakati Jamhu&#341;i ya Sudan Kusini ilipopata uhu&#341;u wake kutoka kaskazini, ilikuwa zaidi juu ya kujitenga kijiog&#341;afia. Familia katika Sudan Kusini na Sudan Kaskazini zingeweza kulazimishwa kujitenga kama nchi mbili tofauti na hivyo kuibua suala zima la u&#341;aia na nani anastahili kuishi upande gani.<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Nchini Sudan Kusini kuna &#341;aia wa kaskazini ambao maisha yao yote wameishi Kusini. Na katika kaskazini kuna Wasudan Kusini ambao wameishi huko kwa maisha yao yote. Lakini kwa kupatikana kwa uhu&#341;u wa kusini familia nyingi zinaweza kutakiwa kuondoka na ku&#341;ejea nyumbani kwao kwa asili.<\/p>\n<p>Pamoja na kuwa Jamhu&#341;i ya Sudan Kusini na Kaskazini bado haijakubaliana suala la u&#341;aia kufuatia kujitenga, Kusini inasema itatoa u&#341;aia kwa watu wa kaskazini kuishi katika upande wa kusini. <\/p>\n<p>&#8220;Wasudan wa Kaskazini ambao wanapenda kuendelea kukaa Kusini wata&#341;uhusiwa kufanya hivyo kama wataomba u&#341;aia kupitia ta&#341;atibu ambazo zitawekwa,&#8221; alisema wazi&#341;i wa haba&#341;i wa Sudan Kusini na ambaye ni msemaji wa se&#341;ikali, Ba&#341;naba Ma&#341;ila Benjamin.<\/p>\n<p>Hata hivyo, Sudan imeweka wazi kuwa Wasudan Kusini katika kaskazini watapoteza u&#341;aia wao nchini Sudan na kuwa &#8220;wageni&#8221; wa kaskazini.<\/p>\n<p>Lillian Rizik wa Mtandao wa Kuwapatia Uwezo Wanawake wa Sudan Kusini aliwataka viongozi wa pande zote kuwapatia u&#341;aia watu wanaoishi pande hizo. <\/p>\n<p>&#8220;Wanawake wataathi&#341;ika kwa kugawanyika kwa nchi hiyo. Kuna wanawake wa Sudan Kusini ambao wameolewa na wanaume wa kaskazini. Kama watapoteza u&#341;aia wao huko kaskazini nini kitajitokeza kwao  Je kuhusu watoto ambao wazazi wao wanatoka kaskazini na kusini, nini kitawapata &#8221; aliuliza.<\/p>\n<p>&#8220;Wakati kusini na kaskazini wanajadili masuala haya, wanatakiwa kuzingatia baadhi ya matatizo yetu sisi kama wanawake,&#8221; Rizik alisema.<\/p>\n<p>Mfanyabiasha&#341;a wa Sudan Kaskazini mjini Juba, Alsaniosi Abbbas, hakutaka ku&#341;ejea kaskazini, eneo ambalo aliondoka miongo kadhaa iliyopita. &#8220;Nimekuwa nikifanya biasha&#341;a katika Sudan Kusini kwa miaka 35 iliyopita. Ma&#341;afiki zangu wote wapo hapa kusini. Ningependa kubaki hapa kusini,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Lakini kama se&#341;ikali itatulazimisha kuondoka kusini tutaheshimu, lakini maisha hayatakwenda kama kawaida.&#8221; <\/p>\n<p>Wakati Wasudan Kusini wengi wanashe&#341;ehekea kuwa sasa wako hu&#341;u, kwa Wasudan kaskazini kujitenga ni mwanzo unaouma katika histo&#341;ia ya nchi yao. Ahmed Rahma, kiongozi wa kidini kutoka kaskazini, alishuhudia kutangazwa kwa uhu&#341;u mjini Juba hivi ka&#341;ibuni na kusema kujitenga ilikuwa &#8220;kama moja ya maeneo ya mwili wako kukatwa. Inauma sana.&#8221; <\/p>\n<p>Kwa Rais Oma&#341; Al&ndash;Bashi&#341; na chama chake cha National Cong&#341;ess Pa&#341;ty kujitenga kumedhoofisha mamlaka ya chama chake kwani analaumiwa kwa kukubali kujitenga kwa nchi. Wengi wanasema kuwa mustakabali wa kisiasa wa Al&ndash;Bashi&#341; upo hata&#341;ini. Hata hivyo, mmoja wa washau&#341;i wa ka&#341;ibu wa Al&ndash; Bashi&#341;, Ib&#341;ahim Ghandou&#341; alin alinukuliwa na vyombo vya haba&#341;i akisema kuwa Al&ndash;Bashi&#341; atabakia katika udhibiti kamili wa Sudan.<\/p>\n<p>&#8220;Sidhani kuwa msimamo wake utadhoofika. Watu wengi hapa (wa kaskazini mwa Sudan) wanaona kuwa kupoteza kusini ni suala jema,&#8221; alisema. &#8220;Rais Bashi&#341; ataondoka kama mtu aliyekomesha vita na kuleta amani kwa kusainiwa kwa Mkataba wa Amani na kuheshimu matakwa ya watu wa kusini.