{"id":3606,"date":"2011-04-08T13:40:01","date_gmt":"2011-04-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/04\/08\/zimbabwe-waathiika-milioni-moja-wa-mabadiliko-ya-adhi\/"},"modified":"2011-04-08T13:40:01","modified_gmt":"2011-04-08T13:40:01","slug":"zimbabwe-waathiika-milioni-moja-wa-mabadiliko-ya-adhi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/04\/08\/zimbabwe-waathiika-milioni-moja-wa-mabadiliko-ya-adhi\/","title":{"rendered":"ZIMBABWE: Waathi&#341;ika Milioni Moja wa Mabadiliko ya A&#341;dhi"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG na CAPE TOWN, Ap&#341; 6 (IPS) &ndash; Upokonyaji wa mashamba makubwa ya kibiasha&#341;a &ndash; ambayo ka&#341;ibu yote yalikuwa yakimilikiwa na wazungu &ndash; umeendelea pamoja na kuanzishwa kwa se&#341;ikali ya umoja wa kitaifa nchini Zimbabwe. Wafanyakazi wa mashambani nchini humo ni waathi&#341;ika wakuu.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wafanyakazi wanasema viongozi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika (SADC) lazima waingilie kati ma&#341;a moja ili kuzuia ghasia kati yao.<\/p>\n<p>Ka&#341;ibu wafanyakazi wa mashambani milioni moja wameondolewa katika mashamba nchini kote Zimbabwe tangu mwaka 2000, kulingana na shi&#341;ika lenye makao yake mjini Geneva la Inte&#341;nal Displacement Monito&#341;ing Cent&#341;e.<\/p>\n<p>Hii ni asilimia kubwa ya jumla ya wafanyakazi wote wa mashambani nchini Zimbabwe, ambao kulingana na shi&#341;ika la Justice fo&#341; Ag&#341;icultu&#341;e T&#341;ust mjini Ha&#341;a&#341;e wanakadi&#341;iwa kuwa kati ya milioni 1.3 na milioni 1.9 kabla ya upokonyaji wa mashamba kuanza. Shi&#341;ika la kupigania haki za wakimbizi nchini Zimbabwe la People Against Suffe&#341;ing, Supp&#341;ession, Opp&#341;ession and Pove&#341;ty (PASSOP) linasema wafanyakazi hao wapatao 100,000 sasa wanafanya kazi katika mashamba nchini Af&#341;ika Kusini.<\/p>\n<p>IPS ilizungumza kuhusu hali hiyo ya wafanyakazi wa mashambani kwa kuwahoji wananchi watatu wa Zimbabwe wanaofiki&#341;ia kujiunga na wenzao nchini Af&#341;ika Kusini. Wakihofia kufunguliwa mashitaka na Vyombo vya Usalama wa Taifa vya Se&#341;ikali ya Zimbabwe, wafanyakazi wote hao walisisitiza wasitajwe.<\/p>\n<p>Waliiambia IPS kuwa wakati mpango wa mabadiliko ya a&#341;dhi wa &#341;ais wa Zimbabwe Robe&#341;t Mugabe ulipoanza kwa ma&#341;a ya kwanza mwaka 2000, mambo yalionekana kutia matumaini.<\/p>\n<p>&#8220;Waliahidi kutupatia sisi viba&#341;ua mshaha&#341;a mzu&#341;i baada ya kuwaondoa wakulima wa kizungu,&#8221; Rufa&#341;o* alisema.<\/p>\n<p>Lakini mambo yaligeuka kuwa mabaya ha&#341;aka sana. &#8220;Baadhi ya vijana wa chama cha ZANU&ndash;PF walianza kupiga na kubaka wafanyakazi wa mashambani na baadhi walipigwa hadi kufa&#341;iki dunia. Viba&#341;ua wa mashambani walitupiliwa nje ya mashamba pamoja na waaji&#341;i wao na baadhi ya wakulima walikimbia bila kuwalipa wafanyakazi wa mashambani chochote kile,&#8221; alisema Letty*.<\/p>\n<p>Wafanyakazi hao walisema mashamba matatu makubwa ya mwisho yalivamiwa tangu kuanza kwa se&#341;ikali ya umoja wa kitaifa &ndash; Usasa Seedlings, Mount Ca&#341;mel (shamba la maembe) na shamba la michungwa la Stockdale.<\/p>\n<p>Stockdale, likiwa katika wilaya ya Chegutu katika Mashonaland Magha&#341;ibi, lilivamiwa Ap&#341;ili mwaka 2009 na Spika wa Bunge la Zimbabwe, Edna Madzongwe, pamoja na maamuzi ya mahakama ya SADC ambayo ilisema wakulima 78 wa kizungu ambao wanakabiliwa kupoteza mashamba yao wabakie na a&#341;dhi yao.<\/p>\n<p>Mahakama ya SADC ilitoa uamuzi kwa kuunga mkono wakulima mwezi Novemba 2008, na kukuta mpango wa mageuzi ya a&#341;dhi kuendeshwa kwa misingi ya ubaguzi wa &#341;angi. Kutokana na se&#341;ikali ya Zimbabwe kukataa kutekeleza maamuzi ya mahakama, mahakama hiyo Juni 2009 ilipeleka kesi hiyo katika kikao cha wakuu wa mataifa ya SADC.