{"id":3589,"date":"2011-03-24T13:40:01","date_gmt":"2011-03-24T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/03\/24\/wazalishaji-wa-kakao-ya-ivoy-coast-walia-juu-ya-vikwazo\/"},"modified":"2011-03-24T13:40:01","modified_gmt":"2011-03-24T13:40:01","slug":"wazalishaji-wa-kakao-ya-ivoy-coast-walia-juu-ya-vikwazo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/03\/24\/wazalishaji-wa-kakao-ya-ivoy-coast-walia-juu-ya-vikwazo\/","title":{"rendered":"Wazalishaji wa Kakao ya Ivo&#341;y Coast  Walia juu ya Vikwazo"},"content":{"rendered":"<p>ABIDJAN, Machi 14 (IPS) &ndash; Jitihada za jumuiya ya kimataifa kumnyima &#341;ais Lau&#341;ent Gbagbo fedha kutokana na uuzaji nje wa kakao zimesababisha mamia kwa maelfu ya tani za kakao nchini Ivo&#341;y Coast kuuzwa katika nchi za ji&#341;ani. Wakulima wanasema siyo tu kwamba wanauza mazao yao hayo &#341;ahisi kuoza kwa wanunuzi wa uchocho&#341;oni kwa bei ndogo, wananyimwa haki na hali ya kisiasa.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Vikosi vya aska&#341;i wanaomuunga mkono Gbagbo vilishambulia wilaya zenye wafuasi wengi wa mpinzani wake, Lau&#341;ent Ouatta&#341;a, katika mji wa kiuchumi wa Abidjan mwishoni mwa wiki &ndash; kwa ma&#341;a ya kwanza kwa kutumia helikopta katika jitihada za kudhibiti maeneo kama ya Abobo.<\/p>\n<p>Ouatta&#341;a, ambaye anatambuliwa na jumuiya ya kimataifa kama mshindi wa uchaguzi wenye mgogo&#341;o wa Novemba 28, ameshaondoka katika Hoteli ya Abidjan Golf kwa ma&#341;a ya kwanza kuhudhu&#341;ia mkutano wa Ba&#341;aza la Amani na Usalama la Umoja wa Af&#341;ika mjini Addis Ababa.<\/p>\n<p>Vikwazo vya kusafi&#341;isha bidhaa nje <\/p>\n<p>Sehemu muhimu ya jitihada za mada&#341;aka ni kudhibiti mapato ya se&#341;ikali. Umoja wa Ulaya umesimamisha kuingiza bidhaa za kakao kutoka Ivo&#341;y Coast, zao ambalo linaiingzia nchi hiyo fedha nyingi za kigeni, kama njia ya kumnyima Gbagbo fedha. Wakulima wa kakao nchini humo wanasema vikwazo hivyo vimesababisha mavuno yao kwenda katika nchi za mpakani, hata katika nchi ambazo hazizalishi.<\/p>\n<p>Hadi katikati mwa Feb&#341;ua&#341;i, kulingana na Bou&#341;se caf&eacute;&ndash;cocoa, (BCC, kampuni ya uuzaji wa kakao na kahawa nchini humo), tani 400,000 zilizuiliwa katika banda&#341;i mbili nchini humo &ndash; Abidjan na San Ped&#341;o &ndash; wakati zikisubi&#341;i kusafi&#341;ishwa kwenda nchi za Ulaya.<\/p>\n<p>&#8220;Kila siku inayopita, kakao zinazidi kuka&#341;ibia kuoza. Hii inawakilisha hasa&#341;a kubwa ya mapato yanayoka&#341;ibia fa&#341;anga za CFA bilioni 40 (kama dola milioni 80 za Kima&#341;ekani) kwa wakulima wetu,&#8221; anasema Ad&#341;ien Kouam&eacute;, msafi&#341;ishaji nje wa kakao katika vyama vya ushi&#341;ika kutoka magha&#341;ibi mwa Ivo&#341;y Coast.<\/p>\n<p>&#8220;Kama mzalishaji mdogo kutoka Du&eacute;kou&eacute; (magha&#341;ibi mwa taifa hilo): Nilichopata ni nini katika kucheza na siasa ili watu wakatae kununua tani 35 &#8221; alisema Blandine Gloudoueu. &#8220;Natengeneza fa&#341;anga za CFA milioni 25 tu (kama dola 50,000) kulea familia yangu ya watoto 20. Hivyo nitawezaje kukabiliana na kikwazo hiki &#8220;<\/p>\n<p>Maji&#341;ani wanafaidika <\/p>\n<p>Kwa kuongeza katika kubeba mzigo wa vikwazo vya Ulaya, wakulima wa kakao Ivo&#341;y Coast wameamua kupeleka kakao kwenye nchi ji&#341;ani, hasa nchi za Mali, Bu&#341;kina Faso naTogo.<\/p>\n<p>&#8220;Ni vigumu kwetu sisi kusikia kuwa nchi kama Mali imetangaza kuwa imezalisha tani 100,000 za kakao, wakati mwaka 2004, ilikuwa imezalisha tani 8 000 tu. Inashangaza kuona Mali ina&#341;ipoti kuzalisha tani 100,000,&#8221; alisema Joseph Kouam&eacute; Yao, &#341;ais wa umoja wa wakulima na ushi&#341;ika wa wakulima nchini Ivo&#341;y Coast.<\/p>\n<p>BCC inakadi&#341;ia kuwa tani 170,000 za kakao zimeshaondoka katika a&#341;dhi ya Ivo&#341;y Coast kinyume cha she&#341;ia kuuzwa katika nchi ji&#341;ani, na hivyo kuwakilisha hasa&#341;a ya dola zipatazo milioni 34.