{"id":3539,"date":"2011-01-03T13:40:01","date_gmt":"2011-01-03T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/01\/03\/ethiopia-kuokoa-maisha-ya-mama-wa-vijijini-2\/"},"modified":"2011-01-03T13:40:01","modified_gmt":"2011-01-03T13:40:01","slug":"ethiopia-kuokoa-maisha-ya-mama-wa-vijijini-2","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2011\/01\/03\/ethiopia-kuokoa-maisha-ya-mama-wa-vijijini-2\/","title":{"rendered":"ETHIOPIA: Kuokoa Maisha ya Mama wa Vijijini"},"content":{"rendered":"<p>ADDIS ABABA, Des 13 (IPS) &ndash; Nigist Abebe ameongeza kujiamini katika kipindi cha miaka mitano akiwa kazini. Leo hii ni mmoja wa wafanyakazi 34,000 wa afya ya msingi vijijini katika mkakati wa huduma za afya nchini Ethiopia.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Moja ya kazi muhimu zaidi katika Dengo Fu&#341;da Kebele, kijiji ambamo alizaliwa na kukulia, ni kusaidia wanawake wakati wa uja uzito na kujifungua watoto.<\/p>\n<p>&#8220;Nawapatia ushau&#341;i akina mama kuhusu afya ya uzazi na mtoto, kusimamia matumizi mazu&#341;i ya tiba, kuandaa wanawake waja wazito taya&#341;i kwa kujifungua. Kwa ujumla, nahamasisha wanawake kupata huduma za tiba bu&#341;e ambazo zitaokoa maisha yao,&#8221; aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Wakati Nigist alipoanza kufanya kazi, anasema, Dengo Fu&#341;da ilikuwa inapoteza nusu dazeni ya akina mama wanaojifungua kila mwaka, ambayo inaka&#341;ibiana na wastani wa kitaifa. Anasema kumekuwa na mabo&#341;esha ya wazi.<\/p>\n<p>&#8220;Mwaka jana, tuli&#341;ikodi vifo viwili tu,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Makadi&#341;io yanaonyesha asilimia 94 ya mama wanaojifungua nchini Ethiopia wanajifungulia majumbani na mwaka 2005, wakati wa kuanza kwa mpango wa Afya ya Msingi, mama 720 walifa&#341;iki kwa kila watoto 100,000 waliozaliwa wakiwa hai.<\/p>\n<p>Nigist, akiwa sasa na miaka 23, aliomba mafunzo ya mwaka mmoja ili kuwa mfanyakazi wa afya miaka sita iliyopita, ma&#341;a tu baada ya kumaliza da&#341;asa la 10. Ma&#341;afiki zake walimshau&#341;i kuwa ingekuwa fu&#341;sa nzu&#341;i ya aji&#341;a.<\/p>\n<p>Alihudhu&#341;ia mafunzo ya ufundi stadi katika taasisi ya kutoa mafunzo hayo, ambako alijifunza maeneo 16 kuhusu mala&#341;ia, VVU, na afya ya uzazi na mtoto.<\/p>\n<p>Alihitimu mwaka 2005 na kuwa mmoja wa wafanyakazi wa afya ya uzazi wapya watatu wanaotumikia maelfu ya kaya za Dengo Fu&#341;da.<\/p>\n<p>Mwaka 2009, aliingizwa katika mafunzo ya mwezi zaidi katika utoaji wa huduma kabla na baada ya kujifungua kwa mama na kujifungua salama yaliyoendeshwa na ida&#341;a ya afya ya wilaya.<\/p>\n<p>Kwa sasa anamuona kila mwanamke mwenye mimba katika kijiji cha Kebele &ndash; wafanyakazi wa kujitolea wanatoa taa&#341;ifa na hivyo kama hawaji kwake, anakwenda kuwaona.<\/p>\n<p>Kabla ya mafunzo yake mwaka jana, anasema alisaidia mama wakati wa uchungu bila ya kujua masuala ya usalama wao, madawa sahihi na dalili mbaya za matatizo makubwa.<\/p>\n<p>&#8220;Hatukujua ta&#341;atibu. Na sasa najisikia najiamini kutoa huduma kwa akina mama hawa na najua ni zaidi ya uwezo wangu,&#8221; alisema.<\/p>\n<p>Kwa mfano, anasimamia utoaji wa vidonge vya misop&#341;ostol kuzuia utokwaji wa damu nyingi baada ya mtoto kuzaliwa, ambako kunachangia asilimia 22 ya vifo vya uzazi nchini Ethiopia.<\/p>\n<p>Nigist anawatambua kiu&#341;ahisi wanawake ambao wako hata&#341;ini kuanza kutokwa na damu: mama wajawazito wenye um&#341;i wa chini ya miaka 18 na wanawake ambao waliwahi kuwa na watoto wengi waliozaliwa ka&#341;ibu ka&#341;ibu wana uwezekano wa kupatwa na tatizo hilo, alisema.