{"id":3622,"date":"2011-05-05T13:40:01","date_gmt":"2011-05-05T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/05\/pakistan-wanasayansi-wageukia-ugonjwa-wa-uti-wa-mgongo-kwa-watoto\/"},"modified":"2011-05-05T13:40:01","modified_gmt":"2011-05-05T13:40:01","slug":"pakistan-wanasayansi-wageukia-ugonjwa-wa-uti-wa-mgongo-kwa-watoto","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/05\/pakistan-wanasayansi-wageukia-ugonjwa-wa-uti-wa-mgongo-kwa-watoto\/","title":{"rendered":"PAKISTAN: Wanasayansi Wageukia Ugonjwa wa Uti wa Mgongo kwa Watoto"},"content":{"rendered":"<p>KARACHI, Pakistan, May 4 (IPS) &ndash; Alikuwa na miezi nane tu, lakini Aiman Azam hawezi kukaa wala kubeba kitu chochote kwa mikono yake. Hata hawezi kunyanyua shingo yake au kuitikisa.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Ni miezi mitano iliyopita tangu alipoweza kutabasamu, alipokuwa na miezi mitatu,&#8221; anasema mama yake, Ma&#341;ia. Ni wakati huo Aiman alipatwa na homa. <\/p>\n<p>Ilitembeela madakta&#341;i ma&#341;a kadhaa kabla Aiman hajakutwa na homa ya uti wa mgongo, ambao unashambulia kuanzia kwenye ubongo hadi uti wa mgongo. <\/p>\n<p>Kuna aina mbili ya homa ya uti wa mgongo: ile inayosababishwa na vi&#341;usi na ile inayosababishwa na bakte&#341;ia. Aiman aliambukizwa na uti wa mgongo wa bakte&#341;ia, ambao unaacha wale wanaopona kuwa na ulemavu wa kudumu &ndash; kupooza, kuwa na matatizo ya masikia na hata ubongo kuha&#341;ibiwa. <\/p>\n<p>Kila mwaka, wastani wa watoto 23,000 hufa&#341;iki dunia kutokana na ugonjwa wa uti wa mgongo unaosababishwa na bakte&#341;ia nchini Pakistan. Lakini Asif Khowaja, mtaalam wa afya ya umma katika ida&#341;a ya udakta&#341;i wa watoto kwenye Chuo Kikuu cha Aga Khan Ka&#341;achi (AKUH) anasema, mzigo wa kweli wa ugonjwa unabakia kutokuonekana kutokana na &#8220;vifaa vichache vya maaba&#341;a, matumizi ya madawa aina ya antibiotics, na tabia duni ya kufuatilia afya ya watu nchini Pakistan&#8221;. <\/p>\n<p>AKUH kwa sasa inafanya utafiti kuchunguza madha&#341;a ya kuanzishwa kwa chanjo dhidi ya bakte&#341;ia aina ya Haemophilus influenzae type b (Hib), ambayo inaongoza katika kusababisha ugonjwa wa uti wa mgongo kwa watoto katika taifa hilo la Kusini mwa Asia. <\/p>\n<p>Utafiti pia umeangalia matatizo ya mfumo wa ufahamu wakati wa kushambuliwa na bakte&#341;ia wa ugonjwa wa uti wa mgongo. <\/p>\n<p>Watafiti wana matumaini kuwa matokeo yataonyesha ufanisi wa chanjo dhidi bakektia wanaosababisha homa ya uti wa mgongo na kuonyesha makadi&#341;io ya ugonjwa huo nchini Pakistan. Kama kila kitu kitakwenda vizu&#341;i, wanasema, matokeo yataima&#341;isha maoni ya uendelevu wa chanjo ya Hib chini ya Mpango Mpana wa Chanjo wa Pakistan (EPI). <\/p>\n<p>&#8220;Tutasajili wastani wa wagonjwa 200 wa homa ya uti wa mgongo unaosababishwa na bakte&#341;ia, na ma&#341;a tano zaidi ya idadi ya watoto wenye afya kama kundi la maja&#341;ibio la chanjo hiyo,&#8221; anasema Khowaja. &#8220;Ka&#341;ibu wagonjwa 100 na watoto 200 wenye afya pia wanatathminiwa matatizo ya ufahamu na matokeo mengine ya ugonjwa huo.&#8221; <\/p>\n<p>Hadi sasa, watafiti wameaji&#341;i nusu ya sampuli kutoka katika kila kundi. Kulingana na Khowaja, matumizi ya chanjo miongoni mwa makundi ni chini ya asilimia 50, ukweli ambao unaonyesha tu haja ya kuwa na uhamasishaji wa jamii kuhusu homa ya uti wa mgongo na upatikanaji wa chanjo dhidi ya chanjo ya Hib. <\/p>\n<p>Wataalam wa masuala ya afya wanasema uhamasishaji wa umma ni muhimu kuongeza faida za EPI na chanjo ya Hib. <\/p>\n<p>Familia ya mtoto Aiman, kwa mfano, haijajua kuwa chanjo ya Hib ilikuwepo bu&#341;e kupitia mfumo wa afya ya umma. Azam Khan pia anakubali kuwa kabla ya Aiman kugundulika kuwa ana homa ya uti wa mgongo, alikuwa na utata wa kufahamu juu ya ugonjwa huo. Na wala siyo watoto wake wakubwa &ndash; wote wakiwa wavulana, wenye