{"id":3698,"date":"2011-08-01T13:40:01","date_gmt":"2011-08-01T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/08\/01\/burkina-faso-msaada-mkubwa-kwa-wakulima-wadogo\/"},"modified":"2011-08-01T13:40:01","modified_gmt":"2011-08-01T13:40:01","slug":"burkina-faso-msaada-mkubwa-kwa-wakulima-wadogo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/08\/01\/burkina-faso-msaada-mkubwa-kwa-wakulima-wadogo\/","title":{"rendered":"BURKINA FASO: Msaada Mkubwa kwa Wakulima Wadogo"},"content":{"rendered":"<p>OUAGADOUGOU, Aug 1 (IPS) &ndash; Se&#341;ikali ya Bu&#341;kina Faso imewajibikia madai ya muda m&#341;efu ya wakulima kwa kuwasaiida wakulima wadogo kwa kuzindua &#8220;Ope&#341;esheni Plau 100,000 &#8220;. Wakuliamwadogo wanmasema mpango huu utaima&#341;isha usalama wa chakula nchini humo.<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Ope&#341;esheni hiyo inaka&#341;ibishwa na Conf&eacute;d&eacute;&#341;ation Paysanne du Faso,&#8221; a;lisema Bassiako Dao, ambaye ni &#341;ais wa shi&#341;ika kubwa zaidi nchini humo linaloshughulikia maslahi ya wakulima wadogo. &#8220;Kutokana na kwamba leo hii, matatizo yanaokabili sekta yetu ya kilimo ni kwamba haijapewa vifaa. Pembejeo zitatu&#341;uhusu kupunguza kwa kiasi kikubwa muda wa matumizi ya nguvu kazi unaohitajika.<\/p>\n<p>&#8220;Badala ya kuwa na watu watano wanaolima mwaka mzima katika hekta mbili tu, kwa jembe la kukokogtwa kwa wanyama, mtu mmoja tu ataweza kufanya kazi katika hekta mbili kwa sikmu nne, akiwa na uwezo wa kulima nusu hekta kwa siku. Wanne wengine watakuwa hu&#341;u kufanya mambo mengine,&#8221; Dao aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Ope&#341;eseheni hiyo, iliyozinduliwa mwezi Juni, utawezesha majembe ya kuokotwa na wanyama 20,000 kupatikana kwa watu maskini katika kaya za vijijiji katika kila mwaka kati ya miaka mitano ya mpango huo, na nusu ya majembe hayo yakipatiwa wanawake. Kwa mujubi wa Dao, majembe hayo yatakuwa na gha&#341;ama nafuu kutokana na &#341;uzuku ya asilimia 80 kutoka se&#341;ikalini.<\/p>\n<p>Upatikanaji wa vifaa hivyo unatofautiana mno nchini Bu&#341;kina Faso. Wiza&#341;a ya kilimo inasema kuwa nusu ya wakulima katika ukanda unaozalisha pamba nchini humo, kwa kiasi hupata vifaa vya kutosha, lakini maeneo mengine yanapata vifaa kwa asilimia moja u mbili tu.<\/p>\n<p>Kilimo ni muhimu <\/p>\n<p>Sekta ya kilimo inachangia asilimia 40 ya pato la taifa nchini Bu&#341;kina Faso na mamlaka yana matumaini kuwa ufadhili wa pembejeo za kilimo katika miaka mine ijayo, inaweza kusababisha wakulima ambao wanatumia vifaa vya kisasa nchini kote kutoka asilimia ya sasa 20 hadi asilimia 75 ifikapo mwaka 2015.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Wiza&#341;a ya Kilimo na Maji, majembe ya kukokotwa na ng&#8217;ombe ndiyo njia inayotumika zaidi nchini Bu&#341;kina, ambapo asilimia 30 ya kaya zinamiliki kwa uchache mnyama mmoja wa kukokota jembe; asilimia 30 kati ya kaya hizi pia zinamiliki kifaa cha kulimia na asilimai 20 zinamiliki mkokoteni wa kusukumwa na wanyama.<\/p>\n<p>Alf&#341;ed Sawadogo, mkuu wa shi&#341;ika lisilokuwa la ksie&#341;ikali la SOS Sahel, pia alika&#341;ibisha mpango ambao, anasema, unaja&#341;ibu kujibu madai ya mashi&#341;ika ya wakulima wadogo ya kubo&#341;e&#341;shwa kwa uzalishaji katika ngazi ya familia.<\/p>\n<p>&#8220;Ni lazima se&#341;ikali kusaidia mashamba ya kifamilia na kuwasaidia wanafamilia kubo&#341;esha na kuendesha uzalishaji wa kisasa. Katika upande wa magha&#341;ibi mwa nchi, upatikanaji wa a&#341;dhi una&#341;uhusu kilimo kwa familia kuongezeka na kufikia hadi hekta 50 kutoka hekta no hadi saba,&#8221; Sawadogo liiambia IPS.<\/p>\n<p>Wakulima pia wanasema kulima kwa jembe la kukokotwa na wanyama kuna&#341;uhusu a&#341;dhi kunyonya vizu&#341;i maji, kuhifadhi unyevu kwa muda m&#341;efu kuliko jembe la mkono, ambalo ncnhini Bu&#341;kina Faso hujulikana kama daba. Sawadogo pia anaelezea kuwa wanyama wanatoa mbolea za asili kwa njia ya samadi.