{"id":3630,"date":"2011-05-05T13:40:01","date_gmt":"2011-05-05T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/05\/wanawake-wa-kenya-washiikiana-kupambana-na-umaskini\/"},"modified":"2011-05-05T13:40:01","modified_gmt":"2011-05-05T13:40:01","slug":"wanawake-wa-kenya-washiikiana-kupambana-na-umaskini","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/05\/wanawake-wa-kenya-washiikiana-kupambana-na-umaskini\/","title":{"rendered":"Wanawake wa Kenya Washi&#341;ikiana Kupambana na Umaskini"},"content":{"rendered":"<p>WILAYANI KIAMBU, Kenya, May 4, 2011 (IPS) &ndash; M&#341;adi wa ng&#8217;ombe wa maziwa wa Esthe&#341; Ngonyo Njuguna ni ushahidi wa jinsi mikopo midogo midogo inavyoweza kuongeza vipato vya wakazi wa maeneo ya vijijini.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Miaka nane iliyopita, Mama Njoki &ndash; kama ambavyo Njuguna anajulikana zaidi kutokana na jina la mmoja wa watoto wake watano &ndash; anasema alikuwa mke wa nyumbani katika Wilaya ya Kiambu Katikati mwa Kenya. Mume wake ni mhasibu, ambaye anaingiza kiasi cha kutosha kama kipato cha kaya.<\/p>\n<p>Leo hii, anamiliki m&#341;adi wa maziwa kutokana na kuwa na ng&#8217;ombe wa maziwa 15 aina ya F&#341;iesian na Je&#341;sey, na hivyo kuzalisha maziwa kila siku kwa ajili ya kituo cha maziwa cha ka&#341;ibu katika kijiji chake cha Ndumbe&#341;i. Mafanikio yake yalichangiwa na mfuko wa kuweka akiba na kukopa ambao ulim&#341;uhusu kujenga biasha&#341;a yake.<\/p>\n<p>Mama mwenye um&#341;i wa miaka 58 anafuga ng&#8217;ombe wake wa maziwa ambao wanazalisha zaidi kidogo ya lita 100 kila siku, katika kipande kidogo cha a&#341;dhi yenye ukubwa wa mita za m&#341;aba elfu moja. Katika kipande kidogo cha a&#341;dhi kinachosalia kuna mbuzi wachache na kuku.<\/p>\n<p>&#8220;Nilichonacho leo hii kinawezekana kwa mke wa nyumbani yoyote yule ambaye anaingiza angalau shilingi za Kenya 100 Kenya (dola 1.25) kwa siku kwa ajili ya bajeti ya chakula cha familia. Anachohitaji kufanya ni kuokoa sa&#341;afu chache kutokana na bajeti ya chakula na kuiweka katika vikundi cha kuweka akiba, ili apate angalau shilingi 200 ifikapo mwishoni mwa mwezi,&#8221; anasema Mama Njoki.<\/p>\n<p>Mtaji unafungua fu&#341;sa <\/p>\n<p>Ana&#341;udia tena ushau&#341;i ambao yeye mwenyewe aliukubali miaka nane iliyopita kutoka kwa ofisa wa taasisi ya kutoa mikopo midogo ijulikanayo kama Pamoja Women Development P&#341;og&#341;am (PAWDEP), alipojiunga na wanawake wengine 39 katika kijiji chao na kuanzisha kikundi kijulikanacho kama Consolata Self Help G&#341;oup.<\/p>\n<p>&#8220;Tulisajili kikundi hicho kama shi&#341;ika lililojikita katika jamii, na kukihusisha ma&#341;a moja na taasisi ya kutoa mikopo midogo, ili tuwe na jukwaa la benki kwa ajili ya kuweka akiba,&#8221; anasema Mama Njoki.<\/p>\n<p>Kila mwanachama wa kikundi cha Consolata anaweka sawa na dola 2.50 katika mfuko kila mwezi. Wanachama wanaowakilisha wazo zu&#341;i la kibiasha&#341;a wanaweza kukopa fedha kutokana na akiba waliyoweka kwa &#341;iba ya asilimia tano; mkopo huo unalipwa mwishoni mwa miezi mitatu.<\/p>\n<p>Mikopo ya wanachama ni asilimia 60 tu ya mtaji ambao wamewekeza katika kikundi cha kuweka akiba, na kiasi kinachobaki kinasaidia kulipia madeni kama wakishindwa kulipia mikopo.