{"id":3639,"date":"2011-05-12T13:40:01","date_gmt":"2011-05-12T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/12\/mwanga-wa-jua-na-kivuli-katika-mpango-wa-vijijini-nchini-rwanda\/"},"modified":"2011-05-12T13:40:01","modified_gmt":"2011-05-12T13:40:01","slug":"mwanga-wa-jua-na-kivuli-katika-mpango-wa-vijijini-nchini-rwanda","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/12\/mwanga-wa-jua-na-kivuli-katika-mpango-wa-vijijini-nchini-rwanda\/","title":{"rendered":"Mwanga wa Jua na Kivuli katika Mpango wa Vijijini Nchini Rwanda"},"content":{"rendered":"<p>KIGALI, May 10, 2011 (IPS) &ndash; Mwanga unaoakisiwa kutoka kwenye nyumba ya bati unasababisha &#341;angi ya kibuluu katika mabonde na vilima vijijini mwa Rwanda. Ni dalili ya wazi ya Rwanda kuibuka kutoka taifa lililoha&#341;ibiwa na mauaji ya halaiki miaka kumi na saba iliyopita na kuwa moja ya mataifa yanayopata maendeleo ya kasi katika ba&#341;a la Af&#341;ika.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Lakini je mapaa hayo ya bati ni faha&#341;i kwa Af&#341;ika <\/p>\n<p>Nyumba nyingi mpya zinatokana na mipango mikubwa ya kufanya familia za vijijini, ambazo zimetawanyika nje ya mijii mikuu, kuwa katika vijiji ambavyo vinajulikana kama imidugudu, na kuwezesha se&#341;ikali kutoa kiu&#341;ahisi huduma za umeme, maji, shule na usalama. Lakini ni mpango mdogo, kuondokana na nyumba za nyasi na kuwa na nyumba za kisasa zaidi, jambo ambalo limevutia hisia za mashi&#341;ika ya misaada wakati malalamiko yalipojitokeza mwaka jana kuwa nyumba za kabila la watu wachache la Wabatwa, ambao walikuwa mbilikimo kutoka msituni zimeha&#341;ibiwa na se&#341;ikali.<\/p>\n<p>Suala hilo ni gumu, linahusu uhasama unaoigubika Rwanda ikiwa ni pamoja na jitihada za kuhakikisha inapata mafanikio.<\/p>\n<p>Ushahidi wa mafanikio <\/p>\n<p>Mbali na shughuli tata za ujenzi, jinsi Rwanda inavyopata mafanikio katika sekta ya nyumba inaonekana zaidi katika mji wa kaskazini magha&#341;ibi wa Rubavu, ambao ulijulikana hapo zamani kama Gisenyi, mpakani mwa Rwanda na Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo. Katika upande wa Rwanda nyumba za zege na mawe &ndash; ambazo nyingi ni mpya au zinaendelea kujengwa &ndash; zinalinganishwa na vibanda vya nyasi vya Goma, mji unaokua na wenye kila aina ya ghasia baadhi ya kilomita 200 kutoka upande wa Kongo katika mpaka huo.<\/p>\n<p>Katika mji mkuu wa Kigali, vibanda vya debe au ka&#341;atasi za nailoni ambavyo vinapatikana kwa wingi katika miji ya nchi zinazoendelea sasa havipo tena, pamoja na kiwango cha ongezeko la wakazi wa mjini humo kufikia zaidi ya asilimia 6 kwa mwaka katika jiji lenye wakazi milioni 1.2. Nyumba katika eneo maskini zaidi na mjini Kigali zimesongamana, lakini zimejengwa vizu&#341;i na ni za kudumu.<\/p>\n<p>Asilimia ipatazo 80 ya wakazi wa Rwanda wapatao milioni 11 wanaishi katika maeneo ya vijijini, ambayo yana wakazi wengi zaidi katika ba&#341;a la Af&#341;ika, ambapo nyumba zimejengwa za kudumu, nzu&#341;i ambazo zimejengwa kwa matofali ya kuchoma na kuezekwa kwa vigae, na zile duni zaidi zimejengwa kwa matofali ya tope lakini yaliyochomwa na kuezekwa na mabati.