{"id":3613,"date":"2011-04-08T13:40:01","date_gmt":"2011-04-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/04\/08\/zimbabwe-wakulima-wahofia-soko-gumu-la-fedha\/"},"modified":"2011-04-08T13:40:01","modified_gmt":"2011-04-08T13:40:01","slug":"zimbabwe-wakulima-wahofia-soko-gumu-la-fedha","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/04\/08\/zimbabwe-wakulima-wahofia-soko-gumu-la-fedha\/","title":{"rendered":"ZIMBABWE: Wakulima Wahofia Soko &#8220;Gumu&#8221; la Fedha"},"content":{"rendered":"<p>HARARE, Ap&#341;ili 8 (IPS) &ndash; Kindness Pa&#341;adza ana lengo. Baada ya kupoteza aji&#341;a yake kama mwandishi wakati se&#341;ikali ya chama cha ZANU&ndash;PF ilipolifungia gazeti lake mwaka 2004, alitumia akiba aliyoweka katika maisha yake kulima shamba la hekta 2,000 alilopata kama sehemu ya mpango wa ugawaji upya wa a&#341;dhi wenye utata nchini Zimbabwe.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Tangu wakati huo amekuwa akitumia a&#341;dhi kwa kubadilisha kati ya mazao kama vile tumbaku, ngano na mahindi. Kwa sasa ana matumaini ya kujenga biasha&#341;a yenye faida katika shamba lake.<\/p>\n<p>Uzinduzi wa kampuni mpya ya ununuzi wa mazao ulikuja kama mshangao kwake, kwani sasa ana nafasi zaidi ya kujadili bei. Hapo kabla nafasi yake ya kujadiliana suala hili haikuwepo kwani Bodi ya Soko la Nafaka (GMB) chini ya se&#341;ikai ilikuwa mnunuzi pekee wa nafaka.<\/p>\n<p>Hata hivyo, Pa&#341;adza, kama ilivyo kwa wakulima wengine wapya, hashangilii kuingia kwa kampuni ya Commodity Exchange of Zimbabwe (COMEZ).<\/p>\n<p>Pamoja na kwamba imezinduliwa kama chombo cha kupunguza kunyonywa kwa wakulima kwa kununua mazao ya wakulima na kujenga fu&#341;sa za wakulima kupata bei nzu&#341;i, Pa&#341;adza anabakia na wasiwasi.<\/p>\n<p>&#8220;Hatuijui kampuni hiyo na kwa hakika ni jinsi gani kitu ambacho hukijui kinaweza kukusaidia &#8221; Pa&#341;adza anauliza.<\/p>\n<p>COMEZ ni kampuni ya biasha&#341;a ya bidhaa; biasha&#341;a ya bidhaa duniani kote katika mazao ya kilimo kama vile ngano, uwele, suka&#341;i, mahindi na pamba, na mikataba inayotokana na kampuni hiyo.<\/p>\n<p>Mikataba hii inaweza kuhusisha mustakabali wa baadaye. Mfano unaweza kuwa: mkulima wa mahindi anaweza kuuza mkataba wake wa baadaye wa mahindi, ambayo hayatavunwa kwa miezi kadhaa, na kuhakikisha bei inalipwa wakati wa kutolewa.<\/p>\n<p>Mkataba wa baadaye unanunuliwa kwa uhakika wa bei kutokupanda wakati mazao yatakapovunwa. Hii inawalinda wakulima kushuka kwa bei za mazao na mnunuzi kupanda kwa bei. COMEZ awali itauza nafaka, mbegu za mikunde na mbegu za mafuta.<\/p>\n<p>Kulingana na wiza&#341;a ya viwanda na biasha&#341;a, COMEZ ina lengo la &#8220;kutoa bei ya haki na wazi&#8221; kwa wakulima au mazao ya kilimo kama inavyoonyeshwa katika soko.<\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa viwanda na biasha&#341;a, Welshman Ncube, aliiambia IPS katika uzinduzi wa COMEZ miezi miwili iliyopita kuwa itasaidia kuvunja mfumo wa se&#341;ikali wa kuhodhi biasha&#341;a ya nafaka.<\/p>\n<p>&#8220;Inabidi kuwa na soko la mazao ambalo ni la uwazi, linalofikika ambapo wanunuzi na wauzaji wanashi&#341;iki, na kujua bei iliyopo,&#8221;Ncube alisema.<\/p>\n<p>Katika miaka 10 iliyopita, Mamlaka ya Masoko ya Mazao ya Kilimo (AMA) yaliamua bei ya mazao ya kilimo, wakati GMB ilichaguliwa kama mnunuzi mkuu wa nafaka. AMA ni msimamiaji wa bei ya nafaka Zimbabwe.