{"id":3658,"date":"2011-06-21T13:40:01","date_gmt":"2011-06-21T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/06\/21\/mkataba-wa-biashaa-wa-eu-na-india-watishiwa-na-madawa-ya-bei-nafuu\/"},"modified":"2011-06-21T13:40:01","modified_gmt":"2011-06-21T13:40:01","slug":"mkataba-wa-biashaa-wa-eu-na-india-watishiwa-na-madawa-ya-bei-nafuu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/06\/21\/mkataba-wa-biashaa-wa-eu-na-india-watishiwa-na-madawa-ya-bei-nafuu\/","title":{"rendered":"Mkataba wa Biasha&#341;a wa EU na India Watishiwa na Madawa ya Bei Nafuu"},"content":{"rendered":"<p>BERLIN, Jun 20 (IPS) &ndash; Zaidi ya miaka minne baada ya EU kuanza kujadili mkataba wa biasha&#341;a na India, mchakato umeingia kwenye msuguano mkali kutokana na EU kuendelea kusisitiza kuwepo kwa kifungu cha takwimu maalum, pamoja na upinzani mkubwa kutoka kwa waendesha mazungumzo wa se&#341;ikali ya India na mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali (NGOs) ya India na Umoja wa Ulaya (EU).\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Se&#341;ikali za EU na India zilianza kuendesha mazungumzo ya biasha&#341;a Ap&#341;ili 2007. Taya&#341;i mwanzoni mwa mchakato huo ilikuja kuonekana wazi kuwa EU inatambua kuwa India kukubaliana na kifungu cha takwimu maalum (DE) katika mkataba kitakuwa kikwazo kikubwa.<\/p>\n<p>Leo hii, miaka minne baadae, kifungu hicho kinaendelea kuwa kikwazo katika mkataba.<\/p>\n<p>Kifungu cha takwimu maalum (DE) kitazuia sekta ya madawa ya binadamu ya India kutumia fomula iliyopo ya bidhaa ambazo taya&#341;i zimesajiliwa kwa haki miliki, hasa madawa ya binadamu, kutengenezwa kwa kibali, na kuyafanya kuwa bei nafuu na kupatikana kiu&#341;ahisi kwa wagonjwa wa nchi zinazoendelea.<\/p>\n<p>&#8220;Suala la takwimu maalum ni njia ya mlango wa nyuma ya makampuni ya kimataifa ya madawa ya binadamu kuhodhi biasha&#341;a na kutoza bei kubwa, hata kama madawa yao yameonekana kutokukidhi kuwa na haki miliki au haki hiyo imeshaisha wakati wake. DE ingeweza kutumika katika madawa yote,&#8221; Leena Menghaney, meneja wa kampeni ya upatikanaji wa madawa muhimu wa shi&#341;ika la madakta&#341;i wasiokuwa na mipaka la M&eacute;decins sans F&#341;onti&#038;eg&#341;ave;&#341;es&#8217; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>M&eacute;decins Sans F&#341;onti&#038;eg&#341;ave;&#341;es (MSF) ni shi&#341;ika hu&#341;u la kimataifa, linalohusiana na utabibu na masuala ya kiutu ambalo linatoa misaada kwa watu walioathi&#341;ika na vita, magonjwa, kukosa huduma za afya au majanga ya kibinadamu.<\/p>\n<p>Menghaney anakumbuka kuwa, &#8220;India imejulikana kama &#8216;duka la dawa la mataifa yanayoendelea&#8217;.&#8221;<\/p>\n<p>Kwa mfano, zaidi ya asilimia 80 ya madawa yanayotumiwa na MSF kutibu watu 170,000 wanaoishi na VVU na UKIMWI yanatoka India. Wafadhili wa kimataifa wanategemea madawa ya bei nafuu ya India kwa kiwango kama hichohicho. Mataifa mengi maskini ya Af&#341;ika hutegemea madawa ya bei nafuu kwa asilimia 90 ya mahitaji yake ya huduma za afya.