<\/p>\n<p>Hadi mwaka 2010, maskini zaidi nchini humo waliishi katika nyumba za tofali za tope zilizochomwa au nyumba za miti zilizojulikana kama nyakatsi. Nyumba zilizosalia zinaondolewa na se&#341;ikali katika kampeni yake ijulikanayo kama &#8220;Bye&ndash;Bye Nyakatsi&#8221; ambayo ina ufanisi mkubwa na kuifanya Rwanda kuzidi kupata umaa&#341;ufu.<\/p>\n<p>Takwimu kutoka kwa moja ya viongozi wanaoendesha mpango mkuu wa maendeleo wa Rwanda, Vision 2020, James Musoni, wazi&#341;i wa se&#341;ikali za mitaa ambaye wiza&#341;a yake inashughulikia mpango wa kukabiliana na nyumba duni, anasema wakati &#8220;Bye&ndash;Bye Nyakatsi&#8221; ilipozinduliwa Desemba 2009, Rwanda ilikuwa na familia 120 000 zilizoishi katika nyumba za nyasi.<\/p>\n<p>&#8220;Hadi mwisho wa mwezi uliopita, tumebakia na familia 18 000 ambazo bado zinaishi katika nyumba hizo&#8230; katika miezi mitatu ama minne ijayo tutakuwa tumeshamaliza zoezi hilo,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>Kigali ilikuwa na nyumba za nyasi 1,559 kabla kampeni ya &#8220;Bye&ndash;Bye Nyakatsi&#8221; haijaanza, anasema meya Fidele Ndayisaba. Hadi sasa, nyumba 1,093 zimeshajengwa kuchukua nafasi ya nyumba za nyasi. Hadi mwishoni mwa Ap&#341;ili, familia zinazobakia katika nyumba za nyakatsi zitaweza kuhamia katika nyumba mpya.<\/p>\n<p>Hata hivyo wakuu se&#341;ikalini na wanasiasa kwa kiasi hawajui sababu ya kuondolewa kwa mapaa ya nyasi na kuezeka na mabati kama familia haiwezi kuondolewa ma&#341;a moja kuhamia katika nyumba ya kisasa. Baadhi wanataja juu ya hata&#341;i ya moto, hasa kutokana na kupelekwa kwa umeme kwa wingi katika maeneo ya vijijini mwa Rwanda, wengine wanaelezea hata&#341;i ya kung&#8217;atwa na nyoka na wadudu wanaoishi katika paa, na ukweli kwamba mapaa ya nyasi katika eneo lenye mvua nyingi nchini Rwanda yanaondoa &#341;asilimali chache zilizopo kwa wale wanaoshi katika nyumba zinazovuja.<\/p>\n<p>Kwa ujumla, watunga se&#341;a nchini Rwanda wanaonekana kuchanganya dhana ya kuishi katika nyumba za nyasi na umaskini wa wale wanaoishi katika nyumba hizo. Kubadilisha nyumba za nyasi na kuweka mabati kunaonekana kama ni muhimu katika kubo&#341;esha hali ya maisha yao. Kwa wale maskini wanaoishi katika nyumba za bati &ndash; viongozi wanasema mvua ni tatizo kubwa kuliko joto, ambalo ni ma&#341;a chache linaweza kuwa kati ya nyuzijoto 15 na 25.<\/p>\n<p>Kuna dhana kuwa baadhi ya maamuzi se&#341;ikalini yanachukuliwa kwa ajili ya kukuza su&#341;a ya Rwanda kama jamii ya kisasa kuliko kwa watu wake wengine. Mwanasiasa mstaafu ambaye amezungumza kwa masha&#341;ti ya kutokutajwa kwa hofu ya kuonekana siyo mzalendo, anazungumzia uamuzi wa ka&#341;ibuni wa kuzuia matumizi ya baiskeli kwa usafi&#341;i katika mitaa ya Kigali, na kuacha mamia ya vijana kukosa aji&#341;a. Hali hii, anasema, imefanyika kubo&#341;esha su&#341;a ya Kigali.<\/p>\n<p>Katibu mkuu wa hazina, Kampeta Sayinzoga, anajibu hoja kwa kusema kuwa uamuzi umetolewa kupunguza idadi kubwa ya ajali zinazotokana na baiskeli.<\/p>\n<p>Ni suala linalowezekana kuwa mpango wa &#8220;Bye&ndash;Bye Nyakatsi&#8221; ulionekana kama hatua halisi na muhimu kuwaondoa maskini wa Rwanda kutoka kwenye maisha hafifu. Inakuwa sehemu ya mpango kabambe ambao unahusu kutoa ng&#8217;ombe moja kwa kila familia, kutoa &#341;uzuku za mbolea na mbegu, msaada wa kifedha na wa elimu.