{"id":3544,"date":"2011-01-13T13:40:01","date_gmt":"2011-01-13T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/01\/13\/mauritius-wanaendesha-siasa-tofauti\/"},"modified":"2011-01-13T13:40:01","modified_gmt":"2011-01-13T13:40:01","slug":"mauritius-wanaendesha-siasa-tofauti","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/01\/13\/mauritius-wanaendesha-siasa-tofauti\/","title":{"rendered":"MAURITIUS: Wanaendesha Siasa Tofauti"},"content":{"rendered":"<p>PORT&ndash;LOUIS, Des 27 (IPS) &ndash; &#8220;Ninaendesha siasa kila siku, lakini siasa za kibaguzi  Hapana,&#8221; anasema Jane Ragoo, mwanaha&#341;akati wa vyama vya wafanyakazi wa muda m&#341;efu na mfanyakazi wa jamii. Anaamini katika kufanya kazi kuleta mabadiliko ya watu katika jamii na kubo&#341;esha maisha ya watu lakini hana nia ya kukaa juu ya lo&#341;i na kufanya kampeni ya kugombea cheo.<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Ragoo, ambaye anatetea haki za wafanyakazi katika Shi&#341;ikisho la Vyama vya Wafanyakazi wa Sekta Binafsi, anaona siasa kama biasha&#341;a nchini Mau&#341;itius. Inalenga zaidi katika kuingiza faida badala ya kubo&#341;esha maisah ya wananchi, anasema.<\/p>\n<p>Kwa kiasi fulani, Ragoo analaumu wapiga ku&#341;a kutokana na hili. &#8220;Wanapigia ku&#341;a watu wasiokuwa na uwezo, hawaelewi vitu vizu&#341;i na siyo wakweli,&#8221; anasema. &#8220;Wanawake wachache ambao wamechaguliwa majukumu yao yamekandamizwa, sauti zao zimebanwa na wanaume ambao ndiyo wengi hata hawasikilizi nini wanasema wanawake.&#8221;<\/p>\n<p>Itifaki ya Jinsia na Maendeleo ya Kusini mwa Af&#341;ika inataka nchi wanachama kufikia usawa wa kijinsia katika ngazi za utoaji wa maamuzi.<\/p>\n<p>Hadi sasa, Mau&#341;itius haija&#341;idhia Itifaki hiyo, kwa kusema katiba ya kisiwa hicho hai&#341;uhusu &#8220;ubaguzi chanya&#8221; unaotakiwa kufikia idadi ya 50&ndash;50 ya uwakilishi wa wanaume na wanawake.<\/p>\n<p>Hakuna wanawake wengi katika maba&#341;aza ya se&#341;ikali za mitaa siyo katika maeneo ya vijijini wala ya mijini. Kuna viongozi 16 tu katika maeneo ya mijini kati ya viongozi 126 wa se&#341;ikali za mitaa. Katika maeneo ya vijijni, idadi ni ndogo zaidi. Ni asilimia sita tu &ndash; 87 kati ya viongozi wa se&#341;ikali za mitaa 1476 ni wanawake.<\/p>\n<p>Mmoja wa viongozi hao wa vijijini, Dula&#341;i Jugna&#341;ain, kutoka kijiji cha Goodlands kaskazini mwa Mau&#341;itius, anasema uwepo wa wanawake wengi zaidi katika se&#341;ikali za mitaa ungeweza kuzuia matatizo ya kijamii katika miji na vijiji.<\/p>\n<p>Makasino na nyumba za michezo zimeongezeka kwa kasi katika kipindi cha miaka mitano katika maeneo ya miji na vijijini, ambako angependa kuona maktaba, viwanja vya michezo na bustani za bu&#341;udani.<\/p>\n<p>&#8220;Wanawake wanaona zaidi masuala kama hayo, na hivyo ni &#341;ahisi kujitahidi kukabiliana na matatizo haya ya kijamii,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>Lakini madiwani hawawezi kusimamisha maendeleo ya nyumba za michezo katika mikoa yao kama hawajapewa nguvu ya kufanya hivyo. Mamlaka madogo ambayo se&#341;ikali za mitaa zinapewa hayasaidii wananchi wanaopenda maendeleo kama mwanaha&#341;akati Ragoo au Kashmi&#341;a Banee, mshau&#341;i mtaalam wa masuala ya mazingi&#341;a na mwanachama wa Rezistans ek Alte&#341;nativ, shi&#341;ika la ha&#341;akati za kijamii na kisiasa linalofanya kazi ya kuleta mabadiliko ya se&#341;a za uchumi katika kisiwa hicho.<\/p>\n<p>Banee anahisi kuwa haina maana kushi&#341;iki katika uchaguzi wa se&#341;ikali za mitaa kama madiwani hawatapatiwa uwezo wa kushughulikia moja kwa moja matatizo kama ya umaskini, usimamiaji wa taka, uchafuzi wa mazingi&#341;a, kelele na uuzaji bidhaa katika mitaaE2=80=93 masuala ambayo yanafanya umma kuwa na mashaka.