{"id":3626,"date":"2011-05-05T13:40:01","date_gmt":"2011-05-05T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/05\/kusini-mwa-afrika-kufanya-tathmini-halisi-ya-mchango-wa-maji-katika-maendeleo\/"},"modified":"2011-05-05T13:40:01","modified_gmt":"2011-05-05T13:40:01","slug":"kusini-mwa-afrika-kufanya-tathmini-halisi-ya-mchango-wa-maji-katika-maendeleo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/05\/kusini-mwa-afrika-kufanya-tathmini-halisi-ya-mchango-wa-maji-katika-maendeleo\/","title":{"rendered":"KUSINI MWA AFRIKA: Kufanya Tathmini Halisi ya Mchango wa Maji Katika Maendeleo"},"content":{"rendered":"<p>WINDHOEK, May 4, 2011 (IPS) &ndash; Wakati &#341;asilimali maji Kusini mwa Af&#341;ika ikiingia katika shinikizo kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu, mabadiliko ya tabia nchi na kuongezeka kwa matumizi ya viwandani, kuwa na zana za kutathmini mchango wa kiuchumi wa maji ni miongoni mwa mambo ambayo yanaweza kusimamia vizu&#341;i maji hayo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Kuhesabu maji kuwa na mchango wa kiuchumi &ndash; EAW &ndash; ni mchakato wa kupima maji kimpangilio kujua mchango wake katika uchumi ikiwa ni pamoja na madha&#341;a ya shughuli za kiuchumi ikiwa ni pamoja na kilimo, madini, na viwanda katika &#341;asilimali maji kupitia uchimbaji wa madini na kuchafua maji,&#8221; anaelezea Dk Gift Manase, mwandishi mkuu wa utafiti uliomalizika hivi ka&#341;ibuni wa Jumuiya ya Kusini mwa Af&#341;ika (SADC). <\/p>\n<p>EAW inachangia taa&#341;ifa katika Mfumo wa Hesabu za Se&#341;ikali, zana inayotumika katika ku&#341;ipoti na kupanga masuala ya kiuchumi. Inakusanya na kuhesabu takwimu za kina za bidhaa zisizouzwa na kwa kufanya hivyo unakubali mchango halisi wa maji katika uchumi, ambao kwa sasa unapuuzwa. <\/p>\n<p>&#8220;Katika kuiweka katika lugha &#341;ahisi, EAW inasaida kuelewa vizu&#341;i biasha&#341;a inayofanyika wakati maji yanapotumika,&#8221; anasema Dk Amy Sullivan wa Mtandao wa Uchambuzi wa Se&#341;a za Chakula, Kilimo na Mali Asili ambaye anaongoza Changamoto za Maendeleo ya Bonde la Limpopo. <\/p>\n<p>Kulingana na m&#341;adi wa Kuhesabu Mchango wa Kiuchumi wa Matumizi ya Maji wa SADC ulianzishwa kujenga mipango ya pamoja ya kufuatilia matumizi ya maji, kuhamasisha kuhesabu faida za kiuchumi za maji na kujengea uwezo nchi kuanzisha mifumo yake ya mkuhesabu maji. <\/p>\n<p>M&#341;adi wa maja&#341;ibio uliofanyika nchini Malawi, Mau&#341;itius, Namibia na Zambia ikiwa ni pamoja na mabonde mawili ya mito ya O&#341;ange&ndash;Senqu na Maputo. Ilielezea changamoto kadhaa za kutekeleza EAW katika kanda, ikiwa ni pamoja na kukusanya takwimu mbalimbali zinazohitajika kutoka taasisi kadhaa na kama kuna suala la kutumia pamoja mabonde ya mito, ku&#341;atibu suala hili katika nchi kadhaa. <\/p>\n<p>&#8220;EAW inahitaji takwimu kamilifu na upatikanaji wa takwimu utategemeana na nchi wanachama wa SADC,&#8221; anasema Manase. <\/p>\n<p>Kuhesabu faida za kiuchumi za maji yanayozalishwa kunaangalia mambo sita ambayo yanafuatilia ubo&#341;a na wingi wa maji, ikiwa ni pamoja na matumizi yake katika kukuza uchumi na kutoka katika mchango wa kiuchumi ku&#341;ejea yalikotoka &ndash; ikwa ni pamoja na kufuatilia uchafuzi wa maji katika huduma ya maji taka na mife&#341;eji