{"id":3586,"date":"2011-03-23T13:40:01","date_gmt":"2011-03-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/03\/23\/afrika-chanjo-ya-neumonia-kutalinda-mamilioni-ya-watoto\/"},"modified":"2011-03-23T13:40:01","modified_gmt":"2011-03-23T13:40:01","slug":"afrika-chanjo-ya-neumonia-kutalinda-mamilioni-ya-watoto","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/03\/23\/afrika-chanjo-ya-neumonia-kutalinda-mamilioni-ya-watoto\/","title":{"rendered":"AFRIKA: Chanjo ya Neumonia Kutalinda Mamilioni ya Watoto"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Machi 14 (IPS) &ndash; Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Kenyatta kilifanana na shule moja kubwa ya chekechea huku wazazi wakiwa na watoto wao wakilia. Watu walishangaa kama ilikuwa ni machozi ya maumivu au fu&#341;aha. Mamia ya wazazi na watoto wao wachanga walimiminika katika kituo hicho ambapo walipata chanjo yao ya kwanza ya ugonjwa wa neumonia, na hata machozi hayakuweza kuondoa tabasamu iliyokuwa usoni mwao.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mama walisubi&#341;i kwa shauku kuona watoto wao wachanga wanapatiwa chanjo kwani sindano hizo zinazouma zinawakilisha nafasi ya kuishi bila ugonjwa ambao watoto wengi hawajawa na bahati ya kuustahimili.<\/p>\n<p>&#8220;Tumeanza kampeni ya kimataifa ya chanjo hii ya neumonia ambayo itaokoa maisha ya maelfu ya watoto. Ni siku ya fu&#341;aha kubwa,&#8221; alisema Helen Evans, CEO wa muda katika shi&#341;ika la Global Alliance fo&#341; Vaccines and Immunisation (GAVI).<\/p>\n<p>Neumonia inashambulia mapafu na ma&#341;a nyingi inasababishwa na bakte&#341;ia, vi&#341;usi, fangasi au vimelea. Dalili zinazojulikana ni pamoja na homa, kushindwa kupumua, kuhisi ba&#341;idi na kukohoa.<\/p>\n<p>Neumonia imeendelea kuwa moja ya tatizo kubwa la afya ya umma nchini Kenya, huku Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni liki&#341;ipoti kuwa ni gonjwa la pili kwa kuongoza kuua watoto wengi baada ya mala&#341;ia.<\/p>\n<p>Chanjo ina gha&#341;ama kubwa <\/p>\n<p>Chanjo ambayo taya&#341;i inapatikana katika hospitali nyingi za binafsi, imebakia kuwa tatizo kufikiwa na watoto wengi. Dozi kamili inagha&#341;imu dola zipatazo 188, ambazo kwa Wakenya wengi wanaoishi chini ya dola moja kwa siku ni gha&#341;ama kubwa mno kuweza kumudu.<\/p>\n<p>Takwimu za se&#341;ikali zinakadi&#341;ia kuwa watoto wapatao 30,000 wanafa&#341;iki dunia kila mwaka kutokana na neumonia.<\/p>\n<p>&#8220;Tuna fu&#341;aha kuwa watoto wetu watapatiwa chanjo bu&#341;e. Nina fu&#341;aha na kile ambacho se&#341;ikali imekifanya leo hii kwa kutusaidia kuwafanya watoto wetu kuwa na afya. Siwezi kulipia kutokana na kwamba kama siku inakuwa nzu&#341;i naingiza tu dola tatu kwa kusafisha nguo majumbani mwa watu,&#8221; alielezea Belinda Otieno, mama wa watoto wawili mapacha wenye um&#341;i wa miaka sita.<\/p>\n<p>Pamoja na ukweli kwamba maja&#341;ibio ya chanjo mpya yalifanywa na Taasisi ya Utafiti wa Madawa ya Kenya (KEMRI) kwa zaidi ya muongo mzima, dawa imeendelea kutokupatikana kwa maelfu ya watoto.<\/p>\n<p>Hii imeshuhudia wataalam wa afya wakiendelea kulia juu ya kile wanachokiona kama watoto wa Kenya wanatumiwa kwa maja&#341;ibio kwa madawa ambayo ni muhimu na yanaweza kuokoa maisha ambayo hadi sasa yameendelea kukosekana kwao.<\/p>\n<p>&#8220;Tutatoa madawa haya ya kuokoa maisha bu&#341;e kwa kila mtoto mwenye um&#341;i wa chini ya mwaka mmoja katika hospitali za umma,&#8221; alisema Rais Mwai Kibaki wakati wa uzinduzi.<\/p>\n<p>Ahadi hii imeleta matumaini kwa maisha ya watoto wengi, hasa miongoni mwa maskini, ambao ndiyo wengi katika jamii.