um&#341;i wa miaka saba, minne, na miwili &ndash; wamepatiwa chanjo. <\/p>\n<p>Pakistan ilianzisha chanjo mpya ya mseto kulinda watoto chini ya um&#341;i wa miaka mitano dhidi ya bakte&#341;ia aina ya Hib Janua&#341;i 2009. Kwa wakati huu, EPI inatoa dozi tatu za chanjo ya Hib bu&#341;e kwa watoto wa chini ya miaka miwili. <\/p>\n<p>Mwaka 2011, wiza&#341;a ya afya inapanga kuanzisha chanjo dhidi bakte&#341;ia wanaosababisha ugonjwa wa neumonia wanaojulikana kama St&#341;eptococcus ambao wanasababisha homa ya uti wa mgongo. <\/p>\n<p>Chanjo ya Hib na neumonia zinapatikana nchini Pakistan, lakini zinauzwa kwa bei kubwa kwa watu wengi. Chanjo ya Hib, kwa mfano, inagha&#341;imu &#341;upia 1,200 (dola zipatazo 14) kwa dozi. Mtoto atahitaji kupatiwa dozi ya wiki sita, wiki 10, na wiki 14. <\/p>\n<p>Naibu Meneja wa EPI Dk Agha Ashfaq anasema kuwa kuanzishwa kwa chanjo kupitia mfumo wa afya wa se&#341;ikali &#8220;hakutapunguza tu mzigo wa ugonjwa, lakini pia kuchangia kwa kiasi kikubwa katika kufikia Lengo la Nne la Milenia (MDG), ambalo ni kupunguza vifo vya watoto wa chini ya miaka mitano kwa theluthi mbili&#8221;. <\/p>\n<p>Dk Zulfika&#341; Bhutta ambaye ni mkuu wa Kituo cha Utabibu wa Watoto cha AKU anasema kufanya chanjo ya Hib, na baadaye chanjo ya neumonia, kuwepo katika mfumo wa afya wa se&#341;ikali ni suala la kupongezwa. Lakini anasema hizi hazitafikia walengwa wakubwa, kwa kiasi kikubwa kutokana na kuwa na kiasi kidogo cha chanjo ya ma&#341;a kwa ma&#341;a. <\/p>\n<p>&#8220;Chanjo zinahitaji kampeni muhimu ya vyombo vya haba&#341;i,&#8221; anasema Bhutta. <\/p>\n<p>Khowaja anakubaliana na hili, akibainisha kuwa uhamasishaji wa chanjo kwa sasa ni mdogo mno. Ili kuondokana na homa ya uti wa mgongo, anasema, kampeni kabambe inahitajika. &#8220;Lazima ifikie mlango hadi mlango, kama ambavyo kampeni dhidi ya polio inafanyika,&#8221; anasisitiza. <\/p>\n<p>Wataalam wa afya wanasema hii ni njia moja ya kuhakikisha kuwa jitihada za wiza&#341;a ya afya yenye matatizo ya kifedha ya kutoa dozi milioni 15 za chanjo ya Hib kwa mwaka zinafanikiwa. <\/p>\n<p>Chanjo inafadhiliwa kwa pamoja na wiza&#341;a ya afya na Gavi, shi&#341;ika la ushi&#341;ikiano wa umma na binafsi la Geneva lenye lengo la kubo&#341;esha afya katika nchi maskini zaidi duniani. Gavi ina mpango wa kuendeleza m&#341;adi huo hadi mwaka 2015. Lakini Ashfaq wa EPI anasema, &#8220;Ma&#341;a tu Gavi itakapoondoka, tutaweza kubeba mzigo kama huo.&#8221; <\/p>\n<p>Kwa hakika kuna mpango wa kufikia zaidi ya asilimia 90 ya watoto chini ya miaka mitano miaka miwili ijayo, anasema Bhutta. <\/p>\n<p>&#8220;Tunaja&#341;ibu kuleta wadau wote pamoja kukubaliana juu ya mpango wa kitaifa,&#8221; anasema. &#8220;Kutakuwa na pesa, fedha nyingi mno kwa ajili ya chanjo, lakini tunahitaji kuhakikisha kuwa fedha hizo zinatumiwa kwa uangalifu.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KARACHI, Pakistan, May 4 (IPS) &ndash; Alikuwa na miezi nane tu, lakini Aiman Azam hawezi kukaa wala kubeba kitu chochote kwa mikono yake. Hata hawezi kunyanyua shingo yake au kuitikisa. &#8220;Ni miezi mitano iliyopita tangu alipoweza kutabasamu, alipokuwa na miezi mitatu,&#8221; anasema mama yake, Ma&#341;ia. Ni wakati huo Aiman alipatwa na homa. Ilitembeela madakta&#341;i ma&#341;a&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":853,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3622","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3622","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/853"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3622"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3622\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3622"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3622"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3622"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}