{"id":3620,"date":"2011-05-05T13:40:01","date_gmt":"2011-05-05T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/05\/zambia-mustakabali-tata-wa-katiba-mpya\/"},"modified":"2011-05-05T13:40:01","modified_gmt":"2011-05-05T13:40:01","slug":"zambia-mustakabali-tata-wa-katiba-mpya","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/05\/05\/zambia-mustakabali-tata-wa-katiba-mpya\/","title":{"rendered":"ZAMBIA: Mustakabali Tata wa Katiba Mpya"},"content":{"rendered":"<p>LUSAKA, May 4 (IPS) &ndash; Baada ya tume mbili na ukusanyaji wa maoni ya wananchi uliodumu ka&#341;ibu muongo mmoja, mchakato wa kuandika upya katiba ya Zambia ulishindikana kufikia muafaka wakati &#341;asimu ya katiba mpya iliposhindwa kupata ku&#341;a nyingi bungeni. Hii imefanya wanasiasa, mashi&#341;ika ya ki&#341;aia na wananchi wa kawaida kuonekana kushindwa kuelewa kama mustakabali wa kuwa na katiba mpya utawafanya kulia au kucheka.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Wananchi ambao ndiyo wanaopata hasa&#341;a katika mchezo huu ni Wazambia,&#8221; Dickson Je&#341;e, msemaji wa Rais Rupiah Banda aliviambia vyombo vya haba&#341;i baada ya Muswada wa Katiba kushindwa kupitishwa.<\/p>\n<p>Lakini Willa Mung&#8217;omba, ambaye alisimamia uandaaji wa &#341;asimu ya muswada ambao ulikuwa msingi wa Mkutano wa Kitaifa wa Mapitio ya Katiba, alika&#341;ibisha kuvunjika kwa mchakato huo.<\/p>\n<p>&#8220;Ni suala chanya na fu&#341;sa kwa kila mtu kusimama na kusema watu wanataka nini &#8221; alisema Mung&#8217;omba.<\/p>\n<p>&#8220;Watu walitaka haki za kiuchumi, kijamii na kitamaduni kuwekwa katika katiba. Kama unaacha haki hizo; unakuwa umeacha sehemu kubwa ambayo ina maslahi kwa wananchi. Inatakiwa kuzungumzia kuhusu maji safi, nyumba, aji&#341;a, elimu, afya na kila kitu cha aina hiyo.&#8221;<\/p>\n<p>Nini kipo katika &#341;asimu <\/p>\n<p>Wakati mkutano wa katiba uliojaa wanachama wa MMD ulipomaliza kazi yake Agosti 2010, ulishangaza mashi&#341;ika ya ki&#341;aia kwa kuingiza masuala ya haki za wanawake na makundi yaliyopo pembezoni katika katiba mpya.<\/p>\n<p>Katiba mpya inaunda Tume ya Usawa wa Jinsia kuundwa na se&#341;ikali, kusaidia usawa kati ya wanaume na wanawake. Katiba mpya pia itahakikisha kuwa wanawake kwa ma&#341;a ya kwanza wanaweza ku&#341;ithi, kumiliki na kusimamia a&#341;dhi nchini Zambia.<\/p>\n<p>Haki ya watoto waliozaliwa nje ya ndoa na kupatiwa matunzo na kupewa sehemu ya u&#341;ithi kutoka kwa wazazi wote pia imetambuliwa. Na dhana mpya imeanzishwa katika she&#341;ia ya kazi ya Zambia: likizo ya uzazi kwa wanaume.<\/p>\n<p>Lakini miongoni mwa vifungu vyenye utata vilivyopendekezwa na MMD na kubakishwa katika wa&#341;aka wa mwisho ni kifungu cha &#8220;50 plus one&#8221;, ambacho kinataka mshindi katika uchaguzi wa &#341;ais siyo tu kwamba awe amepata ku&#341;a nyingi, lakini pia kutokana na kupata ku&#341;a nyingi bila kujali kama zinazidi asilimia hamsini.