{"id":3701,"date":"2011-08-01T13:40:01","date_gmt":"2011-08-01T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/08\/01\/uganda-kutafuta-huduma-boa-za-tiba\/"},"modified":"2011-08-01T13:40:01","modified_gmt":"2011-08-01T13:40:01","slug":"uganda-kutafuta-huduma-boa-za-tiba","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/08\/01\/uganda-kutafuta-huduma-boa-za-tiba\/","title":{"rendered":"UGANDA: Kutafuta Huduma Bo&#341;a za Tiba"},"content":{"rendered":"<p>BUDUDUA, Aug 1 (IPS) &ndash; Hata kama huduma za afya za umma zinatolewa bu&#341;e, G&#341;ace Nafungo Kutosi haoni shida kutoa shilingi elfu mbili za Uganda anapotembelea Kliniki ya Beat&#341;ice Tie&#341;ney isiyokuwa ya se&#341;ikali katika kijiji cha Bumwalukani. Hakika, kulipia gha&#341;ama za kliniki, ambayo ni dakika 20 kwa kutembea kutoka nyumbani kwake, ni nafuu zaidi ya kusafi&#341;i kwenda kliniki ya ka&#341;ibu ya se&#341;ikali ambayo ipo tak&#341;ibani umbali wa kilomita saba.<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Tulikuwa tukiteseka mno. Hata kama unavumilia safa&#341;i ndefu ya kilomita saba kutoka nyumbani kwenda kituo cha afya cha se&#341;ikali, (kuna uwezekano kuwa) hutaweza kupata tiba. Kama unakuwa na bahati manesi watakupatia Panadol na kukutaka kuondoka kwenda kununua dawa ulizoandikiwa mahali pengine. Hapa unapata dawa zote,&#8221; Kutosi alisema.<\/p>\n<p>Huduma za afya za se&#341;ikali nchini Uganda zimekuwa bu&#341;e tangu mwaka 2001. Lakini wagonjwa katika kijiji cha Bumwalukani, katika wilaya ya Bududua baadhi ya kilomita 200 kutoka Kampala, wanalipia gha&#341;ama ndogo za kliniki binafsi kwani wanajua watapata huduma wanazotaka.<\/p>\n<p>&#8220;Unaweza kuja hapa unapokuwa mgonjwa na unakuwa na uhakika na kupata tiba kuliko kwenye hospitali za se&#341;ikali,&#8221; alisema Kutosi wakati akiwa anasubi&#341;i tiba pamoja na akina mama, watoto na wanaume. <\/p>\n<p>Kliniki ya Beat&#341;ice Tie&#341;ney ilianzishwa na shi&#341;ika la &#8220;Foundation fo&#341; Inte&#341;national Medical Relief fo&#341; Child&#341;en&#8221; kama eneo la huduma za watoto wagonjwa wanaosoma katika shule ya A&#341;lington Academy of Hope. Siyo tu kwamba inatoa huduma za afya kwa wanafunzi wa shule lakini pia kwa jamii inayozunguka eneo hilo. <\/p>\n<p>Wanakijiji wamekuwa wakifaidika na kuendelea kwa tiba kwa familia na hawajali kulipia gha&#341;ama ya elfu mbili kwa mtu mzima. Watoto wanatibiwa bu&#341;e. <\/p>\n<p>&#8220;Hizo siyo fedha nyingi, kwani unaweza kutumia zaidi ya hizo kama ukienda hospitali ya Bududa,&#8221; Kutosi alisema.<\/p>\n<p>Wakazi wa Bumwalukani pia wana bahati kwasababu kliniki ina dakta&#341;i wa kujitolea anayefanya kazi na manesi. Kliniki za se&#341;ikali ma&#341;a nyingi zinaendeshwa na manesi ambao hufanya kazi na ukunga. Pia ina wasaidizi wawili wa manesi na msaidizi wa afya. <\/p>\n<p>Wilson Mangoye, m&#341;atibu wa uenezi wa Bumwalukani, na mtumiaji wa kliniki wa ma&#341;a kwa ma&#341;a, anasema uwepo wa dakta&#341;i mtaalam umevutia wagonjwa kutoka wilaya za ji&#341;ani ambao wanatafuta huduma bo&#341;a za afya. <\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a nyingine tunawapatia wagonjwa &#341;ufaa kwenda hospitali kubwa kwani huko wanahakikishiwa madawa,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Sam Bulukwa, 43, alisafi&#341;i kilomita zipatazo 10 kutoka kata ya Bubiita ili kupata tiba.  <\/p>\n<p>Bulukwa alisema alifanya hivyo kwasababu huduma katika hospitali za se&#341;ikali zinasikitisha, hasa kwa maskini ambao hawawezi kutoa hongo kwa wafanyakazi wa afya. Huduma katika hospitali za se&#341;ikali zinapaswa kuwa bu&#341;e, lakini kwa kiasi kikubwa wafanyakazi wa afya huomba fedha kutoka kwa wagonjwa ambao wanahitaji huduma.