{"id":3610,"date":"2011-04-08T13:40:01","date_gmt":"2011-04-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/04\/08\/afrika-kusini-nani-kasema-utafiti-hauwezi-kushangaza\/"},"modified":"2011-04-08T13:40:01","modified_gmt":"2011-04-08T13:40:01","slug":"afrika-kusini-nani-kasema-utafiti-hauwezi-kushangaza","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/04\/08\/afrika-kusini-nani-kasema-utafiti-hauwezi-kushangaza\/","title":{"rendered":"AFRIKA KUSINI: Nani Kasema Utafiti Hauwezi Kushangaza"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Ap&#341;ili 7 (IPS) &ndash; Mapema miaka ya 1990, kikundi cha watafiti kilianzishwa katika kijiji kidogo masha&#341;iki mwa Af&#341;ika Kusini. Lengo lao lilikuwa ni &#341;ahisi: kufundisha jumuiya jinsi ya kuongeza maji mwilini mwa watoto wadogo.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wakiwa na chupa ya lita moja ya soda ya coca cola, m&#341;ija mdogo wa kuongezea maji, mabango, na vifaa vingine walitumia wiki kuelezea maa&#341;ifa yao kama sehemu ya mpango wao wa kitaifa wa kupunguza vifo vya watoto wachanga.<\/p>\n<p>Lakini miezi baadaye, kunaonekana kuna mabadiliko madogo mno katika kijiji hicho. Watafiti waliopelekwa ku&#341;ikodi kumbukumbu ya kampeni ya mafanikio walishangazwa. Vifaa vilikuwa sahihi na viliweza kusambazwa; ujumbe ulipokelewa&#8230; lakini hakuna mtu katika jumuiya alikuwa na chupa ndogo.<\/p>\n<p>Ilikuwa ni maono &#341;ahisi, ambayo yanaweza kusahihishwa kiu&#341;ahisi na mwongozo wa kutumia kontena mbalimbali ili kutengeneza mchakato huo &ndash; kila jiko katika kijiji hicho lilikuwa na kikombe.<\/p>\n<p>Dk Sue Goldstein wa Soul City anaelezea haba&#341;i hii kuonyesha jinsi gani inawezekana kushindwa kuwasiliana maa&#341;ifa madogo ya kisayansi lakini yenye maana kubwa bila kuwa na uelewa mkubwa wa walengwa wa ujumbe wako.<\/p>\n<p>Kujenga ujumbe <\/p>\n<p>Taasisi ya Afya na Mawasiliano ya Maendeleo ya Soul City, asasi isiyo ya faida, ilianzishwa mwaka 1992 kwa ajili ya kupunguza vifo vya watoto wachanga vinavyotokana na kupoteza maji mengi mwilini. &#8220;Watoto walifa&#341;iki dunia bila sababu na ilitokana na kwamba watu hawakujua walipaswa kufanya nini,&#8221; anasema Goldstein.<\/p>\n<p>Taa&#341;ifa zilipatikana kwa wingi wakati wa kuwaongezea maji lakini haikuonekana kufikia walengwa. Baada ya kuiangalia hali halisi, Soul City iliamua kuzindua mchezo wa kuigiza wa televisheni kuonyesha watizamaji wake. Mchezo huo wa &#341;edio na makala za magazetini ulienea kwa kasi kubwa.<\/p>\n<p>Katika kuja&#341;ibu kuelezea mahusiano kati ya utafiti na kampeni za vyombo va haba&#341;i, Goldstein anatumia maneno &#8220;U&#341;ahisishaji dhidi ya kufanya mambo makubwa na magumu.&#8221; Katika upande wa mwisho kunasimama mwanasayansi ambaye anataka maa&#341;ifa ya undani na mwisho mwingine ni mtu wa kawaida ambaye siyo mwanasayansi ambaye anahitaji maelezo &#341;ahisi.