{"id":3662,"date":"2011-06-21T13:40:01","date_gmt":"2011-06-21T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/06\/21\/afya-zinahitajika-fedha-kufadhili-art\/"},"modified":"2011-06-21T13:40:01","modified_gmt":"2011-06-21T13:40:01","slug":"afya-zinahitajika-fedha-kufadhili-art","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/06\/21\/afya-zinahitajika-fedha-kufadhili-art\/","title":{"rendered":"AFYA: Zinahitajika Fedha Kufadhili ART"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Jun 20 (IPS) &ndash; Malengo yaliyowekwa ya upatikanaji wa madawa ya kutibu UKIMWI kwa wote na ufadhili wake ili malengo yatimie ni masuala ambayo mashi&#341;ika ya VVU na UKIMWI yanataka yajadiliwe wakati wa Mkutano Maalum wa Ba&#341;aza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGAS) utakaofanyika mjini New Yo&#341;k mwezi ujao.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Ukiwa unata&#341;ajiwa kufanyika mapema Juni na kuhudhu&#341;iwa na watunga se&#341;a na wakuu wa nchi, mkutano huo utaonyesha mwelekeo wa dunia wa hatua za kukabiliana na VVU na UKIMWI katika muongo ujao na zaidi ya hapo.<\/p>\n<p>Mkutano wa UNGAS mwaka 2006 na kuundwa kwa Global Fund baada ya hapo ili kutoa &#341;uzuku ilikuwa hatua kubwa ya kutafuta pesa za kupanua p&#341;og&#341;amu za madawa ya ku&#341;efusha maisha kwa watu wanaoishi na VVU (ART), ambao kwa sasa wanakadi&#341;iwa kuwa watu milioni tano.<\/p>\n<p>Lakini wanaha&#341;akati wanasisitiza kuwa kasi hii lazima iendelezwe kuzuia kuzo&#341;otesha mafanikio yaliyopatikana hadi sasa katika kupambana na ugonjwa huo na uhaba wa fedha unapaswa kutafutiwa ufumbuzi.<\/p>\n<p>Anton Ke&#341;&#341;, mkuu wa se&#341;a katika shi&#341;ika la Inte&#341;national HIV\/AIDS Alliance, alisema: &#8220;Tupo katika wakati muhimu juu ya kuamua ni ahadi zipi zitasonga mbele.<\/p>\n<p>&#8220;VVU imekuwa ikiteleza katika ajenda ya kisiasa na pia tumekuwa na mgogo&#341;o wa kifedha, hivyo ni muhimu kuwa UNGAS inapata dhami&#341;a hiyo ya juu ya kisiasa ambayo itaweza kuleta pesa na ahadi katika miaka ijayo.<\/p>\n<p>&#8220;Bila ya kuwepo kwa dhami&#341;a ya kisiasa, hakutakuwa na wajibu kwa se&#341;ikali na wafadhili kuchukua hatua na kutakuwa na madha&#341;a makubwa ya muda m&#341;efu kutokana na maamuzi haya.&#8221;<\/p>\n<p>Katika jitihada za kutafuta pesa na dhami&#341;a ya kisiasa, makundi kama Inte&#341;national HIV\/AIDS Alliance yanataka kuonyesha faida za ART siyo tu kama njia ya kutoa tiba lakini kama njia ya kupunguza maambukizo mapya.<\/p>\n<p>Ripoti ya taasisi ya Afya ya Umoja wa Mataifa ilisema mwezi Mei kuwa kama mtu mwenye VVU anazingatia matumizi sahihi ya madawa ya ku&#341;efusha maisha, hata&#341;i ya kuambukiza vi&#341;usi kwa mpenzi asiyeathi&#341;ika inaweza kupunguzwa kwa asilimia 96.<\/p>\n<p>Huu unaunga mkono utafiti kama huo uliofanywa na ja&#341;ida la afya la Uinge&#341;eza la The Lancet mwishoni mwa mwaka 2010 na ule wa shi&#341;ika la UNAIDS ambao umependekeza kuwa kubo&#341;esha mikakati ya kutoa tiba na kuzuia kunaweza kupunguza nusu ya maambukizo mapya.<\/p>\n<p>&#8220;Ongezeko la matumizi ya ART siyo tu kwamba limeokoa maisha ya mamilioni, pia limepunguza maambukizo mapya,&#8221; alielezea Ma&#341;a Ka&#341;das&ndash;Nelson, ofisa wa upatikanaji na ubunifu katika shi&#341;ika la M&eacute;decins Sans F&#341;onti&#038;eg&#341;ave;&#341;es (MSF).