{"id":3637,"date":"2011-05-12T13:40:01","date_gmt":"2011-05-12T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/12\/burkina-faso-mafunzo-yawapatia-matumaini-ya-kuepuka-makundi-yao\/"},"modified":"2011-05-12T13:40:01","modified_gmt":"2011-05-12T13:40:01","slug":"burkina-faso-mafunzo-yawapatia-matumaini-ya-kuepuka-makundi-yao","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/12\/burkina-faso-mafunzo-yawapatia-matumaini-ya-kuepuka-makundi-yao\/","title":{"rendered":"BURKINA FASO: Mafunzo Yawapatia Matumaini ya Kuepuka Makundi Yao"},"content":{"rendered":"<p>OUAGADOUGOU, May 10, 2011 (IPS) &ndash; Emeline Djigma, mfanyakazi wa nyumbani mwenye um&#341;i wa miaka ishi&#341;ini, anajiandaa kwa mtihani wa Chuo cha Ualimu cha Taifa mwaka huu. Ana matumaini kuwa atauweza, hasa kutokana na kupata cheti cha sekonda&#341;i kutokana na kukaa da&#341;asani kwa miaka mitano.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Nataka kufanikiwa kuonyesha njia kwa wengine na kuwaambia kuwa kwa kufanya kazi kwa bidii, wanaweza kuhamisha milima,&#8221; alisema Djigma. Alitumikia miaka mitano katika Kituo cha Ouagadougou cha Ouassongdo (jina lenye maana ya &#8220;njoo tukusaidie&#8221; katika lugha ya wenyeji ya Kimo&#341;&eacute;), na kuweza kuhudhu&#341;ia mada&#341;asa wakati akiwa mfanyakazi wa ndani.<\/p>\n<p>Maisha kwa wafanyakazi wa ndani nchini Bu&#341;kina Faso ni magumu, IPS ilimsikiliza Pulch&eacute;&#341;ie Nanan, mwanamke mwingine kijana kituoni hapo.<\/p>\n<p>&#8220;Naamka saa kumi na moja asubuhi, nafagia uwanja na nyumba kabla ya kwenda sokoni kutafuta vitu vya kupika; wakati wa jioni, kazi inaanza kama hivyo tena,&#8221; aliongeza. Nanan anapata fa&#341;anga za CFA 5,000 tu (dola 11) kwa mwezi, lakini anataka kufungua saluni ya nywele mwishoni mwa mafunzo yake kwa vitendo.<\/p>\n<p>Rosalie Boutoulegou, msicha mwingine katika kituo hicho, anaweza kusoma na kuandika jina lake &ndash; akiwa na um&#341;i wa miaka 18. &#8220;Wakati dada alipokuja kumuona binamu yangu ili kuniacha kuwa na siku za mapumziko, sikuamini kuwa ningejifunza kusoma na kuandika siku moja,&#8221; aliiambia IPS. &#8220;Sijalipwa kutokana na kuishi na binamu yangu.&#8221;<\/p>\n<p>Njoo nikupatie msaada <\/p>\n<p>Sista anayemzungumzia ni Edithe, mtawa ambaye ni &#341;ais wa Kituo cha Ouassangdo. Sista Edithe anavuka ba&#341;aba&#341;a kuu na ku&#341;udi mtaani mjini Ouagadougou kushawishi waaji&#341;i ku&#341;uhusu wasichana &ndash; ambao wanafanya kazi za majumbani kuja kituoni hapo, ambapo wanatumia sehemu ya siku kujifunza ushonaji, kupika au kusoma.<\/p>\n<p>Kulingana na Sista Edithe, wafanyakazi wengi wa majumbani wananyonywa vibaya, ma&#341;a nyingi kwa madai ya kupewa sehemu ya kuishi na kula chakula.<\/p>\n<p>&#8220;Lakini hatuwezi kuwatoa tu wasichana majumbani kwa waaji&#341;i wao, ama sivyo wata&#341;ejea kwa nani &#8221; anasema Sista Edithe.<\/p>\n<p>Kazi ya kituo cha Edithe inatekelezwa na kampeni ya kukomesha unyonyaji wa wafanyakazi wa majumbani inayoendeshwa na Shi&#341;ika la Msalaba Mwekundu la Bu&#341;kina Faso kwa kushi&#341;ikiana na makampuni ya simu za mkononi. Kampeni hiyo inapeleka ujumbe wa simu ma&#341;a kwa ma&#341;a kwa wateja maalum, kwa kulenga viongozi wa mamlaka ya se&#341;ikali za mitaa, machifu wa jadi, walimu, na wamiliki wa migahawa.<\/p>\n<p>&#8220;Waaji&#341;i, wafanyakazi wa majumbani ni wasaidizi wa familia zenu; wana haki sawa kama watoto wako. Usiwapatie mshaha&#341;a duni, kuwanyanyasa, kuwapa kazi nzito na kuwadhalilisha kingono. Ujumbe unapelekwa ma&#341;a tatu kwa mwaka, kulingana na Naba Wang&#341;&eacute;, mkuu wa m&#341;adi huo.<\/p>\n<p>Wang&#341;&eacute; anasema wafanyakazi wa majumbani ambao hawana ujuzi &#341;asmi au mafunzo wanaingiza kati ya fa&#341;anga 3,000 na 6,000 za CFA (kati ya dola 6.50 na dola 13) kwa mwezi. Amepata malalamiko kadhaa kutoka kwa wafanyakazi wa majumbani ambao wamenyanyaswa, kudhalilishwa na kuokoka udhalilishwaji kingono.