<\/p>\n<p>Mchakato uliokataliwa <\/p>\n<p>Mung&#8217;omba alikuwa mwenyekiti wa Kamati ya Mapitio ya Katiba (CRC) iliyoteuliwa mwaka 2003. CRC ilikusanya maoni kutoka kwa jamii zote katika majimbo 150 nchini na kuandaa &#341;asimu ya katiba.<\/p>\n<p>Mkutano wa Taifa wa Mapitio ya Katiba uliteuliwa mwaka 2007 na aliyekuwa Rais Levy Mwanawasa kupitia &#341;asimu ya CRC. Muundo wa NCC ulikosolewa kuanzia mwanzo kutokana na kushindwa kuwakilisha Wazambia wote. Pamoja na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia, chama cha upinzani cha Pat&#341;iotic F&#341;ont (PF) kikiongozwa na Michael Sata, kiligomea Mkutano, na kuacha chama tawala cha Multipa&#341;ty Democ&#341;acy kuwa sauti kuu katika mkutano huo.<\/p>\n<p>Ma&#341;idhiano ya ujumla ni kwamba &#341;asimu ya katiba inayotokana na NCC ilikuwa na mambo mengi chanya ambayo yangepatia uwezo makundi ya waliopo pembezoni ikiwa ni pamoja na wanawake, vijana na wenye ulemavu. Lakini wakosoaji wa mambo walibainisha kuondolewa kwa vifungu muhimu kutoka &#341;asimu ya CRC, kama vile kuingizwa kwa haki za kijamii na kiuchumi katika Misingi ya Kikatiba ya Haki za Binadamu. Wa&#341;aka wa NCC pia unaelezewa kuondoa mahitaji kuwa &#341;ais achaguliwe kwa asilimia 50 na moja ya ku&#341;a zote zilizopigwa.<\/p>\n<p>Lakini PF ilikuwa na kicheko cha mwisho wakati wabunge wake walipokataa kupigia ku&#341;a Muswada wa Katiba Machi 29. Kwa Chama cha United Pa&#341;ty fo&#341; National Development (UPND) kujiunga na mgomo huo, haikuwezekana kwa chama cha MMD kupata theluthi mbili ya wabunge waliohitajika kuendelea na hatua ya kupitisha katiba mpya.<\/p>\n<p>Makamu wa &#341;ais wa Chama cha Waandishi wa Haba&#341;i Zambia, Amos Chanda, ana imani kuwa kushindwa kupitishwa kwa muswada huo kumekuwa somo kwa chama tawala kuwa hakiwezi kupuuza matakwa ya watu kama yalivyoelezewa katika &#341;asimu ya Mung&#8217;omba.<\/p>\n<p>&#8220;Katiba ni wa&#341;aka wa kitaifa ambao unatakiwa kukubaliwa na wadau wote, haupaswi kuwasilishwa kama kitu ambacho ni cha chama kimoja cha siasa,&#8221; alisema Chanda. &#8220;Wakati wa kuandaa katiba, tunatakiwa ma&#341;a zote kujiandaa kufikia ma&#341;idhiano, hata katika masuala ambayo hayawezi kuwepo katika chama cha siasa.&#8221;<\/p>\n<p>Kutofautiana <\/p>\n<p>Lakini kama upinzani unadhani maudhui katika katiba yamekosewa, baadhi ya wanachama wake hawadhani hivyo.<\/p>\n<p>Me&#341;cy Chibwe, ambaye anaishi katika eneo la watu wengi la Kalingalinga mjini Lusaka, alisema amepigia ku&#341;a chama cha PF katika uchaguzi uliopita.<\/p>\n<p>&#8220;Watu hawa [wanasiasa] wanatukatisha tamaa, wanataka kujitaji&#341;isha wenyewe kwa niaba yetu,&#8221; aliiambia IPS. &#8220;Tunaambiwa wamekataa ku&#341;ekebisha katiba ili sisi kama wanawake, pia kupewa uwezo wa kuchangia katika maendeleo ya taifa letu. Wanadhani ni wao pekee ambao wana haki ya kuzungumza kwa niaba yetu. Nini maana ya kuwapigia ku&#341;a &#8220;<\/p>\n<p>Chanda alisema kushindwa kwa Muswada wa Katiba kunasikitisha lakini kulikuwa muhimu. &#8220;[Kulikuwa] na baadhi ya vifungu katika &#341;asimu, baadhi ya ma&#341;ekebisho muhimu ambayo yangepatia nguvu makundi mbalimbali ya jamii, lakini hivi havikupaswa kuangaliwa peke yao.