{"id":3640,"date":"2011-05-23T13:40:01","date_gmt":"2011-05-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/23\/maendeleo-mashiika-ya-kijamii-yakataa-mpango-wa-istanbul-usiokuwa-na-meno\/"},"modified":"2011-05-23T13:40:01","modified_gmt":"2011-05-23T13:40:01","slug":"maendeleo-mashiika-ya-kijamii-yakataa-mpango-wa-istanbul-usiokuwa-na-meno","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/23\/maendeleo-mashiika-ya-kijamii-yakataa-mpango-wa-istanbul-usiokuwa-na-meno\/","title":{"rendered":"MAENDELEO: Mashi&#341;ika ya Kijamii Yakataa Mpango wa Istanbul &#8216;Usiokuwa na Meno&#8217;"},"content":{"rendered":"<p>ISTANBUL, Mei 20 (IPS) &ndash; Kongamano la Viongozi wa LDC&ndash;IV: mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yanasema matakwa ya wanajamii yanapuuzwa. \/ Umoja wa Mataifa &ndash; Mashi&#341;ika ya kijamii yamejipanga kuhamasisha wananchi wa mataifa maskini zaidi duniani kuingia mitaani, na kuukataa Mpango wa Utekelezaji wa Istanbul uliokubaliwa na Mkutano wa Nne wa Umoja wa Mataifa wa Nchi Zenye Maendeleo Duni Dunia.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Mpango huo wa utekelezaji hauna meno na unaonekana kuacha watu wanaoishi katika nchi zenye maendeleo duniani ambao wako katika hali mbaya kuliko ilivyokuwa siku za zamani,&#8221; alisema A&#341;jun Ka&#341;ki, msemaji wa kongamano la mashi&#341;ika ya ki&#341;aia katika mkutano, unaojulikana kama LDC&ndash;IV. &#8220;Tumeshtushwa na kukatishwa tamaa,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Zaidi ya watu milioni 800 wanaoishi katika mataifa 38 yanayojulikana kama mataifa yenye maendeleo duni; 33 kati yao yanapatikana katika Af&#341;ika Kusini mwa jangwa la saha&#341;a.<\/p>\n<p>Mpango wa Utekelezaji wa muongo mzima wa mwaka 2011 hadi 2020 unasema kuwa umiliki na wajibu wa msingi wa maendeleo unategemea nchi zenye maendeleo duni zenyewe. LDCs zinatakiwa kuingiza Mpango wa Maendeleo katika mikakati yao ya maendeleo, mipango na p&#341;og&#341;amu ambazo zinaonyesha wajibu wa mamlaka ya ndani kwa ajili ya kusimamia utekelezaji na kushi&#341;ikisha wadau kutoka bungeni na sekta binafsi.<\/p>\n<p>Washi&#341;ika wao wa maendeleo wameahidi kuwa na ushi&#341;ikiano mpya wa kimataifa na wenye nguvu.<\/p>\n<p>&#8220;Ushi&#341;ikiano huu pia unahusu mfumo wa Umoja wa Mtaifa, ikiwa ni pamoja na taasisi za B&#341;etton Woods, taasisi nyingine za kimataifa na benki za maendeleo za kikanda, katika majukumu yao waliyojiwekea,&#8221; linasema azimio hilo.<\/p>\n<p>Mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yanasema mpango wa utekelezaji wa Istanbul unashindwa kutimiza malengo yaliyokubaliwa kabla ya mkutano, ambayo ni kuanzisha na kupitisha malengo mapya ya ushi&#341;ikiano miongoni mwa LDCs na washi&#341;ika wao wa maendeleo, na kuhamasisha msaada zaidi wa kimataifa na hatua za kusaidia LDCs. &#8220;Ni vigumu kupata ahadi halisi na malengo yanayoweza kuhesabika ambayo yangesaidia maisha ya watu katika LDCs [katika wa&#341;aka huo],&#8221; Ka&#341;ki aliuambia mkutano wa wanahaba&#341;i. &#8220;Mpango unakosa ahadi maalum za kuchukua hatua ikiwa ni pamoja na mipangilio yoyote ile ya kufanya se&#341;ikali kuwajibika. Hakuna dhami&#341;a ya kisiasa. &#8220;Washi&#341;ika wa maendeleo wameondoka bila kutoa ahadi za kutekeleza ahadi za muda m&#341;efu za kutoa misaada kwa LDCs na kuondokana na vikwazo vya maendeleo,&#8221; alisema. &#8220;Di&#341;a yetu, mata&#341;ajio na matumaini ya mkutano yalikuwa makubwa mno lakini matokeo yake se&#341;ikali imeleta mzaha.