{"id":3687,"date":"2011-07-13T13:40:01","date_gmt":"2011-07-13T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/07\/13\/malawi-wanakijiji-waungana-kuokoa-misitu\/"},"modified":"2011-07-13T13:40:01","modified_gmt":"2011-07-13T13:40:01","slug":"malawi-wanakijiji-waungana-kuokoa-misitu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/07\/13\/malawi-wanakijiji-waungana-kuokoa-misitu\/","title":{"rendered":"MALAWI: Wanakijiji Waungana Kuokoa Misitu"},"content":{"rendered":"<p>WILAYA YA NENO, Malawi, Julai 12, 2011 (IPS) &ndash; Kilomita sabini kutoka mji maa&#341;ufu kibiasha&#341;a wa Malawi, Blanty&#341;e, ushi&#341;ika wenye faida unawapatia wanakijiji aji&#341;a na kuhifadhi misitu.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Msitu wa Zalewa kusini mwa wilaya ya Malawi ya Neno, kama ilivyo maeneo mengine yenye miti mbali kutoka mjini, kwa muda m&#341;efu umekuwa katika shinikizo la watu wanaokata miti kwa ajili ya nishati.<\/p>\n<p>Utafiti uliotolewa Mei na Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa unakadi&#341;ia kuwa kuni zinatumika kama nishati kwa asilimia 95 ya wakazi wa vijijini na asilimia 55 ya wakazi wa mijini na kuwa mahitaji haya makubwa yanasababisha ukataji mkubwa wa misitu nchini Malawi.&#8232;Zalewa imekuwa tofauti. Eneo hilo liko katika ukanda usiokuwa na mvua, wanasema wataalam. Mvua hazipatikani, na a&#341;dhi ma&#341;a nyingi inakuwa kame na ngumu kulima, na hivyo kulazimisha watu wengi kutegemea mkaa na kuni kwa ajili ya kuendesha maisha yao.<\/p>\n<p>&#8220;Hadi mwaka 2000, watu hapa hawakujua kuwa tugefaidika na msitu huu kwa faida kubwa zaidi wakati huo huo tukiuendeleza,&#8221; anasema Tedson Kameta, mtengenezaji wa mkaa wa zamani.<\/p>\n<p>Alisema moja ya miti inayotumika kwa mkaa ni aina ya tama&#341;ind, ambayo inapatikana zaidi katika msitu wa Zalewa. Miti aina ya tama&#341;ind inazalisha mkaa mgumu na unaodumu.&#8232;LakiniKameta leo hii ni mwanachama wa chama cha Village Hands, ambacho kimeondokana na kukata na kuchoma miti na kuvuna matunda mwitu kwa ajili ya soko la mjini Blanty&#341;e na mbali zaidi.<\/p>\n<p>Kwa muda mf&#341;efu wakazi wa eneo hilo wamekuwa wakikata miti aina ya ukwaju na tama&#341;ind na kuiloweka katika maji kutengeneza kinywaji. David Zuzanani, meneja uendeshaji wa Village Hands, anasema hadi m&#341;adi ulipoanza mwaka 1996, wanakijiji hawakuwa na wazo kuwa wangeweza kutengeneza kinywaji na kuingiza katika biasha&#341;a.<\/p>\n<p>Mwaka 1996, shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali la Wildlife and Envi&#341;onmental Society of Malawi (WESM), kwa msaada wa GTZ (the Ge&#341;man Technical Coope&#341;ation agency), lilianzisha m&#341;adi wa kuhifahdi msitu katika eneo hilo. M&#341;adi huo ulianza kupanda vitalu vya miti ya kienyeji na shughuli za kuingiza kipato ikiwa ni pamoja na ufugaji wa nyuki, kufuga bata mzinga na kutengeneza samani kwa kutumia miwa kama njia mbadala za kutengeneza mkaa.<\/p>\n<p>M&#341;adi huo pia unabo&#341;esha na kuifanya juisi kuwa ya kibiasha&#341;a, na kudumu kwa muda m&#341;efu, Kulingana na wanakijiji.<\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a tu watu walipogundua kuwa kuna fedha kutoka kwenye juisi na matunda, walianza kuhamasisha katika maeneo ya kuhifadhi misitu,&#8221; anasema Zuzanani, ambaye pia alifanya kazi katika m&#341;adi wa WESMM.<\/p>\n<p>M&#341;adi sasa unatengeneza chupa hadi 10,000 za juisi kwa mwezi, na kutoa mafunzo kutoka kwa WESM na GTZ kutumia katika kuzalisha vinywaji bo&#341;a ambavyo vinapitishwa kwa Taasisi ya Ubo&#341;a wa Viwango ya Malawi.