<\/p>\n<p>Aliongeza kuwa: &#8220;Kama watu wanaanza kutumia ART mapema inakuwa na faida kubwa kwa jamii, na wala siyo suala la kufaidisha mtu mmoja tu.<\/p>\n<p>&#8220;Watu waliopo katika ART pia wanaishi maisha ya afya hivyo gha&#341;ama zinazotokana na matumizi ya huduma za afya hasa juu ya muda wa kwenda hopsitali na madawa mengine, na wanaishi miaka mingi na wana uwezo wa kufanya shughuli za kiuchumi.&#8221;<\/p>\n<p>Ka&#341;das&ndash;Nelson alisema kuwa ilikuwa ikieleweka kuwa kumekuwa na upungufu wa msaada wa kimataifa kufuatia mgogo&#341;o wa kifedha duniani na kuongezeka kwa shinikizo la matumizi ya ndani.<\/p>\n<p>Lakini aliwataka wafadhili kuangalia ufadhili wa ART kama uwekezaji ambao unaweza kulipa baada ya muda m&#341;efu.<\/p>\n<p>&#8220;ART imethibitishwa kupunguza maambukizo mapya na hivyo hii itapunguza mahitaji ya tiba katika kipindi ki&#341;efu,&#8221;alisema. &#8220;Pesa ambazo zimeelekezwa sasa zitaokolewa katika kipindi cha muda m&#341;efu.&#8221;<\/p>\n<p>Hata hivyo kupata fedha hizo kunaweza kusiwe &#341;ahisi. Kufuatia ahadi ambazo hazitimizwi kutoka kwa wafadhili Global Fund iliahi&#341;isha mgawo wa msaada wakati wa mwaka 2011na waombaji ambao walikataliwa kupewa pesa mwaka 2010 ilibidi kusubi&#341;i hadi mwaka 2013 kuweza kupata pesa yoyote.<\/p>\n<p>Madha&#341;a ya kukosa fedha kwa p&#341;og&#341;amu za ART ilikuwa moja ya mada iliyojadiliwa katika &#341;ipoti ya MSF iliyopewa jina la &#8220;Getting Ahead of the Wave&#8221; ambayo ilichapishwa mwezi Mei.<\/p>\n<p>Kwa kuangalia mataifa 16 ya Af&#341;ika, Asia na Ame&#341;ika ya Kusini ambayo yanabeba asilimia 52 ya mzigo wa UKIMWI duniani, MSF ilitathmini faida ambazo zinatokana na ART katika nchi hizo na mafanikio mengine ya njia za kukabiliana na VVU na UKIMWI.<\/p>\n<p>Ilikuta kuwa upatikanaji mkubwa wa ART umepunguza vifo vinavyohusiana na VVU, imepunguza kiwango cha maambukizo na kupungua kwa kiasi kikubwa gha&#341;ama za huduma za afya kwani watu walitumia muda mfupi hospitalini na walihitaji madawa machache ya nyongeza.<\/p>\n<p>Katika makazi duni ya mjini Cape Town ya Khayelitsha, ambako wastani wa asilimia 16 ya wakazi watu wazima wanaopata 500,000 wanaishi na VVU, madawa ya ART yalianza kutolewa mwaka 2001 na utafiti unabainisha kuwa wakati usambazaji wa ART uliongezeka, maambukizo mapya yalipungua.<\/p>\n<p>Hata hivyo, utafiti ulionya kuwa wakati mataifa 12 kati ya 16 yaliyofanyiwa utafiti yalishabadili itifaki za kutoa tiba ili kufikia watu na madawa ya ART mapema na 14 yameanza kutumia madawa ambayo yanavumiliwa zaidi, mataifa kadhaa ikiwa ni pamoja na Malawi na Zimbabwe yalikuwa yanapata shida kutokana na matatizo ya kifedha.<\/p>\n<p>Pia iligundulika kuwa katika mataifa mengi yaliyofanyiwa utafiti ni nusu tu ya watu waliohitaji ART walipata madawa hayo.<\/p>\n<p>MSF ilihitimisha kuwa pamoja na mafanikio ya kupambana na VVU\/UKIMWI kuwa mazu&#341;i katika nyaja mbalimbali bado yanabakia kuwa &#8220;tete&#8221; kama mikakati ya ART haitakuwa endelevu kwa kipindi ki&#341;efu.<\/p>\n<p>Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki&ndash;Moon alitoa wito wa kufikiwa shabaha ya angalau watu milioni 13 wanaoweza kupata tiba ifikapo mwaka 2015, wengine, ikiwa ni pamoja na shi&#341;ika la Inte&#341;national HIV\/AIDS Alliance, wanataka watu milioni 15, ambao wanasema bado watakuwa ni asilimia 80 ya wanaohitaji.