{"id":3624,"date":"2011-05-05T13:40:01","date_gmt":"2011-05-05T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/05\/maendeleo-india-maji-machache-yazalisha-kiasi-kikubwa-cha-mpunga\/"},"modified":"2011-05-05T13:40:01","modified_gmt":"2011-05-05T13:40:01","slug":"maendeleo-india-maji-machache-yazalisha-kiasi-kikubwa-cha-mpunga","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/05\/maendeleo-india-maji-machache-yazalisha-kiasi-kikubwa-cha-mpunga\/","title":{"rendered":"MAENDELEO&ndash;INDIA: Maji Machache Yazalisha Kiasi Kikubwa cha Mpunga"},"content":{"rendered":"<p>BHUBANESWAR, India, May 4 (IPS) &ndash; Wakati mchungaji wa kanisa la Kifa&#341;ansa la Jesuit na mtu anayependa kilimo Hen&#341;i de Laulanie alipotengeneza mfumo ujulikanao kama System of Rice Intensification (SRI) ambao ulitumika kwa wakulima maskini nchini Madagasca&#341; miaka ya 1980, pengine hakuwa na wazo kama mamilioni ya wakulima mahali pengine duniani wangeweza siku moja kufaidika na teknolojia hiyo.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hapa nchini India, moja ya nchi 40 ambapo SRI kwa sasa inatumika, mat&#341;ekta madogo yanatumika kutekeleza njia hiyo kwa kuja na ubunifu zaidi ili kufanya kazi nzu&#341;i zaidi kwa ajili yao na wakulima wenzao wa mpunga nchini kote. <\/p>\n<p>Ikianzia katika vifaa vipya hadi katika matumizi ya vifaa vya jadi kutengeneza mbolea, ubunifu huu umesababisha mavuno makubwa kwa gha&#341;ama nafuu kwa wakulima wengi wa mpunga wanaotumia SRI. <\/p>\n<p>&#8220;SRI nchini India ma&#341;a nyingi imewezeshwa kutokana na mitandao midogo ya ubunifu ambao wamejitahidi kufanya maja&#341;ibio ya mifumo ambayo haijawahi kuja&#341;ibiwa,&#8221; anasema C Sambu P&#341;asad, p&#341;ofesa katika Taasisi ya Menejimenti ya Xavie&#341; huko Bhubaneswa&#341;. <\/p>\n<p>&#8220;SRI ni teknolojia ya ugani ya mkulima kwa mkulima,&#8221; anaongeza. &#8220;Wakulima wanafanya maja&#341;ibio na mafanikio yao yanashawishi wengine kuchukua ubunifu huo.&#8221; <\/p>\n<p>India inaonekana kwa wataalam kama miongoni mwa vituo vya awali kulima mpunga duniani. Kama ilivyo kwa nchi nyingine za ba&#341;a la Asia, mpunga unabakia kuwa zao kuu la chakula nchini humo, ambapo baadhi ya hekta milioni 44 zinapandwa nafaka hiyo. <\/p>\n<p>Njia za kilimo za jadi zinahusu kupanda mbegu katika vitalu vilivyojaa maji kwa hadi siku 30 kabla ya kupandwa tena kwenye mashamba. Ma&#341;a nyingi hakuna nafasi zinazowekwa kati ya mimea. Upaliliaji unafanyika kwa kung&#8217;oa magugu kwa mkono. <\/p>\n<p>Kwa kulinganisha njia ya SRI, inapanda mbegu moja moja zilizokaa kwenye kitalu kwa siku 12 na kupandwa kwa nafasi ya sentimita za m&#341;aba 25. Udongo unaachwa na unyevu, na pia kuwa na nafasi ya kukauka kwa maji, na suala la kuongeza mbolea linahamasishwa. Upaliliaji wa ma&#341;a kwa ma&#341;a unafanywa na pia kuusambaza udongo usishikamane sana. <\/p>\n<p>Kulingana na wataalam wa kilimo hii inafanya maji kubakia katika kiwango chake cha chini. Suala la kuacha nafasi kati ya mimea, inasaidia mizizi ya kila mmea kupata nafasi ya kutosha kukua, na kuiwezesha kustawi na kufikia kiwango chake cha juu cha kuzaa mazao. <\/p>\n<p>Kwa hiyo SRI inahitaji mbegu chache, maji machache na mbolea hata kama mavuno yanakuwa mengi zaidi. <\/p>\n<p>Kulingana na utafiti wa kulinganisha aina hii mbili ya kilimo uliofanywa na Wate&#341;shed Suppo&#341;t Se&#341;vice and Activities Netwo&#341;k (WASSAN), asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali inayofanya kazi na wakulima hapa katika jimbo la kusini masha&#341;iki la Andh&#341;a P&#341;adesh, SRI inapelekea mavuno mengi ambayo ni asilimia 52 zaidi ya kilimo cha jadi. Na wakati mavuno kwa ujumla yalikuwa mengi zaidi ya asilimia 18 kwa kutumia SRI, jumla na gha&#341;ama zilikuwa chini kwa asilimia 32. <\/p>\n<p>Mtafiti wa WASSAN S Bhagya Laxmi anasema kupungua kwa matumizi katika SRI kunaweza kuhusishwa kwa kiasi kikubwa na asilimia 37 ya kupungua kwa gha&#341;ama za nguvukazi za kupanda