{"id":3674,"date":"2011-07-06T13:40:01","date_gmt":"2011-07-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/07\/06\/wanawake-waota-uhuu\/"},"modified":"2011-07-06T13:40:01","modified_gmt":"2011-07-06T13:40:01","slug":"wanawake-waota-uhuu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/07\/06\/wanawake-waota-uhuu\/","title":{"rendered":"Wanawake Waota Uhu&#341;u"},"content":{"rendered":"<p>KAMPALA, Julai 5 (IPS) &ndash; John Ga&#341;ang, kiongozi wa zamani ambaye sasa ni ma&#341;ehemu wa Sudan Peoples&#8217; Libe&#341;ation Movement, kuna wakati alisema kuwa wanawake ni &#8220;maskini wa maskini na walio pembezoni kati ya walio pembezoni &#8220;. Wakati uhu&#341;u ukiwa halisia Kusini mwa Sudan, wanawake katika ukanda huo wamesema hawatakubali kuwa wananchi wa tabaka la pili.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Ma&#341;ga&#341;et Michael Modi, kiongozi wa masuala ya wanawake katika Jimbo la Cent&#341;al Equato&#341;ia, anapiga ku&#341;a yake katika siku ya kwanza. <\/p>\n<p>&#8220;Siku ya kwanza (ya ku&#341;a) hatukulala. Nilikwenda kwenye kituo cha kupigia ku&#341;a na wanawake walikuwa wakilia wakati wakipiga ku&#341;a zao,&#8221; aliiambia IPS kwa njia ya simu kutoka mji mkuu wa kusini wa Juba. <\/p>\n<p>&#8220;Kwetu sisi kujitenga kutakuwa na maana ukombozi. Kwa muda m&#341;efu mno, tulikandamizwa na sha&#341;ia za Kiislam ambazo zilizuia uhu&#341;u kwa njia nyingi, na pia ukichanganya na mila za kusini, [wanawake] walibakia kuwa jamii ya chini kabisa.&#8221; <\/p>\n<p>Kama ilivyo kwa wengine wengi, Modi anata&#341;ajia kuwa katika Sudan Kusini hu&#341;u, wanawake watakuwa katika nafasi nzu&#341;i ya kupinga kuwekewa ukomo wa uhu&#341;u wao. <\/p>\n<p> Ushi&#341;iki wa kisiasa &#8232;&#8232; Miaka ishi&#341;ini ya vita vikali imeacha kusini mwa Sudan kuwa na idadi ya watu isiyokuwa ya kawaida: wanawake ni asilimia 65 ya jumla ya wakazi wote. Hata hivyo uwakilishi wao katika nafasi za utaoji wa maamuzi unabakia kuwa mdogo. <\/p>\n<p>Mkataba wa Amani wa mwaka 2005 unasema kuwa &#341;obo ya nafasi zote katika vyombo vya se&#341;ikali katika Kusini zichukuliwe na wanawake. <\/p>\n<p>Baadhi ya maba&#341;aza ya uongozi ya majimbo yameshindwa kufikia &#341;obo, na kudai kuwa hakuna wanawake wanaohitimu kuchukua nafasi hizo, lakini angalau majimbo mengi yamefikia idadi inayotakiwa. <\/p>\n<p>Jeniffe&#341; Nabongo&#341;ika Edwa&#341;d, mkuu wa shi&#341;ika la wanawake wa jamii za chini katika Jimbo la Easte&#341;n Equato&#341;ia, anasema ushawishi wa wanawake lazima uendane na idadi yao. <\/p>\n<p>&#8220;Wanawake ni muhimu sana. Sisi ni asilimia 52 ya wapiga ku&#341;a wanaoshi&#341;iki katika ku&#341;a ya maoni na tunaona kuwa katika se&#341;ikali ijayo, wanawake waliochaguliwa lazima waendane na idadi ya wapiga ku&#341;a,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>&#8220;Tulikabiliana na vita na majukumu mengi yalibebwa na wanawake kwani watoto na waume zetu walichukuliwa kwenda kwenye vita. Sasa kutokana na amani kuja, tunahitaji uwakilishi wa sasa wa wanawake &ndash; wa chini ya asilimia 10 katika vyombo vya juu vya utendaji se&#341;ikalini &ndash; kuongezwa hadi angalau asilima 30.&#8221;<\/p>\n<p>Kutekelezwa kwa haki za wanawake <\/p>\n<p>Uchambuzi uliofanywa na Shi&#341;ika la Idadi ya Watu la Umoja wa Mataifa (UNFPA), unaonyesha ukweli kwamba wanawake katika Sudan Kusini wanakosa haki zao katika masuala ya kujamiiana na haki za uzazi, talaka na kuwekwa kizuizini kwa watoto. <\/p>\n<p>&#8220;Zaidi ya asilimia 90 ya kesi za jinai na madai za kila siku zinaendeshwa chini ya she&#341;ia za kimila, ambazo kwa kiasi kikubwa siyo tu kwamba haziendani na she&#341;ia za haki za binadamu za kimataifa, lakini pia zinapendelea wanaume,&#8221; inasomeka &#341;ipoti. <\/p>\n<p>Aina hii ya kukosekana kwa usawa inahitaji kuwa miongoni mwa vipaumbele vya ha&#341;aka vya taifa jipya. <\/p>\n<p>Taya&#341;i Sudan Kusini imeandaa katiba mpya ya muda ambayo ina vifungu vya Haki za Binadamu na inatambua haki ya usawa kati ya wanaume na wanawake. Hata hivyo kuifanya she&#341;ia hiyo kufanya kazi katika nchi ambayo mfumo wake wa she&#341;ia ni kama tu haupo ni changamoto kubwa. <\/p>\n<p>&#8220;Haki za wanawake &ndash; hasa kulinda wanawake kutokana na unyanyasaji wa kingono na kuwahudumia wale walioathi&#341;ika wakati wa vita kuwa&#341;ejesha katika hali ya kawaida &ndash; itahitaji kuangaliwa kwa kiasi kikubwa,&#8221; anasema Nawai. <\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na vita hivyo, hatukuwa na muda mwingi wa kushinikiza haki nyingine. Suala la kuwa mzima ndilo lililopewa kipaumbele. Hatuta&#341;ajii se&#341;ikali kutupatia yote haya wakati mmoja lakini tunata&#341;ajia kubo&#341;esha jitihada zake.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KAMPALA, Julai 5 (IPS) &ndash; John Ga&#341;ang, kiongozi wa zamani ambaye sasa ni ma&#341;ehemu wa Sudan Peoples&#8217; Libe&#341;ation Movement, kuna wakati alisema kuwa wanawake ni &#8220;maskini wa maskini na walio pembezoni kati ya walio pembezoni &#8220;. Wakati uhu&#341;u ukiwa halisia Kusini mwa Sudan, wanawake katika ukanda huo wamesema hawatakubali kuwa wananchi wa tabaka la pili&#8230;.<\/p>\n","protected":false},"author":803,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3674","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3674","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/803"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3674"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3674\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3674"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3674"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3674"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}