<\/p>\n<p>Juisi inauzwa sawa na dola 1.60 katika maduka makubwa kama vile Shop&#341;ite, na katika vituo vya huduma, na kuingiza wastani wa dola elfu moja kwa mwezi. Ushi&#341;ika unaaji&#341;i wafanyakazi wa ndani 11 ambao wanafanya kazi wakati wote katika kiwanda chake. Wengine wanapata aji&#341;a hapa kama viba&#341;ua, kwa ajili ya kuchanganua, kumenya na kuvunja vunja matunda.<\/p>\n<p>Ushi&#341;ika hununua matunda yake yote kutoka kwa wanakijiji. Mwaka 2008, Kameta alitengeneza mamia ya dola kutokana na kuuza juisi ya ukwaju kutoka shambani mwake. Alinunua mbuzi watatu na kulisha ng&#8217;ombe wake wa maziwa. Mwaka jana, alivuna magunia 40 na kutengeneza dola elfu mbili. Ana mipango ya kununua jembe la kukokotwa kwa ng&#8217;ombe na kuanza kufuga bata mzinga.<\/p>\n<p>Pamoja na mafanikio, uzalishaji wa mkaa bado ni adui namba moja wa kampuni.&#8232;&#8232;&#8221;Tumehifadhi misitu iliyoka&#341;ibu na maeneo yanye wakazi wengi,&#8221; anasema Zuzanani. &#8220;Misitu hii haiwezi kuguswa na mtu yoyote. Vijiji vinailinda. Uha&#341;ibifu mkubwa unajitokeza hapa. Watu hao wana fedha na wanaweza kutoa &#341;ushwa kwa mtu yoyote. Machifu wanafanya kazi kwa bidii kukomesha hali hii lakini tunahitaji ida&#341;a ya misitu kutusaidia.&#8221;&#8232;&#8232;Ofisa misitu katika kizuizi cha ba&#341;aba&#341;a kuu cha Shi&#341;e Rive&#341; ambako mkaa hupitia kwenda Blanty&#341;e alithibitisha kuwa kuna &#341;ushwa. Akizungumza kwa masha&#341;ti ya kutokutajwa, alisema ni vigumu kwa ida&#341;a yake kudhibiti biasha&#341;a hiyo.<\/p>\n<p>&#8220;Se&#341;ikali inasema wafanyabiasha&#341;a wa mkaa wakamatwe. Hiyo haiwezekani. Hakuna she&#341;ia ya kufanya hivyo. Mbali ya hapo, kuna watu wenye nguvu za kiuchumi na kisiasa katika biasha&#341;a hiyo ambao wanaweza kusababisha kufukuzwa kazi kama utawasumbua,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Lakini wanakijiji wanadhani kampuni ni muhimu mno katika kupunguza umaskini kwenye eneo lao.<\/p>\n<p>&#8220;Kiwanda ni chombo bo&#341;a cha kubo&#341;esha hali ya maisha yetu hapa, kama kitakua. Hivyo tunata&#341;ajia se&#341;ikali kuona tunachokifanya na kuwatoa wafanyabiasha&#341;a hawa,&#8221; anasema Belita Ngomano, mmiliki wa duka dogo la chakula na vinywaji ka&#341;ibu na kiwanda.<\/p>\n<p>Anadai yeye na mume wake walifungua duka mwaka 2009 huku mtaji kwa sehemu ukitoka kutokana na kuuza matunda aina ya tama&#341;ind kwa kiwanda hicho. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WILAYA YA NENO, Malawi, Julai 12, 2011 (IPS) &ndash; Kilomita sabini kutoka mji maa&#341;ufu kibiasha&#341;a wa Malawi, Blanty&#341;e, ushi&#341;ika wenye faida unawapatia wanakijiji aji&#341;a na kuhifadhi misitu. Msitu wa Zalewa kusini mwa wilaya ya Malawi ya Neno, kama ilivyo maeneo mengine yenye miti mbali kutoka mjini, kwa muda m&#341;efu umekuwa katika shinikizo la watu wanaokata&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":726,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3687","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3687","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/726"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3687"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3687\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3687"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3687"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3687"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}