<\/p>\n<p>Wafanyakazi wa mshambani walisema Mugabe amepuuza maamuzi ya mahakama ya SADC, ambayo ilianzishwa nchini Namibia mwaka 2007 kuamua migogo&#341;o katika kanda ya Kusini mwa Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Kwa sasa wafanyakazi wa mashambani wanaokadi&#341;iwa kuwa 60,000 wanajikuta wakiishi maisha ya kupokezana katika makambi, ma&#341;a nyingi kandokando mwa ba&#341;aba&#341;a ambako walifukuzwa, wakisubi&#341;i se&#341;ikali kuwapatia mahali pengine pa kuishi.<\/p>\n<p>&#8220;Baadhi ya wafanyakazi wa mashambani wachache walikuwa na bahati kupatiwa makazi mengine. Lakini kama wanahisi wewe ni mwanachama wa MDC hupati kitu. Tunataka a&#341;dhi sasa kwa ajili ya makazi mapya ya maskini ambao hawana pa kuishi,&#8221; Tapiwa* alisema.<\/p>\n<p>Wafanyakazi wengi wa mashambani wanaishi kwa misaada ya wafadhili sasa, wakati wengine walikimbilia Af&#341;ika Kusini. Letty alisema kuwa kati ya wafanyaakzi wa mashambani wachache ambao bado wana aji&#341;a, wanawake ndiyo wengi. Kutokana na kulipwa uji&#341;a mdogo, bado wanafanya kazi katika mashamba ya viazi na bustani nchini Zimbabwe.<\/p>\n<p>&#8220;Baada ya uvamizi wa a&#341;dhi kuanza,&#8221; Rufa&#341;o alisema, &#8220;tulifukuzwa pia katika mashamba, watoto wetu hawakwenda shule tena kwa miaka miwili. Sisi wanawake tuliishia kukaa na watoto nyumbani bila ya kuwa na chakula, kwasababu hatukuwa na pesa na maduka hayakuwa na bidhaa kwasababu mashamba yalifungwa.<\/p>\n<p>&#8220;Kazi ya wanawake waliokuwa na watoto wanne nyumbani usiku na mchana kwa miaka miwili&#8230; inafaa kuonewa hu&#341;uma,&#8221; Rufa&#341;o alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Wanawake wengi ambao walikuwa wakifanya kazi katika mashamba wanakwenda na ku&#341;udi nchini Malawi, Zambia na Af&#341;ika Kusini, kununua kila kitu ambacho wanaweza kuuza ili kupeleka watoto wao shule. Tunasafi&#341;i na ku&#341;udi kupatia watoto wetu chakula nyumbani,&#8221; aliongeza.<\/p>\n<p>Katika muda m&#341;efu, wote watatu wanasema, mageuzi ya a&#341;dhi yatafanya kazi tu nchini Zimbabwe kama wapokonyaji wa a&#341;dhi ambao ni wanachama wa Zanu&ndash;PF katika kipindi cha miaka kumi iliyopita watakabidhiwa kwa se&#341;ikali.<\/p>\n<p>Tapiwa alisema hakutetea ku&#341;ejea kwa wakulima wa biasha&#341;a wa kizungu nchini Zimbabwe. &#8220;Njia bo&#341;a ni kwamba wale ambao wana mashamba lazima waya&#341;ejeshe se&#341;ikalini. Se&#341;ikali lazima kuyagawa upya kwa watu wasiokuwa na mashamba,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Mtaalam wa mageuzi ya a&#341;dhi na msomi mjini Johannesbu&#341;g Stephen G&#341;eenbe&#341;g anakubaliana. G&#341;eenbe&#341;g alisema kuwa se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini ilikuwa katika mjadala &#8220;chanya&#8221; katika sekta ya a&#341;dhi kuhusu kukuza kilimo cha wakulima wadogo.<\/p>\n<p>Badala ya kununua mashamba ya wazungu na kuyahamisha kwa watu wapya, mfumo mpya wa wakulima wadogo utaona mashamba yakigawanywa kuwapatia watu wengi zaidi a&#341;dhi.<\/p>\n<p>&#8220;Inahusu zaidi akili ya kile ambacho wakulima wa biasha&#341;a wamekiona na kile kinachowezekana,&#8221; G&#341;eenbe&#341;g alisema.<\/p>\n<p>Aliiambia IPS kuwa mfumo huo umeshatumika huko Masvingo, kusini masha&#341;iki mwa Zimbabwe.