{"id":3697,"date":"2011-08-01T13:40:01","date_gmt":"2011-08-01T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/08\/01\/afrika-mashariki-mamilioni-wakodolea-macho-kifo-kutokana-na-ukame\/"},"modified":"2011-08-01T13:40:01","modified_gmt":"2011-08-01T13:40:01","slug":"afrika-mashariki-mamilioni-wakodolea-macho-kifo-kutokana-na-ukame","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/08\/01\/afrika-mashariki-mamilioni-wakodolea-macho-kifo-kutokana-na-ukame\/","title":{"rendered":"AFRIKA MASHARIKI: Mamilioni Wakodolea Macho Kifo Kutokana na Ukame"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Aug 1 (IPS) &ndash; Wakati Kenya ikijitahidi kukabiliana na kumiminika kwa wakimbizi wanaokimbia ukame nchini Somalia, inakadi&#341;iwa kuwa watu wapatao 1,300 wanaingia kila siku katika kambi ya wakimbizi ya Dadaab, wakati nchi hiyo ikikabiliwa na mgogo&#341;o wake wa utapiamlo na njaa.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Inachukua wastani wa siku tisa katika jua kali la nyuzijoto 50 kwa Wasomali kukimbia ukame kutoka nchini mwao kwa kusafi&#341;i kilomita 80 katika mchanga, jangwa ambalo linaigawa Dadaab kwa upande wa Kaskazini mwa Kenya kutoka Somalia. <\/p>\n<p>Safa&#341;i kwenda Dadaab ni ngumu, na inafanywa kuwa hata&#341;i zaidi kutokana na kupitia katika majimbo yasiyokuwa na utawala wa she&#341;ia ambapo majambazi wenye silaha na hata polisi wanawanyanyasa wakimbizi.<\/p>\n<p>Na wale wanaoweza kupona katika safa&#341;i na hatimaye kufika Dadaab, wanajikuta wakishuhudia kuwa mazingi&#341;a ya kambi hiyo yako mbali kufikia mahali salama walipopata&#341;ajia.<\/p>\n<p>Nchini Kenya wastani wa watu milioni tano nchini kote wanakabiliwa na njaa kutokana na ukame, kulingana na Abbas Gullet, katibu mkuu wa Shi&#341;ika la Msalaba Mwekundu la Kenya.<\/p>\n<p>Katika eneo la kaskazini mwa Kenya, jumuiya ya Watu&#341;kana inakabiliwa na njaa, kama ilivyo kwa wakimbizi katika kambi ya Dadaab. <\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF), miongoni mwa wakazi wapatao 850,000 wa Tu&#341;kana, zaidi ya watoto 385,000 na wanawake wenye mimba na wanaonyenyesha 90,000 wanaishi na utapiamlo. Hii imeongeza idadi ya watoto wapya wanaolazwa kutokana na utapiamlo kufikia asilimia 78.<\/p>\n<p>&#8220;Hii ni hali ngumu mno, katika ukanda mzima (wa Pembe ya Af&#341;ika) zaidi ya watu milioni 10 wameathi&#341;ika. Kati ya hao, milioni mbili ni watoto ambao wameathi&#341;ika vibaya sana na nusu milioni kati yao wakiugua utapiamlo mkali na wengi wao wanakabiliwa na kifo,&#8221; mku&#341;ugenzi mtendaji wa UNICEF, Anthony Lake, anasema. <\/p>\n<p>Hii inajitokeza chini ya miezi kumi baada ya Rais wa Kenya Mwai Kibaki kutangaza ukame kama janga la taifa kwani maisha ya watu huko Moyale, Tu&#341;kana, Waji&#341;, Ma&#341;sabit na Mande&#341;a yananing&#8217;inia kutokana na kukosa chakula na maji.<\/p>\n<p>&#8220;Katika zia&#341;a yangu ya Tu&#341;kana, moja ya mikoa iliyokumbwa na ukame, niliona mama akiweka unga wa ka&#341;anga mdomoni mwake ili kuulainisha kabla ya kuuchanganya na nafaka ili kuingiza mdomoni mwa mtoto kutokana na uhaba wa maji. Huu ni mgogo&#341;o mkubwa,&#8221; anasema Lake. Alikuwa akiongea katika mkutano na waandishi wa haba&#341;i mjini Nai&#341;obi Jul. 17.<\/p>\n<p>Wiza&#341;a ya mipango maalum na Shi&#341;ika la Msalaba Mwekundu la Kenya wamekuwa wakigawa msaada wa chakula kwa wale walioathi&#341;ika zaidi na ukame, lakini kwa kuwasili kwa idadi kubwa ya wakimbizi, wakazi wanasema kuwa mwelekeo wa msaada umehamia Dadaab.<\/p>\n<p>&#8220;Huu ni wakati mgumu kwa wakimbizi na jumuiya zinazowapokea ambazo zinakabiliwa na shida kama yao, na hali itazidi kuwa mbaya kwasababu mvua zimeendelea kushindwa kunyesha,&#8221; anaelezea Fatima Billow, mfanyakazi wa jamii huko Mande&#341;a, Kaskazini mwa Kenya, ambako ni ka&#341;ibu na Dadaab.