&#8221;<\/p>\n<p>Mku&#341;ugenzi mtendaji wa Ba&#341;aza la Ku&#341;atibu Shughuli za Asasi Zisizokuwa za Kise&#341;ikali (NGOCC), Engwase Mwale alisema mamilioni ya dola ambayo yametumika katika kuandaa &#341;asimu ya katiba yangetumika katika masuala mengine.<\/p>\n<p>&#8220;Suala la kwanza na la msingi, mchakato wa kutengeneza katiba umefanyika kwa muda m&#341;efu mno nchini Zambia, nadhani miaka nane sasa. Na tunazungumzia kuhusu &#341;asilimali ambazo zilitumika lakini zingeweza kuelekezwa katika masuala mengine ambayo yanaathi&#341;i wanawake moja kwa moja,&#8221; alisema Mwale.<\/p>\n<p>&#8220;Tunahisi kuwa mchakato wa katiba ulioshindwa kufikia mafanikio umenyima nchi &#341;asilimali ambazo zingetumika vizu&#341;i katika maeneo ambayo yana faida mbalimbali katika maendeleo.&#8221;<\/p>\n<p>Ipi ni njia ya kufuata <\/p>\n<p>Jukwaa la Oasis &ndash; kundi la mashi&#341;ika ya ki&#341;aia ambalo ni pamoja na shi&#341;ika la Zambia Episcopal Confe&#341;ence, Law Association of Zambia, Council of Chu&#341;ches, Evangelical Fellowship of Zambia, na NGOCC &ndash; yalisema bado kuna nafasi ya katiba ku&#341;ekebishwa mwaka huu.<\/p>\n<p>&#8220;Jukwaa la Oasis linahisi kuwa inawezekana kuwa na katiba mpya kabla ya uchaguzi wa mwaka huu kama kunakuwepo dhami&#341;a ya kisiasa,&#8221; shi&#341;ika hilo lilisema Ap&#341;. 6.<\/p>\n<p>&#8220;Tunasema kuwa hakuna sababu ya kutokuhitimisha mchakato wa mapitio ya katiba miaka nane baada ya kuanza.&#8221;<\/p>\n<p>Jukwaa lilipendekeza kuundwa kwa kamati ya kiufundi ya wataalam kuangalia tena Rasimu ya Katiba ya Mung&#8217;omba, kuihuisha na kuipitisha katika ku&#341;a ya maoni. Halafu hii itafuatiwa na kupitishwa kwa katiba iliyokubaliwa na wananchi katika bunge. Wanadhani &#341;asimu ya Mung&#8217;omba ilikuwa na udhaifu mdogo tu ambao ungeweza kusahihishwa kiu&#341;ahisi. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LUSAKA, May 4 (IPS) &ndash; Baada ya tume mbili na ukusanyaji wa maoni ya wananchi uliodumu ka&#341;ibu muongo mmoja, mchakato wa kuandika upya katiba ya Zambia ulishindikana kufikia muafaka wakati &#341;asimu ya katiba mpya iliposhindwa kupata ku&#341;a nyingi bungeni. Hii imefanya wanasiasa, mashi&#341;ika ya ki&#341;aia na wananchi wa kawaida kuonekana kushindwa kuelewa kama mustakabali wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":459,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3620","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3620","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/459"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3620"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3620\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3620"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3620"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3620"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}