<\/p>\n<p>Lakini suala la kutumia vitu katika ngazi ya viongozi waliochaguliwa katika ngazi ya wilaya kunaonekana kusababisha matatizo katika mpango wa &#8220;Bye&ndash;Bye Nyakatsi&#8221;.<\/p>\n<p>Ildephonse Niyomugabo wa Copo&#341;wa, shi&#341;ika lenye makao yake mjini Kigali linalotetea haki za kabila la Wabatwa, anasema wakazi wanaoishi katika &#8220;nyakatsi&#8221; wanaka&#341;ibisha kuondolewa kwa nyumba hizo na kujengewa za bati, na wataondoka kutoka kwenye imidugudu na kuhamia katika nyumba za kisasa.<\/p>\n<p>Tatizo ni kwamba mamlaka yaliondoa nyumba za nyasi &ndash; na katika baadhi ya maeneo wameondoa nyumba zote &ndash; za familia 720 za Wabatwa bila kutoa makazi mbadala au kujenga nyumba za mabati.<\/p>\n<p>&#8220;Ni janga,&#8221; anasema Niyomugabo. Hadi leo hii, familia zipatazo 100 zimeweza kuhamia katika makazi mapya. Wanaobaki wameendelea kuishi katika nyumba zenye hali mbaya wakati wanajengewa &ndash; ma&#341;a nyingine familia sita katika nyumba moja ambayo haina madi&#341;isha wala milango. Msongamano huo unazidi kuha&#341;ibu mazingi&#341;a ya afya ambayo taya&#341;i ni mabaya ya kabila la Wabatwa, ambao wanaandamwa na kiwango cha juu cha VVU na kipindupindu, anasema.<\/p>\n<p>Nini hakiwezi kutajwa <\/p>\n<p>Jitihada za Copo&#341;wa za kutoa tahadha&#341;i juu ya kubomoa nyumba kunaleta mwanga mzu&#341;i katika upande wa se&#341;ikali ya Rwanda. Shi&#341;ika lilikwenda kwa gazeti linalomilikiwa na se&#341;ikali, Rwanda Radio na televisheni ya se&#341;ikali kujitangaza, lakini lilikataliwa. Kituo cha &#341;edio binafsi mjini Kigali, City Radio, kiliwapatia muda wa kuzungumza, na shi&#341;ika liliandaa kipindi chake maalum cha video kusaidia kushawishi se&#341;ikali juu ya madha&#341;a yanayotokana na kampeni hiyo.<\/p>\n<p>Faith Mbabazi wa Rwanda Radio anaelezea kuwa kituo chake cha &#341;edio kilitoa haba&#341;i hiyo, lakini siyo kupitia Co&#341;po&#341;wa, ila katika suala la Wabatwa. Kutokana na kuwa bomoa bomoa hiyo iliathi&#341;i Wanya&#341;wanda wengine, kituo kilitoa haba&#341;i hiyo ya kipekee bila kutaja suala la ukabila.<\/p>\n<p>Hii inakwenda sanja&#341;i na kuwa makini na masuala ya kutaja makabila katika vyombo vya haba&#341;i na katika siasa, kutokana na mauaji ya halaiki ya mwaka 1994 ambapo watu wenye msimamo mkali kutoka kabila la Wahutu, walijawa na hasi&#341;a kali za miaka kadhaa ya ubaguzi kutoka kwa &#8220;Watusi&#8221; kulikotokana na taa&#341;ifa za kichochezi kutoka kwa vituo vya &#341;edio na magazeti ya Rwanda, na kuja&#341;ibu kuangamiza idadi ya watu katika kabila lenye watu wachache la Wautsi katika ghasia za mauaji zilizodumu kwa siku 100. Leo hii, makabu&#341;i ya halaiki na mifupa iliyosambaa kila mahali bado inagunduliwa wakati Wanya&#341;wanda wakijenga ba&#341;aba&#341;a nzu&#341;i, makazi na matuta ya kilimo.<\/p>\n<p>Kutokana na hali hii, dhana kuwa kubomolewa kwa nyumba za Wabatwa katika kampeni ya &#8220;Bye&ndash;Bye Nyakatsi&#8221; kumehusika na ubaguzi dhidi yao &ndash; aina ya kuangamiza makabila ambayo haiwezi kufiki&#341;ika.