<\/p>\n<p>&#8220;Wafanyakazi katika hospitali za se&#341;ikali hawana dhami&#341;a ya kutoa huduma; huwezi kuheshimiwa kama mgonjwa. <\/p>\n<p>Hata mfagiaji anaweza kukukemea lakini huwezi kusema kitu kwasababu hujui ni nani atakutibu,&#8221; alisema Bulukwa.<\/p>\n<p>Lakini pamoja na kutoza kiasi kidogo kutoka kwa wagonjwa, kliniki bado ina &#341;asilimali chache. <\/p>\n<p>Dk. Lisa Umph&#341;ey, dakta&#341;i mkazi anaishi katika nyumba ndogo akihudumia wagonjwa wake. Ni mtaalam wa magonjwa ya watoto kama vile mala&#341;ia, magonjwa ya kupumua kama neumonia, na utapiamlo, miongoni mwa mambo mengine. <\/p>\n<p>Umph&#341;ey alisema ni changamoto kutoa huduma zinazohitajika kwa wagonjwa katika kliniki yenye &#341;asilimali chache.<\/p>\n<p>&#8220;Hata kama tunatoa msaada, kuna wagonjwa wengi ambao wanahitaji huduma zetu. Hivyo tunalazimika kutafuta njia za kiubunifu kufikia wagonjwa wengi, na kutibu magonjwa mengi. Tunaja&#341;ibu kuelimisha na kufikia jumuiya kuzuia magonjwa kabla hayajafika kliniki,&#8221; alielezea Umph&#341;ey. <\/p>\n<p>Kliniki hiyo, kulingana na Umph&#341;ey, huhudumia kati ya wagonjwa 100 hadi 150 kwa siku. Anasema kuingiza p&#341;og&#341;amu za uenezi kwa jamii kuna faida kwasababu watu sasa wanaelewa magonjwa na jinsi ya kuyazuia. <\/p>\n<p>Katika siku za nyuma se&#341;ikali ilija&#341;ibu kuanzisha p&#341;og&#341;amu za uenezi lakini haijafanikiwa kutokana na kukosekana kwa fedha. <\/p>\n<p>Utoaji wa huduma za afya na miundombinu nchini Uganda zinapata ufadhili mdogo na kuwa na ubo&#341;a wa chini sana. <\/p>\n<p>Mfumo wa &#8216;kuchangia gha&#341;ama&#8217;, ambapo hospitali zilikuwa zikitoza watumiaji gha&#341;ama kulikomeshwa na se&#341;ikali kutokana na shinikizo kubwa kutoka kwa makundi ya wanaha&#341;akati na wanasiasa ambao walidhani ni gha&#341;ama kubwa mno kwa Waganda wengi ambao wanaishi chini ya dola moja kwa siku.<\/p>\n<p>Alipoulizwa kama kliniki haijakiuka se&#341;a ya se&#341;ikali kwa kuingiza gha&#341;ama za watumiaji Umph&#341;ey alielezea kuwa imefanyika kwa kushi&#341;ikiana na jumuiya.<\/p>\n<p>&#8220;Tulitumia huduma zetu za kuelimisha jumuiya nzima kuhusu wazo hilo kabla ya kuanza. Walilikubali kutokana na huduma na kuona kuwa wangeweza kuchangia pia,&#8221; alisema. Hata hivyo, kuna haja ya kuwa wawazi juu ya jinsi gani feddha zilitumika.<\/p>\n<p>&#8220;Mwisho wa kila mwezi tuna siku ya wazi ambapo tunawaambia wanajamii nini tumefanya kwa kutumia fdedha zao,&#8221; alisema. Fedha zinatumika kununulia madawa na kulipia usafi&#341;i wa wagonjwa katika vituo vingine vya afya. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BUDUDUA, Aug 1 (IPS) &ndash; Hata kama huduma za afya za umma zinatolewa bu&#341;e, G&#341;ace Nafungo Kutosi haoni shida kutoa shilingi elfu mbili za Uganda anapotembelea Kliniki ya Beat&#341;ice Tie&#341;ney isiyokuwa ya se&#341;ikali katika kijiji cha Bumwalukani. Hakika, kulipia gha&#341;ama za kliniki, ambayo ni dakika 20 kwa kutembea kutoka nyumbani kwake, ni nafuu zaidi ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":526,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3701","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3701","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/526"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3701"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3701\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3701"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3701"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3701"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}