<\/p>\n<p>Ke&#341;&#341; alisistiza kuwa shabaha zote pia lazima ziambatane na viashi&#341;ia vya wazi ku&#341;uhusu ufuatiliaji wa kina na uchanganuzi wa mafanikio.<\/p>\n<p>Aliongeza kuwa jitihada zaidi zilihitajika kujenga mifumo ya kiubunifu zaidi ya kutoa ufadhili, na kujenga juu ya mipango iliyopo kama vile ku&#341;uhusu utengenezaji wa madawa bila usajili wa nembo ya biasha&#341;a, ambako kulisaidia kupunguza gha&#341;ama za madawa.<\/p>\n<p>Utafiti wa MSF ulibainisha kuwa kumekuwepo na jitihada kubwa katika muongo uliopita katika kupunguza bei ya madawa na kuongeza upatikanaji wake.<\/p>\n<p>Ilisema kuwa ushindani wa watengenezaji wa madawa yasiyokuwa na usajili wa nembo ya biasha&#341;a umefanya kupungua kwa bei ya madawa ya ART yanayotumiwa zaidi kutoka zaidi ya dola 10,000 kwa mgonjwa hadi dola 67 kwa mgonjwa leo hii &ndash; kupungua kwa asilimia 99.<\/p>\n<p>Hatua nyingine muhimu ni kuanzishwa kwa vifaa &#341;ahisi kupima ambavyo vinaweza kutumika hata katika maeneo ya vijijini kwa kutoa mafunzo kidogo kwa wafanyakazi wa afya.<\/p>\n<p>Ka&#341;das&ndash;Nelson wa MSF alisema ubunifu wa kitabibu ulikuwa muhimu kuendelea kupunguza gha&#341;ama na upatikanaji.<\/p>\n<p>&#8220;Tunahitaji vifaa vya kupima vya kiubunifu, njia za kiubunifu za kufikisha tiba kwa watu na madawa mapya ya kiubunifu,&#8221; alielezea.<\/p>\n<p>&#8220;Ubunifu unakwenda sambamba na kuongezeka kwa upatikanaji wa tiba,&#8221;aliongeza.<\/p>\n<p>Pamoja na mafanikio yaliyobainishwa na &#341;ipoti ya MSF katika muongo uliopita, baadhi ya watu milioni 10 bado wanahitaji tiba ya ART.<\/p>\n<p>Tido von Schoen&ndash;Ange&#341;e&#341;, mku&#341;ugenzi mtendaji wa kampeni ya Upatikanaji wa Tiba ya MSF, alisema ni muhimu kuwa mkutano wa UNGAS mwezi Juni unakuwa na matunda.<\/p>\n<p>Alisema: &#8220;Kwa kuwa na se&#341;a sahihi, tunaweza kuongeza ma&#341;a tatu idadi ya watu wanaopata tiba bila kuongeza gha&#341;ama ma&#341;a tatu.<\/p>\n<p>&#8220;Lakini kama se&#341;ikali za wafadhili muhimu hazitasaidia kufikia shabaha ya tiba, watakuwa wanapeleka ujumbe wa wazi kuwa hawafiki&#341;ii kuja kuondosha gonjwa hili.&#8221;<\/p>\n<p>Mkutano Maalum wa Ba&#341;aza Kuu la Umoja wa Mataifa, ambao baadhi wana imani unaweza kuwa wa mwisho wa aina yake kuwahi kufanyika, utakuwa mjini New Yo&#341;k June 8 &ndash; 10. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Jun 20 (IPS) &ndash; Malengo yaliyowekwa ya upatikanaji wa madawa ya kutibu UKIMWI kwa wote na ufadhili wake ili malengo yatimie ni masuala ambayo mashi&#341;ika ya VVU na UKIMWI yanataka yajadiliwe wakati wa Mkutano Maalum wa Ba&#341;aza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGAS) utakaofanyika mjini New Yo&#341;k mwezi ujao. Ukiwa unata&#341;ajiwa kufanyika mapema Juni&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":507,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3662","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3662","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/507"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3662"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3662\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3662"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3662"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3662"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}