{"id":3636,"date":"2011-05-12T13:40:01","date_gmt":"2011-05-12T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/12\/mazingira-busu-la-maisha-kwa-waeskimo-wa-dr-kongo\/"},"modified":"2011-05-12T13:40:01","modified_gmt":"2011-05-12T13:40:01","slug":"mazingira-busu-la-maisha-kwa-waeskimo-wa-dr-kongo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/12\/mazingira-busu-la-maisha-kwa-waeskimo-wa-dr-kongo\/","title":{"rendered":"MAZINGIRA: Busu la Maisha kwa Waeskimo wa DR Kongo"},"content":{"rendered":"<p>BOLENGE, DR Kongo, May 10, 2011 (IPS) &ndash; &#8220;Nyumba nyingi kijijini kwetu bado zinatengenezwa kwa matawi ya miti ambayo tunakusanya, wakati mbao na miti ya dawa inachukuliwa na watu ambao wanajitaji&#341;isha mahali pengine,&#8221; alisema Ampiobo Amu&#341;i, chifu wa kabila la Waeskimo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Ni wiki kadhaa sasa tangu nilipoacha kusikiliza maombi ya watu hawa ambao huja na kutuletea vinywaji, wanatupatia nguo za mtumba na ma&#341;a nyingine chumvi, na kuchukua mali zetu,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Nataka watoto wetu kupata elimu,&#8221; alisema Antoinette Ambulampo. &#8220;Wanyama na miti imechukuliwa &#8230; Tulipowasili kufanya kazi katika misitu ambapo watu walikata miti, tulianza kusikia joto. Tunafanya kazi nyingi kwa ajili ya watu ambao wanakuja kutukamata.&#8221;<\/p>\n<p>IPS ilikutana na Amu&#341;i na Ambulampo katika kijiji cha Bolenge, katika Jimbo la Equateu&#341; Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo (DRC).<\/p>\n<p>Ni wachache wanaobaguliwa <\/p>\n<p>Kuna tak&#341;ibani Waeskimo 200,000 wanaoshi katika misitu ya Jamhu&#341;i ya Kongo, Came&#341;oon, Gabon, Jamhu&#341;i ya Af&#341;ika ya Kati, na Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo &ndash; na idadi ndogo ikipatikana masha&#341;iki mwa Rwanda na Bu&#341;undi, kulingana na wataalam wa elimu ya makabila Se&#341;ge Bahuchet na Guy Philipa&#341;t de Foy.<\/p>\n<p>Katika Bonde la Kongo, wakazi wa maeneo hayo wanabaguliwa kutokana na kuwa wachache. Ma&#341;a nyingi wanakuwa viba&#341;ua wa mashamba ya wengine, wakinyonywa na ma&#341;a nyingine wakilipwa uji&#341;a usiokuwa wa fedha au vitu ambavyo havina thamani.<\/p>\n<p>Katika Jukwaa la Pili la Wakazi Wenyeji, ambalo lilifanyika Machi 16&ndash;18 katika eneo la Ifondo kwenye Jamhu&#341;i ya Kongo, Hen&#341;i Ndjombo, wazi&#341;i wa misitu na maendeleo endelevu, alikubaliana kuwa wakazi wenyeji wanateseka.<\/p>\n<p>&#8220;Tutakuja na hatua sahihi kutatua matatizo ya wakazi wenyeji kwa ajili ya maisha yao, kwasababu wana matatizo kadhaa, upatikanaji wa &#341;asilimali, ambao lazima kufuatiliwa. Hii ni muhimu ili maendeleo ya shughuli za wakazi ambayo yana&#341;uhusu wakazi hawa kuishi,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>Kumekuwa na mafanikio katika kutafuta haki za wakazi wenyeji katika kuhifadhi misitu ambayo wanahitaji kwa ajili ya kipato cha kuendeshea maisha yao.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali la The Fo&#341;est T&#341;ust (TFT), mjini Geneva, ni sehemu ya makundi mapana ya kupigania haki za Waeskimo wa Amu&#341;i na ina maoni chanya. TFT imetangaza kupitishwa kwa mbinu za kibinadamu na maendeleo endelevu katika hekta za nyongeza 571,000 za misitu zilizosimamiwa na Congolaise Indust&#341;ielle des Bois (CIB), kampuni ya magogo inayofanya kazi katika bonde la Kongo.