&#8221;<\/p>\n<p>Mkutano pia ulishindwa kuhamasisha fedha za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, kulingana na Lidy Nacpil, m&#341;atibu wa kimataifa wa Jubilee South &ndash; Asia\/Pacific Movement on Debt and Development.<\/p>\n<p>&#8220;Hakuna kutajwa kwa ahadi kutoka nchi zenye maendeleo makubwa kukabiliana na kupunguza uzalishaji wa hewa chafu katika Mpango wa Utekelezaji wa Istanbul,&#8221; alisem Nacpil.<\/p>\n<p>Wala hakuna ahadi mpya za kubo&#341;esha kiwango cha msaada wa maedeleo kutoka Dunia Iliyoendelea kwenda kwa nchi maskini zaidi za Kusini, kulingana na Thida Khus, mku&#341;ugenzi mtendaji wa  Silaka, NGO ya Cambodia ya kukuza usawa wa kijinsia, ambayo inaona mkutano huo umeshindwa kufikia malengo.<\/p>\n<p>&#8220;Kushindwa kwa LDC&ndash;IV kufikia malengo kunahusishwa na nchi zilizoendelea kushindwa kutoa ahadi za nyongeza za kutoa fedha kwa mataifa ya LDCs,&#8221; alisema. &#8220;Se&#341;ikali katika LDCs pia lazima kulaumiwa kutokana na kushindwa kushawishi watu wao.&#8221;<\/p>\n<p>Pia amehofia kuwa Mpango wa Utekelezaji wa Istanbul ni mbaya zaidi kuliko ule wa B&#341;ussels wa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia kushi&#341;iki kwani hauwapatii nafasi ya kutosha kuchangia kwenye mahitaji yao ya kimaendeleo.<\/p>\n<p>&#8220;Tunawakilisha watu katika ngazi ya jamii, lakini jukumu la mashi&#341;ika ya ki&#341;aia katika ngazi ya kimataifa halijaingizwa katika mpango mzima,&#8221; alisema Khus.<\/p>\n<p>Wakati wa kuanza kwa mkutano huo, mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yalielezea haja ya kubadilisha msimamo ikiwa ni pamoja na kufutwa ma&#341;a moja na bila masha&#341;ti madeni ya mataifa ya LDCs na tathmini ya malengo na uendeshaji wa Shi&#341;ika la Fedha Ulimwenguni na Benki ya Dunia. Pia walitaka kuona se&#341;a za mageuzi ya kilimo ambayo yangesaidia wakulima wadogo, ikiwa ni pamoja na hatua za kusimamia mbegu zenye vinasaba, kuchukuliwa kwa a&#341;dhi yao na uzalishaji mkubwa wa mafuta yatokanayo na mimea, na mambo yanayoathi&#341;i bei ya mazao makuu ya chakula.<\/p>\n<p>&#8220;Inasikitisha sana kuwa hawakuzingatia matakwa yetu &ndash; ambayo ni matakwa ya watu. Katika Mpango wa Utekelezaji wa Istanbul, wasomi wa kaskazini wamepunguza nguvu ya jukumu lao la kuwa na utashi wa usawa na wa pamoja kimataifa,&#8221; anasema Dk Ihsan Ka&#341;aman, mwenyekiti wa shi&#341;ika ambalo liliandaa kongamano hilo la kijamii la Docto&#341;s Wo&#341;ldwide. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ISTANBUL, Mei 20 (IPS) &ndash; Kongamano la Viongozi wa LDC&ndash;IV: mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yanasema matakwa ya wanajamii yanapuuzwa. \/ Umoja wa Mataifa &ndash; Mashi&#341;ika ya kijamii yamejipanga kuhamasisha wananchi wa mataifa maskini zaidi duniani kuingia mitaani, na kuukataa Mpango wa Utekelezaji wa Istanbul uliokubaliwa na Mkutano wa Nne wa Umoja wa Mataifa wa Nchi Zenye&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":708,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3640","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3640","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/708"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3640"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3640\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3640"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3640"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3640"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}