{"id":3572,"date":"2011-03-10T13:40:01","date_gmt":"2011-03-10T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/03\/10\/namibia-ruzuku-itokomezayo-umaskini\/"},"modified":"2011-03-10T13:40:01","modified_gmt":"2011-03-10T13:40:01","slug":"namibia-ruzuku-itokomezayo-umaskini","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/03\/10\/namibia-ruzuku-itokomezayo-umaskini\/","title":{"rendered":"NAMIBIA: Ruzuku Itokomezayo Umaskini"},"content":{"rendered":"<p>WINDHOEK, Feb 16 (IPS) &ndash; Ruzuku ya Kipato cha Msingi kwa Wote (BIG) inaweza kujenga hali ya uvivu na utegemezi miongoni mwa maskini nchini Namibia, wanasema wanasiasa. M&#341;adi wa maja&#341;ibio umethibitisha kuwa imani hii siyo ya kweli. IPS ilizungumza na mmoja wa walengwa wa BIG.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Be&#341;tha Hamases (32) ni mwanamke m&#341;efu, mwenye miguu mi&#341;efu na uso wenye mikunjo na kuonyesha upendo machoni mwake. Miaka michache iliyopita alikuwa mmoja wa watu wengi waliokuwa wakitaabika katika eneo la Otjive&#341;o, makazi yaliyopo kilomita mia moja kutoka mji mkuu wa nchi hiyo.<\/p>\n<p>Katika mahali hapa wafanyakazi wa mashambani waliohamishwa walikusanyika wakiugulia shida. Kwa upande wa Hamases, mama asiyekuwa na mume mwenye watoto wanne wenye um&#341;i kati ya miaka 9 na 16, maisha yalionekana hayana maana. Hadi umoja wa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia ulipochukua aneo la Otjive&#341;o kutekeleza m&#341;adi wa maja&#341;ibio unaofadhiliwa na sekta binafsi kuonyesha kuwa &#341;uzuku ya msingi ya pamoja inaweza kuleta tofauti.<\/p>\n<p>Swali: Unaweza kuelezea maisha yako kabla ya BIG <\/p>\n<p>Jibu: Nilifika Otjive&#341;o miaka nane iliyopita. Kabla ya hapo niliishi katika shamba, lakini niligombana na &#341;afiki yangu wa kiume na ikabidi niondoke.<\/p>\n<p>Kwa hiyo nilibeba watoto wangu wanne na kuanza kuishi katika kijiji hiki. Maisha yalikuwa magumu, tuliteseka. Watoto walienda shule lakini sikuwa na pesa za kulipia ada. Kutokana na kuwa na njaa walishindwa kuzingatia masomo yao ya nyumbani na ilionyesha katika matokeo yao. Uongozi wa shule uliendelea kudai pesa zao.<\/p>\n<p>Nilisafi&#341;i ma&#341;a moja kwa mwezi kwenda Windhoek kuomba pesa kutoka kwa ndugu. Kwa pesa hizo niliweza kununua chakula kidogo kwa ajili ya watoto wangu. Tuliishi katika kijumba kidogo cha chumba kimoja ambacho kiliezekwa kwa bati. Sikuwa na cha kufanya siku nzima, labda kutembelea tu baadhi ya maji&#341;ani zangu na kuona nini wangeweza kunisaidia nacho.<\/p>\n<p>Maisha katika makazi haya kwa ujumla wake yalikuwa magumu mno. Kila baada ya siku mbili watu waliwasili kutokana na kufukuzwa kutoka mashamba ya ji&#341;ani. Kulikuwa na uhalifu kwani watu hawakuwa na fedha za kununulia chakula. Wizi katika mashamba lilikuwa tatizo kubwa. Kulikuwa na ukahaba, unyanyasaji dhidi ya wanawake na ulevi wa pombe. Makazi hayo madogo yalikuwa na baa zisizokuwa &#341;asmi zijulikanazo kama &#8220;shebeens&#8221; kama tano au sita.<\/p>\n<p>Swali: Mwaka 2008 m&#341;adi wa BIG ulianza, ni jinsi gani ulibadili hali yako ya maisha <\/p>\n<p>Jibu: Kutokana na kwamba tulikuwa watano, watoto wanne na mimi, sote sisi ma&#341;a tu tukaanza kupokea dola 500 za Namibia (dola za Kima&#341;ekani 68) kwa mwezi.<\/p>\n<p>Kwa miezi miwili ambayo nimeishi Otjive&#341;o, nimekuwa nabaki na fedha za akiba. Halafu nilitumia fedha za BIG kusafi&#341;ia hadi Windhoek. Huko, kwa kutumia fedha za BIG, niliweka tangazo kwenye gazeti nikitafuta aji&#341;a za ndani. Baada ya wiki mbili nilipata aji&#341;a.<\/p>\n<p>Kwa sasa napata mshaha&#341;a wa dola 1000 za Namibia kwa mwezi ikiwa ni pamoja na nyumba na chakula. Nakaa wiki nzima mjini Windhoek nikifanya kazi na ma&#341;a mbili kwa mwezi na&#341;ejea Otjive&#341;o. Lakini BIG haikuacha kunipatia &#341;uzuku eti kwasababu ya kufanya kazi mahali pengine. Hii inaonyesha kuwa &#341;uzuku inaweza kujenga fu&#341;sa. Kila mmoja ambaye hapo awali alihitimu bado anapata pesa. Pamoja na kwamba baada ya kumalizika kwa m&#341;adi wa maja&#341;ibio &#341;uzuku ilishushwa hadi dola 80 (dola 11 za Kima&#341;ekani).