<\/p>\n<p>&#8220;Hii ndiyo sababu p&#341;og&#341;am ya kilimo inavutia, kutokana na kwamba ita&#341;uhusu kilimo kujiendeelza chenyewe,&#8221; anasema Dao.<\/p>\n<p>Wanawake, ambao ndiyo wengi kati ya nguvukazi inayotumika katika kilimo watapewa njusu ya majembe hayo. &#8220;Watalima zaidi kuliko hali ya kawaida ya kulima &#341;obo hekta &ndash; wataweza kulima hekta hadi nne,&#8221; anasema Dao. &#8220;Wanawake wanaoonekana wameinama, wakilima katika shamba huku watoto wao wakiwa mgongoni; hali hiyo itamalizika kutokana na mpango huu.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Tumeusubi&#341;i opa&#341;eseheni hii kukuza kilimo chetu kwa muda m&#341;efu, kwani kwa kutumia daba, hatukuweza kufanya vizu&#341;i. Zaidi ya asilimia 70 ya wazalishaji wanatumia jembe la mkono, anasema Nimbnoma Sawadogo, &#341;ais wa Chama cha Kilimo cha Kikanda nchini Bu&#341;kina Faso.<\/p>\n<p>Usalama wa chakula <\/p>\n<p>Katika mkutano wa G20 uliofanyika Juni iliyopita, &#341;ais wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Kanayo Nwanze, alionya kuwa kupuuza wakulima wadogo kunaongezxa hata&#341;i ya kosekana kwa usalama wa chakula na kutokutulia kwa bei ya vyakula.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa IFAD, kuongezeka kwa sasa kwa bei ya chakula kumesukumiza watu milioni 44 katika umaskini duniani kote, na hivyo kujenga hakli mpya na inayozidi kuongezeka.<\/p>\n<p>Tangu kufanyiuka kwa maadnamano ya kupinga gha&#341;ama kubwa za maisha nchini humo mwaka 2008, se&#341;ikali imeshatoa dola zipatazo milioni 15.7 kusaidia wakulima kwa kupitia pembejeo za kilimo.<\/p>\n<p>Uwekezaji huo unakwenda sanja&#341;i na wazo kuwa kilimo ni uwekezaji muhimu:kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, ukuaji wa GDP kutokana na kilimo unaleta mafanikio ya kupunguza umaskini ma&#341;a mbili zaidi ya ukuaji wa sekta nyingine.<\/p>\n<p>&#8220;Inabidi kuhamasisha mpango huu ambao utafaidisha familia. Kwa upande mwingine, tunapingana na wale wenye fedha nyingi, na kununua hekta 150 na mat&#341;ekta makubwa halafu kukata miti yote na kupanda katika a&#341;dhi pamba na mahindi,&#8221; anasema Sawadogo wa SOS Sahel, ambaye anapingana na mamlaka kuhamasisha kilimo cha biasha&#341;a katika miaka ya ka&#341;ibuni.<\/p>\n<p>&#8220;Ni aina mbaya ya kilimo ambayo ianaha&#341;ibu mazingi&#341;a yetu na a&#341;dhi ambayo haiwezi kuhimili kilimo cha kutumia t&#341;ekta kwa muda mf&#341;efu. Kama hakuna msaada wa kutosha wa kutumia mbolea za asili za wanyama ku&#341;utubisha a&#341;dhi, mat&#341;ekta yatabadili a&#341;dhi yetu na kuwa mchanga,&#8221; alionya Sawadogo. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>OUAGADOUGOU, Aug 1 (IPS) &ndash; Se&#341;ikali ya Bu&#341;kina Faso imewajibikia madai ya muda m&#341;efu ya wakulima kwa kuwasaiida wakulima wadogo kwa kuzindua &#8220;Ope&#341;esheni Plau 100,000 &#8220;. Wakuliamwadogo wanmasema mpango huu utaima&#341;isha usalama wa chakula nchini humo. &#8220;Ope&#341;esheni hiyo inaka&#341;ibishwa na Conf&eacute;d&eacute;&#341;ation Paysanne du Faso,&#8221; a;lisema Bassiako Dao, ambaye ni &#341;ais wa shi&#341;ika kubwa zaidi nchini&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":7,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3698","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3698","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/7"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3698"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3698\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3698"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3698"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3698"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}