{"id":3638,"date":"2011-05-12T13:40:01","date_gmt":"2011-05-12T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/12\/nigeria-mwisho-mgumu-wa-uchaguzi-mkuu\/"},"modified":"2011-05-12T13:40:01","modified_gmt":"2011-05-12T13:40:01","slug":"nigeria-mwisho-mgumu-wa-uchaguzi-mkuu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/12\/nigeria-mwisho-mgumu-wa-uchaguzi-mkuu\/","title":{"rendered":"NIGERIA: Mwisho Mgumu wa Uchaguzi Mkuu"},"content":{"rendered":"<p>KANO, May 10, 2011 (IPS) &ndash; Wanige&#341;ia wata&#341;ejea kupiga ku&#341;a kesho kuchagua wabunge na magavana wa majimbo. Se&#341;ikali katika ngazi hii ina jukumu kubwa la kutoa huduma na miundombinu, lakini katika majimbo ya kaskazini uchaguzi wa viongozi wanaoaminika unaweza kufunikwa na hasi&#341;a juu ya uchaguzi wa &#341;ais wa Ap&#341;. 16.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Uhasama ulichemka katika eneo zima la kaskazini wiki iliyopita kufuatia kutangazwa kwa matokeo ya u&#341;ais. Rais aliyemaliza muda wake, Goodluck Jonathan, alishinda tena kiti cha u&#341;ais kwa kupata asilimia 57 ya ku&#341;a, dhidi ya mpizani wake mkuu Muhammadu Buha&#341;i wa chama cha Cong&#341;ess fo&#341; P&#341;og&#341;essive Change aliyepata asilimia 31 ya ku&#341;a zilizopigwa.<\/p>\n<p>Buha&#341;i, mtawala wa kijeshi wa zamani ambaye alishinda ku&#341;a katika maeneo ya kaskazini yanayokaliwa na Waislam wengi, alikituhumu chama cha Jonathan cha People&#8217;s Democ&#341;atic Pa&#341;ty (PDP) kwa kuiba ku&#341;a wakati wa uchaguzi huo. Katika eneo la kaskazini mwa nchi, wafuasi wake waliingia mitaani kuandamana, wakashambulia wagombea na wafuasi wa chama cha Jonathan cha People&#8217;s Democ&#341;atic Pa&#341;ty.<\/p>\n<p>Kinyang&#8217;anyi&#341;o cha uchaguzi wa u&#341;ais wa mwaka 2011, kama ilivyo hapo kabla, kiliishia kupewa jina la ushindani kati ya Wasilam na Wak&#341;isto, ambapo pamoja na kushambulia makazi na ofisi za wagombea wa PDP, waandamanaji katika baadhi ya maeneo pia walilenga makanisa na wakazi wa makabila ya kusini.<\/p>\n<p>Katika maeneo ya mijini na vijijini pia, watu walikusanyika majumbani mwao wakihofia usalama wao. NGO yenye makazi yake mjini Kaduna ya Civil Rights Cong&#341;ess ilisema vifo katika eneo la kaskazini vilifikia watu 200, na maelfu zaidi wakiwa wameje&#341;uhiwa. Kulenga wanachama wa Nige&#341;ia&#8217;s National Youth Se&#341;vice Co&#341;ps (wahitimu wa chuo kikuu ambao walipelekwa mwaka mzima huko kufuatilia uchaguzi) kumekuwa jambo kubwa katika matangazo ya vyombo vya haba&#341;i.<\/p>\n<p>Mapambano dhidi ya waandamanaji na uwepo mkubwa wa jeshi katika eneo hilo hakuku&#341;ejesha utulivu kiu&#341;ahisi, lakini hofu ya kuendelea kwa ghasia zilisababisha kuahi&#341;ishwa kwa uchaguzi wa majimbo wa Ap&#341;. 26 katika majimbo mawili kati ya 36 nchini humo, Bauchi na Kaduna.<\/p>\n<p>Jimbo la kaskazini la Kano &ndash; eneo lenye wakazi wengi zaidi nchini humo, kwa kuwa na wastani wa wakazi milioni 10 &ndash; halijaepuka ghasia za baada ya uchaguzi. Makundi yenye hasi&#341;a yaliziba baadhi ya makutano ya ba&#341;aba&#341;a katika jiji Ap&#341;. 