<\/p>\n<p>Kwa hiyo dola za Namibia 1400 (chini kidogo ya dola za Ma&#341;ekani 200) kwa mwezi ninazopata sasa zinaniwezesha kulipia ada ya shule na kununulia sa&#341;e. Mtoto wangu mkubwa anahudhu&#341;ia shule mjini Windhoek na wengine watatu wanaishi kwenye hosteli ya shule yao huko Witvlei, mji mdogo ka&#341;ibu na Otjive&#341;o. Ada ni dola za Namibia 200 kwa mtoto kwa mwaka na dola za Namibia 130 kwa muhula kwa ajili ya hosteli.<\/p>\n<p>Jambo zu&#341;i ni kwamba mwaka jana wote walifaulu. Naweza pia kulipia kliniki, hivyo manesi hawawezi tena kunipokonya kadi yangu. Pia natumia pesa hizo kununulia viatu, nguo na bidhaa nyingine mjini Windhoek halafu naziuza huko Otjive&#341;o wakati wa mwishoni mwa wiki. Ma&#341;a nyingi faida ni dola za Namibia 400 (dola za Kima&#341;ekani 54). Ma&#341;a nyingine nanunua vyakula na vinywaji kutoka maduka ya jumla na kuviuza, au nanunua chupa chakavu kutoka kwa watoto wadogo na kuziuza mjini Windhoek.<\/p>\n<p>Nimeshapanua kibanda cha chumba kimoja na kuwa nyumba yenye vyumba vitatu na Mungu akijalia hivi ka&#341;ibuni nitaanzisha eneo la kugawa chakula bu&#341;e kwa ajili ya wazee na yatima.<\/p>\n<p>Swali: Ni nini kimebadilika katika eneo la Otjive&#341;o lenyewe <\/p>\n<p>Jibu: Watoto wote wananunua sa&#341;e za shule na wazazi wanalipia ada. Watu wananunua chakula na kuuza televisheni, &#8220;dvd&ndash;playe&#341;s&#8221; na majiko. Wengi wameongeza ukubwa wa nyumba zao. Pale ambapo kulikuwa na maduka machache hapo kabla, sasa kuna maduka madogo kati ya 10&ndash;12.<\/p>\n<p>Eneo sasa ni safi zaidi kwasababu watu wanasafisha mazingi&#341;a wanapokuwa wameshiba kuliko wakiwa na njaa. Uhalifu umekoma kabisa, ambapo ulevi wa pombe na kupiga wanawake umepungua. Kulikuwa na ukahaba kwasababu wanawake walikuwa na njaa, lakini hayo yote yameondoka kabisa.<\/p>\n<p>Tatizo moja tu ni kwamba limekuwa eneo linalovutia wahamiaji. Hata watu kutoka Windhoek wanakuja kwasababu wanadhani Otjive&#341;o kuna fedha. Idadi ya watu imeongezeka kutoka 1,200 hadi 2,000, jambo ambalo lina maanisha kugawana mali.<\/p>\n<p>Swali: Rais amesema &#341;uzuku itawafanya watu kuwa wavivu, unasemaje kuhusu hilo <\/p>\n<p>Jibu: Siyo kweli. Rais anasema watu hawatafanya kazi wanapopata &#341;uzuku. Sawa, sikuwa nafanya kazi kabla ya BIG, lakini sasa nafanya kazi.<\/p>\n<p>Nilitumia fedha kujitangaza na kupata aji&#341;a. Wanawake wengine pia walinipatia pesa kuweka tangazo kwenye gazeti kwa ajili yao na sasa wanafanya kazi pia.<\/p>\n<p>Najivunia kwamba napata Ruzuku ya Kipato cha Msingi na naomba mpango huo uendelezwe nchini kote, ili tuweze kumaliza umaskini nchini Namibia. Ili wengine waweze kuonja kile ambacho tumekionja.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WINDHOEK, Feb 16 (IPS) &ndash; Ruzuku ya Kipato cha Msingi kwa Wote (BIG) inaweza kujenga hali ya uvivu na utegemezi miongoni mwa maskini nchini Namibia, wanasema wanasiasa. M&#341;adi wa maja&#341;ibio umethibitisha kuwa imani hii siyo ya kweli. IPS ilizungumza na mmoja wa walengwa wa BIG. Be&#341;tha Hamases (32) ni mwanamke m&#341;efu, mwenye miguu mi&#341;efu na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":600,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3572","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3572","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/600"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3572"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3572\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3572"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3572"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3572"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}