<\/p>\n<p>Umuhimu wa hatua hii hauwezi kuchukuliwa juu juu tu kwani unakuja baada ya jitihada za muda m&#341;efu za kutoa &#341;uzuku ya kupunguza gha&#341;ama za chanjo.<\/p>\n<p>Mwaka 2009, se&#341;ikali ilipambana na watengenezaji wa madawa wa Ma&#341;ekani kutokana na gha&#341;ama kubwa. Watengenezaji hao walikubali kupatia Kenya dozi ya wakati mmoja, ofa ambayo se&#341;ikali ilikataa kutokana na nchi kutafuta ufumbuzi wa kudumu.<\/p>\n<p>Madawa haya sasa yamekuwa yakipatikana nchini kupitia ahadi ya GAVI ya kusaidia kuanzishwa kwa chanjo mpya ya neumonia katika nchi 19 zinazoendelea katika kipindi cha mwaka.<\/p>\n<p>Pamoja na kutegemea zaidi upatikanaji wa fedha, GAVI, umoja wa ushi&#341;ikiano wa umma na binafsi ulilenga katika kuokoa maisha ya watoto kwa kuwezesha upatikanaji wa chanjo kwa nchi maskini, mipango ya kutoa chanjo kwa zaidi ya nchi 40 ifikapo mwaka 2015.<\/p>\n<p>Kuifanya chanjo kupatikana kwa mamilioni zaidi <\/p>\n<p>Kenya kwa sasa ni nchi ya kwanza ba&#341;ani Af&#341;ika kuanza kutumia kile ambacho du&#341;u za kitabibu zinasema ni &#8220;chanjo ya neumonia&#8221;. Katika kipindi cha mwaka, watoto katika nchi nyingine maskini kama vile Nica&#341;agua, Mali, Yemen na Sie&#341;&#341;a Leone pia watafikiwa na chanjo.<\/p>\n<p>Kwa msaada wa chanjo hii, Beth Mugo, Wazi&#341;i wa Afya ya Umma na Usafi wa Mazingi&#341;a alisisitiza kuwa &#8220;kupunguza ma&#341;adhi na vifo vinavyotokana na neumonia kutaokoa familia na matatizo ya kifedha na huzuni kutokana na kuwa na watoto wagonjwa, huzuni ya kupoteza watoto wakati wa kifo na pia kutawezesha se&#341;ikali kuelekeza gha&#341;ama kwenda kushughulikia shughuli za kiuchumi.&#8221;<\/p>\n<p>Maumivu yanayotokana na kupoteza mtoto ni yanajulikana pia kwa Hannah Kaigai. &#8220;Mtoto wangu wa kiume alipata neumonia wakati alipokuwa na miezi saba. Kutoka wakati huo afya yake haijabadilika. Ma&#341;a zote alikuwa na ba&#341;idi, hata wakati wa joto kali na alifa&#341;iki akiwa na um&#341;i wa miaka mitatu.&#8221;<\/p>\n<p>Kuna mama wengi nchini ambao wanaweza kutoa ushuhuda wa uzoefu wa maumivu makali ya kupoteza mtoto kutokana na neumonia. Hata hivyo, wengi wao wataokolewa na maumivu ya moyo kama watapeleka watoto wao hospitalini kupata chanjo.<\/p>\n<p>Kulingana na GAVI, chanjo imezuia wastani wa vifo milioni 5 tangu ilipotengenezwa mwaka 2000.<\/p>\n<p>Kwa hiyo se&#341;ikali ina matumaini kuwa neumonia itakoma kuwa ugonjwa unaosababbisha vifo na imetabi&#341;i kuwa chanjo itazuia vifo vipatavyo milioni 7 ifikapo mwaka 2030. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Machi 14 (IPS) &ndash; Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Kenyatta kilifanana na shule moja kubwa ya chekechea huku wazazi wakiwa na watoto wao wakilia. Watu walishangaa kama ilikuwa ni machozi ya maumivu au fu&#341;aha. Mamia ya wazazi na watoto wao wachanga walimiminika katika kituo hicho ambapo walipata chanjo yao ya kwanza ya ugonjwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":720,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3586","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3586","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/720"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3586"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3586\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3586"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3586"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3586"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}