<\/p>\n<p>Kulingana na Yao, katika wiki chache za mwisho, wafanyabiasha&#341;a wasiokuwa waaminifu walikuwa taya&#341;i wameshakimbilia katika mikoa inayozalisha kakao kununua shehena kwa bei ya chini kabla ya kusafi&#341;isha katika njia za uchocho&#341;oni na kuuza katika nchi za ji&#341;ani.<\/p>\n<p>Lakini hali hiyo pia ina faida kwa Ghana, ji&#341;ani wa Ivo&#341;y Coast wa masha&#341;iki na mshindani wake mkuu, ambaye anazalisha tani 800,000 kwa mwaka, anaelezea Yao. Wakulima wa Ivo&#341;y Coast wanasisitza kuwa baadhi ya tani 29,000 za kakao zimeingia Ghana kinyume cha she&#341;ia.<\/p>\n<p>Waendeshaji wa ha&#341;aka <\/p>\n<p>&#8220;Kwa mgogo&#341;o huo, watu wanataka kununua kakao kwa fa&#341;anga za CFA 500 (kama dola moja) au CFA 450, ambapo bei mbali na shambani iliyotangazwa na se&#341;ikali katika mwaka wa mazao wa hivi ka&#341;ibuni ni CFA 1,100 (dola 2.20),&#8221; A&#341;ouna Singo, mkulima wa kakao kutoka Vavoua katikati magha&#341;ibi mwa nchi aliiambia IPS: &#8220;Baadhi yetu tunashindwa na shinikizo, hata kama ni chini ya nusu ya thamani yake halisi.&#8221;<\/p>\n<p>Ka&#341;im Soumaho&#341;o ni mnununuzi kutoka San Ped&#341;o, kusini magha&#341;ibi mwa nchi. &#8220;Tupo katika hali ambapo tuna uwezekano wa kupoteza vitega uchumi vyetu. Wale wanaowalaghai wakulima wanadai kuwa hawawezi kununua kwa bei ya kawaida kwasababu ununuzi wao unaweza kusimamishwa katika fo&#341;odha wakati wakiondoka nchini, au wanaweza kushindwa kupata wasafi&#341;ishaji wengine wa kakao.&#8221;<\/p>\n<p>Soumaho&#341;o anaongeza kuwa ikiwa hali ya kisiasa haitabo&#341;eshwa, watu wenye lengo la kujitaji&#341;isha wenyewe wataendelea kutokana na wakulima kuhitaji fedha.<\/p>\n<p>Vikwazo vya kibaguzi <\/p>\n<p>Mwezi Feb. 17, Singo, Gloudoueu, Kouam&eacute; na wakulima wengine wapatao mia walikuwa katika maandamano mjini Abidjan. Walichoma mbegu za kakao mbele ya ofisi ya ujumbe wa Umoja wa Ulaya, wakidai vikwazo viondolewe dhidi ya nchi yao na kukomeshwa kwa kile walichokielezea kama utumwa wa kiuchumi ambao wakulima wadogo wanalazimishwa kujitumbukiza.<\/p>\n<p>&#8220;Tuna wasiwasi kuhusu kuzuka kwa mauaji ya halaiki ambayo yanaweza kufutilia idadi kubwa ya watu nchini, kwa mantiki kwamba kakao ni kiunganishi muhimu zaidi kwa uchumi wa nchi,&#8221; anasema Geo&#341;ges Bl&eacute;hou&eacute; Aka, &#341;ais wa ba&#341;aza la wataalam la taifa la BCC.<\/p>\n<p>Bl&eacute;hou&eacute; na wakulima wengine wanalaumu ukweli kwamba jumuiya ya kimataifa haijaazisha kikwazo kama hicho katika pamba au ka&#341;anga, ambazo zinazalishwa kaskazini mwa nchi wakati wakianzisha vikwazo katika kahawa na pamnba inayozalishwa kusini.<\/p>\n<p>Ukiulizwa hili kupitia mahojiano ya simu Feb&#341;ua&#341;i, ujumbe wa EU mjini Abidjan ulishindwa kutoa maoni.<\/p>\n<p>Ivo&#341;y Coast inazalisha baadhi ya tani milioni 1.2 za kakao kila mwaka. Pamoja na kahawa, hii inawakilisha asilimia 48 ya mapato yanayotumika nchini humo, kulingana na ofisi ya fo&#341;odha ya Ivo&#341;y Coast, na kuwa chanzo cha moja kwa moja au kisichokuwa cha moja kwa moja cha mapato kwa moja ya sita ya wakazi milioni 17 nchini humo. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ABIDJAN, Machi 14 (IPS) &ndash; Jitihada za jumuiya ya kimataifa kumnyima &#341;ais Lau&#341;ent Gbagbo fedha kutokana na uuzaji nje wa kakao zimesababisha mamia kwa maelfu ya tani za kakao nchini Ivo&#341;y Coast kuuzwa katika nchi za ji&#341;ani. Wakulima wanasema siyo tu kwamba wanauza mazao yao hayo &#341;ahisi kuoza kwa wanunuzi wa uchocho&#341;oni kwa bei ndogo,&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":214,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3589","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3589","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/214"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3589"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3589\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3589"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3589"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3589"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}