{"id":3694,"date":"2011-08-01T13:40:01","date_gmt":"2011-08-01T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/08\/01\/somalia-kujitolea-maisha-kuokoa-wahanga-wa-ukame\/"},"modified":"2011-08-01T13:40:01","modified_gmt":"2011-08-01T13:40:01","slug":"somalia-kujitolea-maisha-kuokoa-wahanga-wa-ukame","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/08\/01\/somalia-kujitolea-maisha-kuokoa-wahanga-wa-ukame\/","title":{"rendered":"SOMALIA: Kujitolea Maisha Kuokoa Wahanga wa Ukame"},"content":{"rendered":"<p>Mogadishu, Aug 1 (IPS) &ndash; Makumi kwa maelfu ya Wasomali wanaokabiliwa na njaa wamekimbilia katika eneo linaloshikiliwa na se&#341;ikali la Mogadishu wakitafuta chakula, lakini wazazi wengi wamechukua uamuzi unaouma wa kuacha watoto wao nyuma ambao wamedhoofu sana wakiwa na mata&#341;ajio ya kuokoa wengine wenye nguvu.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wengi katika eneo la kusini wanayaacha makazi yao na kukimbilia katika mji mkuu kutafuta misaada katika eneo linaloendeshwa na se&#341;ikali la Mogadishu, huku kukiwa na taa&#341;ifa za wanaozidi kuwa dhaifu na kufa&#341;iki jiani. Hata kuna haba&#341;i za watoto wanaoachwa nyuma kwasababu ni dhaifu mno kuweza kusonga mbele.<\/p>\n<p>Huku ni &#8220;kujitolea maisha&#8221; kwani familia nyingi inabidi kuwaacha ili kuokoa watoto wengine.<\/p>\n<p>&#8220;Baadhi wametuambia kuwa baadhi ya watu wazima walianguka na kufa&#341;iki, wakati watoto wameshindwa kutembea, na katika kukabiliana na kifo, waliachwa nyuma kuokoa wale ambao wana nafasi ya kufika wanakokwenda,&#8221; alisema Mohamed Di&#341;iye, ofisa mwandamizi katika kundi la kusaidia walioathi&#341;ika na ukame mjini Mogadishu.<\/p>\n<p>Di&#341;iye aliongeza kuwa watu wengi waliokimbia makazi walifika salama mjini Mogadishu na katika makambi ya wakimbizi katika nchi ji&#341;ani za Kenya na Ethiopia.<\/p>\n<p>Hii inakuja wakati Umoja wa Mataifa umetangaza njaa katika mikoa miwili ya kusini mwa Somalia, kusini mwa Bakool na Shabelle Chini. Umoja wa Mataifa unakadi&#341;ia kuwa watu wapatao milioni 2.8 wako eneo la kusini lakini anaongeza kuwa ka&#341;ibu nusu ya wakazi wa Somalia wanakabiliwa na mgogo&#341;o wa kibinadamu.<\/p>\n<p>Somalia ni kitovu cha ukame wa muda m&#341;efu ambao kwa mwaka mmoja na nusu uliopita, umeikumba Pembe ya Af&#341;ika. Ukame huo, ambao pia umeathi&#341;i maeneo ya Djibouti, Ethiopia na Kenya, ulielezewa na mashi&#341;ika ya kibinadamu kama mbaya kuwahi kutokea katika kipindi cha miongo sita. Kamishina wa Shi&#341;ika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa, Antonio Gute&#341;&#341;es, alisema wakati wa kutembelea kambi ya wakimbizi ya Dadaab ka&#341;ibu na mpakani mwa Kenya na Somalia kuwa ukame uliokuwa &#8220;mgogo&#341;o mbaya zaidi wa kibinadamu&#8221;.<\/p>\n<p>Hadi sasa, haijawezekana kwa wafanyakazi wa misaada ya kigeni kufanya kazi kusini mwa Somalia kwani waasi wa Kiislam, Al&ndash;Shabaab, ambao wanadhibiti sehemu kubwa ya kusini, walipiga ma&#341;ufuku mashi&#341;ika ya misaada yanayofanya kazi katika mikoa wanayodhibiti mwaka 2009.