{"id":3547,"date":"2011-01-13T13:40:01","date_gmt":"2011-01-13T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/01\/13\/mgogoro-wa-chakula-aina-mbili-mpya-ya-mboga-mboga-katika-soko-la-chakula-la-kenya\/"},"modified":"2011-01-13T13:40:01","modified_gmt":"2011-01-13T13:40:01","slug":"mgogoro-wa-chakula-aina-mbili-mpya-ya-mboga-mboga-katika-soko-la-chakula-la-kenya","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/01\/13\/mgogoro-wa-chakula-aina-mbili-mpya-ya-mboga-mboga-katika-soko-la-chakula-la-kenya\/","title":{"rendered":"MGOGORO WA CHAKULA: Aina Mbili Mpya ya Mboga Mboga Katika Soko la Chakula la Kenya"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Des 28 (IPS) &ndash; Kilimo kinabakia kuwa shughuli kuu ya kiuchumi nchini Kenya. Kinachangia zaidi ya asilimia 24 ya Pato la Taifa (GDP) huku asilimia inayokadi&#341;iwa kuwa 70 ya watu wote wakitoka katika familia za wakulima wadogo ambao wana mashamba ya ukubwa wa eka&#341;i 2&ndash;5, kutegemeana na mkoa wanakotoka.<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Chakula la Kenya Lakini pamoja na ukuaji mzu&#341;i wa kiuchumi katika muongo uliopita, Kenya inaendelea kukabiliana na changamoto za kufikia lengo la kwanza la Maendeleo ya Milenia (MDG) 1 la kuondoa umaskini na njaa.<\/p>\n<p>Ripoti kadhaa za se&#341;ikali zinaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 50 ya watoto wa chini ya um&#341;i wa miaka mitano wana uzito wa chini na wamedumaa kukua.<\/p>\n<p>&#8220;Pamoja na kwamba hali inaweza kuonekana kuwa mbaya se&#341;ikali kutokana na ubunifu wa watafiti, imefanya jitihada mbalimbali kubo&#341;esha sekta ya kilimo, hasa kilimo cha bustani,&#8221; anaelezea Naomi Chepko&#341;i&#341;, Ofisa Kilimo kutoka Mkoa wa Rift Valley ambao ndiyo unaongoza kwa kuzalisha chakula nchini Kenya.<\/p>\n<p>Kulingana na Mada ya Se&#341;a kuhusu Sekta ya Kilimo cha Bustani, matokeo ya kuongeza uzalishaji wa bustani yanapaswa kuangalia maeneo kama ya kupunguza umaskini na kubo&#341;esha usalama wa chakula.<\/p>\n<p>&#8220;Katika suala la uzalishaji wa mboga, se&#341;ikali inafanya kazi kwa ka&#341;ibu na watafiti ili siyo tu kubo&#341;esha ubo&#341;a wa mboga lakini pia kulima aina mbalimbali za mboga,&#8221; anaelezea Cathe&#341;ine Ku&#341;ia, mkulima mdogo huko Kinale, Katikati mwa Kenya.<\/p>\n<p>Wataalam wa mazao wamegundua kuwa mboga aina ya sukuma wiki bo&#341;a zaidi zinatoka Kinale, katika mkoa wa Kati.<\/p>\n<p>Jina la sukuma wiki limetolewa kuwa na maana kuwa mboga hizo zingeweza kusaidia watu wiki nzima kutokana na kuuzwa kwake bei nafuu, hasa kwa watu wenye kipato cha chini ya dola moja kwa siku. Kwa hivyo kuwa ni mboga maa&#341;ufu zaidi inayopatikana nchini humo.<\/p>\n<p>&#8220;Pamoja na kutambulika kwake, aina mbalimbali za sukuma wiki zina ubo&#341;a duni, &#341;ahisi kushambuliwa na wadudu na uzaaji wake pia ni mdogo,&#8221; anaelezea Cathe&#341;ine Ku&#341;ia.<\/p>\n<p>Mboga zinapandwa na wastani wa asilimia 90 ya kaya za Wakenya, huku sukuma wiki ikipandwa na watu wengi zaidi.<\/p>\n<p>Katika jitihada za kubo&#341;esha usalama wa chakula na hatimaye kutokomeza njaa, Wakenya kwa sasa wanaweza kufaidi aina mpya ya sukuma wiki ambayo inazaa zaidi na inaweza kukabiliana na hali ya hewa isiyotabi&#341;ikia nchini humo.<\/p>\n<p>Mwezi Mei mwaka huu, Kamati ya Taifa ya Aina za Mbegu nchini Kenya ilitoa kibali cha kutolewa kwa aina mbili ya mbegu za sukuma wiki zilizobo&#341;eshwa na zilichapishwa na Wiza&#341;a ya Kilimo, kama inavyotajwa katika She&#341;ia ya Mimea na Mbegu ya Kenya.