{"id":3647,"date":"2011-05-26T13:40:01","date_gmt":"2011-05-26T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/26\/maendeleo-vyama-vya-kiaia-vyasema-ni-wakati-wa-kutumia-mfumo-mpya\/"},"modified":"2011-05-26T13:40:01","modified_gmt":"2011-05-26T13:40:01","slug":"maendeleo-vyama-vya-kiaia-vyasema-ni-wakati-wa-kutumia-mfumo-mpya","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/26\/maendeleo-vyama-vya-kiaia-vyasema-ni-wakati-wa-kutumia-mfumo-mpya\/","title":{"rendered":"MAENDELEO: Vyama vya Ki&#341;aia Vyasema ni Wakati wa Kutumia Mfumo Mpya"},"content":{"rendered":"<p>ISTANBUL, Mei 26 (IPS) &ndash; Mifumo iliyozoeleka ya maendeleo imeshindwa kusaidia watu maskini zaidi duniani na sasa lazima mfumo ubadilike. Huu ni ujumbe wenye nguvu unaokuja kutoka kwa zaidi ya mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali 2,000 yaliyokusanyika katika kongamano ya mashi&#341;ika ya ki&#341;aia kwenye Mkutano wa Nne wa Umoja wa Mataifa wa Nchi Zenye Maendeleo Duni (LDC&ndash;IV) mjini Istanbul, Utu&#341;uki.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>A&#341;jun Ka&#341;ki, msemaji wa kongamano hilo, aliliambia kusanyiko kuwa kushindwa kuona nchi nyingi zaidi za LDC zikijinasua katika kundi hili kunaonyesha kushindwa kwa kiasi kikubwa kwa mfumo wa misaada ya maendeleo ambayo inatolewa na nchi kubwa zenye sauti katika jumuiya ya kimataifa.<\/p>\n<p>NGOs zinadai kuwa mfumo unaopendelea uchumi hu&#341;ia na biasha&#341;a hu&#341;u umetumika bila mpangilio, huku nchi zenye maendeleo zikishikilia hatua muhimu za kulinda maslahi yao wenyewe wakati huo huo zikishinikiza nchi maskini zaidi kuondokana na mfumo huo.<\/p>\n<p>Mataifa ya LDCs, wanaendelea kusema, yamelazimika kufuata madai ya taasisi za kimataifa badala ya kutekeleza se&#341;a zao na mipango yao mbadala kwa ajili ya maendeleo endelevu na mapana zaidi.<\/p>\n<p>Kujinasua kutoka kwenye kundi la LDC na kuingia kwenye hatua nyingine &ndash; kunapunguza hadhi ya kipato cha nchi &ndash; uchumi lazima kuzidi viwango vya LDC katika vigezo viwili kati ya vitatu kwa angalau miaka sita. Tangu kundi la LDCs lilipoanzishwa mwaka 1971, nchi tatu tu ziliweza kuvuka vigezo: Botswana, Cape Ve&#341;de na Maldives.<\/p>\n<p>&#8220;Mataifa ya LDCs yanakabiliwa na dha&#341;ula ya kimaendeleo na ni wajibu wa kimataifa kuja pamoja na kunyanyua LDCs kutoka katika mdua&#341;a wa umaskini, kukosa uwezo na utulivu,&#8221; alisema Ka&#341;ki, mwanaha&#341;akati maa&#341;ufu na mtaalam wa masuala ya maendeleo kutoka Nepal ambaye ana&#341;atibu Kamati ya Muda ya Mashi&#341;ika ya Ki&#341;aia ya LDC&ndash;IV.<\/p>\n<p>Alisema ni ukweli unaouma kuwa maskini na watu waliopo pembezoni katika mataifa ya LDCs wamepata maendeleo madogo mno katika muongo uliopita. Badala yake inabidi kubeba mzigo wa migogo&#341;o mipya ya chakula, maji, mabadiliko ya tabia nchi na mtikisiko wa kifedha duniani, hata kama matatizo haya yamesababishwa na dunia nzima.<\/p>\n<p>&#8220;Hatuwezi kuendelea kushuhudia idadi ya nchi za LDCs ikiongezeka, kama ilivyojitokeza tangu mwaka 1971 &ndash; kutoka nchi 24 hadi 48 leo hii. Lazima tufanye kazi nzu&#341;i hapa Istanbul,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Dunia isiyokuwa na LDCs<\/p>\n<p>Mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yanapendekeza mfumo wa kuweka watu mbele kabla ya faida. Mapendekezo yapo katika &#341;ipoti yenye jina la &#8220;Dunia Bila LDCs&#8221;, ambayo ilizinduliwa katika kongamanao la mashi&#341;ka ya ki&#341;aia Mei 8.<\/p>\n<p>Ripoti inaonyesha mitizamo ya watu na njia mbadala za kukabiliana na umaskini ambazo zitajenga upya ajenda ya LDC.<\/p>\n<p>Mfumo mpya unaopendekezwa na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia ni pamoja na haja ya kufutwa ma&#341;a moja na bila masha&#341;ti madeni yote yanayodaiwa nchi za LDCs na kupitiwa upya kwa malengo na uendeshaji wa Shi&#341;ika la Fedha Ulimwenguni na Benki ya Dunia.