{"id":3678,"date":"2011-07-06T13:40:01","date_gmt":"2011-07-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/07\/06\/hofu-ya-viongozi-wanawake-wa-kizazi-kijacho\/"},"modified":"2011-07-06T13:40:01","modified_gmt":"2011-07-06T13:40:01","slug":"hofu-ya-viongozi-wanawake-wa-kizazi-kijacho","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/07\/06\/hofu-ya-viongozi-wanawake-wa-kizazi-kijacho\/","title":{"rendered":"Hofu ya Viongozi Wanawake wa Kizazi Kijacho"},"content":{"rendered":"<p>BULAWAYO, Zimbabwe, Julai 5 (IPS) &ndash; Wanasiasa wanawake wazoefu nchini Zimbabwe wanahofia kuwa hakuna wanawake vijana wanokuja kupitia vyeo mbalimbali kuwa&#341;ithi. Hatua za kubo&#341;esha uwakilishi wa wanawake zimefanikiwa kidogo mno na wanawake vijana wanakosekana kujipenyeza kwenye siasa.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Tabitha Khumalo, Naibu msemaji wa Chama cha Wazi&#341;i Mkuu Mo&#341;gan Tsvangi&#341;ai cha Movement fo&#341; Democ&#341;atic Change pa&#341;ty (MDC&ndash;T) anasema hakujawa na jitihada kubwa katika chama chochote kile cha siasa nchini humo kuhamasisha na kusaidia wanasiasa wanawake. <\/p>\n<p>Khumalo, ambaye alikuwa kiongozi wa timu ya mageuzi ya katiba kwa chama cha MDC&ndash;T, anasema mchakato wa kuandaa katiba mpya ulikusanya maoni nchi nzima na ni moja ya fu&#341;sa zilizopotea. <\/p>\n<p>&#8220;Ninakatishwa tamaa na kukosekana kuwajengea uwezo wanawake wakati huu (wa mabadiliko ya katiba),&#8221; aliiambia IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Vyama vya siasa viliweka nguvu zao katika uwakilishi sawia lakini vikapuuzia kusema kama hii itakwenda kulingana na sifa zinazotakiwa. Haitoshi kusema wanawake lazima wapewe nafasi sawa kama wanaume na kuishia hapo,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Mwanasiasa huyo mzoefu anasema kuna wanawake wachache wenye nguvu na wanaofanya kazi inayoonekana katika siasa za Zimbabwe. <\/p>\n<p>&#8220;Tuna wanawake wachache kama vile Gladys Dube, kwa nfano, ambao walionyesha uwepo wao kubadili &#341;angi katika kuandika katiba na katika siasa za ndani. Lakini ma&#341;a zote ni wanawake hao hao wanaoitwa kuvaa kofia tofauti. Sasa nini kitajitokeza tutakapokuwa wazee na hakuna wanawake vijana kuchukua nafasi zetu &#8221; anauliza Khumalo. <\/p>\n<p>(Dube ni Seneta wa MDC&ndash;T wa Mabutweni, kitongoji cha tabaka maskini la wafanyakazi mjini Bulawayo na pia ni makamu mwenyekiti wa Kamati Teule ya Katiba.) <\/p>\n<p>Maoni yake yanaungwa mkono na Sylvia Chiume, mtaalam wa jinsia na msomi ambaye anasema asili na histo&#341;ia ya siasa za ndani haijahamasisha wanawake vijana kufuata nyayo. <\/p>\n<p>&#8220;Inaweza pia kuonekana kwa wanaha&#341;akati wanafunzi katika vyuo vya elimu ya juu. Siyo wanawake wasichana wengi wanachukua hatua na inajulikana kuwa wanasiasa nchini Zimbabwe wanaanzia katika mazingi&#341;a ya vyuo wakati wakipigania haki za wanafunzi,&#8221; Chiume alisema. <\/p>\n<p>&#8220;Kuna uhamasishaji mdogo wa mtoto wa kike kupigania haki zao na nadhani yote yanatokana na mzigo wetu wa kijadi, hata kama daima kuna mazungumzo kuhusu ukombozi wa wanawake,&#8221; Chiume alisema. <\/p>\n<p>&#8220;Kubadili mitizamo hii itachukua muda m&#341;efu kuliko ilivyota&#341;ajiwa lakini haina maana kuwa tuache kuendelea kushinikiza.&#8221; <\/p>\n<p>Mazingi&#341;a ya kisiasa nchini Zimbabwe yamejawa na kupenda kupewa heshima za kisiasa na wanaha&#341;akati wanasema hii imegawanya wanawake na kuwakilisha imani tofauti tofauti kuhusu masuala yanayowaathi&#341;i. <\/p>\n<p>&#8220;Tatizo ni kwamba kuna suala la &#8216;umimi, mimi na imani ya umimi&#8217;, ambapo baadhi ya wanasiasa wanawake wanataka kuheshimiwa kutokana na kusukuma ajenda za wanawake wakati tunatakiwa kuungana katika kubadili mitizamo ya wanaume kuhusu sisi. Ni kweli baadhi ya wanasiasa hawatuchukulii kwa uzito unaostahili kutokana na hali hiyo,&#8221; Khumalo alisema. <\/p>\n<p>Inabakia kuwa na safa&#341;i ngumu kwa wanawake katika siasa hapa, na kama Khumalo anavyosema, &#8220;Kama ambavyo kuzaa mtoto kunaonekana kama wajibu wa kitaifa, wanawake lazima pia kuwa na sauti katika siasa za kitaifa.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BULAWAYO, Zimbabwe, Julai 5 (IPS) &ndash; Wanasiasa wanawake wazoefu nchini Zimbabwe wanahofia kuwa hakuna wanawake vijana wanokuja kupitia vyeo mbalimbali kuwa&#341;ithi. Hatua za kubo&#341;esha uwakilishi wa wanawake zimefanikiwa kidogo mno na wanawake vijana wanakosekana kujipenyeza kwenye siasa. Tabitha Khumalo, Naibu msemaji wa Chama cha Wazi&#341;i Mkuu Mo&#341;gan Tsvangi&#341;ai cha Movement fo&#341; Democ&#341;atic Change pa&#341;ty (MDC&ndash;T)&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":541,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3678","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3678","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/541"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3678"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3678\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3678"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3678"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3678"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}