{"id":3611,"date":"2011-04-08T13:40:01","date_gmt":"2011-04-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/04\/08\/kenya-nishati-endelevu-katika-makazi-duni\/"},"modified":"2011-04-08T13:40:01","modified_gmt":"2011-04-08T13:40:01","slug":"kenya-nishati-endelevu-katika-makazi-duni","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/04\/08\/kenya-nishati-endelevu-katika-makazi-duni\/","title":{"rendered":"KENYA: Nishati Endelevu Katika Makazi Duni"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Ap&#341;ili 7 (IPS) &ndash; Zungumzia kuhusu msingi mbaya: Kituo cha Gesi ya Kinyesi cha Katweke&#341;a Tosha kinajengwa katika Vyoo. Kituo hiki cha jamii katika makazi duni ya Kibe&#341;a mjini Nai&#341;obi kinavuka lengo la kutatua matatizo ya usafi wa mazingi&#341;a &ndash; ni mfano wa nishati inayozingatia mazingi&#341;a, eneo la kukutaniana kwa wakazi, na kuleta faida kwa waendeshaji wake.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mifumo ya usafi wa mazingi&#341;a iliyopo kwa mamia kwa maelfu wanaoishi Kibe&#341;a, ma&#341;a nyingi ikijulikana kama makazi duni zaidi katika Af&#341;ika, imewekwa vizu&#341;i katika kumbukumbu.<\/p>\n<p>Wengi wamezungumzia kidogo kuhusu vyoo vya angani &ndash; mifuko ambayo inajazwa vinyesi na ku&#341;ushwa mbali, na hivyo kuwafanya maji&#341;ani kuwa macho! &ndash; ni changamoto ya nishati ya kaya kwa maskini wa mjini.<\/p>\n<p>Bei ya juu na inayozidi kuongezeka ya mafuta &ndash; mafuta ya taa, makaa, kuni &ndash; inachukua sehemu kubwa ya kipato cha kaya. Matumizi ya nishati inayochafua mazingi&#341;a katika maeneo yaliyofungwa inazidisha atha&#341;i kwa afya za maskini na madha&#341;a makubwa ya kimazingi&#341;a.<\/p>\n<p>Kila changamoto ni fu&#341;sa <\/p>\n<p>&#8220;Shi&#341;ika la Umande T&#341;ust ni linapigania haki za binadamu ambalo linaamini kuwa &#341;asilimali za kawaida, kama zitawekezwa kimkakati kusaidia mipango inayoongozwa na jamii, zinaweza kubo&#341;esha kwa kiasi kikubwa upatikanaji wa maji na usafi wa mazingi&#341;a kwa wote,&#8221; anasema Paul Muchi&#341;e, meneja mawasiliano wa shi&#341;ika hilo.<\/p>\n<p>Tamko hili la kiutendaji limeendesha shi&#341;ika kuelekea kwenye ushi&#341;ikiano wa mashi&#341;ika ya kijamii kubo&#341;esha hali ya maisha ya watu katika maeneo ya Kibe&#341;a.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika hilo lilianza kujenga vyoo na mabafu ya kuogea, lakini lilikuwa na ndoto kubwa: TOSHA, &#8220;Upatikanaji wa Usafi wa Mazingi&#341;a na Usafi wa Mwili&#8221;, ilizaliwa.<\/p>\n<p>&#8220;Dhana hapa ni kutumia gesi ya kinyesi kutoka kwenye vyoo hivi kupatia kaya nishati ambayo inaweza kutumiwa na jumuiya katika maandalizi yao ya chakula,&#8221; anasema David Kiha&#341;a, ambaye anahusika na usimamiaji wa upande wa biasha&#341;a katika Kituo cha Gesi ya Kinyesi cha Katweke&#341;a Tosha.<\/p>\n<p>Kiha&#341;a anaendesha biasha&#341;a kandoni mwa Kituo cha Gesi ya Kinyesi cha Katweke&#341;a Tosha.<\/p>\n<p>Kituo kina vyoo na vyumba vya mabafu katika gho&#341;ofa ya chini &ndash; vyoo vimeunganishwa na mtambo wa gesi ya kinyesi, na tenki ambalo linakusanya gesi. Kinyesi kibichi cha binadamu kutoka kwenye choo kinaingia na kusagwa na bakte&#341;ia, na hivyo kutoa gesi aina ya methane ambayo inakusanywa katika tenki.