{"id":3549,"date":"2011-01-13T13:40:01","date_gmt":"2011-01-13T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/01\/13\/malawi-wanawake-wadai-kupatiwa-sehemu-sawa-katika-mali-za-familia\/"},"modified":"2011-01-13T13:40:01","modified_gmt":"2011-01-13T13:40:01","slug":"malawi-wanawake-wadai-kupatiwa-sehemu-sawa-katika-mali-za-familia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/01\/13\/malawi-wanawake-wadai-kupatiwa-sehemu-sawa-katika-mali-za-familia\/","title":{"rendered":"MALAWI: Wanawake Wadai Kupatiwa Sehemu Sawa katika Mali za Familia"},"content":{"rendered":"<p>MZUZU, Malawi, Des 29 (IPS) &ndash; Akiwa ameketi katika benchi la mbao katika nyumba yake kwenye kitongoji cha watu maskini mjini Mzuzu, uso wa G&#341;ace Mkandawi&#341;e unaonyesha hali ya maumivu ya muda m&#341;efu ambayo ameshayavumilia tangu kifo cha mume wake mwaka 1998. Anaonekana aliyepotea na aliyechanganyikiwa na wakati akielezea haba&#341;i yake anaonyesha hali ya hofu, chuki na kukata tamaa ambako She&#341;ia ya Mali za Ndoa ya Malawi ya (1882) inawanyima haki wanawake kama yeye.<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>MALAWI: =20 Wakati Katiba ya Malawi inasema kwamba wanawake wana haki ya &#8220;kupata mali sawa ambayo wanamiliki pamoja na mume&#8221; wakati ndoa inapofikia ukomo, she&#341;ia ya sasa inazifanya mali kuwa za pamoja tu kama mwanamke ametoa mchango wa kifedha wa moja kwa moja katika mali hizo zinazotajwa.<\/p>\n<p>Mkandawi&#341;e ana kumbukumbu za maumivu juu ya siku za mafanikio za familia yake. &#8220;Mume wangu alikuwa na maga&#341;i 19, kampuni ya ujenzi, majumba na zaidi ya Kwacha za Malawi milioni 40 (dola milioni 3) katika matawi kadhaa ya benki lakini nime&#341;ithi tu watoto wangu watatu,&#8221; Mkandawi&#341;e aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Wifi yake alichukua mali zote, ikiwa ni pamoja na nyumba kadhaa, na kumwacha bila kitu chochote. &#8220;Ilinibidi kuanza tangu mwanzo kwa kununua vifaa vya nyumbani na samani,&#8221; aliongeza. Mmoja wa watoto wa Mkandawi&#341;e alionekana kuwa na msongo wa mawazo na alishawahi kuja&#341;ibu kujinyonga ma&#341;a kadhaa kwasababu alishindwa kuvumilia hali ya maisha. Hatimaye alifa&#341;iki kutokana na kuugua vidonda vya tumbo.<\/p>\n<p>Mkandawi&#341;e pia alipatwa na msongo wa mawazo wa muda mfupi lakini alifanikiwa kujinasua kupitia ushau&#341;i nasaha na tiba.<\/p>\n<p>&#8220;Tulitafuta mali zote pamoja na mume wangu. Kwa hakika, wakati alipomaliza chuo na hakuwa na aji&#341;a ni mimi ambaye nilikuwa namsaidia kutokana na mshaha&#341;a wangu mdogo wa ualimu. Ndugu zake hawakumsaidia,&#8221; alisema Mkandawi&#341;e, ambaye amekuwa mwalimu kwa miaka 30 sasa.<\/p>\n<p>Hata hivyo, mambo yanaonekana kubo&#341;eka kuhusu masuala ya ndoa na wanawake nchini Malawi. Shi&#341;ika la Utafiti la Wanawake na She&#341;ia Kusini mwa Af&#341;ika (WLSA Malawi) limepeleka se&#341;ikali Mahakama ya Katiba ambako wanapinga she&#341;ia ya sasa ya Mali za Ndoa, likisema kuwa inabagua wanawake.