<\/p>\n<p>Tafadzwa Musa&#341;a&#341;a, &#341;ais wa Chama cha Usagaji wa Nafaka cha Zimbabwe, anaka&#341;ibisha COMEZ lakini anasema inapaswa kuendesha mambo yake kulingana na vigezo vya kimataifa ili kuweza kufanya kazi vizu&#341;i.<\/p>\n<p>&#8220;Inaka&#341;ibishwa kwa mantiki kwamba mikataba ambayo wakulima wataingia na wafanyabiasha&#341;a wa nafaka na wanunuzi wengine itawapatia nya&#341;aka zinazoweza kupokelewa na benki ambazo wanaweza kutumia kwa ajili ya uendeshaji wake, badala ya kufanya kazi kwa fedha taslimu kama ilivyo sasa,&#8221; Musa&#341;a&#341;a aliiambia IPS.<\/p>\n<p>&#8220;Hata hivyo, ni muhimu kuwa tunakuja na muundo ambao unaendana na vigezo vya kimataifa ili kuvutia wanunuzi wa kigeni.&#8221;<\/p>\n<p>Wakulima wengi bado hawaelewi nini hasa COMEZ inafanya na ni kwa nini imeanzishwa. Wangependa kuona inafanyaje kazi kabla ya kutoa mazao yao.<\/p>\n<p>Pa&#341;adza analalamika kuwa, &#8220;tunajua kuwa haitafanya kazi kutusaidia kwasababu ya kamisheni ambayo tutatakiwa kulipia katika ghala, minada na wafanyabiasha&#341;a &ndash; kama ambavyo wanafanya katika Soko la Fedha la Zimbabwe. Wafanyabiasha&#341;a watauza kwa niaba yetu na ni hao wafanyabiasha&#341;a ambao watatengeneza fedha&#8221;.<\/p>\n<p>Alice Machingauta, mkulima wa Chihota, aliiambia IPS wakati alipokuwa akivuna mazao yake ya tumbaku kuwa, &#8220;sijasikia kuhusu suala hilo lakini kama kuna wafanyabiasha&#341;a sitaki kwasababu wafanyabiasha&#341;a wapo tu kuvuna kile ambacho hawajapanda&#8221;.<\/p>\n<p>Mfanyabiasha&#341;a wa nafaka na mwanauchumi Tinashe Mawa&#341;i&#341;e aliiambia IPS kuwa wakulima wana hofu isiyojulikana juu ya COMEZ.<\/p>\n<p>&#8220;Wakulima wamezoea kuuza mazao yao kwa GMB na kusubi&#341;i kutangazwa kwa bei. Faida ya COMEZ ni mnunuzi wa kushau&#341;iana na muuzaji, kuliko ilivyokuwa hapo kabla kwani kila mtu alilazimika kuuza kwa GMB pekee,&#8221; Mawa&#341;i&#341;e anasema.<\/p>\n<p>&#8220;Kama hupendezwi na bei, huwezi kuuza. Ni &#341;ahisi sana.&#8221;<\/p>\n<p>Mchambuzi B&#341;ains Muchemwa anatahadha&#341;isha kuwa, &#8220;wakulima wanahitaji kuelimishwa jinsi gani COMEZ inafanya kazi na jinsi gani wanaweza kupata bei mpya&#8221;. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>HARARE, Ap&#341;ili 8 (IPS) &ndash; Kindness Pa&#341;adza ana lengo. Baada ya kupoteza aji&#341;a yake kama mwandishi wakati se&#341;ikali ya chama cha ZANU&ndash;PF ilipolifungia gazeti lake mwaka 2004, alitumia akiba aliyoweka katika maisha yake kulima shamba la hekta 2,000 alilopata kama sehemu ya mpango wa ugawaji upya wa a&#341;dhi wenye utata nchini Zimbabwe. Tangu wakati huo&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":303,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3613","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3613","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/303"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3613"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3613\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3613"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3613"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3613"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}