<\/p>\n<p>TFT anasema hii inafanya eneo lote la misitu la kit&#341;opiki chini ya usimamiaji endelevu wa Bonde la Kongo kwa zaidi ya hekta milioni 5.3.<\/p>\n<p>Kupitishwa kwa Loundoungou na Toukoulaka, kulingana na TFT, kuna maana kuwa mikoa yote ya misitu chini ya usimamiaji wa CIB imepitishwa na chombo cha kuweka viwango, Fo&#341;est Stewa&#341;dship Council (FSC), ambacho ni msingi katika kulinda mazingi&#341;a ya misitu &#341;ahisi kuha&#341;ibiwa na pia kulinda kipato cha wananchi, hasa wale Waeskimo wanaojihusisha na ufugaji na ukulima.<\/p>\n<p>Kuthibitisha pekee hakutoshi <\/p>\n<p>Lakini kukosekana kwa mahitaji ya kuni na bidhaa nyingine za misitu endelevu (ambazo zinauzwa kwa bei ya juu kuliko mbao nyingine) kunaweza kuwa na maana ya jibu chanya kwa sekta hiyo na hivyo ushinikizaji wa wanaha&#341;akati wa Ulaya na Ma&#341;ekani kukosa maana yoyote, anasema mku&#341;ugenzi mtendaji wa TFT Scott Poynton.<\/p>\n<p>&#8220;Walaji hawakuwepo na NGOs hazikuweza kushinikiza uuzwaji na uthibitisho wa kuni. Na bila ya kuwa na faida za kiuchumi, kampuni haziwezi kuendelea na mbinu hizi za utekelezaji,&#8221; anaongeza.<\/p>\n<p>Robe&#341;t Hunink wa CIB anathibitisha kuwa fu&#341;sa za soko bado zinakosekana. &#8220;Hata hivyo, wafanyakazi na menejimenti ya CIB wanaunga mkono mchakato wa FSC,&#8221; anasema. &#8220;Wanunuzi wataanza kupatia makampuni ambayo yamechukua hatua chanya za uthibitisho wa misitu katika opa&#341;esheni zao.&#8221;<\/p>\n<p>Je&#341;ome Bokele, Eskimo wa kwanza kuwa mbunge wa Jimbo la Equateu&#341;, kaskazini magha&#341;ibu mwa DRC, alisema: &#8220;Kupitishwa kwa hekta 571.000 na FSC ni jambo jema. Ni tangazo tu. Maelfu ya magogo yanatupwa katika Mto Kongo &ndash; na ma&#341;a nyingi yanatoka katika ukataji miti kwenye misitu ya kit&#341;opiki isiyokuwa na she&#341;ia. Zaidi ya asilimia 70 ya wakazi wenyeji katika ba&#341;a la Af&#341;ika wametumbukia katika umaskini uliokithi&#341;i.&#8221;<\/p>\n<p>Odon Munsadi, mwanamazingi&#341;a nchini DRC anasema: &#8220;Katika hali kama hii mbinu ya utunzaji wa mazingi&#341;a inahusu kulinda misitu kwa ajili ya matumizi ya baadaye. Mbinu mbaya zinasababisha kuongezeka kwa joto ulimwenguni.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Kuthibitisha misitu kunaweza kunyonya hewa aina ya oksijeni kwa wakazi wenyeji na kama kuna ufuatiliaji wa ka&#341;ibu na kama wanauendeleza na kuuonyesha waziwazi. Kama siyo, itabakia nadha&#341;ia tu,&#8221; anaonya.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BOLENGE, DR Kongo, May 10, 2011 (IPS) &ndash; &#8220;Nyumba nyingi kijijini kwetu bado zinatengenezwa kwa matawi ya miti ambayo tunakusanya, wakati mbao na miti ya dawa inachukuliwa na watu ambao wanajitaji&#341;isha mahali pengine,&#8221; alisema Ampiobo Amu&#341;i, chifu wa kabila la Waeskimo. &#8220;Ni wiki kadhaa sasa tangu nilipoacha kusikiliza maombi ya watu hawa ambao huja na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":856,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3636","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3636","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/856"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3636"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3636\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3636"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3636"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3636"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}