{"id":3668,"date":"2011-07-06T13:40:01","date_gmt":"2011-07-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/07\/06\/afrika-kusini-sea-boa-ni-muhimu-kwa-maendeleo-ya-nishati-mbadala\/"},"modified":"2011-07-06T13:40:01","modified_gmt":"2011-07-06T13:40:01","slug":"afrika-kusini-sea-boa-ni-muhimu-kwa-maendeleo-ya-nishati-mbadala","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/07\/06\/afrika-kusini-sea-boa-ni-muhimu-kwa-maendeleo-ya-nishati-mbadala\/","title":{"rendered":"AFRIKA KUSINI: Se&#341;a Bo&#341;a Ni Muhimu kwa Maendeleo ya Nishati Mbadala"},"content":{"rendered":"<p>WINDHOEK, Julai 4 (IPS) &ndash; Fik&#341;a za kimaendeleo za kubadili se&#341;a za sasa za nishati mbadala zinaweza kupunguza uzalishaji wa hewa chafu ya viwandani kwa asilimia 80 nchini Af&#341;ika Kusini ifikapo mwaka 2050 ikilinganishwa na viwango vya mwaka 1990. Zaidi ya hapo &ndash; baada ya kuongezeka kwa uwekezaji &ndash; mi&#341;adi minne ya Af&#341;ika Kusini italipa dola bilioni 23 kwa mwaka nafuu zaidi ikilinganishwa na umeme wa kawaida kwa sasa.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kupunguza utegemezi wa sasa wa Af&#341;ika Kusini wa makaa ya mawe na mafuta na wakati huohuo kuelekeza nguvu katika nishati yenye ufanisi zaidi kunaweza kuifanya nchi kutumia nishati chache zaidi mwaka 2050 kuliko ilivyo kwa sasa, hata kama uchumi unakua.<\/p>\n<p>Mazingi&#341;a haya yanaonekana katika &#341;ipoti yenye jina la &#8220;Mapinduzi ya Kina ya Nishati: Tathmini ya Nishati nchini Af&#341;ika Kusini&#8221;, iliyowakilishwa Mei 25 mjini Johannesbu&#341;g na Ba&#341;aza la Nishati Mbadala Ulaya (EREC) na shi&#341;ika la kutetea hifadhi ya mazingi&#341;a kimataifa la G&#341;eenpeace.<\/p>\n<p>Mustakabali wa baadaye wa nishati mbadala Af&#341;ika <\/p>\n<p>Mku&#341;ugenzi wa kimataifa wa nishati mbadala wa shi&#341;ika la Kimataifa la G&#341;eenpeace, Sven Teske, anaona kuongezeka kwa huduma ya umeme katika maeneo ya vijijini ba&#341;ani Af&#341;ika, ambapo watu wengi bado wanaishi wakiwa hawajaugnishwa na g&#341;idi ya taifa. &#8220;Maeneo ka&#341;ibu na g&#341;idi ya taifa yatapatiwa huduma ikiwa ni pamoja na matumizi ya nishati ya jua, upepo, nishati ya mimea na nishati ya mvuke, ikiwa ni pamoja na mi&#341;adi midogo na ya kati ya umeme wa maji.&#8221;<\/p>\n<p>Vyama vya ushi&#341;ika vya maeneo husika vinaweza kufanya kazi pamoja kuanzisha na kueneza umeme, kuunganisha maeneo mengi katika g&#341;idi ndogo ndogo.<\/p>\n<p>&#8220;Huduma ya umeme kuanzia vijijini itaenea zaidi kuliko kutoka mijini, ambako pia hakuna motisha wa kiuchumi,&#8221; anaongeza Teske. &#8220;Waendeshaji wangependa kupeleka njia ya gha&#341;ama ya umeme kwa jamii ndogo  Mfumo wa umeme kuanzia vijijini unafanya kazi katika nchi kama India ambapo se&#341;ikali imeahidi kuzalisha megawati 20,000 kutokana na mi&#341;adi midogo midogo.