<\/p>\n<p>Wakati anafika kwa mama mwenye dalili mbaya za kupatwa na matatizo, Nigist anampeleka kwenye kituo cha afya chenye vifaa bo&#341;a zaidi kilomita kumi kutoka kijijini, ambako wataalam wa masuala ya uzazi wanaweza kusaidia mwanamke kujifungua kwa usalama.<\/p>\n<p>Nigist na wenzake katika vituo vinne vya afya wanamtathmini kila mwanamke mwenye mimba na kuamua kama anapaswa kwenda kwenye kituo cha afya kujifungua huko kama kuna dalili za matatizo. Baada ya kujifungua, wafanyakazi wa afya ya msingi wanamtembelea mama na mtoto nyumbani, kuhakikisha kuwa &#341;atiba ya chanjo inafuatwa na kufuatilia lishe ya watoto.<\/p>\n<p>Pamoja na kwamba takwimu za vifo vya uzazi hazipatikani katika Kanda ya Masha&#341;iki mwa Shoa ambako Nigist anafanya kazi, mpango huo unaaminika kupunguza vifo vya uzazi kwa kiasi kikubwa.<\/p>\n<p>&#8220;Siwezi kutaja kiwango halisi cha kupungua kwa vifo, lakini naweza kusema vifo vya uzazi vimepungua,&#8221; Di&#341;iba Degefa, mkuu wa ida&#341;a ya afya katika ngazi ya kanda, alisema.<\/p>\n<p>Kanda ya Masha&#341;iki mwa Shoa, ambayo ina wakazi milioni 1.3, imeongeza idadi ya vituo vya afya &ndash; kama vile ambavyo Nigist anapeleka matukio mazito kuyafanyia kazi katika wilaya 13 kutoka vituo 12 hadi 52 katika miaka mitano. Kukamilika kwa vituo vinne zaidi, ambavyo vipo katika ujenzi, kutawezesha kufikia shabaha ya se&#341;ikali ya kituo cha afya katika kila watu 25,000 ifikapo Juni 2011.<\/p>\n<p>Kuna Vituo vidogo vya afya vipatavyo 299 vyenye wafanyakazi wake huku kukiwa na wataalam wawili wa afya ya msingi katika kila kanda. Kila kituo cha afya kinahudumia watu 5000 (wengi wakiwa wakazi wa Kebele) na kila vituo vitano vidogo vya afya vimeunganishwa na kituo kikubwa cha afya kwa ajili ya kupeleka wagonjwa walioshindikana ikiwa ni pamoja na usimamiaji wa kiutawala.<\/p>\n<p>Wakati wataalam wa afya ya msingi walipoaji&#341;iwa ma&#341;a ya kwanza, wanakijiji wa Dengo Fu&#341;da na wilaya nzima ya Boset hawakuamini kama walikuwa na ujuzi unaotakiwa au maa&#341;ifa kubo&#341;esha afya ya uzazi. Uzoefu wa miaka mitano iliyopita umebadilishwa.<\/p>\n<p>Nigist anaonekana kupenda kazi yake; mawazo yake ni kubo&#341;esha maa&#341;ifa na ujuzi wake.<\/p>\n<p>&#8220;Pamoja na kwamba ni vigumu hapa, nitaendelea kufanya kazi. Lakini ninapenda kuwa na fu&#341;aha kama tunapata elimu zaidi na mafunzo,&#8221; alisema. &#8220;Kuokoa maisha ya mama na watoto ni jambo ninalolitimiza.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ADDIS ABABA, Des 13 (IPS) &ndash; Nigist Abebe ameongeza kujiamini katika kipindi cha miaka mitano akiwa kazini. Leo hii ni mmoja wa wafanyakazi 34,000 wa afya ya msingi vijijini katika mkakati wa huduma za afya nchini Ethiopia. Moja ya kazi muhimu zaidi katika Dengo Fu&#341;da Kebele, kijiji ambamo alizaliwa na kukulia, ni kusaidia wanawake wakati&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":664,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3539","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3539","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/664"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3539"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3539\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3539"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3539"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3539"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}