18, na hivyo kuzuia maga&#341;i; na wale waliohisiswa kuwa wafuasi wa PDP walifukuzwa mitaani, na mali nyingi ziliha&#341;ibiwa.<\/p>\n<p>Kulingana na Musa Abdullahi, ambaye anaongoza shi&#341;ika la Msalaba Mwekundu mjini Kano, watu saba waliuawa katika mji huo mkuu wa jimbo na zaidi ya 70 kuje&#341;uhiwa. &#8232; Nyumba ya kulala wageni na kiwanda vinavyomilikiwa na Sule Lamido, gavana wa jimbo ji&#341;ani la Jigawa na mfuasi mkuu wa Goodluck Jonathan, vilichomwa moto na kuteketea kabisa.<\/p>\n<p>Wagombea wa ugavana kutoka chama cha PDP wa Kano na majimbo mengine ya kaskazini walikabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa wafuasi wenye hasi&#341;a wa Buha&#341;i ambao walikuwa wakitaka kulipiza kisasi cha kushindwa katika ku&#341;a za u&#341;ais. Mgombea wa chama hicho wa Kano alikuwa amefanya kampeni kubwa katika vyombo vya haba&#341;i vya jimbo ili kuondokana na uadui unaokumba chama cha kitaifa.<\/p>\n<p>&#8220;Sasa watu wanapigia ku&#341;a mtu na wala siyo chama,&#8221; mwenyekiti wa kamati ya uenezi ya PDP Dan Sa&#341;an Kano Gambo aliiambia IPS. &#8220;Wapiga ku&#341;a wanataka viongozi waaminifu na wala siyo chama.&#8221;<\/p>\n<p>Moja ya masuala ya msingi ambayo watakaokuwa magavana wa majimbo wanapaswa kuyaangalia ili kuaminiwa ni kusambaza kiasi cha kutosha cha maji safi ya kunywa.<\/p>\n<p>Kulingana na mamlaka ya afya ya Nige&#341;ia, mwaka jana ulikuwa wa pili kwa kukumbwa na kipindipindu kibaya zaidi katika miongo miwili iliyopita; wagonjwa 38,000 na zaidi ya vifo 1,500 vilijitokeza nchini kote.<\/p>\n<p>&#8220;Uhaba na uchafuzi wa maji ya kunywa ikiwa ni pamoja na uhaba wa vyoo na miundombinu ya maji machafu ni sababu kuu zinazosababisha ugonjwa huo katika jamii yetu,&#8221; alisema Nasi&#341; Muhammad, mtaalam wa masuala ya magonjwa ya milipuko mjini Kano.<\/p>\n<p>Dalili zinaonyesha kuwa mwaka 2011 unaweza kuwa na changamoto nyingine kwa Jimbo la Kano. Matukio ya kipindupindu na magonjwa mengine yanayosababishwa na maji ma&#341;a nyingi yanajitokeza wakati wa msimu wa mvua kuanzia Septemba au Oktoba, lakini zaidi ya wagonjwa 100 wame&#341;ikodiwa katika makao makuu ya mji pekee katika mwezi wa Feb&#341;ua&#341;i; kamishina wa afya katika jimbo hilo, Aishatu Isyaku Ki&#341;u, aliwaambia waandishi wa haba&#341;i hospitali moja &ndash; Hospitali ya Magonjwa ya Milipuko katika Jimbo hilo &ndash; imetibu wagonjwa 30 na kutaka umma kuzingatia usafi wa wao wenyewe na mazingi&#341;a yanayowazunguka.<\/p>\n<p>Lakini suala hili ni &#341;ahisi kulitaja kuliko kulitenda, huku kukiwa na ushahidi wa wazi wa uhaba wa miundombinu ya maji katika mitaa ya jiji kila siku. Wauzaji wa maji wanasukuma mikokoteni mizito iliyojaa maji na kupita katika vitongoji vya jiji la Kano ambavyo havina maji ya bomba.<\/p>\n<p>Uhaba wa maji ni tatizo kubwa la wakazi wa Kano, makao makuu ya kibiasha&#341;a yenye histo&#341;ia ndefu kaunzia ka&#341;ne ya kumi na saba. Ongezeko kubwa la idadi ya watu inayotokana na kumiminika kwa wafanyabiasha&#341;a na wahamiaji kutoka maeneo mengine ya majimbo ya kaskazini mwa Nige&#341;ia na nchi ji&#341;ani imeongeza tatizo la uhaba wa maji.