{"id":3673,"date":"2011-07-06T13:40:01","date_gmt":"2011-07-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/07\/06\/mkuu-wa-umoja-wa-mataifa-awaacha-wanawake-katika-hotuba-ya-kumaliza-mwaka-2\/"},"modified":"2011-07-06T13:40:01","modified_gmt":"2011-07-06T13:40:01","slug":"mkuu-wa-umoja-wa-mataifa-awaacha-wanawake-katika-hotuba-ya-kumaliza-mwaka-2","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/07\/06\/mkuu-wa-umoja-wa-mataifa-awaacha-wanawake-katika-hotuba-ya-kumaliza-mwaka-2\/","title":{"rendered":"Mkuu wa Umoja wa Mataifa Awaacha Wanawake Katika Hotuba ya Kumaliza Mwaka"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Julai 5 (IPS) &ndash; Wakati Katibu Mkuu Ban Ki&ndash;moon alipoandika makala ya kuelezea kumaliza mwaka kwa ajili ya gazeti la nchini Aust&#341;alia wiki iliyopita, alizungumzia kuhusu mustakabali wa chombo hicho cha kidunia ambacho kinakabiliwa na kizazi cha vitisho: mabadiliko ya tabia nchi, umaskini, kupunguza silaha za nyuklia na haki za binadamu.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Lakini pengine kwa kujua au kutokujua, aliacha moja ya haba&#341;i kubwa zaidi za mafanikio ya kisiasa ya chombo hicho cha dunia: kuundwa kwa chombo maalum cha wanawake katika Umoja wa Mataifa (UN Women) kuwapatia uwezo wanawake duniani kote. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika la wanawake la Umoja wa Mataifa, ambalo linakadi&#341;iwa kuwa na bajeti ya dola milioni 500 kwa mwaka na kuongozwa na Msaidizi wa Katibu Mkuu Michelle Bachelet, lilianza kufanya kazi mwanzoni mwa mwaka mpya. <\/p>\n<p>Lakini hakujawa na sham&#341;asham&#341;a au she&#341;ehe za kisiasa ndani ya chombo cha kimataifa &ndash; hata kuna wakati katibu mkuu alituhumiwa kujiweka kando na tukio muhimu la kihisto&#341;ia. <\/p>\n<p>&#8220;Ingekuwa fu&#341;sa nzu&#341;i kuangalia shi&#341;ika la UN Women &#8230;, kuundwa kwa chombo kipya kabisa ambacho kina kazi ya kuangalia nusu ya wakazi wote duniani ni jambo la kushangilia na kuangaliwa,&#8221; alisema Paula Donovan, mku&#341;ugenzi mwenza wa AIDS&ndash;F&#341;ee Wo&#341;ld, moja ya mashi&#341;ika ya mwanzo yaliyofanya kampeni ya kuundwa kwa shi&#341;ika hilo. <\/p>\n<p>&#8220;Lakini hakukuwa na hata neno moja kuhusu shi&#341;ika la UN Women,&#8221; alilalamika katika ba&#341;ua yake kwa Bachelet, ambayo iliandikwa kwa ushi&#341;ikiano na Stephen Lewis, naibu mku&#341;ugenzi mkuu wa zamani wa shi&#341;ika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF. <\/p>\n<p>&#8220;Na hiyo ni nusu tu. Nusu nyingine watu hawawezi kuiamini,&#8221; anasema katika ba&#341;ua yake. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika lilizinduliwa &#341;asmi siku ya Jumanne, siku ya kwanza ya kazi katika Umoja wa Mataifa kwani Jumatatu ilikuwa mapumziko ya Mwaka Mpya. <\/p>\n<p>Katika ubeti ambao unazungumzia kwa ufupi kuhusu Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDGs), katibu mkuu anataja malengo saba kati ya nane. &#8220;Lengo moja lililoachwa, cha kushangaza zaidi, ni lile linalohusu usawa wa kijinsia na kuwapatia wanawake uwezo. Hii inawezekanaje &#8221; inahoji ba&#341;ua hiyo. <\/p>\n<p>Kuundwa kwa shi&#341;ika la UN Women kumepongezwa kama mafanikio ya msingi baada ya miongo kadhaa ya majadiliano. <\/p>\n<p>Alipoulizwa kujibu ukosoaji huo, naibu msemaji wa Umoja wa Mataifa Fa&#341;han Haq aliiambia IPS: &#8220;Katibu Mkuu aliweka wazi nia yake ya kukuza masuala ya wanawake na alisaidia katika kuundwa kwa UN Women.&#8221; <\/p>\n<p>Nia yake ya kuunga mkono shi&#341;ika la UN Women inaweza kuonekana katika jitihada zake za kupitisha shi&#341;ika hilo na kutafuta kiongozi mzu&#341;i wa UN Women, ambapo alimpata Michelle Bachelet, alisema Haq. <\/p>\n<p>&#8220;Amezungumza masuala mengi kuhusu wanawake, na kukosekana kwake katika makala hakumaanishi kuwa nia yake ya kuunga mkono masuala ya wanawake imepungua,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Katika makala yake hiyo, ambayo ilichapishwa na gazeti la Sydney Mo&#341;ning He&#341;ald Desemba 31, Ban anasema Umoja wa Mataifa sasa unaongoza kile ambacho kinaonekana kama aina mbili ya maisha. <\/p>\n<p>&#8220;Wapinzani wanaokosoa Unmoja wa Mataifa kutokana na kushindwa kutatua matatizo yote ya dunia, hata hivyo watu duniani kote wanataka msaada zaidi, katika maeneo mengi zaidi, kuliko ilivyokuwa wakati mwingine wowote  hali ambayo itaendelea hata mwaka 2011. Siyo suala gumu kuona kwa nini inajitokeza hivyo,&#8221; aliandika. <\/p>\n<p>&#8220;Hekima ya kawaida itakueleza kuwa shabaha za MDG  za kupunguza umaskini na njaa, kubo&#341;esha afya ya mama na mtoto, kukabiliana na VVU\/UKIMWI, kuongeza upatikanaji wa huduma ya elimu, kulinda mazingi&#341;a, na kuunda ushi&#341;ikaino wa kimataifa kwa ajili ya kuleta maendeleo  ni mambo ambayo hayatawezekana. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa hakika, tunadhibiti magonjwa kama vile polio, mala&#341;ia na UKIMWI  vizu&#341;i zaidi kuliko siku zozote za nyuma, na kuwekeza zaidi katika afya ya wanawake na watoto  suala la msingi katika kuleta mafanikio kwenye maeneo mengine,&#8221; inasomeka makala hiyo. <\/p>\n<p>Wakati huo huo, Donovan alibainisha, Ban anaonekana akifu&#341;ahia kushinikiza wafadhili kutoa misaada kwa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kazi za mabadiliko ya tabia nchi, majanga ya kibinadamu &ndash; na jambo maa&#341;ufu zaidi na ambalo halina utata mkubwa kati ya masuala yote ya wanawake, afya ya uzazi.  <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Julai 5 (IPS) &ndash; Wakati Katibu Mkuu Ban Ki&ndash;moon alipoandika makala ya kuelezea kumaliza mwaka kwa ajili ya gazeti la nchini Aust&#341;alia wiki iliyopita, alizungumzia kuhusu mustakabali wa chombo hicho cha kidunia ambacho kinakabiliwa na kizazi cha vitisho: mabadiliko ya tabia nchi, umaskini, kupunguza silaha za nyuklia na haki za binadamu. Lakini&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":382,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3673","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3673","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/382"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3673"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3673\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3673"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3673"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3673"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}