<\/p>\n<p>Lakini je ni kwa jinsi gani baadhi ya viongozi wa wilaya waliona suala hilo kuwa baya  Jibu la swali hili linatoa mwanga mzu&#341;i wa jinsi gani muujiza wa maendeleo ya Rwanda unakwenda.<\/p>\n<p>Moja ya mambo yanayohusika katika suala hilo ni shinikizo kubwa ambalo viongozi wa wilaya 30 wa nchi hiyo wanaishi. Wanasaini mkataba wa kuonyesha utendaji wake na Rais wa Rwanda Paul Kagame, ambaye ana heshima ya kuogopwa kama kiongozi ambaye anasisitiza kufikiwa kwa malengo. Zikifika zama za uchaguzi, siyo wapiga ku&#341;a ambao wanaondoa viongozi wasiofanya vizu&#341;i katika ngazi ya wilaya, lakini chama tawala ambacho kinawashawishi kujiondoa katika uchaguzi, anasema mwandishi mwandamizi wa gazeti linalomilikiwa na se&#341;ikali ya Rwanda.<\/p>\n<p>Wakati huo huo kunatolewa zawadi ya mgawo wa nyongeza wa bajeti kwa wilaya zinazofanya vizu&#341;i, ili wilaya zishindane ili kupata nafasi ya juu katika kufikia malengo ya maendeleo.<\/p>\n<p>Musoni anaelezea kuwa &#8220;kupeleka mada&#341;aka wilayani&#8221; ambako kuna&#341;uhusu se&#341;a kutoka se&#341;ikali kuu kutekelezwa katika maeneo ya vijijini nchini: &#8220;Unachaguliwa kuwa kiongozi wa se&#341;ikali za mitaa, unawapeleka kwenye wa&#341;sha, unawafundisha, tunawaonyesha faida, unawapatia zana na wana&#341;ejea nyumbani: unajua kuwa hili litakuja kufanyika. Wanafanya kazi kubwa kwelikweli.&#8221;<\/p>\n<p>Matokeo yake ni kwamba viongozi wa se&#341;ikali za mitaa wanajikita katika a&#341;i badala ya kutoa huduma. Suala la kabila la Wabatwa kukosa makazi halijasahaulika.<\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa se&#341;ikali za mitaa Musoni anasema: &#8220;Ni makosa yaliyofanywa na baadhi ya viongozi wa se&#341;ikali za mitaa (katika upande wa masha&#341;iki na kusini mwa Rwanda). Hawapati ujumbe mzu&#341;i. Lakini nilikwenda kutoa taa&#341;ifa kwenye &#341;edio na kutoa tahadha&#341;i dhidi yao, na kuacha ma&#341;a moja. Lakini kumekuwa na baadhi ya familia ambazo zilije&#341;uhiwa vibaya.&#8221;<\/p>\n<p>Niyomugabo anathibitisha kuwa, anavyojua suala la Copo&#341;wa, ubomoaji wa nyumba umesitishwa. Musoni anasema kuwa viongozi wa se&#341;ikali za mitaa waliam&#341;iwa kukodisha nyumba kwa niaba ya familia zilizoathi&#341;ika, au kuwasaidia kubakia na wanafamilia wao. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KIGALI, May 10, 2011 (IPS) &ndash; Mwanga unaoakisiwa kutoka kwenye nyumba ya bati unasababisha &#341;angi ya kibuluu katika mabonde na vilima vijijini mwa Rwanda. Ni dalili ya wazi ya Rwanda kuibuka kutoka taifa lililoha&#341;ibiwa na mauaji ya halaiki miaka kumi na saba iliyopita na kuwa moja ya mataifa yanayopata maendeleo ya kasi katika ba&#341;a la&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":857,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3639","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3639","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/857"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3639"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3639\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3639"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3639"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3639"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}