<\/p>\n<p>Kundi hilo la waasi ni hivi ka&#341;ibuni tu limetangaza kuwa litaondoa ma&#341;ufuku hiyo ili ku&#341;uhusu misaada kwa wanajamii walioandamwa na ukame. Hata hivyo, wengi katika upande wa kusini wameshaanza kukimbia ukanda huo kwenda nchi za ji&#341;ani na maeneo yanayodhibitiwa na se&#341;ikali ya Somalia ili kutafuta msaada. <\/p>\n<p>Umoja wa Mataifa ulipokea haba&#341;i hizo lakini ulisema katika taa&#341;ifa yake kuwa &#8220;kukosa uwezo kwa mashi&#341;ika ya misaada kufanya kazi katika ukanda huo tangu mwaka 2010 kumezuia Umoja wa Mataifa kufikia wenye njaa hasa watoto &ndash; na kumechangia mgogo&#341;o wa sasa.&#8221;<\/p>\n<p>Somalia haina se&#341;ikali kuu inayofanya kazi na kwa miongo miwili imekuwa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe. Se&#341;ikali ya sasa ya Somalia inasaidiwa na ka&#341;ibu walinzi wa amani elfu kumi wa Umoja wa Af&#341;ika, na inadhibiti tu sehemu ndogo ya zaidi ya nusu ya eneo la mwambao wa mji mkuu, Mogadishu. Kikundi cha Al&ndash;Shabaab kinachohusishwa na Al&ndash;Qaeda&ndash; kinadhibiti eneo jingine la mji.<\/p>\n<p>Wakimbizi wanazidi kumiminika katika eneo la se&#341;ikali la Mogadishu baada ya kufanya safa&#341;i ya hata&#341;i kwa miguu kutoka kusini. <\/p>\n<p>Wanapoingia mjini wanatishiwa na &#341;isasi, na kuona majengo yaliyokimbiwa na watu, na hivyo siyo kila mmoja anaweza kusaidiwa. &#8220;Familia yangu ilipoteza ngo&#8217;mbe wote ambao ni 50, kutokana na kukosa malisho na maji. Hakukuwa na mvua kwa ka&#341;ibu mwaka na nusu na majani yamekauka. Visima, mito na mabwawa yamekauka,&#8221; Muse Elmi, baba wa watoto 10 aliiambia IPS mjini Mogadishu. Familia yake ilikimbia kutoka kijiji kwenye jimbo la Bakool, kusini mwa Somalia, na hivi ka&#341;ibuni waliwasili katika kambi iliyoanzishwa kwa watu waliokimbia makazi kutokana na ukame.<\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya Somalia ilijenga kambi nje ya jiji kwa ajili ya wale waliokimbia ukame, ambao inasema inafaa zaidi kwani misaada inaweza kusambazwa kiu&#341;ahisi kwa wale wanaohitaji kutoka kwa mashi&#341;ika ya misaada, ambayo inata&#341;ajiwa kuendesha makambi hayo.<\/p>\n<p>Lakini hakuna nafasi ya kutosha kwenye makambi kuweza kukaliwa na wale wanaotafuta misaada na wengi wanaowasili wametafuta makazi katika majengo yaliyokimbiwa na yaliyochakaa mjini Mogadishu.<\/p>\n<p>&#8220;Hatukuwa na chaguo jingine lakini kutembeea kwa siku 15 kwenda Mogadishu. Tulidhani tungepata msaada kutoka se&#341;ikalini na mashi&#341;ika ya misaada, lakini hadi sasa tuna msaada mdogo sana.&#8221; <\/p>\n<p>Elmi alisema tangu kuwasili kwa familia yake mjini humo, alipatiwa msaada wa chakula ma&#341;a moja na shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali la ndani, SAACID. <\/p>\n<p>Idadi halisi ya wale wanaowasili mjini Mogadishu kutoka maeneo yaliyoathi&#341;ika na ukame kusini mwa Somalia ni vigumu kupatikana kutoka kwa maofisa wa se&#341;ikali na mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali yanatoa makadi&#341;io tofauti. Baadhi yanasema kuna wakimbizi 20,000 kutoka kusini mwa Mogadishu, wakati mengine yanaweka takwimu hiyo katika 30,000.