<\/p>\n<p>Mikopo ya wanachama inatolewa ma&#341;a mbili na nusu ikilinganishwa na mtaji unowekezwa kwenye kikundi; kwa mfano, mwanachama ambaye amekusanya dola 100 katika akiba anaweza kupata mkopo wa dola 250. Kwa njia hii asilimia 40 ya mkopo unahakikishwa dhidi ya fedha ambazo mkopaji anaingiza katika mpango huo kama atashindwa ku&#341;ejesha.<\/p>\n<p>&#8220;Tuliwahamasisha kuendelea kufanya maja&#341;ibio kwa kukopa ma&#341;a kwa ma&#341;a na kuwekeza katika biasha&#341;a ndogo ndogo,&#8221; anasema Rachel Wanyoike, mshau&#341;i wa mikopo midogo midogo ambaye kwa sasa anafanya kazi kama Mkuu wa Rasilimali Watu katika PAWDEP. &#8220;Wakati huo huo, tuna kiasi kikubwa cha maofisa mikopo ambao wanaendelea kuwafunza jinsi ya kuwekeza fedha kwa njia ambayo itasaidia kulipia mikopo yao kwa mafanikio.&#8221;<\/p>\n<p>Mkopo wa kwanza wa Mama Njoki, mwaka 2003, ulikuwa wa dola 250 ambao aliutumia kuanzisha ufugaji wa ndani na kufuga ng&#8217;ombe wake mmoja. Baba mkwe wake alimpatia ng&#8217;ombe alipoolewa, lakini kwa miaka amekuwa akifuga ng&#8217;ombe mmoja tu. Mkopo ulitumiwa kuondokana na mfumo wa ufugaji wa jadi na kuanza kufuga ng&#8217;ombe ndani, na kula majani yaliyoletwa kutoka mahali pengine &ndash; na Mama Njoki pia aliwalisha taka kutoka kiwanda cha ka&#341;ibu cha bia.<\/p>\n<p>&#8220;Baada ya kupatiwa mafunzo ya mikopo midogo, nilikubali kuwa wanyama wanahitaji uwekezaji ambao unakua,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Aliweza kulipia mkopo wa kwanza kutokana na fedha anazopata kutokana na kuuza maziwa halafu akakopa tena dola 625 kununua ng&#8217;ombe wa pili. Uuzaji wa maziwa ulilipia deni, na kiasi cha mikopo mikubwa kutoka kikundi cha Consolata ilijenga biasha&#341;a kwa kasi kubwa.<\/p>\n<p>&#8220;Hadi mwisho wa mwaka 2009, Mama Njoki alikuwa ameshaongeza idadi ya ng&#8217;ombe wa maziwa na kufikia 14, ambao tulidhani walitosha kuwa dhamana ya mkopo wake binafsi,&#8221; alisema Wanyoike.<\/p>\n<p>Kwa kuwa na dhamana hii, Njuguna alipata mkopo binafsi wa dola 12,500 kutoka PAWDEP, ambao unalipwa kwa miaka mitatu, ambapo anamfanya kuchanganya ufugaji wa mifugo mbalimbali &ndash; amenunua mashamba matatu katika eneo la mjini la Rui&#341;i, nje kidogo mwa mji wa Nai&#341;obi.<\/p>\n<p>&#8220;Tunata&#341;ajia kukamilisha kulipia mkopo mapema mwaka kesho. Na kwa kuwa na viwanja hivyo, tutakuwa na fu&#341;aha kutoa hadi au zaidi ya shilingi milioni tano (dola 37,500) kuwezesha kuendeleza viwanja vyake,&#8221; alisema mshau&#341;i wa mikopo midogo.<\/p>\n<p>Wanachama wengine wa kikundi cha Consolata wamepata maendeleo ya kasi, kwa kuanzisha biasha&#341;a ndogo ndogo au kilimo.<\/p>\n<p>&#8220;Kila mmoja wetu angalau anamiliki a&#341;dhi. Wengi wetu tumewekeza katika a&#341;dhi, wakati wengine wameanzisha biasha&#341;a,&#8221; anasema Mama Njoki.<\/p>\n<p>Pamoja na kwamba Njuguna alianza kwa mkopo wa dola 250, Wanyoike anashau&#341;i kuwa kukopa kiasi kidogo cha fedha kunaweza kusaidia kuvutia wafanyabiasha&#341;a wa kike kuwa na msingi bo&#341;a.