{"id":3667,"date":"2011-07-06T13:40:01","date_gmt":"2011-07-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/07\/06\/afrika-uzui-wa-baiskeli\/"},"modified":"2011-07-06T13:40:01","modified_gmt":"2011-07-06T13:40:01","slug":"afrika-uzui-wa-baiskeli","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/07\/06\/afrika-uzui-wa-baiskeli\/","title":{"rendered":"AFRIKA: &#8216;Uzu&#341;i wa Baiskeli&#8217;"},"content":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Julai 4 (IPS) &ndash; &#8220;Wanasiasa wanaweza kutuambia kuwa baiskeli ni dalili kuwa hatuendelei,&#8221; anasema Pat&#341;ick Kayemba, mku&#341;ugenzi mkuu wa shi&#341;ika la Fi&#341;st Af&#341;ican Bicycle Info&#341;mation nchini Uganda, &#8220;lakini sisi wenyewe tumeona kuwa baiskeli ni kifaa cha kijamii na kiuchumi. Kinafanya kazi sasa &ndash; hakuna haja tusubi&#341;i mtu kutukomboa na usafi&#341;i wa umma, afadhali baiskeli,&#8230;&#8221;\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Baiskeli ba&#341;ani Af&#341;ika ina maana kuwa na uwezo wa kufikia huduma,&#8221; Kayemba aliwaambia washi&#341;iki wa mkutano wa kimataifa wa baiskeli mjini Seville, Hispani Machi 2011. &#8220;Ukiendesha baiskeli, unaingiza kipato, unafuata huduma ya maji safi, huduma za jamii, unafika maeneo mbalimbali ya kazi, unakuwa na uwezo wa kubeba bidhaa,&#8221; alisema. &#8220;Siyo kwa ajili ya bu&#341;udani, siyo kwa ajili ya kupunguza uzito &ndash; katika Af&#341;ika baiskeli ni maisha.&#8221;<\/p>\n<p>Hata hivyo, baiskeli ni bidhaa ya bei ya juu hivyo shi&#341;ika la Kayemba linaendesha mpango wa kutoa mikopo midogo kununulia baiskeli nchini Uganda ikiwa ni pamoja na mpango wa kuweka akiba zinazotokana na biasha&#341;a ya kusafi&#341;isha abi&#341;ia kwa baiskeli.<\/p>\n<p>&#8220;Ni suala la kawaida kwa baiskeli zinazosafi&#341;isha abi&#341;ia kutokumilikiwa na waendeshaji,&#8221; anasema Kayemba, &#8220;na inabidi watoe zaidi ya &#341;obo ya mapato yao kumiliki za kwao. Hii ina maana kufanya jitihada za masaa kadhaa kuweza kuendesha maisha yao &ndash; lakini uwekaji wetu wa akiba unasaidia waendeshaji kuachana na utegemezi wa wamiliki.&#8221;<\/p>\n<p>Kama ilivyo kwa Waganda, Wanamibia wengi wanaoendesha baiskeli pia wanategemea kununua baiskeli za mtumba za bei nafuu, zinazogawiwa na mashi&#341;ika ya kimataifa na kusambazwa kupitia mashi&#341;ika ya ndani.<\/p>\n<p>Mtandao ujulikanao kama &#8220;Bicycling Empowe&#341;ment Netwo&#341;k of Namibia (BENN)&#8221;, ambao unawezesha uingizaji nchini baiskeli, umeanzisha maghala 25 ya usambazaji wa baiskeli nchini, unaojulikana kama &#8220;Bicycling Empowe&#341;ment Cent&#341;es (BECs)&#8221;. Ukiwa umebuniwa na Michael Linke na Cla&#341;isse Cunha&ndash;Linke, BENN kwa sasa imeingiza ka&#341;ibu baiskeli 20,000, na inaweza kuwa na haba&#341;i nyingi za jinsi gani baiskeli imebadili maisha ya walengwa.<\/p>\n<p>Kabla ya kuanza kwa mtandao wa BEC (ambao unakua kwa kasi tangu mwaka 2006), kulikuwa na maduka mawili tu yenye baiskeli nchini Namibia, anasema Michael Linke. Kwa kweli hii ilifanya uendeshaji wa baiskeli na faida zake kukosekana.<\/p>\n<p>Undeshaji baiskeli unabadili maisha <\/p>\n<p>Linke anahadithia hadithi ya Isabella Thipungu, ambaye anaishi katika kijiji na familia yake, kilomita nane kutoka mji wa Divundu katika mkoa wa Kavango nchini Namibia. Kutokana na umbali, alikuwa akiishi katika hesteli ya shule huko Divundu, na aliweza kuonana na familia yake wakati wa mwisho wa wiki tu. Tangu aliponunua baiskeli katika duka la Baiskeli la Makveto la BEC ka&#341;ibu na nyumbani kwake, ame&#341;ejea kwa familia yake na anasaf&#341;i kila siku katika umbali ambao ingemchukua muda m&#341;efu kutembea. Kabla ya kuanza kwa Makveto, duka la ka&#341;ibu na Isabella lilikuwa umbali wa kilomita 250, anasema Linke.