{"id":3691,"date":"2011-07-15T13:40:01","date_gmt":"2011-07-15T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/07\/15\/sudan-kusini-unyanyasaji-dhidi-ya-wanawake-unaendelea\/"},"modified":"2011-07-15T13:40:01","modified_gmt":"2011-07-15T13:40:01","slug":"sudan-kusini-unyanyasaji-dhidi-ya-wanawake-unaendelea","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/07\/15\/sudan-kusini-unyanyasaji-dhidi-ya-wanawake-unaendelea\/","title":{"rendered":"SUDAN KUSINI: Unyanyasaji Dhidi ya Wanawake Unaendelea"},"content":{"rendered":"<p>JUBA, Julai 15, 2011 (IPS) &ndash; Unyanyasaji dhidi ya wanawake umeenea sana na unavumiliwa katika Sudan Kusini na nchi hiyo mpya inahitaji kushughulikia ukiukwaji huu mkubwa wa haki za binadamu na kuwafunza watu wake, hasa aska&#341;i, kuheshimu haki za wanawake.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hii ni kwa mujibu wa wanaha&#341;akati wa haki za binadamu nchini humo.<\/p>\n<p>&#8220;Nimefanya kazi na wanawake wengi na wasichana ambao wamewahi kunyanyaswa. Wanapigwa na waume zao, kubakwa na aska&#341;i wa waasi na wanateseka kimyakimya,&#8221; anasema Loise Joel, mwanaha&#341;akati wa haki za binadamu anayeongoza shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali la Human Rights fo&#341; the Vulne&#341;able, katika Jimbo la Ikweta ya Kati katika Sudan Kusini.<\/p>\n<p>Katika vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vilidumu kwa miaka 21, wanawake na wasichana wadogo wamekuwa waathi&#341;ika wakuu wa ukiukwaji wa haki za binadamu. Na wakati Sudan Kusini na dunia ikiadhimisha kuzaliwa kwa taifa jipya, ni muhimu kwa se&#341;ikali mpya kuongeza kasi ya kushughulikia ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ili kujenga matumaini miongoni mwa waathi&#341;ika.<\/p>\n<p>&#8220;Unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana unaendelea, unavu&#341;uga, na unavumiliwa nchini Sudan, matokeo ya vita vya kikatili vya wenyewe kwa wenyewe, ambapo wakati huo ulikuwa jambo la kawaida. Wakati unyanyasaji ukiongezeka katika eneo hilo, kama ilivyo kwa ubakaji na udhalilishaji wa ngono, hata hivyo misaada kwa waathi&#341;ika na huduma za kuzuia ni chache mno,&#8221; anasema Susan Pu&#341;din, ambaye anafanya kazi katika shi&#341;ika la kimataifa la Inte&#341;national Rescue Committee (IRC) katika p&#341;og&#341;amu zake za Sudan Kusini.<\/p>\n<p>Bado kuna vuguvugu la vita kati ya Sudan Kaskazini na Kusini katika kugombea majimbo ya mpakani ya Ko&#341;dofan Kusini na Abyei. Lakini pia kuna tishio la ndani la kiusalama dhidi ya wanawake na wasichana katika Sudan Kusini, ikiwa ni pamoja na mapigano ya kiukoo na kikabila, na hata jeshi la Kusini, ambalo linajulikana kwa matumizi yake makubwa ya nguvu kukabiliana na waasi.<\/p>\n<p>&#8220;Kusini mwa Sudan inazaliwa kutokana na mgogo&#341;o. Kuongezeka kwa unyanyasaji kunasababisha watu wengi kukimbia makazi yao, kutishia maisha ya wananchi wanaoishi katika hali tete na kudhoofisha upatikanaji wa mahitaji kwa wanajamii wakati misaada ya kibinadamu iliyopo ikizidi kupungua,&#8221; Pu&#341;din anasema.<\/p>\n<p>Anim Yei alikamatwa na aska&#341;i wa waasi na kulazimishwa kuishi msituni kwa miaka miwili kabla hajato&#341;oka. Anasema se&#341;ikali inapaswa kufungua mahakama kukusanya taa&#341;ifa za kiwango cha ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya wanawake na kutoa adhabu kwa wahusika.<\/p>\n<p>&#8220;Inadhalilisha kuzungumzia kuhusu kinachotokea kwangu na wengine ambao wanaangukia kuwa waathitika wa unyanyasaji nchini mwetu. Se&#341;ikali inapaswa kuanzisha tume ambapo usalama wa waathi&#341;ika unahakikishwa ili tunaweze kuzungumza bila kuhofia maisha yetu,&#8221; Yei anasema.<\/p>\n<p>Yei hayupo peke yake. Kati ya wanawake wengi ambao Joel amefanya nao kazi, wengi wanahofia maisha yao na hawa&#341;ipoti unyanyasaji.<\/p>\n<p>&#8220;Hakuna nafasi ya ku&#341;ipoti kwani wanahofia unyanyasaji zaidi kutoka kwa waume zao au aska&#341;i. Jamii pia inawaangalia kwa dha&#341;au. Wanahitaji kufundishwa kuwa huu ni ukiukwaji wa haki za binadamu na kuwa mahakama zipo kufungulia mashitaka wahusika,&#8221; Joel anasema.