mazao. Zaidi ya nusu ya gha&#341;ama ya nguvukazi hii zinanatokana na upaliliaji, anasema, lakini kwa kutumia ubunifu wa SRI, &#8220;ma&#341;a mbili zaidi&#8221; upaliliaji ulifanywa na wanawake. <\/p>\n<p>Katika Andh&#341;a P&#341;adesh, SRI imeshavutia uundwaji kwa uchache wa aina mbili ya mashine za kupalilia. <\/p>\n<p>Mashine moja inajukana kama cono&ndash;weede&#341;, iliyobuniwa na wasomi katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha jimbo la Acha&#341;ya N G Ranga. Nyingine ni Mandava weede&#341;, ambayo ilipewa jina lake badala ya kijiji cha wakulima ambao waliona cono&ndash;weede&#341; kuwa mashine nzito na inayosumbua kwa wao kuitumia. <\/p>\n<p>Wakishi&#341;ikiana pamoja, wakulima wakiongozwa na Pa&#341;cha Kishan Rao mwenye um&#341;i wa miaka 50 waliomba chuo kubuni chombo hicho kwa ajili yao, na kubadilisha mashine ya awali kwa kuondoa baadhi ya vifaa na kuweka vingine. <\/p>\n<p>Leo hii mashine aina ya Mandava weede&#341; inatengenezwa katika maeneo ya vijijini na kuuzwa kwa &#341;upia 800 (dola 18) kwa moja. <\/p>\n<p>Bommi Reddy Sudhaka&#341; Reddy, ambaye anatoka katika eneo lenye mvua la Rao pia amekuja na mashine ya kutengeneza mista&#341;i mingi kwa wakati mmoja ambayo inaokoa muda wa wakulima kupanda kwa kutumia mfumo wa SRI. <\/p>\n<p>P&#341;abhavathamma Reddy katika wilaya ya Mahabubnaga&#341;, kwa upande wake, anasema kwa sasa anavuna ka&#341;ibu ma&#341;a mbili zaidi ya alivyokuwa akipata kwa kila hekta moja ya a&#341;dhi. Anasema inatokana na SRI, lakini inaweza pia kutokana na kutumia mbolea katika shamba lake ambayo anaitengeneza hapo nyumbani kwake. <\/p>\n<p>Ana moyo wa kukuza kilimo katika eneo la jimbo la Ka&#341;nataka kusini magha&#341;ibi mwa nchi hiyo, ambapo mkulima mwenzake anayetumia mfumo wa SRI Na&#341;ayana Reddy anakumbuka jinsi gani ma&#341;afiki zake wawili wanatumia magugu kuondokana na wadudu waha&#341;ibifu na kupanda mbegu za jadi baada ya kuziloweka kwanza kwenye maziwa ya ng&#8217;ombe. <\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na sababu ngeni,&#8221; anasema mku&#341;ugenzi wa WASSAN K Su&#341;esh, &#8220;njia ya kuongeza mavuno ya mpunga imekuwa ikitumika zaidi kwa watu wenye maa&#341;ifa na kupitia mtandao wa ubunifu wa wakulima kupitia sayansi.&#8221; <\/p>\n<p>Na mawazo mapya kutoka kwa wakulima yanatafsi&#341;iwa katika mavuno mengi, wakulima wa mpunga wa muda m&#341;efu wanaanza kujihusisha na SRI, ambao mwaka 2009 uliingizwa na se&#341;ikali ya shi&#341;ikisho katika Mpango wa Taifa wa Usalama wa Chakula. <\/p>\n<p>Vinod Goud, mwanasayansi wa Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mazao katika Eneo Kame la Kit&#341;opiki (ICRISAT), anasema wakulima wengi wanaotumia mfumo wa SRI wanaweza kuwa haba&#341;i njema wakati huu ambapo mabadiliko ya tabia nchi yanatishia mazao ya kilimo. Kupitia SRI, anaongeza, kujitosheleza kwa chakula na hifadhi ya &#341;asilimali &ndash; hasa maji &ndash; kunakuwa na uhakika. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BHUBANESWAR, India, May 4 (IPS) &ndash; Wakati mchungaji wa kanisa la Kifa&#341;ansa la Jesuit na mtu anayependa kilimo Hen&#341;i de Laulanie alipotengeneza mfumo ujulikanao kama System of Rice Intensification (SRI) ambao ulitumika kwa wakulima maskini nchini Madagasca&#341; miaka ya 1980, pengine hakuwa na wazo kama mamilioni ya wakulima mahali pengine duniani wangeweza siku moja kufaidika&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":852,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3624","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3624","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/852"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3624"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3624\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3624"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3624"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3624"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}