&#8221;<\/p>\n<p>Ripoti pia inawakilisha mazingi&#341;a yasiyokuwa na hamasa zaidi ambapo mafuta ya dizeli bado yanatumika kwa kiasi kikubwa kama nishati, lakini bado ukanda unaweza kupunguza nusu ya uchafuzi wa hewa unaotokana na moshi wa viwandani kwa kutumia nishati kwa ufanisi zaidi.<\/p>\n<p>Suala muhimu litakuwa ni kuwa na she&#341;ia zinazoweka vigezo vya ubo&#341;a wa ufanisi, anasema Teske: &#8220;Kwa bahati mbaya tumeona kampeni za kubadili tabia zina mafanikio madogo mno. Tatizo ni kuwa Af&#341;ika Kusini na ukanda mzima hakuna viwango vya ubo&#341;a vya kiufundi kwa ajili ya majengo, vifaa vya jikoni, mitambo ya nishati na maga&#341;i.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa mfano, hakuna she&#341;ia inayosema matumizi ya nishati ya jikoni kwa kaya yasizidi wati fulani.<\/p>\n<p>Kuingia katika matendo <\/p>\n<p>Katika jangwa la Namibia, kilomita 150 kutoka mji wa ka&#341;ibu, jamii ndogo taya&#341;i inaendesha kwa kiasi kikubwa kile ambacho watafiti wanakihubi&#341;i. &#8220;Tunatumia kilowati za umeme zipatazo nne kwa siku, kwa kundi la wanafunzi wapatao 40 na wastani wa lita 15 za maji kwa kila mtu kwa siku,&#8221; anasema Vikto&#341;ia Keding, mku&#341;ugenzi wa Shi&#341;ika la Elimu ya Mazingi&#341;a ya Jangwa la Namibia (NADEET). Kwa kulinganisha, kaya za Af&#341;ika Kusini zinatumia kilowati 35 kwa sasa kwa siku, wakati wastani wa kila Mwaf&#341;ika Kusini anatumia lita 50 za maji kwa siku.<\/p>\n<p>Kituo hicho, kikiwa kimeanzishwa mwaka 2003, kinatumia nishati ya jua na upepo, ikiwa ni pamoja na maf&#341;iji yake, majokofu na p&#341;ojekta. Jene&#341;eta ndogo ya pet&#341;oli inatumika kwa masaa machache kwa mwezi. &#8220;Tunachotumia katika umeme na maji kwa siku, wengine wanatumia kwa masaa machache,&#8221; anasema Keding. Na kama NADEET inatumia majiko ya umeme kupikia badala ya jiko la nishati ya jua, uzalishaji wake wa hewa ya kaboni utakuwa ma&#341;a 23 zaidi, anasema.<\/p>\n<p>Keding anasema watu wengi wanakosa hamasa ya kukubali kanuni za kutumia nishati kidogo. &#8220;Hata hivyo mambo mengi kama haya ni &#341;ahisi na yanatumia kiasi kidogo tu cha fedha kuweza kudumisha maisha. Unapaswa katika mawazo yako kufiki&#341;i kuwa &#341;asilimali zina thamani. Kama maji ni dhahabu kwako wewe utanunua bomba la kuogea linalotoa maji machache. <\/p>\n<p>Mbali na elimu, teknolojia ni tatizo kubwa. Watu wengi wanataka kufanya mabadiliko haya, lakini hawana uwezo wa kuifikia teknolojia.&#8221;<\/p>\n<p>Teske anasema inashangaza kuwa nishati ya jua na upepo ina gha&#341;ama kubwa ikilinganishwa na nishati ya mafuta. &#8220;Nishati mbadala imepata heshima ya kuwa ya gha&#341;ama ya juu hapo zamani, lakini hii siyo kweli kwa sasa. Gha&#341;ama ya nishati ya jua, kwa mfano, imeshuka kwa zaidi ya asilimia 50 katika kipindi cha miaka minne iliyopita. Kushuka huku kutaendelea. Vivyo hivyo nishati ya upepo ni nafuu zaidi ya mitambo mipya ya umeme wa makaa ya mawe.&#8221;<\/p>\n<p>Kulingana na &#341;ipoti, matatizo ya sasa ya kuunganishiwa umeme yanaweza kutatuliwa kwa kutumia g&#341;idi ndogo ndogo na mitambo ya nishati yenye ufanisi zaidi.