<\/p>\n<p>Ripoti ya Leo&#341;a Wa&#341;d wa Kitengo cha Kuwalinda na Kuwajengea Uwezo Wanawake katika IRC, aliona kuwa unyanyasaji dhidi ya wanawake nchini Sudan upo juu mno na waathi&#341;ika wengi wanateseka kimya kimya. Ka&#341;ibu asilimia 52 ya waathi&#341;ika wa unyanyasaji hawa&#341;ipoti uhalifu huo. Unyanyasaji wa kisaikolojia una&#341;ipotiwa zaidi kwa asilimia 31, huku ukifuatiwa na unyanyasaji wa kimaumbile kwa asilimai 29.<\/p>\n<p>Kulingana na &#341;ipoti, unyanyasaji dhidi ya wanawake pia unatokana na mapigano ya kikabila na wizi wa ng&#8217;ombe. &#8220;Katika siku za nyuma, mapigano ya kikabila katika ukanda wa (Majimbo ya Ziwa) yalisababisha kuchomwa moto kwa vijiji, kukimbia kwa familia, ubakaji na kupigwa. Kuuawa kwa wanawake na watoto kunaweza kusababisha ulipizaji mkubwa wa kisasa na vifo vingi,&#8221; Wa&#341;d anasema.<\/p>\n<p>Anaongeza kuwa unyanyasaji dhidi ya wanawake sasa umechukua nafasi. &#8220;Wanawake wamesema kuwa kiasi kikubwa cha maha&#341;i kimesababisha unyanyasaji mkubwa dhidi yao,&#8221; Wa&#341;d anasema. Wa&#341;d anaelezea kuwa wanaume ambao hawawezi kulipa maha&#341;i kubwa wanaweza kubaka wanawake ili kuwaoa. Anasema kuwa wanaume pia wanakasi&#341;ika kulipa maha&#341;i kubwa na matokeo yake wanawafanyia wake zao ukatili na wanaweza kuwapiga kwa hasi&#341;a.<\/p>\n<p>Ripoti ya IRC inasema kuwa matatizo ya kiusalama yaliyobainishwa na wanawake katika ukanda wa ziwa ni pamoja na unyanyasaji wa kiuchumi, ndoa za utotoni au za kulazimisha, unyanyasaji wa kingono, wizi wa ng&#8217;ombe na mapigano ya kikabila.<\/p>\n<p>Utafiti unabainisha kuwa kuna ukosekanaji wa jumla wa huduma za afya kwa waathi&#341;ika na kliniki haziwezi kusaidia kwa kiasi cha kutosha waathi&#341;ika wa ubakaji, mimba zizizohitajika, magonjwa ya kujamiiana na maambukizi ya VVU.<\/p>\n<p>Pu&#341;din anasema se&#341;ikali inapaswa kuzuia na kukabiliana na unyanyasaji na vitisho dhidi ya wanawake.<\/p>\n<p>&#8220;Kuna haja ya kuwa na she&#341;ia za jinsia za kuwalinda wanawake na wasichana. Elimu kwa wanawake na wasichana inahitaji kuwa kipaumbele ili iwe sehemu ya uchumi na maendeleo ya jamii yanayojitokeza katika Kusini mwa Sudan mpya. Upatikanaji wa elimu kwa wanawake na wasichana utashughulikia kukosekana kwa usawa wa kimamlaka kati ya wanawake na wanaume,&#8221; Pu&#341;din anasema.<\/p>\n<p>Fik&#341;u Abebe, mku&#341;ugenzi wa p&#341;og&#341;amu ya Kusini mwa Sudan katika shi&#341;ika la Plan Inte&#341;national, anasema shi&#341;ika lake linasaidia kazi za kujenga watoto na vijana baada ya vita.<\/p>\n<p>&#8220;Kuongeza uandikishwaji shule wa watoto wa kike na kuendeleza ujuzi kwa vijana kunabakia kuangaliwa na p&#341;og&#341;amu ambayo inalenga katika kuchangia katika kuleta utulivu na kujenga amani kwani vijana wengi walioshi&#341;iki katika kuendeleza ujuzi ni wale ambao waliwahi kuwa aska&#341;i,&#8221; Abebe anasema. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JUBA, Julai 15, 2011 (IPS) &ndash; Unyanyasaji dhidi ya wanawake umeenea sana na unavumiliwa katika Sudan Kusini na nchi hiyo mpya inahitaji kushughulikia ukiukwaji huu mkubwa wa haki za binadamu na kuwafunza watu wake, hasa aska&#341;i, kuheshimu haki za wanawake. Hii ni kwa mujibu wa wanaha&#341;akati wa haki za binadamu nchini humo. &#8220;Nimefanya kazi na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":864,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3691","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3691","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/864"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3691"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3691\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3691"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3691"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3691"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}