<\/p>\n<p>&#8220;Halafu mabomba yanafungwa katika vyoo hivi na kuunganishwa katika gho&#341;ofa, ambako eneo la kupikia linapatikana,&#8221; anasema Kiha&#341;a. Gesi inapitishwa kwenye bomba kwenda kwenye majiko katika gho&#341;ofa moja juu &ndash; na ma&#341;a nyingi inatosha kwa jumuiya kupika siku nzima.<\/p>\n<p>&#8220;Tunalipa ada ndogo mno kwa kila chakula tunachopika. Ni chanzo nafuu mno cha nishati na tunapika katika mfumo wa kwanza kufika ndiye wa kwanza kupika,&#8221; anasema mkazi wa eneo hilo Nina Oya&#341;o.<\/p>\n<p>Zaidi ya kufanya kazi <\/p>\n<p>Muchi&#341;e anaelezea kuwa kituo hicho kina lengo la kuwa zaidi ya eneo ambalo watu wanaweza kujisaidia, kuoga na kupikia.<\/p>\n<p>&#8220;Ni vituo vya mambo mengi. Tumejenga uwezo wa CBOs wa kuunganishwa na vituo kadhaa vya gesi ya kinyesi katika ngazi ambapo vinaweza kutumia kikamilifu nafasi ambayo vituo vinasimama.&#8221;<\/p>\n<p>Imeachiwa jumuiya kuamua ni aina gani ya kitu cha kuwekwa katika gho&#341;ofa ya kwanza. &#8220;Baadhi ya vituo vya gesi ya kinyesi vimeweka mitambo ya DSTV, ambapo watu wanaweza kuja na kuangalia mechi za mpi&#341;a kwa kutozwa ada, kama ilivyo kwa Katweke&#341;a Tosha,&#8221; anasema Otieno Owou&#341;, mkazi mwingine.<\/p>\n<p>Muchi&#341;e anasema vituo hivyo vimekuwa maeneo muhimu ya kubadilishana taa&#341;ifa pia, kama inavyoonekana katika mabango yaliyowekwa katika kuta yanayozungumzia ujumbe mmoja au mwingine.<\/p>\n<p>&#8220;Siyo tu majiko ya jumuiya lakini pia maeneo ya kukutania ambapo watu wanaweza kupata bu&#341;udani wanapokuwa mbali na nyumbani kwao wakati wa jioni baada ya kazi za mchana,&#8221; Muchi&#341;e anaongeza.<\/p>\n<p>Kutoka kwenye mtizamo wa kibiasha&#341;a, faida kutoka kwenye vituo hivi pia ni kubwa. Katweke&#341;a Tosha kinatoa faida ya kila mwezi ya kati ya dola 350 na 650.<\/p>\n<p>Fedha hizi zinafaidisha wakazi ambao wamejiandikisha na mashi&#341;ika yaliyojikita katika jamii.<\/p>\n<p>Kituo kinafunguliwa saa 11:30 asubuhi na kufungwa saa tano usiku. Muchi&#341;e angependa kuongeza masaa haya: &#8220;Muda unaofaa ungekuwa ni kufanya kazi kwa masaa 24, lakini kukosekana kwa usalama katika makazi duni ni suala halisi.&#8221;<\/p>\n<p>Pengine hiyo ni changamoto inayofuata kwa jumuiya na Umande T&#341;ust. Vituo kama vya Katweke&#341;a Tosha ni vikubwa, na ni hatua endelevu katika kufikia usalama wa nishati kwa wakazi wa makazi duni. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Ap&#341;ili 7 (IPS) &ndash; Zungumzia kuhusu msingi mbaya: Kituo cha Gesi ya Kinyesi cha Katweke&#341;a Tosha kinajengwa katika Vyoo. Kituo hiki cha jamii katika makazi duni ya Kibe&#341;a mjini Nai&#341;obi kinavuka lengo la kutatua matatizo ya usafi wa mazingi&#341;a &ndash; ni mfano wa nishati inayozingatia mazingi&#341;a, eneo la kukutaniana kwa wakazi, na kuleta faida&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":720,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3611","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3611","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/720"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3611"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3611\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3611"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3611"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3611"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}