<\/p>\n<p>Se&#341;ikali za mitaa hazina ufanisi mkubwa katika mabadiliko ambayo Banee angependa kuyaona kama mi&#341;adi mikubwa ya kushughulika na miundombinu, elimu, afya, nyumba na ustawi wa jamii ambayo yote inafanyika katika ngazi ya kitaifa.<\/p>\n<p>Viongozi wa se&#341;ikali za mitaa wanadhibiti bajeti ya dola mia chache tu, zinazotosha kuandaa she&#341;ehe za kawaida za kufunga mwaka kwa watoto na wazee, lakini siyo zaidi ya hapo.<\/p>\n<p>Banee anasema kuwa mafanikio yaliyopatikana katika masuala haya nchiniMau&#341;itius yanatokana na kazi za NGOs na ha&#341;akati za kisiasa nje ya bunge, ambao wamekuwa wakitoa malalamiko yao kupitia maandamano ya &#341;aia, pingamizi na kampeni za kueneza uelewa.<\/p>\n<p>Rezistans ek Alte&#341;nativ yenyewe inaonyesha kukosekana kwa wanawake katika nafasi za utoaji wa maamuzi; ni wanachama watatu tu kati ya 12 katika kamati yake kuu ni wanawake. Hata hivyo, kuna wanawake wengi wanaofanya kazi katika matawi ya ndani ya chama hiki cha ha&#341;akati cha hia&#341;i.<\/p>\n<p>Ragoo ana imani kuwa vyama vya siasa vinagawa watu ambao angependa kuwaunganisha. Anahisi kuwa ni vema kufanya kazi na watoto, kuwapatia elimu ya haki za binadamu na kuhifadhi mazingi&#341;a kuliko kuwa katika siasa kuu.<\/p>\n<p>Wanawake wachache nchini Mau&#341;itius wana uwezo wa kupata muda wa kushi&#341;iki aidha katika siasa za uchaguzi au ha&#341;akati za jamii, kutokana na mzigo mzito ambao wanawake wanao katika kulea familia. Ukichanganya na maamuzi ya wanawake kama Banee na Ragoo kutokupenda kujiunga na nafasi za kuchaguliwa, bado kuna umbali wa kwenda kuongeza uwakilishi huu wa wanawake katika ofisi za kuchaguliwa.<\/p>\n<p>Lakini Lalita Chummun, mwenyekiti wa halmashau&#341;i katika T&#341;iolet, kijiji chenye mafanikio makubwa kaskazini mwa Mau&#341;itius, ana fu&#341;ahia mfumo wa se&#341;ikali za mitaa. &#8220;Pamoja na kwamba ni vigumu, viongozi wa se&#341;ikali za mitaa wanaweza kufanya kazi nzu&#341;i, kwa msaada wa se&#341;ikali kuu ambayo inatoa fedha,&#8221; anasema.<\/p>\n<p>Chummun, mwanamke pekee katika ba&#341;aza la wajumbe 12 la kijiji cha T&#341;iolet, anakubali kuwa ni vigumu kwa wanawake kuibuka katikati mwa wanaume katika siasa.<\/p>\n<p>&#8220;Najishughulisha zaidi na elimu ya vijana wadogo, lakini sina msaada kutoka kwa jamii. Hii inafanya kazi yangu kuwa ngumu. Siwezi kulazimisha watu kusaidia, lakini wakati matatizo ya kijamii yanapoibuka katika kijiji, lawama zinatupiwa viongozi wa se&#341;ikali za mitaa.&#8221;<\/p>\n<p>Wanawake wengine wanapata muda mdogo mno kushi&#341;iki katika siasa hata kwa kazi kama za Ragoo kwasababu, wanasema, &#8220;Tuna mzigo mkubwa wa majukumu kadhaa kama vile kutunza familia na jamii, bila kusahau jukumu letu la uzazi.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>PORT&ndash;LOUIS, Des 27 (IPS) &ndash; &#8220;Ninaendesha siasa kila siku, lakini siasa za kibaguzi Hapana,&#8221; anasema Jane Ragoo, mwanaha&#341;akati wa vyama vya wafanyakazi wa muda m&#341;efu na mfanyakazi wa jamii. Anaamini katika kufanya kazi kuleta mabadiliko ya watu katika jamii na kubo&#341;esha maisha ya watu lakini hana nia ya kukaa juu ya lo&#341;i na kufanya kampeni&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":730,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3544","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3544","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/730"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3544"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3544\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3544"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3544"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3544"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}