{"id":3553,"date":"2011-02-02T13:40:01","date_gmt":"2011-02-02T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/02\/02\/afya-muuaja-wa-kimya-kimya-anayeendelea-kuchukua-maisha-ya-watoto\/"},"modified":"2011-02-02T13:40:01","modified_gmt":"2011-02-02T13:40:01","slug":"afya-muuaja-wa-kimya-kimya-anayeendelea-kuchukua-maisha-ya-watoto","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/02\/02\/afya-muuaja-wa-kimya-kimya-anayeendelea-kuchukua-maisha-ya-watoto\/","title":{"rendered":"AFYA: Muuaja wa Kimya Kimya Anayeendelea Kuchukua Maisha ya Watoto"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Kenya, Jan 4 (IPS) &ndash; Wataalam wa afya ya binadamu wametoa tahadha&#341;i kuwa mala&#341;ia na VVU ni magonjwa yanayoongoza katika kupatiwa fedha za kupambana nayo kwa lengo la kupunguza vifo vya watoto nchini Kenya, na hivyo kupuuza ugonjwa wa kuha&#341;isha unaoua watoto kwa wingi. Ugonjwa huu umeshaua kwa kimya kimya mamia ya watoto kila mwaka.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Cecilia Njambi, mama wa watoto wawili, alipoteza mtoto wake wa kwanza wa kiume kutokana na kuha&#341;isha. &#8220;Hakulala vizu&#341;i katika usiku uliopita na alikuwa akilalamika kuumwa na tumbo. Kinyesi chake kilikuwa chepesi lakini hatujashtuka kutokana na kwamba hakuna anayechukulia kuha&#341;isha kama ugonjwa hata&#341;i. Tulidhani tu kwamba pengine alikuwa amekula kitu ambacho hakikuwa kizu&#341;i kwake.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Tulimpatia maji yaliyochanganywa na suka&#341;i na chumvi, kama huduma ya kwanza iliyozoeleka, na wakati wa asubuhi nilimwacha na kwenda kazini. Hiyo ilikuwa ma&#341;a ya mwisho kumuona tena mtoto wangu aliyekuwa na miaka mitano.&#8221;<\/p>\n<p>Takwimu za ka&#341;ibuni zinaonyesha kuwa pamoja na kwamba vifo vya watoto vimepungua hadi 120 kati ya vifo elfu moja kutoka watoto 740 kwa kila vifo elfu moja katika kipindi cha miaka mitano; hakuna mkakati maalum wa kupambana na gonjwa hilo.<\/p>\n<p>Watoto wengi &ndash; hasa wale ambao wanaishi maeneo ya vijijini na maeneo duni ya mijini &ndash; wanaendelea kuugua ugonjwa huo kila mwaka, hata kama nchi inajitahidi kufikia Lengo la 4 la Maendeleo ya Milenia la kupunguza vifo vya watoto.<\/p>\n<p>Watoaji huduma ya afya wanasisitiza kuwa kuha&#341;a ni sababu kubwa ya vifo vya watoto, anaelezea Evelyn Mutio, nesi na mwanachama wa Chama cha Manesi cha Taifa nchini Kenya (NNAK).<\/p>\n<p>Anaongeza, &#8220;Vifo vingi vinavyozuilika kutokana na kuha&#341;a miongoni mwa watoto viliongezeka kutoka kile kinachoonekana kama &#8216;kuchelewa ma&#341;a tatu&#8217; kwa wataalam wa afya.&#8221; Mama au mlezi anachelewa kumpeleka mtoto hospitali kwa sababu moja au nyingine kwasababu watu wengi wanadhani hali hii inaweza kuzuilika na kutibiwa kwa kutoa tu dawa.&#8221;<\/p>\n<p>Halafu wanapoamua kumpeleka mtoto hospitali, ma&#341;a nyingi kuna sababu ya umbali kwenda katika zahanati ambako kunachelewesha zaidi mawasiliano kati ya mtoto na mtoaji huduma za afya. Wakati mtoto hatimaye anapofika kwenye kituo cha afya, vipimo vinachukua nafasi kabla ya Huduma ya Kwanza.<\/p>\n<p>Mutio anaelezea zaidi kuwa kuna aina mbalimbali za kuha&#341;a inategemeana na sababu ya ugonjwa. Mtoaji huduma ya afya pia anapaswa kuhakikisha kuwa vipimo vinachukuliwa inabidi mtoto aongezwe maji.<\/p>\n<p>&#8220;Wanataka kujua sababu kwanza halafu tiba. Wakati huo mtoto anakuwa ameshapoteza maji mengi. Unaweza kuona ni kiasi gani cha maji anapoteza mtoto kama kila saa anaha&#341;isha na kutapika ma&#341;a nne.