<\/p>\n<p>Kutathmini muktadha <\/p>\n<p>PAWDEP kwa sasa inafanya kazi na mi&#341;adi ya kuweka akiba ambayo jumla ya wanachama wake wanafikia 48,000 ambao ni wanawake kutoka majimbo ya Kati, Masha&#341;iki, Bonde la Ufa na Nai&#341;obi. Kuna taasisi kama hizo nchini Kenya, zinazosaidia wanawake na vijana kukuza upatikanaji wa mikopo.<\/p>\n<p>Ripoti ya mwaka 2010 iliyochapishwa na shi&#341;ika la misaada la kimataifa la ActionAid &ndash; &#8220;Fe&#341;tile G&#341;ound: How Gove&#341;nments and Dono&#341;s Can Halve Hunge&#341;&#8221; &ndash; iliyojikita katika takwimu zilizokusanywa nchini Kenya, Uganda na Malawi inapendekeza kuwa aina hii ya msaada kwa wakulima wadogo wanawake ingepunguza nusu ya njaa katika ba&#341;a la Af&#341;ika ifikapo mwaka 2015.<\/p>\n<p>Mama Njoki alikuwa na bahati ya kuwa na mume anayemuunga mkono. &#8220;Katika kundi lao kuna idadi kubwa ya wanawake ambao wanaingiliwa ma&#341;a kwa ma&#341;a na waume zao. Baadhi yao wamelazimika kununua viwanja kwa si&#341;i na sasa wanaviendeleza bila waume zao kujua,&#8221; anasema Wanyoike.<\/p>\n<p>Wanaume wenye hasi&#341;a, anasema Wanyoike, zaidi ya ma&#341;a moja wamewahi kuvamia ofisi za PAWDEP wakidai wanawake wao wapatiwe akiba walizojiwekea.<\/p>\n<p>Ushau&#341;i wa kuweka akiba kidogo kidogo kutokana na bajeti ya kaya ambayo inaweza kutumiwa na wengine kuchukua mikopo ni jambo zu&#341;i, lakini Esthe&#341; Njuguna pia alipata &#341;asilimali nyingine ambazo mamilioni ya wanawake wengi ambao ni uti wa mgongo wa kilimo ba&#341;ani Af&#341;ika wanaweza kuwa na ndoto ya kufanya hivyo.<\/p>\n<p>Alimiliki ng&#8217;ombe wake, na aliweza kukodisha a&#341;dhi ya kupanda chakula cha mifugo ili kulisha mifugo yake. Kijiji cha Ndumbe&#341;i kina kituo cha kusindika maziwa ambacho kilimpatia Mama Njoki faida na kuwa na soko la wazi la mazao yake ya mifugo.<\/p>\n<p>Wanawake wengi wa Af&#341;ika wangefaidika na mikopo ambayo kwa sasa inapatikana kwa shida kutokana na she&#341;ia na mila na destu&#341;i za kumiliki a&#341;dhi, mahusiano ya nyumbani; wanaume na wanawake wa vijijini wanakabiliwa na matatizo ya miundombinu duni ambayo inawanyima maji, masoko, au hata ushau&#341;i mzu&#341;i na teknolojia za kilimo.<\/p>\n<p>Wakati mikopo midogo haiwezi kutengana na sababu nyingine, inachangia kwa kiasi kikubwa katika kufanya &#341;asilimali nyingi kupatikana kwa watu wa vijijini. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WILAYANI KIAMBU, Kenya, May 4, 2011 (IPS) &ndash; M&#341;adi wa ng&#8217;ombe wa maziwa wa Esthe&#341; Ngonyo Njuguna ni ushahidi wa jinsi mikopo midogo midogo inavyoweza kuongeza vipato vya wakazi wa maeneo ya vijijini. Miaka nane iliyopita, Mama Njoki &ndash; kama ambavyo Njuguna anajulikana zaidi kutokana na jina la mmoja wa watoto wake watano &ndash; anasema&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":5,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3630","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3630","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/5"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3630"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3630\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3630"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3630"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3630"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}