<\/p>\n<p>Hakuna shaka kuwa kwa matumizi ya baiskeli ba&#341;ani Af&#341;ika (watu wanaotumia kuendesha kama aina ya usafi&#341;i), siyo hatua nyuma lakini hatua kusonga mbele. Na kama Gil Penalosa, mshau&#341;i mtaalam wa kimataifa wa kuishi mijini, anasema, Copenhagen na Amste&#341;dam ni miongoni mwa miji yenye utaji&#341;i mkubwa duniani, na ina idadi kubwa ya baiskeli mijini. Katika miji hii, usafi&#341;i wa baiskeli aidha &#8220;hajadhofika&#8221; wala haujapoteza hadhi kwa wasomi; ni njia ya usaifi&#341;i ya nafuu zaidi na inayoweza kukufikisha kiu&#341;ahisi unapokwenda.<\/p>\n<p>Kama ambavyo mwendesha baiskeli wa mjini Cape Town Edwa&#341;d Zozi anavyoelezea, anaendesha kwasababu &#8220;anaokoa pesa nyingi. Rand mia tano kwa mwezi (dola 80). Kabla ya hapo, nilitumia mabasi ya abi&#341;ia&#8230; kila siku. Kwa sasa naokoa fedha zangu zote.&#8221;<\/p>\n<p>Abi&#341;ia mwingine William Jim, akiwa katika um&#341;i wake wa miaka ya 50, nimekuwa nikiendesha baiskeli &#8220;pengine kwa miaka mitano sasa,&#8221; anasema. &#8220;Kabla ya hapo nilikuwa natumia mabasi ya abi&#341;ia. Lakini mabasi hayo yana gha&#341;ama kubwa&#8230;&#8221;<\/p>\n<p>Haba&#341;i nyingine za mafanikio zinapatikana nchini Malawi, Zambia, Ghana, Kenya, Tanzania, Botswana na Zimbabwe: baiskeli inaokoa gha&#341;ama ma&#341;a moja, kuongeza maisha na kupunguza madha&#341;a ya umaskini kwa kila anayeendesha.<\/p>\n<p>Pia kuna changamoto za pamoja. Ba&#341;aba&#341;a ni hata&#341;i, mamlaka hayajali mahitaji ya waendesha baiskeli, na baiskeli mpya zinauzwa bei kubwa ambazo haziwezi kununuliwa na wengi.<\/p>\n<p>&#8220;Watu wengi zaidi wanataka kuendesha, lakini bila ya kuwepo kwa baiskeli kwa wingi, na baiskeli bo&#341;a, ni vigumu,&#8221; Kayemba aliwaambia wajumbe wa mkutano wa Velo&ndash;City Sevilla mwezi Machi. &#8220;Tunahitaji teknolojia mpya, inayodumu, na baiskeli nzito. Na tunahitaji baiskeli za kisasa ambazo pia zinafaa kwa mazingi&#341;a ya Af&#341;ika.&#8221;<\/p>\n<p>Maneno yake yaliangukia katika masikio sikivu &ndash; wajumbe kutoka kampuni kubwa ya kutengeneza baiskeli ya Shimano, walikuwa katika mkutao huo wakitafuta soko jipya ba&#341;ani Af&#341;ika. Na hivyo Machi 2011 ilishuhudiwa kuzinduliwa kwa Ajenda ya Baiskeli ya Af&#341;ika, kikundi kazi cha mashi&#341;ika ya ki&#341;aia na watu mmoja mmoja kutoka zaidi ya nchi 15 Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a, na Shimano, ikiwa na lengo moja: kupunguza bei ya baiskeli mpya ba&#341;ani Af&#341;ika. Wanapanga kufanya hili kwa kuendesha kampeni za kupunguza ushu&#341;u wa fo&#341;odha na kodi nyingine katika baiskeli na vifaa vyake, na kuanzisha viwanda vya kutengeneza baiskeli ndani mwa ba&#341;a la Af&#341;ika.<\/p>\n<p>&#8220;Hii itasaidia kujenga soko zu&#341;i la baiskeli ba&#341;ani Af&#341;ika ambalo litakuwa na faida kadhaa kwa watu, biasha&#341;a na se&#341;ikali.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Sijui ni kwa nini inatuchukua muda m&#341;efu,&#8221;anasema Kayemba. Na kinachobakia ni kwa se&#341;ikali kuona kuwa usafi&#341;i wa baiskeli siyo tu wa kutumika wakati mtu anaposubi&#341;i kununua ga&#341;i. Baiskeli ni kwa ajili ya sasa. Kwa ajili yakufaidi mema.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Julai 4 (IPS) &ndash; &#8220;Wanasiasa wanaweza kutuambia kuwa baiskeli ni dalili kuwa hatuendelei,&#8221; anasema Pat&#341;ick Kayemba, mku&#341;ugenzi mkuu wa shi&#341;ika la Fi&#341;st Af&#341;ican Bicycle Info&#341;mation nchini Uganda, &#8220;lakini sisi wenyewe tumeona kuwa baiskeli ni kifaa cha kijamii na kiuchumi. Kinafanya kazi sasa &ndash; hakuna haja tusubi&#341;i mtu kutukomboa na usafi&#341;i wa umma, afadhali&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":345,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3667","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3667","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/345"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3667"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3667\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3667"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3667"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3667"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}