{"id":3584,"date":"2011-03-18T13:40:01","date_gmt":"2011-03-18T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/03\/18\/wanawake-wa-mauitius-waota-siasa\/"},"modified":"2011-03-18T13:40:01","modified_gmt":"2011-03-18T13:40:01","slug":"wanawake-wa-mauitius-waota-siasa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/03\/18\/wanawake-wa-mauitius-waota-siasa\/","title":{"rendered":"Wanawake wa Mau&#341;itius Waota Siasa"},"content":{"rendered":"<p>PORT&ndash;LOUIS, Machi 11 (IPS) &ndash; &#8220;Tumekuwa na mafunzo ya kutosha yanayotolewa kwetu katika mapishi, ushonaji na kazi za nyumbani &#8230; Sasa tuna ndoto nyingine: ya kushi&#341;iki kikamilifu katika maendeleo ya kisiwa chetu katika ngazi ya utoaji wa maamuzi,&#8221; anasema Ma&#341;ie&ndash;Anne Laganne, mkufunzi wa siasa katika Women In Politics.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>NGO hiyo ya nchini Mau&#341;itius imekuwa katika ha&#341;akati ya zaidi ya miaka michache iliyopita kuwa na wanawake wengi katika siasa. Inatoa mafunzo kwa wanawake 25 kila wiki katika mikoa mbalimbali ya Mau&#341;itius kwa matumaini kuwa wataweza kupata tiketi ya kusimama katika uchaguzi utakaofanyika baadaye mwaka huu.<\/p>\n<p>Ushi&#341;iki wa wanawake katika ngazi ya utoaji wa maamuzi ni changamoto kubwa katika Kisiwa hiki cha Baha&#341;i ya Hindi. Pamoja na kuwa wana uwakilishi mzu&#341;i kama wapiga ku&#341;a na wanaha&#341;akati, ni wachache mno wanasimama kama wagombea katika uchaguzi, uwe katika ngazi ya mitaa au kitaifa. Kumekuwepo na mashaka juu ya kushuka kwa idadi ya wanawake katika bunge kutoka asilimia 17.1 mwaka 2005 hadi asilimia 16.6 katika uchaguzi wa mwaka 2010. Katika ngazi ya se&#341;ikali za mitaa, ni asilimia 5.9 ya madiwani ni wanawake.<\/p>\n<p>Mau&#341;itius ni miongoni mwa mataifa machache ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika ambayo bado hayajasaini Itifaki ya Jinsia na Maendeleo ya mwaka 2008, ambayo, miongoni mwa malengo mengine, inatoa wito wa kuwa na uwiano wa 50\/50 katika uwakilishi kati ya wanawake na wanaume katika maeneo yote ya utoaji wa maamuzi ifikapo mwaka 2015. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali inasema kuwa haiwezi kusaini itifaki kutokana na katiba ya nchi hiyo kutoku&#341;uhusu ubaguzi chanya.<\/p>\n<p>Mi&#341;ella A&#341;joon, mmoja wa washi&#341;iki wa mafunzo ya Women In Politics (WIP) yaliyofanyika hivi ka&#341;ibuni huko Tama&#341;in, katika kijiji cha uvuvi cha mwambao wa kusini&ndash;magha&#341;ibi mwa kisiwa hicho, alisema ma&#341;a zote amedhani kuwa siasa zimehifadhiwa kwa ajili ya wanaume tu na kwamba nafasi ya mwanamke iko nyumbani.<\/p>\n<p>&#8220;Sasa muda umefika kubadili siasa. Siku zote tunaona nyuso mpya katika nyanja hii na mawazo hayohayo,&#8221; aliiambia IPS. &#8220;Dunia inabadilika, kwa hiyo takwimu zinapaswa kubadilika. Lakini tunapaswa kujifunza kwanza kazi hiyo kwa usahihi.&#8221;<\/p>\n<p>Be&#341;nadette Jhow&#341;y, mshi&#341;iki mwingine, ni mfanyakazi wa jamii na sasa ana nia ya kujiunga na siasa na kuchaguliwa katika ngazi ya mitaa. Alijielezea kama mtu mwenye nia kubwa.<\/p>\n<p>&#8220;Niko taya&#341;i kwa uchaguzi,&#8221; alisema, na kuahidi kugombea tena katika ngazi ya kitaifa.<\/p>\n<p>&#8220;Ili kuwa na mafanikio, kuna njia moja tu,&#8221; Laganne wa WIP aliwaambia wanawake waliohudhu&#341;ia mafunzo. &#8220;Inabidi kujifunza, kuendelea kujifunza na kujifunza &#8230; kama sivyo huwezi kufikia popote,&#8221; alisitiza.<\/p>\n<p>Laganne, ambaye nia yake ni kuwa mwanamke wa kwanza wazi&#341;i mkuu nchini Mau&#341;itius, anasema wazi kuwa jitihada hizo siyo kati ya wanaume na wanawake lakini ni suala la kidemok&#341;asia.