<\/p>\n<p>&#8220;Kulikuwa na wakulima wa biasha&#341;a wa kizungu waliokuwa wakifuga ng&#8217;ombe katika eneo kubwa la a&#341;dhi ambao walisema ilikuwa na ubo&#341;a duni. Mashamba haya yamegawanywa katika vipande vya hekta 10&ndash;20 ambavyo sasa vinazalisha mazao,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Tapiwa alikuwa na onyo kwa Waaf&#341;ika Kusini &ndash; &#8220;Tulipaswa kujipanga kuiwajibisha se&#341;ikali yetu, hasa wakati wa kupiga ku&#341;a. Naona katika uchumi wa Af&#341;ika Kusini pia upo mikononi mwa wazungu,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>&#8220;Unahitaji kuondoka hapa na kuelekea katika kudhibiti uchumi na kuuweka kwenye mikono ya watu weusi, na kuelekea kwenye a&#341;dhi.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Hii ndiyo sababu tunashau&#341;i Waaf&#341;ika Kusini kuwa na mpango sasa kabla ya kufikia mahali ambapo unatakiwa kunyang&#8217;anya a&#341;dhi,&#8221; alisema Rufa&#341;o.<\/p>\n<p>Lakini G&#341;eenbe&#341;g anasema kuwa chama tawala cha ANC kina uwezekano wa kushinikizwa juu ya kugawa upya a&#341;dhi, kwani maeneo ya vijijini ya Af&#341;ika Kusini yanakosa wanaha&#341;akati wenye nguvu kuchukua a&#341;dhi.<\/p>\n<p>&#8220;Pamoja na kwamba kuna kuchnaganyikiwa, bado hakuna ha&#341;akati za vijijini zenye nguvu ya kutosha kuchukua a&#341;dhi nchini Af&#341;ika Kusini&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Kuvuja jasho katika nchi ya ugenini <\/p>\n<p>&#8220;Hali ya wafanyakazi wa majumbani nchini Zimbabwe ni mbaya,&#8221; anasema Philani Zamuchiya, wa Taasisi ya Mafunzo ya Umaskini, A&#341;dhi na Kilimo (PLAAS). &#8221; Pamoja na kuwa she&#341;ia za kazi za Af&#341;ika Kusini zinawalinda, wakulima wa biasha&#341;a wanaendelea kukiuka she&#341;ia kutokana na kuwa wana idadi kubwa ya wafanyakazi wanaosubi&#341;i kuchukua aji&#341;a,&#8221; alibainisha.<\/p>\n<p>Katika Jimbo la Cape, matatizo yalizidi kuwa mabaya wakati wa msimu wa likizo katika mashamba. Kipindi cha mapumziko cha miaka mitano ni kigumu mno kwa wafanyakazi wa mashambani ambao wanakabiliwa na shida ya kupata matumizi yao ya kila siku, ukiachana na fedha za kupelekea familia zao nyumbani Zimbabwe.<\/p>\n<p>Vitisho vya ma&#341;a kwa ma&#341;a kutoka kwa wenyeji ni uhalisia ambao wafanyakazi wa kigeni wanaishi nao. Zaidi ya Wazimbabwe 3,000 walifukuzwa katika makazi yao huko Stofland, ka&#341;ibu na mji wa De Doo&#341;ns wakati wa mashambulizi mapema Novemba 2009.<\/p>\n<p>Kwa kuongeza katika ubaguzi wa &#341;aia wa kigeni, shi&#341;ika la haki za binadamu la PASSOP nchini Zimbabwe na mfanyakazi wa umoja wa wafanyakazi wa mashambani Sikhula Sonke anasema mashambulizi yalizidishwa na vita kati ya watafutaji wa viba&#341;ua ambao wanazidisha umaskini kwa wafanyakazi wa mashambani wahamiaji na wale wa kutoka taifani na watu wa katikati mwa waaji&#341;iwa na nguvukazi ya wafanyakazi wa mashambani. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG na CAPE TOWN, Ap&#341; 6 (IPS) &ndash; Upokonyaji wa mashamba makubwa ya kibiasha&#341;a &ndash; ambayo ka&#341;ibu yote yalikuwa yakimilikiwa na wazungu &ndash; umeendelea pamoja na kuanzishwa kwa se&#341;ikali ya umoja wa kitaifa nchini Zimbabwe. Wafanyakazi wa mashambani nchini humo ni waathi&#341;ika wakuu. Wafanyakazi wanasema viongozi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika (SADC) lazima&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":732,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3606","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3606","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/732"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3606"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3606\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3606"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3606"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3606"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}