<\/p>\n<p>Madawa ya bei nafuu ni muhimu katika kukabiliana na magonjwa kama ya VVU na UKIMWI, kifua kikuu na mala&#341;ia ba&#341;ani Af&#341;ika na katika kanda nyingine maskini.<\/p>\n<p>Kifungu cha DE katika FTA ambacho kinajadiliwa kwa sasa kitakuwa na maana ya kuwa madawa nafuu ya makampuni ya madawa ya binadamu hayataweza tena kusambaza madawa nafuu kwa watu wa mataifa yanayoendelea, anasema Menghaney.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika la kufuatilia mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali Ulaya (CEO) linashutumu Tume ya Ulaya (EC), bodi inayoongoza EU, juu ya kuendelea kuwa na kifungu cha DE katika FTA pamoja na ugumu wake wa kueleweka kwa sekta ya madawa ba&#341;ani Ulaya.<\/p>\n<p>Mwezi Feb. 2010, CEO ilitoa madai dhidi ya EC ya &#8220;kukalia nya&#341;aka zinazohusiana na mazungumzo ya biasha&#341;a ya EU na India&#8221; katika Mahakama Kuu ya EU. Bado kesi hiyo inaendelea.<\/p>\n<p>CEO, shi&#341;ika la ufuatiliaji ambalo limebobea katika kubainisha ushawishi ambao viwanda vya Ulaya vinakuwa nao katika uwekezaji wa EU na mahusiano ya kibiasha&#341;a na mataifa yanayoendelea, inatuhumu EC &#8220;kwa kuwa na ubaguzi kwa kupendelea mashi&#341;ika yanayowatetea na kwa kukiuka she&#341;ia za uwazi za EU&#8221;.<\/p>\n<p>&#8220;Suala letu linahusu nya&#341;aka kadhaa za EC ikiwa ni pamoja na &#341;ipoti, ba&#341;ua pepe na ba&#341;ua za kawaida ambazo ku&#341;ugenzzi ya biasha&#341;a ya EC ilipeleka kwa chama cha viwanda cha Ulaya, ikiwa ni pamoja na shi&#341;ika la BusinessEu&#341;ope na Shi&#341;ikisho la Viwanda vya Vyakula na Vinywaji la Ulaya,&#8221; Pia Ebe&#341;ha&#341;dt, mtafiti wa CEO, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Ebe&#341;ha&#341;dt anabainisha kuwa, wakati mashi&#341;ika yote haya ya utetezi yalipokea matoleo yote ya nya&#341;aka hizo, EC ilitoa matoleo yaliyoha&#341;i&#341;iwa kwa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia kama vile CEO, na kusema kuwa kuonyesha nya&#341;aka zote &#8220;kungedhoofisha&#8221; mahusiano ya kimataifa ya EU.<\/p>\n<p>Baada ya kuwepo kwa ta&#341;ehe za mwisho kadhaa za nyongeza za kujibu mahitaji ya CEO, ilionyesha o&#341;odha ya EC yenye nya&#341;aka 170 zinazohusiana na mazungumzo hayo, ikiwa ni pamoja na &#341;ipoti za mikutano, ba&#341;ua pepe na ba&#341;ua za kawaida.<\/p>\n<p>&#8220;Kati ya nya&#341;aka hizi, nya&#341;aka 50 zilitolewa kwa sehemu tu na zaidi ya nya&#341;aka 30 zilifichwa kabisa, ikiwa ni pamoja na mawasiliano kwa njia ya ba&#341;ua pepe na &#341;ipoti kuhusu mikutano na makampuni ya madawa ya Ulaya ya Sanofi&ndash;Aventis, Eli Lili na GlaxoSmithKline na shi&#341;ika la kutetea makampuni ya madawa la EFPIA,&#8221; Ebe&#341;ha&#341;dt anasema.<\/p>\n<p>EFPIA inasimama badala ya Shi&#341;ikisho la Viwanda na Vyama vya Madawa vya Ulaya.<\/p>\n<p>CEO inadai kuwa makundi yote haya yalishi&#341;iki katika kutetea EC kuima&#341;isha matumizi ya she&#341;ia ya haki miliki kupitia matumizi ya kifungu cha takwimu maalum katika mkataba baina ya EU na India.