{"id":3686,"date":"2011-07-13T13:40:01","date_gmt":"2011-07-13T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/07\/13\/malawi-hofu-ya-kuendelea-kwa-mpango-mpya-wa-art\/"},"modified":"2011-07-13T13:40:01","modified_gmt":"2011-07-13T13:40:01","slug":"malawi-hofu-ya-kuendelea-kwa-mpango-mpya-wa-art","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/07\/13\/malawi-hofu-ya-kuendelea-kwa-mpango-mpya-wa-art\/","title":{"rendered":"MALAWI: Hofu ya Kuendelea kwa Mpango Mpya wa ART"},"content":{"rendered":"<p>BLANTYRE, Julai 12, 2011 (IPS) &ndash; Wakati se&#341;ikali ikijiandaa kusambaza madawa ya bei kubwa ya kupunguza kasi ya vi&#341;usi vya ukimwi kama ilivyopendekezwa na Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni (WHO) mwezi huu, kuna hofu kuhusu kudumu kwa mpango huo baada ya michangunuo miwili ya kuomba fedha hivi ka&#341;ibuni kukataliwa na Mfuko wa Kimataifa.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mwezi Novemba 2009, WHO ilipendekeza tiba mpya ya kupunguza makali ya vi&#341;usi vya Ukimwi (ART) ambayo ina lengo la kupunguza vifo vinavyohusiana na VVU. Chombo hicho cha afya cha kimataifa kilielekeza kuondoa ARV aina ya stavudine Kutokana na madha&#341;a yake.<\/p>\n<p>Lakini mpango mpya unaopendekezwa una gha&#341;ama kubwa ka&#341;ibu ma&#341;a tano zaidi ya mpango wa sasa. Katibu Mkuu wa VVU\/UKIMWI na Lishe katika ofisi ya &#341;ais na ba&#341;aza la mawazi&#341;i, Ma&#341;y Shawa, anasema se&#341;ikali kwa sasa inatumia dola zipatazo milioni 34 kila mwaka kwa ajili ya ARVs. Mpango mpya utafanya gha&#341;ama kufikia dola milioni 105.<\/p>\n<p>Lakini anasisitiza kuwa pamoja na Mfuko wa Dunia kukataa michanganuo miwili ya Malawi inayofikia dola milioni 564, se&#341;ikali itaendelea kutumia &#341;asilimali zake kufikia gha&#341;ama za tiba mpya. &#8220;Rais ameelekeza kuhamia katika mpango mpya,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>Lakini Mfuko wa Kimataifa, Umoja wa Mataifa na Ida&#341;a ya Maendeleo ya Kimataifa (Dfid) wanachangia asilimia 80 ya bajeti ya afya ya Malawi.<\/p>\n<p>Sababu za kukataliwa kwa michanganuo hiyo zinatofautiana. Baadhi wanasema ni kutokana na se&#341;ikali kushindwa kuingiza katika michanganuo yake jinsi ya kusaidia makundi ya wachache, kama vile watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja, tabia ambayo ni kinyume na she&#341;ia nchini Malawi. Shawa anasema, hata hivyo, kuwa se&#341;ikali iliingiza masuala ya mashoga na wanawake wanaofanya mapenzi ya jinsia moja katika mchanganuo wake.<\/p>\n<p>Alielezea kukataliwa kama jambo la kawaida na kusema se&#341;ikali ingetafuta jinsi ya kuhakikisha kuwa wagonjwa wanapata tiba mpya mwaka huu.<\/p>\n<p>Lakini se&#341;ikali imetangaza kuhamia katika mpango mpya wa tiba bila kujali kupungua kwa ufadhili na itakuwa na uwezo wa kufadhili mpango huo kwa miaka minne na nusu kwa kutumia &#341;asilimali zake. Kulingana na utafiti uliofanywa na se&#341;ikali wa jinsi gani ya kutekeleza maelekezo ya ART, se&#341;ikali inabidi kutoa tiba kwa watu wengi zaidi. Utafiti uligundua kuwa kuingia kwenye mpango mpya itakuwa na maana kuwa watu wanaoishi na VVU\/UKIMWI wataanza kutumia dawa wakiwa na CD4 350. Hii itaongeza idadi ya wagonjwa wanaohitaji ART kwa asilimia 50. Kwa sasa, kuna watu 250,000 wanaohitaji tiba bu&#341;e katika hospitali za se&#341;ikali za Malawi, se&#341;ikali inasema.<\/p>\n<p>Alipoulizwa ni wapi se&#341;ikali itapata fedha badala ya Mfuko wa Kimataifa, Shawa alisema fedha zitatoka kwenye vyanzo vingine ikiwa ni pamoja na vyanzo vya mapato vya ndani.<\/p>\n<p>Lakini ofisa wa ndani ya Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI anasema se&#341;ikali inaandaa mchanganuo mwingine kuupeleka kwa Mfuko wa Kimataifa kwa ajili ya awamu inayokuja.<\/p>\n<p>&#8220;Nisingependa kudanganya kuwa se&#341;ikali itaweza kufadhili mpango mzima peke yake kwa muda m&#341;efu. Kwa sasa, michanganuo miwili iliyokataliwa na Mfuko wa Kimataifa ilisaidia se&#341;ikali kutafuta fedha mahali pengine, hivyo msimamo wa sasa kuwa tunaweza kuendelea kusaidia mpango huo sasa. Kukosekana kwa fedha za wafadhili kuna maana kuwa &#341;asilimali inabidi kutoka katika sekta nyingine. Lakini tuna imani kuwa hatutakwenda upande huo,&#8221; kilisema chanzo hicho.<\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati wa afya hawana uhakika kama se&#341;ikali itaweza kuendeleza mpango huo mpya bila msaada wa Mfuko wa Kimataifa.<\/p>\n<p>&#8220;Gha&#341;ama za kuendesha mpango huu mpya ni za juu mno lakini ubo&#341;a una gha&#341;ama zake. Jinsi gha&#341;ama zinavyozidi kuwa za chini ndivyo ubo&#341;a unavyozidi kuwa duni, na hatimaye madha&#341;a ya dawa yanaongezeka. Gha&#341;ama zinastahili kwasababu hakuna bei ya maisha. Kutokana na madha&#341;a yanayowapata watu wanaoishi na VVU, Hasa wanawake, ni wakati muafaka kwa Malawi kubadilika na kuingia kwenye mfumo mpya,&#8221; alisema Ma&#341;tha Kwataine, mku&#341;ugenzi mtendaji wa Mtandao wa Usawa wa Afya wa Malawi (MHEN), ambao unahusu mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali katika sekta ya afya.<\/p>\n<p>Kwa ma&#341;a ya mwisho Malawi ilifanyia ma&#341;ekebisho itifaki yake ya UKIMWI mwaka 2008 wakati ilipopitisha madawa mseto yanayotumika sasa aina ya stavudine, lamivudine na nevi&#341;apine. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BLANTYRE, Julai 12, 2011 (IPS) &ndash; Wakati se&#341;ikali ikijiandaa kusambaza madawa ya bei kubwa ya kupunguza kasi ya vi&#341;usi vya ukimwi kama ilivyopendekezwa na Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni (WHO) mwezi huu, kuna hofu kuhusu kudumu kwa mpango huo baada ya michangunuo miwili ya kuomba fedha hivi ka&#341;ibuni kukataliwa na Mfuko wa Kimataifa. Mwezi Novemba 2009,&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":726,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3686","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3686","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/726"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3686"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3686\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3686"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3686"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3686"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}