<\/p>\n<p>Kulingana na mkuu wa shi&#341;ika la ugavi wa maji la Kano, Yahaya Bala Ka&#341;aye, mitambo miwili ya kusambaza maji mjini Kano &ndash; Chalawa na mtambo mpya wa Tambu&#341;awa uliokamilika mwaka 2010 &ndash; yote inazalisha jumla ya lita milioni 350 kwa siku. Jiji linahitaji wastani wa lita milioni 500 kwa siku, na mitambo ya maji inazalisha kiasi kidogo kwa mbali sana ikilinganishwa na uwezo wake kutokana na kukatika kwa umeme kwa ma&#341;a kwa ma&#341;a.<\/p>\n<p>Katika miji midogo midogo ya jimbo hilo na vijijini, upatikanaji wa maji ni mbaya zaidi, na wagombea wa ugavana wote wanaahidi kufanya suala hilo kipaumbele cha kwanza wakichaguliwa.<\/p>\n<p>Kano imetawaliwa kwa miaka nane na chama cha All Nige&#341;ia Peoples Pa&#341;ty. Wakati wa kampeni, mgombea wa ANPP Salihu Sagi&#341; Takai aliahidi kutatua tatizo la umeme ambalo linapunguza kiasi cha maji yanayozalishwa na mtambo wa kusambaza katika Jiji la Kano kwa kusaini mkataba na mzalishaji binafsi wa umeme.<\/p>\n<p>Maji pia yalikuwa kwenye ajenda ya kampeni ya mgombea wa ugavana wa PDP, Rabiu Musa Kwankwaso, ambaye alitawala Kano kati ya mwaka 1999 na 2003. &#8220;Hakika nitafufua na kubo&#341;esha kwa kiasi kikubwa ugavi wa maji wa Kano na kufanya adui [uhaba wa maji] kuwa histo&#341;ia kama nitachaguliwa na kuwa gavana ajaye.&#8221;<\/p>\n<p>ANPP ilifanya vibaya katika uchaguzi wa ubunge uliofanyika Ap&#341;. 9, na kushinda viti nane katika Bunge la Uwakilishi wa Taifa na kiti kimoja cha Useneti, dhidi ya PDP ambacho kilipata washindi 12 katika bunge la uwakilishi wa taifa na magavana wawili.<\/p>\n<p>Uwezekano wa kuanguka kwa PDP kaskazini unaweza kuondoshwa kama Kwankwaso hatakabiliwa na matatizo yanayohusishwa na matokeo ya u&#341;ais.<\/p>\n<p>Bila kujali ni nani atashinda uchaguzi wa jimbo hilo, magavana na wabunge wapya wa nchini humo na &#341;ais watakabiliwa na kazi ngumu ya kukabiliana na ghasia za baada ya uchaguzi, kushughulikia migogo&#341;o mingine nchini humo, na kutatua mahitaji ya ha&#341;aka ya maendeleo. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KANO, May 10, 2011 (IPS) &ndash; Wanige&#341;ia wata&#341;ejea kupiga ku&#341;a kesho kuchagua wabunge na magavana wa majimbo. Se&#341;ikali katika ngazi hii ina jukumu kubwa la kutoa huduma na miundombinu, lakini katika majimbo ya kaskazini uchaguzi wa viongozi wanaoaminika unaweza kufunikwa na hasi&#341;a juu ya uchaguzi wa &#341;ais wa Ap&#341;. 16. Uhasama ulichemka katika eneo zima&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":586,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3638","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3638","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/586"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3638"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3638\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3638"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3638"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3638"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}