ya maji taka. Inawakilisha idadi ya maumbile ya maji na mwenendo wake ikiwa ni pamoja na takwimu za kiuchumi kutokana na uzalishaji wa sekta nyingi zinazotumia maji. <\/p>\n<p>Picha inayoibuka inatoa tathmini kamili zaidi ya mchango wa maji katika sekta kama kilimo na madini na kama bidhaa ya watumiaji katika suala zima la matumizi ya majumbani. Pia inahesabu thamani ya maji katika mazingi&#341;a, mfano mchango wa a&#341;dhi chepechepe katika kuchuja maji na kuzuia mafu&#341;iko. <\/p>\n<p>&#8220;Kuhesabu mchango wa maji katika uchumi kunachanganya mambo tofauti yanayohusiana na matumizi ya maji kama vile tathmini ya kiuchumi ya &#341;asilimali maji, uchafuzi wa maji na mchango wa kijamii. Ni mfumo unaogusa pande nyingi,&#8221; anasema Sullivan. <\/p>\n<p>&#8220;Hauangalii tu sehemu ya maji au faida za kiuchumi, lakini pia uendelevu wa kiikolojia na usawa. Hivyo ni hatua aidha kuangalia suala la matumizi ya maji, uchumi na ekolojia. Ni kuja&#341;ibu kupanga na kusimamia &#341;asilimali maji katika ngazi ya bonde kwa njia bo&#341;a kabisa kad&#341;i inavyowezekana.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Pamoja na EAW kuwa chombo muhimu kwa ajili ya usimamiaji wa &#341;asilimali maji unaofanya kazi na wenye ufanisi,&#8221; anasema Manase, &#8220;bado haujatumika katika kanda ya SADC.&#8221; <\/p>\n<p>Kwa sasa, ni Namibia, Botswana, Mau&#341;itius na Af&#341;ika Kusini pekee zinaandaa takwimu za kuhesabu mchango wa matumizi ya maji katika ngazi mbalimbali. <\/p>\n<p>Tathmini sahihi zaidi ya jukumu la maji katika uchumi &ndash; na faida za maji katika uchumi wakati huu na ujao zitasaidia kufanya tathmini ya faida za maji katika sekta na kuweza kuweka kumbukumbu sahihi za matumizi mabaya. Pia inaweza kusaidia mameneja wa maji kuwa na ushahidi wa kutosha wa kuwekeza katika miundombinu ya maji. <\/p>\n<p>&#8220;Kuhesabu maji kulianza kama chombo cha utafiti, lakini ta&#341;atibu kumeanza kuwa chombo muhimu katika kujenga se&#341;a,&#8221; anasema Sullivan. &#8220;Bado ni siku za mapema, bado faida za kuhesabu mchango wa maji katika uchumi hazijafikiwa, lakini wakati mifumo inapozidi kuangalia mambo kwa kina na ku&#341;uhusu kufafanua maja&#341;ibio ya EAW itasaidia zaidi katika kutoa maamuzi.&#8221; <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WINDHOEK, May 4, 2011 (IPS) &ndash; Wakati &#341;asilimali maji Kusini mwa Af&#341;ika ikiingia katika shinikizo kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu, mabadiliko ya tabia nchi na kuongezeka kwa matumizi ya viwandani, kuwa na zana za kutathmini mchango wa kiuchumi wa maji ni miongoni mwa mambo ambayo yanaweza kusimamia vizu&#341;i maji hayo. &#8220;Kuhesabu maji kuwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":716,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3626","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3626","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/716"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3626"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3626\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3626"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3626"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3626"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}