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa hakika hatuwezi kukupatia takwimu halisi za wakimbizi wa ukame ambao waliwasili, lakini ka&#341;ibu wanafika maelfu na bado wanamiminika katika jiji wakitafuta msaada wa chakula na makazi,&#8221; alisema Di&#341;iye.<\/p>\n<p>Kwa kulinganisha na ukame wa kusini, mvua kubwa imeha&#341;ibu mji wiki iliyopita.<\/p>\n<p>Kwa wale wakimbizi wanaoishi katika maeneo ya muda mfupi, imefanya maisha kuwa magumu zaidi kwani makambi mengi yamefu&#341;ika maji. <\/p>\n<p>&#8220;Tumesongamana hapa. Mimi, mke wangu na watoto wetu wanne tunaishi katika kibanda hiki kidogo. Maji yanasambaa katika kila mahali kutoka kwenye paa,&#8221; alisema Abdi Daahi&#341;, mkimbizi wa ukame.<\/p>\n<p>Madakta&#341;i katika hospitali kuu ya Mogadishu wanasema wanahofia magonjwa ya maambukizi yanayotokana na maji yanaweza kuenea kutokana na mifumo ya maji taka kuha&#341;ibika katika jiji hilo na mabwawa makubwa ya maji ya mvua ambayo yamejikusanya ka&#341;ibu na makambi yaliyoanzishwa kinyume na uta&#341;atibu, ambayo yanakosa vyoo.<\/p>\n<p>Maofisa waandamizi wa se&#341;ikali ya Somalia, ikiwa ni pamoja na Rais Sheikh Sha&#341;if Sheikh Ahmed, wameomba misaada kutoka kwa jumuiya ya kimataifa.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Ushi&#341;ikiano wa Kiislam ni shi&#341;ika la kwanza la kibinadamu la kimataifa kusambaza misaada ya kibinadamu kwa waathi&#341;ika wa Mogadishu. Mashi&#341;ika ya misaada ya ndani pia yameweza kukusanya wakazi wa Mogadishu kuwasaidia wale walioathi&#341;ika na ukame misaada ya chakula na mablanketi.<\/p>\n<p>Lakini misaada haijatosha. Baadhi ya wakimbizi wameanza kuomba mitaani mwa mji huo, wakati wengine walisema walikua wanafiki&#341;ia kuhamia makambi ya wakimbizi katika nchi ji&#341;ani ambapo mashi&#341;ika mengi ya misaada yanafanya kazi.<\/p>\n<p>Mashi&#341;ika ya misaada ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa, Shi&#341;ika la Mpango wa Chakula na Madakta&#341;i Wasiokuwa na Mipaka, yameahidi kutoa misaada kwa waathi&#341;ika.<\/p>\n<p>Kufuatia kuondolewa kwa ma&#341;ufuku ya usambazaji wa misaada Jul. 6 na kikundi cha Al Shabaab, baadhi ya meli za misaada zimeshawasili taya&#341;i katika maeneo yanayodhibitiwa na waasi wa Kiislam.<\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Mogadishu, Aug 1 (IPS) &ndash; Makumi kwa maelfu ya Wasomali wanaokabiliwa na njaa wamekimbilia katika eneo linaloshikiliwa na se&#341;ikali la Mogadishu wakitafuta chakula, lakini wazazi wengi wamechukua uamuzi unaouma wa kuacha watoto wao nyuma ambao wamedhoofu sana wakiwa na mata&#341;ajio ya kuokoa wengine wenye nguvu. Wengi katika eneo la kusini wanayaacha makazi yao na kukimbilia&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":487,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3694","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3694","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/487"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3694"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3694\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3694"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3694"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3694"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}