<\/p>\n<p>Sista Edithe, ambaye alika&#341;ibisha baadhi ya watoto wa kike 500 katika kituo chake tangu mwaka 2002, ana imani kuwa baadhi ya wafanyakazi wa majumbani walilipa fa&#341;anga za CFA 25,000 (kama dola 55) au zaidi. &#8220;Kama kuna mtu anayewaunga mkono, watu wanalipwa vizu&#341;i na kuheshimu haki za watoto wa kike,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>&#8220;Ni aina ya kazi ambayo inaendelea kujificha na tofauti kutokana na kuwa kuna maelezo. Pia kuna ukimya kutokana na kuwa ni sekta nyeti na ngumu kuidhibiti, hasa wakati wasichana wanapofanya kazi na familia zao,&#8221; anaelezea Wang&#341;&eacute;.<\/p>\n<p>Kuhamasisha haki za wafanyakazi wa ndani <\/p>\n<p>Wafanyakazi wa majumbani nchini Bu&#341;kina Faso ma&#341;a nyingine ni watoto wa kike wenye um&#341;i mdogo au wakubwa kidogo kutoka maeneo ya vijijini mwa nchi; ambao ma&#341;a nyingine wanapelekwa na ndugu zao katika mahusiano ya aji&#341;a yasiyokuwa &#341;asmi. Ka&#341;ibu asilimia 80 ya wasichana nchini Bu&#341;kina Faso kati ya um&#341;i miaka mitano hadi 17 wanalazimishwa kufanya kazi za majumbani, kulingana na Uchunguzi wa Aji&#341;a ya Watoto, uliofanywa mwaka 2006 na Wiza&#341;a ya Kazi na Hifadhi ya Jamii.<\/p>\n<p>Muda uliotumiwa katika shughuli za kaya ni wastani wa masaa 15.6, ambayo hutumiwa katika akazi kma vile kukusanya kuni, kupika, kusafisha nyumba, kupiga pasi na kuangalia watoto, uchunguzi huo uligundua.<\/p>\n<p>&#8220;Kazi za majumbani ni moja ya aina mbaya ya kazi kutokana na mfanyakazi kuamka saa kumi na moja asubuhi, kufagia, kupika na kwenda kulala usiku wa manane,&#8221; anasema Sista Edithe.<\/p>\n<p>Kukosekana kwa she&#341;ia inayoshughulika na kazi za majumbani nchini Bu&#341;kina, kunafanya kutumika kwa she&#341;ia ya kushughulikia aji&#341;a kwa watoto ambayo inatumiwa vibaya. Kulingana na mkataba wa 182 wa Shi&#341;ika la Kazi Duniani, inaonekana kuwa hata&#341;i kwa mtoto kufanya kazi kama asili na mazingi&#341;a ya kazi yanahata&#341;isha afya, usalama au maadili ya mtoto.<\/p>\n<p>&#8220;Tunaja&#341;ibu kuhamasisha umma wa wafanyakazi wa ndani, hasa kwa waaji&#341;i na wasichana wenyewe,&#8221; anasema Wang&#341;&eacute;.<\/p>\n<p>Stella Som&eacute;, ambaye anawekeza jitihada zake katika aji&#341;a kwa watoto katika Wiza&#341;a ya Kazi ana imani kuwa ni uelewa na mafunzo pekee yanaweza kupunguza matukio ya unyonyaji wa wafanyakazi wa majumbani. &#8220;Jambo gumu kubwa ni kwamba katika kazi za majumbani siyo &#341;ahisi kupeleka wakala kuona nani anafanya kazi majumbani.&#8221;<\/p>\n<p>Ikiwa na matatizo lukuki, wiza&#341;a ya Som&eacute; ilianzisha jukwaa mwaka 2010 kuhamasisha suala hili katika mikoa ambapo wafanyakazi wa majumbani wa Bu&#341;kina Faso wanatoka: katika magha&#341;ibi ya kati, kusini magha&#341;ibi na katikati ya masha&#341;iki mwa nchi, na mikoa mingine. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>OUAGADOUGOU, May 10, 2011 (IPS) &ndash; Emeline Djigma, mfanyakazi wa nyumbani mwenye um&#341;i wa miaka ishi&#341;ini, anajiandaa kwa mtihani wa Chuo cha Ualimu cha Taifa mwaka huu. Ana matumaini kuwa atauweza, hasa kutokana na kupata cheti cha sekonda&#341;i kutokana na kukaa da&#341;asani kwa miaka mitano. &#8220;Nataka kufanikiwa kuonyesha njia kwa wengine na kuwaambia kuwa kwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":7,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3637","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3637","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/7"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3637"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3637\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3637"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3637"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3637"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}