<\/p>\n<p>Madi Sha&#341;ma, mjumbe wa Kamati ya Uchumi na Jamii ya Ulaya (EESC), anaelezea mazungumzo na India kama &#8220;yasiyokuwa ya uwazi&#8221;. EESC ni chombo cha ushau&#341;i wa kitaalam cha EU kilichoanzishwa kutoa ushau&#341;i kwa taasisi zake na kimsingi kinaonekena kama &#8220;da&#341;aja kati ya EU na mashi&#341;ika yasiyokuwa ya ki&#341;aia&#8221;.<\/p>\n<p>Mwezi Ap&#341;ili, Sha&#341;ma, kiongozi wa juu wa EESC katika &#341;ipoti ya kufuatilia mchakato wa FTA, aliwasilisha &#8220;msimamo wake wa awali&#8221; kwa vyombo vya haba&#341;i mjini B&#341;ussels. Alitaka kusimamishwa kwa mazungumzo hadi tafiti zilizofanywa &#8220;kutathmini atha&#341;i za kiuchumi na kijamii zinazoweza kujitokeza kwenye (mkataba huo wa biasha&#341;a) kwa jamii ya India&#8221;.<\/p>\n<p>Wakati huo huo, se&#341;ikali ya India inaendelea kupendekeza kifungu cha DE kutokuwepo. Mwezi Machi, wazi&#341;i wa biasha&#341;a na viwanda wa India Sh&#341;i Anand Sha&#341;ma kwa ma&#341;a nyingine tena alikataa DE, akisema kuwa iko &#8220;juu ya&#8221; she&#341;ia za biasha&#341;a za kimataifa.<\/p>\n<p>Alithibitisha madai kuwa &#8220;kuingiza suala la takwimu maalum, kama inavyoonekana, kungekuwa na madha&#341;a makubwa katika kuchelewesha kuingia kwenye soko kwa madawa ya bei nafuu.<\/p>\n<p>Wiki moja baadaye, mwezi Ap&#341;ili 7, kamishina wa biasha&#341;a wa EU Ka&#341;el de Gucht alisema katika taa&#341;ifa mbele ya Bunge la Ulaya kuwa, &#8220;ni mawazo ya Tume kuwa kulinda takwimu za maja&#341;ibio kunaweza kuambatana na kuhakikisha upatikanaji wa madawa, ikiwa ni pamoja na vifaa kama vile leseni za lazima kwa mahitaji ya afya ya umma&#8221;.<\/p>\n<p>Mazungumzo hayo kwa sasa yapo katika du&#341;u yake ya 10 baada ya yale ya mwisho kushindwa kufanyika mwezi Machi kutokana na msuguano uliosababishwa na kutokukubaliana kuhusu kifungu cha DE. Kulingana na &#341;atiba &#341;asmi, mkutano wa kilele kati ya EU na India umepangwa kufanyika Desemba 10 mjini B&#341;ussels.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BERLIN, Jun 20 (IPS) &ndash; Zaidi ya miaka minne baada ya EU kuanza kujadili mkataba wa biasha&#341;a na India, mchakato umeingia kwenye msuguano mkali kutokana na EU kuendelea kusisitiza kuwepo kwa kifungu cha takwimu maalum, pamoja na upinzani mkubwa kutoka kwa waendesha mazungumzo wa se&#341;ikali ya India na mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali (NGOs) ya India&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":78,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3658","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3658","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/78"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3658"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3658\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3658"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3658"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3658"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}