<\/p>\n<p>Madai mengine ni kuanzishwa kwa se&#341;a za kuleta mageuzi katika kilimo na utekelezaji wake kwa kuzingatia maslahi ya wakulima wadogo na kuwa na she&#341;ia za kudhibiti uhaba wa chakula, upokonyaji wa a&#341;dhi, mbegu za mazao yenye vinasaba na uzalishaji mkubwa wa mafuta ya pet&#341;oli yatokanayo na mimea.<\/p>\n<p>Mwenyekiti wa tawi la Utu&#341;uki la shi&#341;ika la kimataifa la misaada la Docto&#341;s Wo&#341;ldwide, Dk Ihsan Ka&#341;aman, alikubaliana na Ka&#341;ki. Alisema kuwa pamoja na mataifa mengi ya LDCs kujaliwa na utaji&#341;i wa &#341;asilimali, hayajaweza kujitosheleza na kupata maendeleo kwa zaidi ya ka&#341;ne sasa.<\/p>\n<p>&#8220;Hali hii inasimama mbele yetu kama aibu ya jumuiya ya kimataifa. Katika dunia ya utandawazi, ni ushahidi tosha kuwa haijalishi ziko mbali kiasi gani, nchi na jamii zinawasiliana pamoja, na wakati &#341;asilimali hazigawanywi na kutumiwa kwa usawa na kiafya, binadamu kwa ujumla wake atateseka,&#8221; alisema Ka&#341;aman.<\/p>\n<p>Alisema siyo &#341;ahisi kuzungumza kuhusu haki ya kimataifa, wakati washi&#341;ika wa maendeleo &ndash; ambao aliwaelezea kama &#8220;Wasomi wa Kaskazini&#8221; &ndash; wanaweza kulala kwa amani pamoja na kuwa wanatambua kuwa upande mwingine wa utaji&#341;i wa dunia ni kuacha asilimia 12 ya watu kulala na njaa kila siku.<\/p>\n<p>Ka&#341;aman alipendekeza kutumia kiasi kikubwa cha fedha katika teknolojia ya kijeshi na vita, bila kutimiza ahadi ndogo kabisa za misaada ya maendeleo ambayo inaweza kupunguza kwa kasi sana kukosekana kwa maendeleo.<\/p>\n<p>&#8220;Ngoja tutoe uamuzi pamoja wa kuleta mabadiliko ya mfumo huu wa kikatili duniani, ambao unafanya mataji&#341;i kuwa mataji&#341;i zaidi na maskini kuwa maskini zaidi. Kama wabunge, se&#341;ikali, sekta binafsi, vyombo vya kijasusi, mashi&#341;ika mwamvuli na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia, tunapaswa sote kula kiapo kipya na kuungana kwa ajili ya dunia isiyokuwa na LDCs,&#8221; alisema Ka&#341;aman.<\/p>\n<p>Mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yana mata&#341;ajio kuwa mkutano wa Istanbul utatoa sauti ya dhami&#341;a ya kimataifa, na kuwa mfano wa imani za pamoja za kibinadamu juu ya malengo ya kisiasa na kiuchumi.<\/p>\n<p>Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki&ndash;Moon, ambaye alihudhu&#341;ia kongamano la mashi&#341;ika ya ki&#341;aia, aliwaambia washi&#341;iki kuwa kuna haja ya dunia kufanya kazi pamoja kuifanya dunia kuwa mahali pazu&#341;i kwa wote na kwamba Mkutano wa Istanbul unapaswa kutoa sauti za mashi&#341;ika ya ki&#341;aia kwa ajili ya mafanikio. Alisema ana wasiwasi kuwa mataifa ya LDCs yana uwezekano wa kuingia katika msukosuko mwingine wa maendeleo.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ISTANBUL, Mei 26 (IPS) &ndash; Mifumo iliyozoeleka ya maendeleo imeshindwa kusaidia watu maskini zaidi duniani na sasa lazima mfumo ubadilike. Huu ni ujumbe wenye nguvu unaokuja kutoka kwa zaidi ya mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali 2,000 yaliyokusanyika katika kongamano ya mashi&#341;ika ya ki&#341;aia kwenye Mkutano wa Nne wa Umoja wa Mataifa wa Nchi Zenye Maendeleo Duni&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":708,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3647","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3647","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/708"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3647"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3647\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3647"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3647"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3647"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}