<\/p>\n<p>Af&#341;ika, anasema Teske, ina bahati kuwa inaweza kutumia teknolojia ya kisasa bila ya kuwa na gha&#341;ama kubwa ya maendeleo. &#8220;Af&#341;ika inaweza kuingia kwa kasi katika teknolojia mpya, haihitaji ku&#341;udia uwekezaji ulele ule kama ulivyoanzishwa na Uje&#341;umani, Denma&#341;k na Hispania.&#8221;<\/p>\n<p>Kulingana na &#341;ipoti ya EREC\/G&#341;eenpeace, se&#341;a nzu&#341;i ya nishati mbadala, ya kuhamisha asilimia 80 ya uwekezaji kwenda kwenye nishati mbadala, kutahitaji dola bilioni 404 ya uwekezaji. Kwa Af&#341;ika Kusini peke yake, itahitaji kiasi cha nyongeza cha dola bilioni 5.2 za matumizi ya kila mwaka; lakini fedha zinazokadi&#341;iwa <\/p>\n<p>Lakini wawekezaji wanahitaji usalama na utulivu wa kiuchumi. &#8220;Mashine ya umeme wa upepo yenye maelfu ya megawati ni biasha&#341;a nzu&#341;i,&#8221; anasema Teske.<\/p>\n<p>&#8220;Lakini se&#341;a za muda m&#341;efu zinahitajika kujenga sekta hiyo ya nishati mbadala ndani ya nchi. Sababu ambayo wawekezaji wanaona ugumu wa kuwa na nishati mbadala Af&#341;ika siyo kukosekana kwa mapato ya ushu&#341;u unaotokana na nishati mbadala, lakini kukosekana kwa se&#341;a nzu&#341;i. Wawekezaji wanataka kujua kama je watakuwa na umeme wa g&#341;idi  Je wana soko la muda m&#341;efu  Je wanaweza kusaini m&#341;adi wa kununua umeme na makampuni ya utoaji wa huduma hiyo &#8220;<\/p>\n<p>&#8220;Siyo upatikanaji wa &#341;asilimali, lakini se&#341;a za umma ambazo zitaweza kuongeza au kudumaza maendeleo ya nishati mbadala katika muongo ujao,&#8221; alisema Ramon Pichs, mwandishi mwingine wa &#341;ipoti ya IPCC.<\/p>\n<p>&#8220;Mataifa yanayoendelea yana hisa kubwa katika mustabali huu &ndash; hapa ndipo watu wengi bilioni 1.4 wanaishi bila huduma ya umeme, lakini hata hivyo ni mahali ambapo moja ya mazingi&#341;a bo&#341;a kabisa ya nishati mbadala yanapatikana na hayajatumika.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WINDHOEK, Julai 4 (IPS) &ndash; Fik&#341;a za kimaendeleo za kubadili se&#341;a za sasa za nishati mbadala zinaweza kupunguza uzalishaji wa hewa chafu ya viwandani kwa asilimia 80 nchini Af&#341;ika Kusini ifikapo mwaka 2050 ikilinganishwa na viwango vya mwaka 1990. Zaidi ya hapo &ndash; baada ya kuongezeka kwa uwekezaji &ndash; mi&#341;adi minne ya Af&#341;ika Kusini italipa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":600,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3668","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3668","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/600"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3668"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3668\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3668"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3668"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3668"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}