{"id":3702,"date":"2011-08-01T13:40:01","date_gmt":"2011-08-01T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/08\/01\/angola-sheia-ya-unyanyasaji-majumbani-ni-hatua-ya-kupigania-haki-za-wanawake\/"},"modified":"2011-08-01T13:40:01","modified_gmt":"2011-08-01T13:40:01","slug":"angola-sheia-ya-unyanyasaji-majumbani-ni-hatua-ya-kupigania-haki-za-wanawake","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/08\/01\/angola-sheia-ya-unyanyasaji-majumbani-ni-hatua-ya-kupigania-haki-za-wanawake\/","title":{"rendered":"ANGOLA:: She&#341;ia ya Unyanyasaji Majumbani Ni Hatua ya Kupigania Haki za Wanawake"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Aug 1 (IPS) &ndash; Wanawake wanaonyanyaswa majumbani ambao wanategemea waume zao kifedha kwa sasa wanaweweza kutoa taa&#341;ifa za uhalifu huo huku wakihakikishiwa kuwa watapatiwa msaada wa kifedha na kitabibu kutoka se&#341;ikalini, hii ni kwa mujibu wa she&#341;ia mpya ya taifa hilo ya unyanyasaji wa majumbani.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati wa masuala ya wanawake wameka&#341;ibisha kuanzishwa kwa she&#341;ia hiyo mpya, ambayo ilitiwa saini kuwa she&#341;ia kamili Julai 8, na ambayo inafanya kuwa kosa la jinai unyanyasaji wa majumbani na kutaka kuwalinda wanafamilia wao.<\/p>\n<p>Hadi sasa unyanyasaji wa majumbani haujawahi kutambuliwa kama ni kosa na she&#341;ia za nchini Angola &ndash; na ni ma&#341;a chache masuala hayo yalifika mahakamani, na pale yalipofika huko yaliamuliwa chini ya makosa ya ubakaji, udhalilishaji na kushambulia mwili.<\/p>\n<p>She&#341;ia hiyo, ambayo ilisainiwa kuwa she&#341;ia kamili Jul. 8, inahakikishia waathi&#341;ika kupata msaada, kupatiwa nyumba salama, kupatiwa tiba na msaada wa kifedha na kishe&#341;ia. Kwa kuongeza, unyanyasaji umebainishwa kama &#8220;uhalifu wa umma&#8221;, ikiwa na maana kuwa mtu yoyote anaweza kutoa taa&#341;ifa za kosa hilo kwa polisi, siyo mwathi&#341;ika pekee.<\/p>\n<p>&#8220;Kupatia watu wengine haki ya kutoa taa&#341;ifa ya unyanyasaji wa majumbani pia kunasaidia waathi&#341;ika wanaoona aibu na ambao wanaweza kushindwa kuongea juu ya kile kilichojitokeza kwao,&#8221; Suzana Mendes, mha&#341;i&#341;i wa gazeti la kila wiki mjini Luanda la Angolense na mwanachama maa&#341;ufu wa &#8220;Angolan Fo&#341;um of Women Jou&#341;nalists&#8221;, jukwaa la wanawake ambalo limetetea kwa kiasi kikubwa kupatikana kwa she&#341;ia hiyo mpya, alisema.<\/p>\n<p>Ukweli kwamba kila mmoja anaweza kutoa taa&#341;ifa za unyanyasaji wa majumbani, na kwamba waathi&#341;ika watapatiwa msaada wa kifedha na kitabibu ni suala muhimu kwa she&#341;ia mpya kuwa na matokeo chanya, Mendes alisema. Hata hivyo, hakuna taa&#341;ifa za kina zimetolewa kuhusu kiasi cha fedha ambacho kitatolewa kwa waathi&#341;ika.<\/p>\n<p>&#8220;Kuna sababu nyingi mno zinazosababisha unyanyasaji wa majumbani,&#8221; alielezea.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa waathi&#341;ika wengi ambao walinaswa na mtego na ambao hawajaweza kutoa taa&#341;ifa ya matatizo yao kutokana na kuwa tegemezi kifedha kutoka kwa wanaowanyanyasa, kwa sasa, wanaweza kuwasiliana na polisi na wanajua kuwa hawataachwa wakiteseka,&#8221; Mendes alisema.<\/p>\n<p>She&#341;ia hiyo, ambayo imechukua baadhi ya miaka 10 kuandaliwa, inafasili mpya za unyanyasaji wa majumbani, ambazo ni pamoja na kuwanyima watoto chakula, kushindwa kumsaidia kikamilifu mama mjamzito na kumdhalilisha kingono mtoto au mtu mzima ambaye yupo chini ya uangalizi wako.<\/p>\n<p>&#8220;Hii ni haba&#341;i njema sana. Tumetumia miaka mingi kupambana na kupatikana kwa she&#341;ia hii na haikuwa &#341;ahisi.<\/p>\n<p>&#8220;Tuna kazi kubwa kuonyesha kwa jamii kuwa she&#341;ia ni muhimu, kuelezea unyanyasaji wa majumbani ni nini.<\/p>\n<p>Hapo awali baadhi ya watu waliona hili kama suala lisiloendana na mila na destu&#341;i za Af&#341;ika kutokana na kuingilia familia, na wengine waliona kama suala la kupingana na wanaume,&#8221; Mendes alisema. <\/p>\n<p>Suala la ndoa za kimila kwa watoto wa kike wa chini ya um&#341;i wa miaka 14 pia limeingizwa katika she&#341;ia na kuna she&#341;ia mpya kuhusu fedha za familia, kuwapatia wanawake haki zaidi ya u&#341;ithi na fedha za familia.<\/p>\n<p>Sizaltina Cutaia, kutoka ofisi ya Angola ya shi&#341;ika la &#8220;Open Society Initiative fo&#341; Southe&#341;n Af&#341;ica&#8221;, pia alika&#341;ibisha she&#341;ia hiyo. <\/p>\n<p>Lakini alisema hakuna uhakika kuwa ahadi zilizotolewa na she&#341;ia zitaungwa mkono kivitendo.