{"id":3700,"date":"2011-08-01T13:40:01","date_gmt":"2011-08-01T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/08\/01\/uganda-thamani-ya-pogamu-ya-chanjo-2\/"},"modified":"2011-08-01T13:40:01","modified_gmt":"2011-08-01T13:40:01","slug":"uganda-thamani-ya-pogamu-ya-chanjo-2","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/08\/01\/uganda-thamani-ya-pogamu-ya-chanjo-2\/","title":{"rendered":"UGANDA: Thamani ya P&#341;og&#341;amu ya Chanjo"},"content":{"rendered":"<p>KAMPALA, Aug 1 (IPS) &ndash; GAVI, Umoja wa Chanjo Duniani, ulipata ahadi ya kupata dola bilioni 4.3 kutoka kwa wafadhili mjini London Jun. 13 kwa lengo la kupata fedha za kuhakikisha chanjo ya kuokoa maisha inatolewa kwa kila mtoto duniani.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Umoja huo, ambao unahusisha mashi&#341;ika ya kutoa misaada, makampuni ya madawa na se&#341;ikali za kitaifa, ulitaka kupata dola bilioni 3.7 kama ahadi ya kuongeza upatikanaji wa chanjo mpya na kwa chanjo isiyotumika vizu&#341;i duniani kote.<\/p>\n<p>Watoto wapatao milioni mbili katika nchi maskini zaidi duniani hufa kila mwaka kutokana na magonjwa ambayo yangezuilika kwa chanjo kama vile neumonia na kuha&#341;a. P&#341;og&#341;amu za GAVI taya&#341;i zimeshatoa chanjo kwa watoto wanaozidi &#341;obo milioni katika miaka 10 iliyopita, na kama ahadi kutoka mkutano wa London zitazingatiwa, fedha zita&#341;uhusu umoja kufikia watu milioni 243 ifikapo mwaka 2015.<\/p>\n<p>Kuingia katika zama za chanjo <\/p>\n<p>Kutokana na sehemu kubwa ya GAVI, muongo uliopita umekuwa na shauku jipya la kugundua chanjo dhidi ya magonjwa yanayoathi&#341;i watu maskini zaidi duniani, ikiwa ni pamoja na homa ya uti wa mgongo, neumonia na mala&#341;ia.<\/p>\n<p>Miongoni mwa mashi&#341;ika chini ya umoja ni Mala&#341;ia Vaccine Initiative (MVI), ambayo uwekezaji wake umesaidia kuanzishwa kwa msaada wa kuzuia moja ya magonjwa hata&#341;i sana duniani.<\/p>\n<p>Chanjo ya Mala&#341;ia ni njia ya muda m&#341;efu ya kuzuia maambukizi na inafanya kazi katika kutokomeza ugonjwa. Utokomezaji wa mala&#341;ia katika dunia iliyoendelea kama moja ya sababu ya kutengeneza chanjo ambayo hapo kabla ilipewa kipaumbele cha chini kutoka kwa makampuni makubwa ya madawa au taasisi za utafiti za se&#341;ikali.<\/p>\n<p>Kuingia kwa chanjo ya kwanza ya mala&#341;ia, kwa mfano, inaweza kuwa chini ya miaka mitano iliyopia &ndash; maja&#341;ibio ya mwisho yanaendelea kufanyika katika nchi saba.<\/p>\n<p>Hata hivyo kupata chanjo yenye ufanisi ni sehemu tu ya changamoto &ndash; na hatimaye kuingiza katika afya ya umma itahitaji mipango na utekelezaji makini.<\/p>\n<p>Histo&#341;ia ya hivi ka&#341;ibuni ya p&#341;og&#341;amu ya chanjo Af&#341;ika &ndash; kuanzia kwenye kuibuka upya kwa ugonjwa wa polio katika Af&#341;ika Magha&#341;ibi na ya Kati, na kuendelea kwa homa ya uti wa mgongo na neumonia kwa watoto wachanga &ndash; na kuwepo kwa ufumbuzi ambao umeshindwa kuwa na faida zilizota&#341;ajiwa. Kutokana na umaskini na vita, kampeni ya chanjo imegubikwa na miundombinu duni, wafanyakazi au fedha chache na hata upinzani mkali dhidi ya chanjo.<\/p>\n<p>Katika ba&#341;a zima, kuna hamasa mpya ya mahitaji ya kiutendaji ya kampeni zenye ufanisi za chanjo. Dk Se&#341;aphine Adibaku, mkuu wa p&#341;og&#341;amu ya kudhibiti mala&#341;ia nchini Uganda, anasema nchi yake taya&#341;i imeshaanza kuhamasisha kuja kwa chanjo ya mala&#341;ia, kwa mkutano wa hivi ka&#341;ibuni wa wakuu kutoka wiza&#341;a ya afya na watengenezaji wa chanjo na wadau wengine uliofanyika mwezi Mei.