<\/p>\n<p>Wakimbizi ambao wanashindwa kuvumilia joto kali na ukosefu wa maji wakielekea Dadaab wanazikwa siyo mbali na kambi hiyo, katika makambu&#341;i yasiyokuwa ya kudumu. Makabu&#341;i hayo yanakumbusha wale ambao bado wako hai kuwa kama hali haitabo&#341;eshwa, vifo vinaweza kuwakumba muda siyo m&#341;efu.<\/p>\n<p>&#8220;Kambi ya Dadaab kaskazini mwa Kenya ilijengwa kuhifadhi wakimbizi 90,000, idadi sasa imefika 423,000 na inazidi kuongezeka, huku vibanda vya muda 50,000 vikijengwa katika eneo hilo la wakimbizi,&#8221; kinaelezea chanzo cha haba&#341;i katika Shi&#341;ika la Msalaba Mwekundu la Kenya.<\/p>\n<p>Kambi hiyo ilitangazwa &#341;asmi kuwa kambi ya wakimbizi mwaka 2008.<\/p>\n<p>Na hiyo siyo haba&#341;i nzima.<\/p>\n<p>&#8220;Wakimbizi zaidi wako njiani,&#8221; anasema nesi wa Shi&#341;ika la Madakta&#341;i Wasiokuwa na Mipaka, Nenna A&#341;nold. &#8220;Taya&#341;i hali inaka&#341;ibia katika ngazi ya kupasuka, lakini takwimu zinaendelea kuongezeka. Hali hii ni dha&#341;ula ya kibinadamu.&#8221; <\/p>\n<p>Wakati watu wengi zaidi wakisongamana katika kambi tatu ambazo ni sehemu ya kambi ya wakimbizi ya Dadaab, upatikanaji wa huduma za msingi kama vile maji, chakula na vyoo hautoshi kukidhi mahitaji ya idadi ya wakimbizi wanaoishi hapo.<\/p>\n<p>Wakizungumza baada ya zia&#341;a katika maeneo yaliyokumbwa na ukame nchini Kenya, And&#341;ew Mitchell, wazi&#341;i wa mambo ya nje anayeshughulikia maendeleo ya kimataifa nchini Uinge&#341;eza, anasema kuwa mamilioni ya watu wanakikodolea macho kifo kutokana na Pembe ya Af&#341;ika kukabiliwa na mgogo&#341;o mkubwa wa kibinadamu duniani. <\/p>\n<p>UNICEF inathibitisha kuwa mmoja katika kila Wasomali watatu anaishi katika janga la kibinadamu. Wasomali wameishi katika mgogo&#341;o wa kisiasa na kijamii kwa muda m&#341;efu upatao miaka 20, ambao umesababisha kuenea kwa umaskini, kukosekana kwa usalama wa chakula na kukosekana kwa utulivu. <\/p>\n<p>Hali nchini Somalia imejipenyeza katika nchi ji&#341;ani, hasa nchini Kenya na Ethiopia, ambazo pia zinakabiliwa na mamilioni ya watu ambao wanahitaji msaada wa ha&#341;aka wa chakula na maji.<\/p>\n<p>Hii imesababisha kuibuka kwa uadui kutoka kwa jumuiya zinazopokea wakimbizi ambao hudhani kuwa wakimbizi wanashindana nao kupata msaada mdogo wa chakula.<\/p>\n<p>&#8220;Jumuiya zinazopokea wakimbizi sasa zinaonyesha kuchanganyikiwa kwa kile wanaochikiona kama kutelekezwa na se&#341;ikali na mashi&#341;ika ya misaada yanayokimbilia kuokoa wakimbizi,&#8221; anaelezea Lake.<\/p>\n<p>&#8220;Wenyeji wanashangaa ni kwa nini kuna kipaumbele zaidi kusaidia wakimbizi wakati watu wetu huko Tu&#341;kana,Waji&#341;, Mande&#341;a, Ma&#341;sabit na mikoa mingine wanateseka na hali kama hiyo,&#8221; anashangaa Mohammed Abdi, mfanyabiasha&#341;a wa ng&#8217;ombe ambaye anahesabu hasa&#341;a kwani mifugo yake mingi imeshakufa kutokana na ukame. <\/p>\n<p>&#8220;Tunafahamu wakimbizi wanahitaji msaada. Lakini sisi wa kaskazini mwa Kenya hatuna hali nzu&#341;i. Tunaona kutelekezwa, nani analisha wageni wakati nyumbani kwake watoto wake wanateseka na njaa &#8221; anauliza Abdi. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Aug 1 (IPS) &ndash; Wakati Kenya ikijitahidi kukabiliana na kumiminika kwa wakimbizi wanaokimbia ukame nchini Somalia, inakadi&#341;iwa kuwa watu wapatao 1,300 wanaingia kila siku katika kambi ya wakimbizi ya Dadaab, wakati nchi hiyo ikikabiliwa na mgogo&#341;o wake wa utapiamlo na njaa. Inachukua wastani wa siku tisa katika jua kali la nyuzijoto 50 kwa Wasomali&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":720,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3697","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3697","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/720"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3697"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3697\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3697"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3697"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3697"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}