<\/p>\n<p>Lakini se&#341;ikali pia inapambana, ikisema kuwa WLSA imeshindwa kutoa ushahidi wa wanawake ambao waliathi&#341;ika na she&#341;ia wanayoitaja.<\/p>\n<p>Mtetezi Mwandamizi wa She&#341;ia Thabo Chakaka Nyi&#341;enda, ambaye anamwakilisha Mwanashe&#341;ia Mkuu, anakataa masuala ya &#8220;kinadha&#341;ia na ya kufiki&#341;ika&#8221; yanayoibuliwa na WLSA.<\/p>\n<p>Kulingana na WLSA&ndash;Malawi, wanawake wengi nchini Malawi wanaendelea kupata mabadiliko ya ghafla muda mfupi baada ya ndoa kuvunjika au kufa kwa mume kutokana na kukosekana kwa usawa wa mgawanyo wa mali. Wanaongeza kuwa kuna hali ya kimataifa kuhusu mgawanyo sawa wa nyumba za wanandoa.<\/p>\n<p>Katika she&#341;ia nyingi, ikiwa ni pamoja na zile za Aust&#341;ia, Canada, C&#341;oatia, Denma&#341;k, Ufa&#341;ansa, Uje&#341;umani, Ugi&#341;iki, Italia, Uholanzi, New Zealand, No&#341;way, Hispania, Sweden na Ma&#341;ekani, mfumo wa mgawanyo wa mali za ndoa wakati wa kuvunjika kwa ndoa umetekelezwa kwa kutambua michango ya wanawake isiyokuwa ya kiuchumi na isiyokuwa ya moja kwa moja katika mali hizo, kulingana na WLSA Malawi.<\/p>\n<p>&#8220;Tunawaangalia wanawake kwa ujumla wao. Siyo tu baada ya kifo cha mume lakini hatima yake katika ndoa na baada ya talaka,&#8221; alielezea M&#341;atibu wa Taifa wa WLSA Seodi White.<\/p>\n<p>WLSA&ndash;Malawi inataka Mahakama ya Katiba kutangaza kuwa kifungu cha 17 cha She&#341;ia ya Mali kwa Wanawake Walioolewa kuwa hakifai, au kutangaza kuwa kifungu cha 17 kitafsi&#341;iwe kwa njia ambayo inatambua michango ya wanawake katika mali za kwenye ndoa na kuhakikisha kuwa wanawake wanapata nusu ya mali za ndoa baada ya ndoa hiyo kufikia ukomo.<\/p>\n<p>&#8220;Hii inatokana na kwamba nchini Malawi majengo na viwanja ni ma&#341;a chache mno vinasajiliwa kwa majina ya wanawake. Kwa hiyo hawawezi kuthibitisha moja kwa moja, mchango wao wa kiuchumi katika manunuzi na kuendeleza a&#341;dhi hiyo na majengo,&#8221; alisema White.<\/p>\n<p>&#8220;Sidhani kama she&#341;ia mpya itafanya kazi. Utamaduni wetu hapa ni kikwazo kikubwa. Ukweli kwamba maha&#341;i ililipwa inafanya familia ya mwanaume kuwa na nguvu na kufanya inachoweza,&#8221; Mkandawi&#341;e alibainisha.<\/p>\n<p>Kulingana na utafiti uliofanywa na Duncan McPhe&#341;son wenye jina la: &#8220;Upo&#341;aji wa Mali na Kizazi cha Yatima wa Af&#341;ika: Uchambuzi wa Kishe&#341;ia wa Gonjwa la VVU\/UKIMWI na U&#341;ithi kwa Watoto Yatima wa Uganda, Kenya, Zambia na Malawi&#8221;, upo&#341;aji wa mali unaonekana kuwa dalili tu za mgogo&#341;o mkubwa zaidi unaokabili Af&#341;ika ambao ni umaskini uliokithi&#341;i.<\/p>\n<p>&#8220;Katika nchi zinazoathi&#341;ika, kwa hiyo,wengi (ikiwa ni pamoja na wanawake) wanaona kuwapokonya mali wajane na yatima kama njia tu ya kuendesha maisha, na wala siyo tatizo la kuondokana nalo. Wajane na yatima wanata&#341;ajiwa kuzoea haliambapo wajane wanapaswa ku&#341;ejea kwa wazazi waona yatima kukubali malezi yoyote yale, bila kujali kama ni ya kikandamizajina wala wasilaumu,&#8221; McPhe&#341;son anabainisha.