<\/p>\n<p>&#8220;Tuko makini kutokusababisha uchochezi unaoweza kusababisha madha&#341;a yasiyota&#341;ajiwa ;lakini inabidi kuwaeleza watu kuwa chanjo inaweza kufika hapa hivi ka&#341;ibuni,&#8221; anasema Adibaku.<\/p>\n<p>Uamuzi mpya <\/p>\n<p>Mkutano wa London wa kufadhili chanjo ni dalili muhimu kuwa thamani ya p&#341;og&#341;amu za chanjo zinaeleweka kwa wafadhili na se&#341;ikali inatafuta msaada.<\/p>\n<p>&#8220;Wakati GAVI ilipoanza, ilikuwa ni suala ambalo halijawahi kuja&#341;ibiwa hapo kabla,&#8221; anasema Dk Helen Saxenian, kutoka taasisi ya Results fo&#341; Development Institute.<\/p>\n<p>&#8220;Dhana ilikuwa ni kupunguza bei na baadhi ya nchi zingeweza kumudu chanjo bila kupatiwa msaada. GAVI iligundua ha&#341;aka kuwa bei zilikuwa hazishuki kwa kasi kiasi cha kutosha, na kugundua kuwa umoja huo ungehitaji kushi&#341;ikishwa kwa kutoa chanjo kwa njia ya punguzo kwa kipindi ki&#341;efu.&#8221;<\/p>\n<p>Wajibu wa pamoja kuongeza faida<\/p>\n<p>Anasema kuwa mahitaji ya ufadhili wa pamoja yamekuwa njia muhimu ya kujifunza kwa wote walioshi&#341;ikishwa. Imeima&#341;isha mipango ya wiza&#341;a za afya za kitaifa, mawasiliano kati ya wiza&#341;a za afya na zile za fedha ambazo ni lazima kutoa mgawo stahili na kutoa fedha kwa wakati kutokana na bajeti ya kitaifa, na kati ya nchi mbalimbali na Kitengo cha Usambazaji cha UNICEF, ambacho kwa kupitia hicho wapokeaji wote wa misaada ya GAVI ba&#341;ani Af&#341;ika wananunua chanjo kufikia mahitaji yao.<\/p>\n<p>Adibaku anasema kwa kuzingatia gha&#341;ama za Mala&#341;ia katika uchumi wa kitaifa, Uganda inapaswa kuchangia katika p&#341;og&#341;amu ya chanjo lakini kama inakuwa katika kiasi ambacho wamekuwa wakitumia katika ugonjwa huo.<\/p>\n<p>Pamoja na ahadi kutoka kwa sekta za umma na binafsi kusaidia chanjo, nchi zinazoendelea pia zilitoa tena ahadi zao za kutoa ufadhili wa pamoja mjini London, huku GAVI ikikadi&#341;ia mchango utafikia dola milioni 100 kwa mwaka ifikapo mwaka 2015.<\/p>\n<p>Nchi zinazoendelea zinaweza kuhitajika kutoa mchango mkubwa katika chanjo ya mala&#341;ia lakini hii inaweza kuwa ni uwekezaji wa thamani ikizingatiwa kiasi cha fedha uchumi unapoteza kutokana na ma&#341;adhi hayo.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KAMPALA, Aug 1 (IPS) &ndash; GAVI, Umoja wa Chanjo Duniani, ulipata ahadi ya kupata dola bilioni 4.3 kutoka kwa wafadhili mjini London Jun. 13 kwa lengo la kupata fedha za kuhakikisha chanjo ya kuokoa maisha inatolewa kwa kila mtoto duniani. Umoja huo, ambao unahusisha mashi&#341;ika ya kutoa misaada, makampuni ya madawa na se&#341;ikali za kitaifa,&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":863,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3700","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3700","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/863"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3700"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3700\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3700"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3700"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3700"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}