<\/p>\n<p>&#8220;Kama taifa kwa ujumla hatuna &#341;ikodi nzu&#341;i sana katika suala la she&#341;ia na kuna mifano mingi mno ya kuunga mkono suala hilo,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Nadhani kuwa kupitishwa kwa she&#341;ia ni mwanzo mzu&#341;i mno lakini kunahitajika &#341;asilimali zilizotengwa kutoa mafunzo kwa maofisa wa polisi (wa kike na kiume) ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa umma, hasa wanawake na watoto wa kike, juu ya maudhui ya she&#341;ia na michakato ambayo mtu atatakiwa kufuata kutoa taa&#341;ifa ya unyanyasaji.&#8221;<\/p>\n<p>Hakuna takwimu za kutosha juu ya kiwango cha unyanyasaji wa kijinsia nchini Angola, hasa kutokana na kukosekana kwa fasili za kishe&#341;ia, na matukio mengi ambayo yana&#341;ipotiwa yame&#341;ikodiwa kama unyanyasaji wa kawaida.<\/p>\n<p>Hata hivyo, Cutaia alikubali kuwa unyanyasaji wa majumbani umeenea sana nchini Angola na kuwa na mata&#341;ajio kuwa she&#341;ia mpya na p&#341;og&#341;amu za elimu ya u&#341;aia zitaaza kupunguza hali hiyo.<\/p>\n<p>&#8220;Nilipokuwa nakua, unyanyasaji wa majumbani ulikuwa umenizunguka kila mahali na nakumbuka ji&#341;ani yangu ambaye alipigwa vibaya sana na mwanaunme aliyesimama ka&#341;ibu naye alisema kuwa ma&#341;a nyingine wanaume hupiga wanawake kuonyesha kuwa wanawapenda,&#8221; alikumbuka.<\/p>\n<p>Halafu akaongeza: &#8220;Unapokuwa kijana wa um&#341;i mdogo na kusikia taa&#341;ifa hizi, unaziamini. Na pia, kuna tabia ya waathi&#341;ika kuuliza wamefanya kosa gani, kama vile wamestahili kunyanyaswa kwa sababu yoyote ile.&#8221;<\/p>\n<p>Utafiti wa mwaka 2009 wa shi&#341;ika la &#8220;South Af&#341;ican Cent&#341;e fo&#341; the Study of Violence and Reconciliation&#8221; (CSVR) ulisema kuwa vita vilivyodumu kwa miongo mitatu nchini Angola, ambavyo vilimalizika mwaka 2002, vimeacha tabia za kupenda fujo miongoni mwa watu.<\/p>\n<p>Cutaia alisema matatizo mengi ya Angola yanaonekana kutokana na histo&#341;ia yake ya vita, lakini Mendes alidhani umaskini mkubwa ambao uliachwa na vita umeacha nyuma shinikizo kubwa kwa familia.<\/p>\n<p>&#8220;Unapoishi katika eneo ambalo halina maji, halina umeme na huna chakula, maisha ni magumu mno,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Familia nyingi zinaishi katika hali ya umaskini na ya msongamano huku zikiwa na nafasi ndogo mno ya kubu&#341;udika na hii inaweza kufanya maisha kuwa magumu mno na kufanya watu kuanza kuwa na hasi&#341;a.&#8221;<\/p>\n<p>Wakati akishangilia she&#341;ia mpya, Mendes anakubaliana na Cutaia kuwa huo ni mwanzo tu.<\/p>\n<p>&#8220;Sasa tuna she&#341;ia,&#8221; alisema. &#8220;Lakini ni hatua ya awali tu. Tunahitaji vyombo vya haba&#341;i na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia kufanya kampeni kubwa kuwaambia watu kuhusu she&#341;ia na haki zao.<\/p>\n<p>&#8220;Ni muhimu hili kufanyika nchi nzima na kuwa utangazaji wake utafsi&#341;iwe katika lugha zote, na wala siyo kuachwa katika lugha ya Ki&#341;eno pekee, kuhakikisha inafikia jamii nzima, siyo wale tu wanaoishi maeneo ya mjini, lakini pia watu wa vijijini.&#8221;<\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa wanawake na kuendeleza familia wa Angola, Genoveva Lino, ambaye aliendesha mapambano kupatikana kwa she&#341;ia ya kupiga vita unyanyasaji wa majumbani kwa miaka kadhaa, aliielezea she&#341;ia mpya kama &#8220;ushindi kwa Waangola wote&#8221; kwani &#8220;itasaidia kujenga familia zenye nguvu na tulivu.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Aug 1 (IPS) &ndash; Wanawake wanaonyanyaswa majumbani ambao wanategemea waume zao kifedha kwa sasa wanaweweza kutoa taa&#341;ifa za uhalifu huo huku wakihakikishiwa kuwa watapatiwa msaada wa kifedha na kitabibu kutoka se&#341;ikalini, hii ni kwa mujibu wa she&#341;ia mpya ya taifa hilo ya unyanyasaji wa majumbani. Wanaha&#341;akati wa masuala ya wanawake wameka&#341;ibisha kuanzishwa kwa she&#341;ia&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":507,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3702","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3702","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/507"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3702"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3702\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3702"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3702"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3702"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}