<\/p>\n<p>Kuhusu ni kwa nini wanawake wachache mno wako katika siasa, anakanusha dhana kuwa kukosekana kwa elimu ni sababu, akisema kuwa kuna wanaume wengi mno ambao wana elimu ya chini. &#8220;Hata hivyo wanakuwa mawazi&#341;i na kutawala kwa miaka. Wanajua jinsi gani ya kuendesha siasa. Ni kwa nini tusifanye kama wao &#8220;<\/p>\n<p>Mafunzo yaliyotolewa na WIP yanalenga katika kupatia wanawake ujuzi ili kustawi katika siasa kupitia mafunzo ya jinsi gani ya kusimama mbele ya hadhi&#341;a yao, kuandaa hotuba, kuongea mbele ya watu wengi na kushawishi kuchaguliwa kugombea kama wanajiunga na chama cha siasa.<\/p>\n<p>&#8220;Unatakiwa kujifunza kuijua hadhi&#341;a yako kwanza. Hii itawasaidia kuandaa hotuba yako na kutambua lugha ya kuzungumza. Suala la msingi zaidi ni kufikisha ujumbe,&#8221; Rachel Ng, ambaye ni mkufunzi aliwaambia wanasiasa wata&#341;ajiwa.<\/p>\n<p>Katika mafunzo ya Tama&#341;in, wanawake walikuja mmoja baada ya mwingine, kuchochea jinsi gani ya kushi&#341;iki katika mikutano ya hadha&#341;a kabla ya kampeni za uchaguzi. A&#341;joon alielezea tatizo linaloathi&#341;i kijiji na kipaumbele cha malengo yake ya kukabiliana na masuala ya usalama wa ba&#341;aba&#341;ani na uchafuzi wa mazingi&#341;a kama atachaguliwa. Hotuba yake ya kuigiza ilipokelewa vema na washi&#341;iki wengine ambao walimpongeza kutokana na uchaguzi wake wa vipaumbele.<\/p>\n<p>&#8220;Masuala hayo yanayoathi&#341;i familia yanatakiwa kufanya kazi vizu&#341;i kwa wanawake,&#8221; alidai Rachel Ng.<\/p>\n<p>Wengine walishindwa kuvutia hadhi&#341;a, wakati baadhi walikwenda nje ya somo. &#8220;Tunawasaidia jinsi ya kutumia &#341;isasi sahihi ili waendelee kulenga shabaha. Mambo hayo yanajitokeza lakini wanatakiwa kuendelea kujifua wakiwa nyumbani,&#8221; alisema Ng.<\/p>\n<p>B&#341;uno Woomed, mwanachama mwingine wa WIP, anawataka wanawake kuja&#341;ibu kuchukua nafasi ambazo zinapatikana kwa kuzungumza na watu, kuzungumzia masuala ambayo yanawaathi&#341;i kila siku. &#8220;Hii inawasaidia kuondokana na woga. Ja&#341;ibu kudhibiti hofu yako na kuna wakati utaisahau kabisa,&#8221; aliwahamasisha.<\/p>\n<p>Lakini wakati wanawake hawa walikuwa wakifanya kazi kubwa ya kutoa mafunzo, chama tawala cha Labou&#341; Pa&#341;ty cha Wazi&#341;i Mkuu Navin Ramgoolam kilitangaza wanachama wanaounda taasisi yake mpya ya kisiasa ya wanachama 34.<\/p>\n<p>Ni sita tu kati yao ni wanawake na wote wanashika nafasi za chini, suala ambalo washi&#341;iki katika mafunzo ya WIP wanaliona &#8220;linalosumbua na kukatisha moyo&#8221;. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>PORT&ndash;LOUIS, Machi 11 (IPS) &ndash; &#8220;Tumekuwa na mafunzo ya kutosha yanayotolewa kwetu katika mapishi, ushonaji na kazi za nyumbani &#8230; Sasa tuna ndoto nyingine: ya kushi&#341;iki kikamilifu katika maendeleo ya kisiwa chetu katika ngazi ya utoaji wa maamuzi,&#8221; anasema Ma&#341;ie&ndash;Anne Laganne, mkufunzi wa siasa katika Women In Politics. NGO hiyo ya nchini Mau&#341;itius imekuwa katika&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":730,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3584","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3584","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/730"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3584"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3584\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3584"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3584"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3584"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}