<\/p>\n<p>Aina tatu zaidi ya mbegu hizo zitatolewa katika soko ma&#341;a tu zitakapobo&#341;eshwa. Hii inatokana na m&#341;adi wa kukusanya mbegu unaofadhiliwa na Kituo cha Sayansi ya Kilimo cha Kimataifa (CABI) Af&#341;ika, ambacho ni shi&#341;ika la kisayansi lililobobea katika kilimo.<\/p>\n<p>&#8220;Kituo cha kukusanya mbegu ni mkakati wa kiubunifu wa kuongeza upatikanaji wa mbegu kwa bei nafuu kwa wakulima wadogo ambao wanaweza wasiwe na fedha za kununulia mbegu za kisasa zaidi.&#8221; Anafafanua Naomi Chepko&#341;i&#341;. &#8220;Pia ni njia ya kupatia uwezo kaya maskini ambazo zinategemea zaidi kilimo cha kujikimu.<\/p>\n<p>Aina hizi mpya ni ubo&#341;eshaji wa mbegu za sukuma wiki ambazo taya&#341;i zimekuwa zikitumiwa na wengi.&#8221; Ubunifu huu ni msingi wa maendeleo wa tangazo la Umoja wa Mataifa kuwa mwaka 2010 utakuwa mwaka wa kimataifa wa kilimo mseto, ambao kimsingi unahusu dhana ya kufuga wanyama na mimea katika kilimo.<\/p>\n<p>Kupatiwa leseni kwa sukuma wiki mpya pia kunakwenda sambamba na mpango wa se&#341;ikali wenye jina la &#8216;Njaa Ma&#341;ufuku Kenya&#8217;. Mpango huu unasaidia maendeleo ya kilimo kwa kulenga katika maeneo ya vijijini, ambapo wastani wa asilimia 60 wanaishi chini ya dola moja kwa siku.<\/p>\n<p>Utoaji wa leseni wa aina mya ya sukuma wiki umeona wakulima, hasa kutoka katikati mwa Kenya ambako sukuma wiki inapandwa kwa wingi; kuzungumza kuhusu ubunifu huo.<\/p>\n<p>Alice Itoti kutoka mkoa wa Katikati mwa Kenya, mmoja wa wakulima walioshi&#341;iki katika mchakato huo wa kupanda na kufanya maja&#341;ibio ya aina hizi mpya za mbegu anasema, &#8220;Nimekuwa nikipanda mboga mboga kwa miaka kumi na nimeona utofauti mkubwa kati ya sukuma wiki ya zamani na ile mpya. Aina ya sukuma wiki mpya ina majani makubwa na ina ubo&#341;a wa juu.&#8221;<\/p>\n<p>&#8220;Pia inatoa mavuno mengi jambo ambalo ni zu&#341;i kibiasha&#341;a. Walaji wengi ambao wameshawahi kuja&#341;ibu kula sukuma wiki la zamani wanapenda aina mpya.&#8221;<\/p>\n<p>Wakati nchi ikiendelea kukabiliana na kukosekana kwa usalama wa chakula, huku idadi kubwa ya wakazi wakitegemea zaidi kilimo kwa ajili ya chakula na kujiingizia kipato, mikakati ya kiubunifu ya kuwa na mazao aina mbalimbali inaweza kuwa sehemu ya ufumbuzi wa kubo&#341;esha aina ya chakula, na hatimaye kuchangia katika kuondokana na umaskini uliokithi&#341;i na njaa. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Des 28 (IPS) &ndash; Kilimo kinabakia kuwa shughuli kuu ya kiuchumi nchini Kenya. Kinachangia zaidi ya asilimia 24 ya Pato la Taifa (GDP) huku asilimia inayokadi&#341;iwa kuwa 70 ya watu wote wakitoka katika familia za wakulima wadogo ambao wana mashamba ya ukubwa wa eka&#341;i 2&ndash;5, kutegemeana na mkoa wanakotoka. Chakula la Kenya Lakini pamoja&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":720,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3547","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3547","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/720"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3547"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3547\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3547"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3547"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3547"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}