&#8221;<\/p>\n<p>Kisiasa madha&#341;a mengine ya kujitenga ni kwamba Sha&#341;ia inaweza kuima&#341;ishwa upande wa kaskazini. Kufuatia kutangazwa kwa uhu&#341;u wa Sudan Kusini, moja ya kazi za uongozi kaskazini ni kuandika katiba mpya. Al&ndash;Bashi&#341; alisema mwezi Juni katiba mpya itajikita katika she&#341;ia za Kiislam na kusisitiza kuwa hakutakuwa na amani kama kutakuwa na mwingiliano wa kidini na kitamaduni.<\/p>\n<p>Baada ya kupata uhu&#341;u wake Jamhu&#341;i ya Sudan Kusini sasa inakabiliwa na changamoto kadhaa na hizi ni pamoja na umaskini, kukosekana kwa miundombinu, uhasama na kaskazini na &#341;ushwa.<\/p>\n<p>Lakini Benjamin aliuambia mkutano katika ukumbi mjini Juba kuwa anaamini se&#341;ikali itakabiliana na changamoto hizo. &#8220;Changamoto ni nyingi kwetu lakini tuna imani kuwa zinatatulika. Tuna imani na watu waliopo nyuma yetu wataweza kuondokana na changamoto zinazotukabili.&#8221;<\/p>\n<p>Kiuchumi Sudan Kusini, ambayo ni taifa maskini zaidi duniani, itahitaji uwekezaji mkubwa kuwezesha kusonga mbele. Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, Riech Macha&#341; Teny, alisema kabla ya uhu&#341;u watendaji se&#341;ikalini waliokuwa wakifanya kazi kwa bidii kuvutia wawekezaji, pamoja na kukosekana kwa miundombinu na usalama katika baadhi ya maeneo.<\/p>\n<p>&#8220;Tunasafi&#341;i duniani kote kutafuta watu ambao wangeweza kuwekeza hapa ili tuweze kubadili su&#341;a ya Sudan Kusini,&#8221; alisema Teny.<\/p>\n<p>Ili hili liweze kujitokeza Sudan Kusini inapaswa kwanza kujenga mazingi&#341;a ya usalama katika upande wa she&#341;ia na usalama.<\/p>\n<p>Kwa sasa sababu kuu ya kukosekana kwa usalama ni upo&#341;aji wa ng&#8217;ombe. Katika jimbo la Jonglei watu 400 wameuawa tangu kuanza kwa mwaka kutokana na upo&#341;aji wa ng&#8217;oombe.<\/p>\n<p>Gab&#341;iel Duop Lam, wazi&#341;i wa she&#341;ia katika jimbo la Jonglie anasema Jonglei haiwezi kuhakikisha utekelezwaji wa she&#341;ia &#8220;kutokana na &#341;aia ambao wanamiliki silaha kuwazidi nguvu maafisa wa se&#341;ikali wa kutekeleza she&#341;ia.&#8221;<\/p>\n<p>James Ladu, mfanyakazi wa maendeleo mjini Juba alihitimisha kwa ufupi mustakabali wa nchi hiyo mpya. <\/p>\n<p>&#8220;Hali ya kukosekana usalama inajitokeza kutokana na kukosekana kwa ba&#341;aba&#341;a ambako kunazuia maofisa wa kutekeleza she&#341;ia kufika kiu&#341;ahisi maeneo yanayoathi&#341;ika ili kuhakikisha utekelezwaji wa she&#341;ia na am&#341;i,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa eneo hilo kuwa na uwekezaji, lazima kuwepo na usalama na ili kuwepo na usalama lazima kuwepo Ba&#341;aba&#341;a. Nadhani se&#341;ikali inapaswa kulenga katika miundombinu, miundombinu na miundobinu. Halafu mengine yote yatafuata.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JUBA, Aug 1 (IPS) &ndash; Wakati Jamhu&#341;i ya Sudan Kusini ilipopata uhu&#341;u wake kutoka kaskazini, ilikuwa zaidi juu ya kujitenga kijiog&#341;afia. Familia katika Sudan Kusini na Sudan Kaskazini zingeweza kulazimishwa kujitenga kama nchi mbili tofauti na hivyo kuibua suala zima la u&#341;aia na nani anastahili kuishi upande gani. Nchini Sudan Kusini kuna &#341;aia wa kaskazini&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":866,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3703","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3703","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/866"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3703"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3703\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3703"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3703"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3703"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}