<\/p>\n<p>Melissa Meye&#341;, M&#341;atibu wa M&#341;adi wa VVU\/UKIMWI na M&#341;adi wa Vyombo vya Haba&#341;i, anasema, &#8220;Utafiti na bu&#341;udani vinapaswa kufanya kazi kwa utofauti. Kwa kubadilisha kidogo tu mtizamo, vinaweza kutumiwa kiufanisi kwa ajili ya kusaidiana.&#8221;<\/p>\n<p>Vipindi kama vile vya Soul City vinaingiza watu halisi katika utafiti. &#8220;Ni kweli kwamba bu&#341;udani nzu&#341;i ni ile ambayo imefanyiwa utafiti wa kina,&#8221; anasema Meye&#341;.<\/p>\n<p>Dalili za mafanikio <\/p>\n<p>Soul City imeonekana kupata njia ambayo kwa mafanikio inawasilisha ujumbe muhimu wa afya wakati huo huo ikichukua mawazo ya wasikilizaji wake kupitia uhaba&#341;ishaji wa hadithi kwa kutumia mchezo wa kuigiza ambao una kila aina ya michezo ya kuigiza ya wakati wa watizamaji wengi.<\/p>\n<p>Rumbidzai Musiya&#341;i&#341;a, shabiki wa igizo hilo anasema, &#8220;Soul City inafungua macho ili kuchukua tahadha&#341;i na kujilinda.&#8221;<\/p>\n<p>Masuala yanayohusiana na VVU na UKIMWI yamekuwa kaulimbiu ya kila ma&#341;a ya maigizo hayo.<\/p>\n<p>&#8220;Maigizo yanafundisha mno&#8221; anasema Musiya&#341;i&#341;a. &#8220;Niligundua jinsi gani ni &#341;ahisi kwa VVU kusambaa kwa familia au jamii.&#8221;<\/p>\n<p>Moja ya hadithi ilionyesha mwanamke ambaye hakujua kuwa ameambukizwa VVU na mume wake kupitia kwenye mfululizo wa maigizo. Aliamini mume wake ni mwaminifu, lakini wakati mambo yalipoanza kubadilika, alithibitisha kuwa alikuwa na wake wengi. Mazingi&#341;a ambayo ni &#341;ahisi kuyang&#8217;amua yanaonyesha utafiti unaoonyesha kuwa na wapenzi wengi kunachangia kuenea kwa VVU katika Kusini mwa Af&#341;ika.<\/p>\n<p>&#8220;Ninapenda mno kupata maa&#341;ifa ya jadi,&#8221; anasema Goldstein. Kupitia ngazi muhimu tisa, utafiti wa kisayansi unatafsi&#341;iwa katika maudhui ya Soul City na timu ya mashi&#341;ika ya wabunifu, watafiti, makampuni ya maja&#341;ibio na wengine.<\/p>\n<p>&#8220;Siyo tu kwamba tunapima eneo letu tunalofika, lakini pia tunapima watu kama wanaelewa nini kutokana na kampeni yetu na kama wamefanya mabadiliko yoyote yale katika maisha yao kutokana na kuangalia maigizo yetu,&#8221; anasema Goldstein.<\/p>\n<p>Masuala ya msongo wa mawazo, kifua kikuu, nyumba na matumizi makubwa ya pombe yote yalionyeshwa katika maigizo hayo.<\/p>\n<p>Debo&#341;ah Ndlovu, mfuatiliaji mwingine wa muda m&#341;efu wa Soul City, ana imani kuwa kuangalia kipindi hicho kunaweza kubadili tabia, hasa baada ya kuona mabadiliko katika maisha yake mwenyewe.<\/p>\n<p>&#8220;Inakufunza kuwa mkweli kwa mpenzi wako,&#8221; anasema. &#8220;Unatakiwa kufuata haki na kujua hali yako na kuwa na tabia salama.&#8221;<\/p>\n<p>Ni zaidi ya televisheni <\/p>\n<p>Soul City ni muunganiko kati ya elimu na bu&#341;udani. Kitabu kinatolewa kila baada ya igizo la kumi na tatu, ili kushinikiza ujumbe wa msingi na kutoa taa&#341;ifa za nyongeza za kisayansi. Soul City pia inatumia Facebook na tovuti, lakini Goldstein alikubaliana kuwa shi&#341;ika bado halijatumia nguvu ya tovuti. Nadhani bado tupo katika mchakato wa kujifunza aina hiyo ya vyombo vya haba&#341;i.