{"id":3675,"date":"2011-07-06T13:40:01","date_gmt":"2011-07-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/07\/06\/wanamgambo-wachukua-sua-ya-mwanamke\/"},"modified":"2011-07-06T13:40:01","modified_gmt":"2011-07-06T13:40:01","slug":"wanamgambo-wachukua-sua-ya-mwanamke","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/07\/06\/wanamgambo-wachukua-sua-ya-mwanamke\/","title":{"rendered":"Wanamgambo Wachukua Su&#341;a ya Mwanamke"},"content":{"rendered":"<p>KARACHI, Julai 5 (IPS) &ndash; Mwezi Desemba 25 mlipuaji wa mabomu ya kujitolea mhanga ambaye ni mwanamke asiyezidi um&#341;i wa miaka 18, alijilipua na kuua kwa uchache watu 47 na kuje&#341;uhi wengine 105.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Shabaha ya kile kinachoaminika kuwa bomu la kwanza la kujitoa mhanga lililobebwa na mwanamke nchini Pakistan ilikuwa Shi&#341;ika la Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) katika kituo chake cha usambazaji wa chakula cha Kha&#341;, mkoa wa kabila la Bajau&#341;, ka&#341;ibu na mpaka wa Afghanistan. <\/p>\n<p>Hii aina nyingine ilizua hofu &ndash; ambayo kwanza ilishuhudiwa Jan. 2010 wakati Meena Gul mwenye um&#341;i wa miaka 12, alipokamatwa na vikosi vya usalama vya Pakistan alipokuwa akija&#341;ibu kujiandaa kujilipua &ndash; na hivyo hofu kuwa Taliban walikuwa pia wakitumia wanawake. <\/p>\n<p>Baada ya tukio hilo, WFP ilifunga kwa muda vituo vyake vyote vinne vya usambazaji wa chakula. <\/p>\n<p>Azam Ta&#341;iq, msemaji wa Pakistani Taliban, ambayo ilidai ilihusika na shambulizi hilo, aliiambia CNN kuwa shambulizi lilifanywa kupinga kuundwa kwa kikundi cha kupambana na wanamgambo wa Taliban. &#8220;Vikosi vyote vinavyopingana na Taliban, jeshi na vikosi vya usalama ni shabaha yetu,&#8221; alikiambia kituo hicho cha televisheni. <\/p>\n<p>Gul aliyaambia mamlaka kuwa alipata mafunzo chini ya kamanda wa Taliban ambaye ni kaka yake, na kwamba dada yake mdogo alibeba bomu la kujitoa mhanga nchini Afghanistan. <\/p>\n<p>&#8220;Vyombo vya usalama vya Pakistan vitapata shida ya kukagua usalama wa wanawake kwasababu havina mifumo bo&#341;a ya ukaguzi ya kielekt&#341;oni wala maafisa wa ukaguzi wanawake,&#8221; anasema Hasan Aska&#341;i Rizvi, mchambuzi wa masuala ya ulinzi mjini Laho&#341;e. Pia inaonyesha kuwa wanamgambo wako hatua mbele zaidi ya vyombo vya usalama. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KARACHI, Julai 5 (IPS) &ndash; Mwezi Desemba 25 mlipuaji wa mabomu ya kujitolea mhanga ambaye ni mwanamke asiyezidi um&#341;i wa miaka 18, alijilipua na kuua kwa uchache watu 47 na kuje&#341;uhi wengine 105. Shabaha ya kile kinachoaminika kuwa bomu la kwanza la kujitoa mhanga lililobebwa na mwanamke nchini Pakistan ilikuwa Shi&#341;ika la Chakula la Umoja&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":853,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3675","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3675","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/853"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3675"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3675\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3675"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3675"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3675"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}