<\/p>\n<p>Suala hapa linatokana na utamaduni dhidi ya Katiba, Kanisa na Jamii ya Sinodi ya Livingstonia. Ofisa wa She&#341;ia Chaga&#341;a Phi&#341;i anakubaliana na McPhe&#341;son na Mkandawi&#341;e.<\/p>\n<p>Phi&#341;i, ambaye ofisi yake inashughulikia kesi 400 kwa mwaka zinazohusiana na upokonyaji wa mali &#8220;katika kesi za kupokonya mali kwanza tunaangalia kama ndoa hiyo ilitambulika aidha kijadi au kishe&#341;ia.<\/p>\n<p>&#8220;Kama mwanamke hakuwa anafanya kazi ina maana alikuwa akichangia tu (hafanyi kazi lakini akichangia ), na hivyo hana haki ya kuchukua nusu ya mali,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Lakini WLSA inataka mahakama kutambua shughuli za nyumbani na kutoa matunzo ambazo zinafanyika wakati wa ndoa kama shughuli za kiuchumi ambazo zinachangia katika kununuliwa kwa mali za kifamilia.<\/p>\n<p>Hata hivyo, katika mahojiano na vyombo vya haba&#341;i, Chifu Mtwalo wa Wilaya ya Mzimba alilaumu wanaha&#341;akati wa haki za binadamu kutokana na kuonyesha baadhi ya tamaduni za Kingoni kama zile za unyanyasaji wa majumbani na kupokonya mali.<\/p>\n<p>Mtwalo alisema ni uzushi tu na kutia chumvi ambako wajane katika wilaya hiyo wamekuwa nayo na hata katika suala la a&#341;dhi yao kupokonywa.<\/p>\n<p>Lakini Love Ngulube, mjane ambaye anaishi katika wilaya ya Embangweni, hakubaliani na Chifu huyo.<\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na mume wangu kushindwa kulipa maha&#341;i nili&#341;ejea nyumbani kijijini baada ya kifo. Nilianza kilimo lakini wazee wa kijiji waliniambia kuwa niache, wakisema kuwa sikuwa na haki ya a&#341;dhi kwasababu nilikuwa mwanamke&#8221;, Ngulube alielezea.<\/p>\n<p>Lakini Chifu hajashawishika na anapingana zaidi na madai haya: &#8220;Ni kiasi gani cha a&#341;dhi mwanamke anapaswa kuwa nacho kama napewa haki ya a&#341;dhi ya mume wake wa kwanza wakati akiwa ameolewa na mwanaume mwingine kutoka kwa ukoo wa mume wake &#8221; alingaka. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MZUZU, Malawi, Des 29 (IPS) &ndash; Akiwa ameketi katika benchi la mbao katika nyumba yake kwenye kitongoji cha watu maskini mjini Mzuzu, uso wa G&#341;ace Mkandawi&#341;e unaonyesha hali ya maumivu ya muda m&#341;efu ambayo ameshayavumilia tangu kifo cha mume wake mwaka 1998. Anaonekana aliyepotea na aliyechanganyikiwa na wakati akielezea haba&#341;i yake anaonyesha hali ya hofu,&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":815,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3549","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3549","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/815"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3549"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3549\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3549"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3549"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3549"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}