&#8221;<\/p>\n<p>Onyesho la televisheni linafikia wastani wa Waaf&#341;ia Kusini milioni 16 na limevutia mashi&#341;ika mbalimbali ambayo yanata&#341;ajia kupata ujumbe kupitia chombo hiki.<\/p>\n<p>Siyo ma&#341;a zote ni &#341;ahisi. &#8220;Hivi ka&#341;ibuni tumekuwa na mkutano na kundi la watu wanaopenda masuala ya mabdiliko ya tabia nchi na wanataka ushahidi wa kisayansi ili kwenda njia ya kisayansi,&#8221; Goldstein anasema. &#8220;Siyo lazima kuwa itahusu kuzungumza na watu. Unatakiwa kufikia watu, ama sivyo hawatasikiliza.&#8221;<\/p>\n<p>Alikubali kuwa siyo kaulimbiu zote za igizo zilifanikiwa. Hakuna mabadiliko katika mitizamo ya watu yali&#341;ikodiwa katika vipindi sita vilivyolenga katika ubaguzi wa wageni. &#8220;Siyo mabadiliko hasi lakini hakukuwa na mabadiliko, tulifanya mhusika kuona huzuni kubwa na hilo lilikuwa tatizo,&#8221; anasema Goldstein.<\/p>\n<p>Kufanya maja&#341;ibio kwa uangalifu kabla ya ku&#341;usha kipindi kumepunguza idadi ya vipindi vilivyoshindwa.<\/p>\n<p>Goldstein alisisitiza haja ya kuwa wabunifu, kufanya utafiti na kuwa na maa&#341;ifa ya kutosha juu ya soko linalokusudiwa kwa shi&#341;ika lolote lile ambalo linataka kuwa na kipindi kama hicho. &#8220;Bainisha nani anahitaji taa&#341;ifa hizi na vyombo gani vya haba&#341;i anatakiwa kutumia.&#8221;<\/p>\n<p>Televisheni, &#341;edio au magazeti yanatumiwa na mashi&#341;ika kufikia walengwa wengi. Shi&#341;ika la Utangazaji la Umma la Af&#341;ika Kusini lina nguvu kubwa, pamoja na kwamba ma&#341;a nyingine lina matatizo ya kuwa na vipindi vya elimu na bu&#341;udani kutokana na kulazimisha kuwa igizo litaonyeshwa wakati wa muda usiuokuwa na watizamaji wengi.<\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a zote waandishi wanaangalia maudhui, na kama unaweza kuwapatia kiu&#341;ahisi kusoma watafu&#341;ahia sana,&#8221; anasema Goldstein.<\/p>\n<p>Utafiti, kujitolea na imani kali ni muhimu na usahihi wa ujumbe umewezesha Soul City kuweka matokeo ya utafiti, maa&#341;ifa ya kisayansi na ujumbe wa kuokoa maisha katika usambazaji mpana. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Ap&#341;ili 7 (IPS) &ndash; Mapema miaka ya 1990, kikundi cha watafiti kilianzishwa katika kijiji kidogo masha&#341;iki mwa Af&#341;ika Kusini. Lengo lao lilikuwa ni &#341;ahisi: kufundisha jumuiya jinsi ya kuongeza maji mwilini mwa watoto wadogo. Wakiwa na chupa ya lita moja ya soda ya coca cola, m&#341;ija mdogo wa kuongezea maji, mabango, na vifaa vingine&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":850,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3610","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3610","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/850"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3610"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3610\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3610"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3610"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3610"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}