<\/p>\n<p>Jackline Ngatha anasema kuwa ma&#341;a nyingi vifo hivi vinaongezeka kutokana na kutokujua kwa mzazi au mlezi. &#8220;Pamoja na kufundishwa umuhimu wa kushughulika na magonjwa kama kuha&#341;isha ma&#341;a moja wakati wa kumpatia chanjo mtoto kliniki, taa&#341;ifa hazijawekwa katika hali ambayo zinafanya watu waelewe vizu&#341;i ukubwa wa tatizo.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a nyingi tunapatiwa vipepe&#341;ushi vya kusoma kuhusu usafi wa afya lakini wengi wetu tunajali zaidi kufikisha chakula mezani kuliko kusoma.&#8221;<\/p>\n<p>Mutio anaelezea kuwa kukosekana kwa fedha ni kitu kingine kinachochangia na kwamba kuha&#341;isha kumeenea zaidi miongoni mwa maskini. Katika ngazi ya chini, tunaangalia kuha&#341;isha kunasababishwa na kukosekana kwa usafi.<\/p>\n<p>Maji safi yanagha&#341;imu fedha, kuchemsha maji na hata kutumia kemikali kusafisha maji ni fedha.&#8221; Anasema kuwa kuchelewesha safa&#341;i ya kwenda hospitalini ma&#341;a nyingi kunatokana na kukosekana kwa fedha. Hata kama se&#341;ikali imeanzisha zahanati ambako watu wanaweza kutibiwa bu&#341;e, siyo kwamba huduma hizo ni za bu&#341;e kabisa.<\/p>\n<p>&#8220;Ma&#341;a nyingi zahanati ziko mbali na mtu anahitaji usafi&#341;i. Katika zahanati mtu anahitaji kununua kadi za kupatiwa dawa\t. Ma&#341;a nyingi zinagha&#341;imu chini ya dola moja lakini tunaishi kwa chini ya dola moja kwa siku ambazo bado zinaonekana kuwa na gha&#341;ama. Halafu watoaji huduma wataandika baadhi ya dawa za kutumia ili zikanunuliwe kutoka kwa maduka ya dawa,&#8221; Njambi anaelezea.<\/p>\n<p>&#8220;Hakuna kitu ambacho ni cha bu&#341;e. Wakati mtoto anapoha&#341;isha tunatengeneza madawa nyumbani kuja&#341;ibu kusitisha hali hiyo ili kuokoa fedha&#8221;. James Otieno, mkazi wa Kitongoji cha maskini cha Kibe&#341;a &ndash; moja ya makazi duni kabisa ba&#341;ani Af&#341;ika &ndash; anasema kuwa hali ni mbaya hasa katika makazi duni, kwani NGOs zinazoangalia hali ya maisha ya maskini zimeingiza &#341;asilimali zao zote na nguvu katika kupambana na VVU.<\/p>\n<p>&#8220;Hakuna mife&#341;eji ya maji taka katika maeneo ya makazi duni na hakuna maji safi. Maji machache yaliyopo yanagha&#341;imu fedha nyingi. Mtoto anapokuwa ametibiwa kuha&#341;a na kwenda kwenye mazingi&#341;a hayo hayo machafu, tatizo linakuwa limeahi&#341;iwshwa tu,&#8221; anaelezea.<\/p>\n<p>Otieno, pamoja na ma&#341;afiki zake, wameanzisha kikundi binafsi cha kusaidia usafi katika eneo lao, na katika mchakato huo wanasaidia kudhibiti magonjwa yanayosababishwa na &#8216;kukosekana kwa usimamiaji wa taka&#8217;.<\/p>\n<p>Ni mpango mdogo lakini kwa maji&#341;ani, ni ufumbuzi unaoka&#341;ibishwa katika kujenga mazingi&#341;a yanayofaa kuongeza afya ya watoto, na kuwaokoa kutokana na kuha&#341;a na kutokana na vifo vinavyoweza kuzuilika. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Kenya, Jan 4 (IPS) &ndash; Wataalam wa afya ya binadamu wametoa tahadha&#341;i kuwa mala&#341;ia na VVU ni magonjwa yanayoongoza katika kupatiwa fedha za kupambana nayo kwa lengo la kupunguza vifo vya watoto nchini Kenya, na hivyo kupuuza ugonjwa wa kuha&#341;isha unaoua watoto kwa wingi. Ugonjwa huu umeshaua kwa kimya kimya mamia ya watoto kila&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":720,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3553","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3553","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/720"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3553"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3553\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3553"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3553"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3553"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}